SAMIA, LISSU, NA WASIRA: NANI MKWELI KUHUSU UZANZIBARI?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 май 2024
  • Rais Samia anasema yeye ni Mzanzibari. Mzee Wasira hataki! Kwanini?
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 275

  • @rastheunique
    @rastheunique 28 дней назад +13

    Ukimuondoa warioba sisiem tuna hasara tupu ya wazee wanaomiliki mvi kama mapambo tu 😅

  • @user-cg4dq8wy6r
    @user-cg4dq8wy6r 28 дней назад +17

    Jamani huyu mzee Wasira amekaa na hoja zake utadhani kama si msomi ingawaje ni msomi kwa kiasi chake. Mimi napenda nimtaarifu kua sasa tuna paspoti za Afrika Mashariki na watu wanazitumia kusafiria. Je hakuna Watanzania, Walenya, nk. Hivyo hivyo kuna paspoti za umoja wa ulaya E U Pasport. Je hizo nazo zimefuta untaifa na uraia wa nchi husika?

    • @MageAwe-hl5zb
      @MageAwe-hl5zb 24 дня назад

      CCM I mchoka wazee wapumzike Tanganyika inakwenda kufilisika naomba kuuliza kwa nini mbuga za Ngorongorio haionyeshwi kwenye safari chalnel??????

  • @JoelRichard-hj3bi
    @JoelRichard-hj3bi 28 дней назад +7

    Tundu lissu yuko vizuri sana zaidi ya sana.

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 28 дней назад +9

    Stay blessed Mkuu Ngurumo

  • @viaurfk
    @viaurfk 28 дней назад +11

    Uchambuzi Makini sana

  • @AP-uk3mq
    @AP-uk3mq 28 дней назад +19

    Mimi mmoja siku zote nasema Im from Zanzibar. WaZanzibari tutabaki kua wazanzibari watake wasitake

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 28 дней назад +13

    Nani mjinga rais anajitambulisha mimi ni mzanzibari wasila anamubatiza rais kuwa ni mtanzania wasila acha kaa chini wazee kama sisi tumesitafu achia vijana siyasa. Utazarawulika.

  • @user-un5dm8gj7p
    @user-un5dm8gj7p 28 дней назад +25

    uyo mzee hajielewi amekuwa chawa wa Samia pumbavu

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 28 дней назад +8

    Vema sana mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwasaidia hawa mzee wetu. " Mzee Wasira katiba sio ilani ya chama!

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 28 дней назад +7

    Isaidie HAKI itande, itapakae kila upande. (Qur'an 4:135)

  • @user-cz9zu7ur1h
    @user-cz9zu7ur1h 28 дней назад +10

    Ccm ndio wauwaji wakubwa watanganyika ila marahii kitaeleweka

  • @user-kl8xf1yk2b
    @user-kl8xf1yk2b 28 дней назад +12

    Watu wanalinda maslahi yacham sana hata mama akimsikia wasira😂😂😂😂😂 anajuwa tuu kuwa wasira moyoni hazungumz ivo mwongo hakuna chawa mzanzibar😂😂😂😂 wabongotu

    • @venatusmukungu3340
      @venatusmukungu3340 28 дней назад

      Juzi nimesikia neno " barakala". Sijui ni sawasawa na " Chawa"?

  • @peterkitima4383
    @peterkitima4383 28 дней назад +12

    Hiyo imeisha Mzee Wasira, unaeyemtetea kasema yeye ni MZANZIBARI

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 24 дня назад

      Nyie Watanganyika munashangaza Sana!yaani munamjadili Wasira?Kwanza angalieni historia yake ya kisiasa!alipoenguliwa kugombea Bunge Tu akajiunga ktk upinzani(NCCR-mageuzi)na baada ya kukosa tena maslahi akarudi CCM!sasa huyu ni WA kukuumizeni vichwa!

    • @user-vh7ll3vp7w
      @user-vh7ll3vp7w 19 дней назад

      Mzee yuko Sahihi' Acheni, Ushabiki,,,,

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 19 дней назад

      Sawa kabisa Samia ni Mzanzibar!je ni Nani Mtanzania?

  • @fabby1181
    @fabby1181 28 дней назад +8

    Hawa watu wanaojiita maccem wasitusumbue bhana!!..

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 28 дней назад +13

    Mzee Wasira kadili unavyozeeka ndiyo fikra zake zinavyo SINYAA tena kwa kasi. Kumbuka alivyo kuwa Bungeni 80% ya muda alikuwa akisinzia, hadi watu wa Bunda wakampiga chini. Hakika anawaaibisha wazee wote (vijana watauogopa uzee kwa kudhani uzee ni kufilisika KIAKILI)

    • @vickytorry100
      @vickytorry100 28 дней назад +3

      Sidhani ni uzee bali ni uongo wa kijinga. Mzee wa OVYO sana

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 25 дней назад +1

      Mbona Mzee Warioba mtu wa ukweli .hili zee halitosheki

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 28 дней назад +10

    Mzee sikuiz kajichubua 😂😂😂😂alikuaga uson kama kajipaka matope😂😂😂

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 25 дней назад

      😂😂anapakaga kalolaiti😢😂

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 25 дней назад

      😅😅😅😅😅YEMWEE MBAVUU ETI KAJIPAKA KAROLIGHT 😂😂😂😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 24 дня назад

      Mbavu zangu mie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anarudia ujana😂😂😂😂😂😂

  • @Fred-Ma
    @Fred-Ma 28 дней назад +4

    Mzee Wassira mbona mwenyewe kataja Canada, Zanzibar na Tanzania bara kana kwamba nchi 3?😅😅😅

  • @mohammedhamad9392
    @mohammedhamad9392 21 день назад +2

    Zanzibar inajulikana kuliko tanzania bro Zanizbar is very cool.

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b 27 дней назад +4

    Wazanzibali ni wamoja hata uwaone mmoja anavaa kijani na mwengine zambalau

  • @00P288
    @00P288 28 дней назад +7

    Kweli ubishi kwisha anayesemwa kajisemea.

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k 18 дней назад

      Kwani yeye ndo nani ana nini ataishia kama wenzake

  • @kwasmokweka9598
    @kwasmokweka9598 28 дней назад +18

    Kama uzee ni huu wa Wasira, kuna haja ya kuufikia kweliiiii?

    • @raymondnlelwa427
      @raymondnlelwa427 27 дней назад +3

      Hahahahahahahah bora tu ufe mapema manake pamoja na nafasi zote za uongozi, hakuna legacy.

    • @widimaelimushi
      @widimaelimushi 17 дней назад

      Wasira watanzani Ni wacheche wajinga usisiemu usikuponze ukaoneka mjinga nenda kweye ukweli acha kupotosha watu tunataka katiba Mpya kuondoa utata akuna nchi moja yenye maraisi wawili oliona wapi wewe mkrito wadini ngani unamjua mungu kweli??

    • @widimaelimushi
      @widimaelimushi 17 дней назад

      Wasira utakumbukwa lipi mzee??

  • @sospeterodhiambo6869
    @sospeterodhiambo6869 28 дней назад +6

    Wasira tulikuwa naye NCCR Mageuzi kbl hajarudi CCM Hana jipya washauri wake wanshauri apumzike tu Anajidhalilisha Akili imechoka

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 28 дней назад +5

    Kila mtu anajua Wasira hana hoja ni maslahi yake ndio kipaumbele yake na si vinginevyo. Huyu mzee anazeeka vibaya anataka kutuaminisha kuwa Zanzibar sio nchi na wakati katiba yake inasema hivyo. Jumuisho unaweza sema “ NJAAA”.

  • @kingmzebez7786
    @kingmzebez7786 25 дней назад +1

    Uchawa imekua ajira kwa wazee silla mungu ucnpe uzee wa uyu mzeee😎🖐

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 12 дней назад

    Tunakuelewa mwamba. Na vielelezo unavyo. Safi Sana.

  • @nurdinkisaria9476
    @nurdinkisaria9476 28 дней назад +4

    Wahasira 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 28 дней назад +18

    Uongo unaweza kufichwa kwa muda tu. Tatizo la Wasira bado anaamini wstanzania wa leo ni sawa na wale wa 1960 na anajisadifu kwenye propaganda mfu, si mtu wa haki huyu ni mamluki kwetu Watanganyika

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 22 дня назад +2

    Kaka Mungu akubarik kwa ukweli na ustarab wa kutuelimishaaaa

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 28 дней назад +10

    HILI ZEE JINGA SANA HOVYO KABISA KICHWA HASARA

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 28 дней назад +3

    Ukimya wa Hawa vijana anapowauliza maana yake hawamuelewi.

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 28 дней назад +7

    Mzee Wasira kachemka 😂😂😂😂😂

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 28 дней назад +3

    Mzee huyu kapitiliza kutokuelewa au anajifanya kuwa sisi siyo waelewa kabisa? "Udanganyifu huwa unaeneza chuki".

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 28 дней назад +8

    Kwa Hiyo Ukitoka Tz Ukaenda Zanzibar, Unatakiwa Uwe Na Passport, Ukitoka Zanzibar Ukija Tz Hakuna Haja Ya Passport.🤔Hii Nchi Ni Ngumu Sana.

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 28 дней назад

      Ni kweli, Wazanzibar walishatuona Watanganyika sisi kama watoto

    • @user-cz9zu7ur1h
      @user-cz9zu7ur1h 28 дней назад +2

      Yani hii comnti yako iweke sawa umeifanya kama zanzibr nimpangaji hakuna tz bila ya zazibar kwaiyo ukitolea mfano sema tanganyika na zanzibar usiseme tz nazanzibar😅

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 28 дней назад +1

      ​@@user-cz9zu7ur1h Tatizo liko pale pale 😂 watanganyika mpaka leo hawajui kama kuna Tanganyika na Zanzibari wanajua kuna Tanzania na Zanzibari 😂😂😂

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 24 дня назад

      Nadhani watu wengi hasa kutoka Tanganyika hawafahamu msingi hasa wa huu Muungano unaolalamikiwa!wanashangaa kauli ya Mbunge ya kutaka watu wasio Wazanzibari kuingia Kwa passport!hili sio geni warudie historia Tu wakati wa hao waasisi wake je Watanganyika na Wazanzibari wakiingia vipi hizo nchi mbili zilizoungana?kama ilikuwa ni ubaguzi Nyerere na Karume hawakuuona?Tanganyika ni nchi kubwa Sana ukilinganisha na Zanzibar!na hata tamaduni zetu ni tofauti hivyo si kuviacha visiwa vya Zanzibar watu waingie kiholela bila ya utaratibu inakuwa ni kuharibu Mila, silka na Utamaduni wake!na si hayo Tu Mbunge kenda mbali zaidi kuhusu bajeti ya Zanzibar ya kila mwaka unawezaje kudhibiti huduma za kijamii Kwa hivyo wanavyotaka wenzetu wasioliona hili na kupachika jina la "UBAGUZI"Mimi nadhani hawana Nia njema na Zanzibar!na kuhusu kauli za Lissu na Mbowe kuwa Rais Samia ni. Mzanzibari anayeongoza Tanganyika hii sio Sahihi! Maana kwasasa hakuna kitu kinachoitwa Tanganyika ni hadithi Tu za kusadikika ingawa Sisi Wazanzibar tumewaambia miaka Mingi hili na kutuona pia ni ubaguzi Lin sasa tunaona wameanza kuzinduka kutoka ktk usingizi mzito juu ya godoro la "QFL MAGODORO DODOMA"

    • @user-qv3rf9mc7g
      @user-qv3rf9mc7g 24 дня назад

      Ww sema ukitoka tanga nyika kwenda zanzibar so ktoka tz kwenda zanzibar

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 25 дней назад +2

    Sasa na nyinyi watanganyika jitambueni ss tunajitambua km wazanzibari na tunajua km zanzibar ni nchi na inatabulika dunia mzima

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 27 дней назад +2

    Hili lizee kumbe ndo mana lilinyang'anywa ubunge na Ester Bulaya.Hawa ndo walitutungia katiba mbovu inayotuumiza uongo uongo mwingi

  • @jofreymwakibete9128
    @jofreymwakibete9128 28 дней назад +3

    Ukiwa na mzee Kama wasila j jua una baba

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 23 дня назад

    Linaitwa Mzee hovyooooo

  • @user-vx6tz9ft1c
    @user-vx6tz9ft1c 23 дня назад

    Hili lijamaa linajua kufafanua. Limetulia kweli, limefanya utafiti wa kutosha. Big up bro

  • @sabrinafadhil8835
    @sabrinafadhil8835 28 дней назад +3

    Namuhelewa uyo jamaa wa pili kuzungumza

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 28 дней назад +3

    Mzee wasira 😈😈😈😈

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 25 дней назад +1

    Lisuu safii hongela lisuuu

  • @danielmwanjali2449
    @danielmwanjali2449 25 дней назад +1

    Mzee Wasira hajui Sheria

  • @Successhabits77
    @Successhabits77 20 дней назад +1

    Jku,na Zanzibar Kuna urais mbona

  • @oscarmnyawami6667
    @oscarmnyawami6667 28 дней назад +2

    Mzee Wasira naomba nikuulize una mvua ngapi hadi leo hii...nadhan inatosha sasa katiba ya Zanzibar ipo haipo na ipo unaielewa??

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 25 дней назад +2

    Huyu wasira amepitwa na wakati. Kukaa kimya nako ni busara vinginevyo unatuabisha

  • @piuspanga864
    @piuspanga864 26 дней назад +1

    Huyo Mzee mpotoshaji

  • @eliasmedutieki7578
    @eliasmedutieki7578 25 дней назад +1

    Watanzania wengi hawajui hili na hata kama wanajua tayari wanarubuniwa kwa visenti

  • @AbdallaHassan-gu6fi
    @AbdallaHassan-gu6fi 25 дней назад +2

    PIA KUNA NCHI YA ZANZIBAR NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KIKATIBA. KULIKO KUIKATA TANZANIA. NILIVOSOMESHWA INAANZA NA NENO JAMHURI....

  • @CoachMuu-gg7te
    @CoachMuu-gg7te 23 дня назад

    Zanzibar zanzibar zanzibar

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x 28 дней назад +1

    Tundu lisu Nia kweli ✌️✌️✌️

  • @OlosekiLokoy-sy6qg
    @OlosekiLokoy-sy6qg 25 дней назад +1

    Mkweli ni lisu

  • @JohnMunisi
    @JohnMunisi 23 дня назад

    Mulizeni Mzee warioba awasaidie kuhusu hili.

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 28 дней назад +2

    Wasira ana potosha

  • @microssadamu7556
    @microssadamu7556 22 дня назад

    Mzee hyo ni nchi. Ndiomaana ina katiba yake.

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 16 дней назад

    Muungano sio vibaya watu kuungana lkn huu muungano haukuwashirikisha wananchi

  • @kilinakoshengelo2944
    @kilinakoshengelo2944 21 день назад

    Naenda Kilimanjaro

  • @JoelRichard-hj3bi
    @JoelRichard-hj3bi 28 дней назад +2

    Wasira ni chizi.

  • @user-et9vf2ro2k
    @user-et9vf2ro2k 18 дней назад

    Waambiee aooi machogoolo

  • @zawadimbwambo1091
    @zawadimbwambo1091 25 дней назад +1

    Lizee Lina upara kama uwanja wa ndege wa chato. Akili ni nywele . Sasa Mzee Hana nywele.

  • @user-nw9ds9qe5i
    @user-nw9ds9qe5i 23 дня назад

    😂😂😂😂 tundu lisu hoyeeeeeee jembe wasila ni mwizi

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 23 дня назад

    Hansibeti nimekuelewa vizuri sana

  • @allyhamad3723
    @allyhamad3723 23 дня назад

    Anaepinga kuw Zanzibar sio nchi huenda huyo ana macho lkn haon

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai7875 27 дней назад +1

    Kuwa Chawa umri huu shida sana. Katiba ya Zanzibar imetamka "Zanzibar"ni nchi. Hajaisoma, au hajui hiyo katiba ipo?

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 25 дней назад +1

    MWENYE KUJITAMBUA URAIA WAKE NDIO MKWELI...PERIOD

  • @begumisachristopher4697
    @begumisachristopher4697 25 дней назад +1

    Hata katika hili kuna watu hawakuelewi. Hapo ndipo nasema watanzania "nani aliyeturoga"? Ukweli unabakia kuwa ukweli. Mimi sioni maana na faida ya Muungano. Na hii ni dharau kubwa kwa watanzania wa bara. Nawapenda watu wa aina ya Tundu Lisu wanajitambua

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 22 дня назад

    Hamwezi kuishi bila chokochoko na ujinga maneno maneno tu kuwaza upumbavu mwingi mnatumia mda mwingi kuropoka ropoka kwanini msiutumie shambani tukavuna

  • @MrLonesome73rd
    @MrLonesome73rd 23 дня назад

    Wazanzibari tumeungana, watanganyika wanagombana.

  • @ernestkaji9640
    @ernestkaji9640 21 день назад

    Kwa mawazo yangu wasira anaumwa akili na lissu ako sawa

  • @LaizerSangau
    @LaizerSangau 28 дней назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂 wasira

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 28 дней назад +6

    Kama Mama Samia Sio Mzanzibar Na Sio Mbara,Ni Nani Basi Mzee Wetu Wasira?

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 28 дней назад +1

    Stand up with Justice being witnesses for GOD. And then even if it is against your own people. (Qur'an 4:135)

  • @dicksonwanyama1689
    @dicksonwanyama1689 25 дней назад +1

    Hawa wakina wasira ndio wanao ivuruga Nchi muda wao ulishapita waachieni Mama na team yake wapambane

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 24 дня назад

    Msilitukane sana li wasira zamani lilikuwa li nyani

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 20 дней назад

    Sasa kila nchi ina Katiba yake sasa kelele za nini Wasira unazeheka vibaya

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu3467 25 дней назад +2

    sisi wazanzibar tunajitambua sana na kiukweli tunaelewa kuwa watanzania ni wale famalia milion 1 wanaomiliki ccm ambao wamejimilikisha tanganyika na kwa juhud zote wanataka wajimilikishe na zanzibar

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 23 дня назад

    Mengine hayapo kwenye mungano yapo kwenye nini

  • @user-th5pe1mw5r
    @user-th5pe1mw5r 24 дня назад

    Wasra hajui Zanzibar ipo tokea kuumbwa dunia

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 23 дня назад

    ZANZIBAR ipo na itaendelea kuwepo hofu Tanzania kuwepo miaka 60 ijayo naona kama itakuwa imefutika katika ramani ya dunia

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 27 дней назад +1

    Hata hiyo passport pia kunasehem inasema imetokea Zanzibar but hiyo hiyo passport hakuna sehem inasema kama inatokea Tanganyika 😂😂 so Zanzibar soon inakuja juu time will tell insha Allah watagombana wenyew kwa wenyewe Watanganyika sisi tuligombana sna kutaka Tanganyika irudi kila mtu awe n mamlaka kamili

  • @davidchihimba9489
    @davidchihimba9489 19 дней назад

    Blaablaa nyingi acha kelele mzee

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 23 дня назад

    Awaa wazeee tunao wategemea wamesha kuwa machawaa sasaa hu uchawa umesha tuaribia hi nnchinii

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 25 дней назад +1

    Enderea Ndg. kutuabarisha habari ni Darasa tosha kujifunza na kuelewa,wale tuliosoma habari za Safari ya Bulicheka, tukubariane na Mabadiriko kwa Habari na Safari Uria tufike kwenye Ukweri na Mwanga.Tumchangie tochi Babu ya kale si Ndwere tugange mapya na yajayo.Naililia Tanganyika yetu irudi tu..

  • @pauljulius1662
    @pauljulius1662 24 дня назад

    Tundunlisu huwa anatumia madhaifu ya wapinzani wake
    Zanzibar kuna rais wake

  • @user-wl6zs4sf5p
    @user-wl6zs4sf5p 19 дней назад

    Wasira changa la macho mchana kweupe

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 23 дня назад

    Hiyo nchi Vilaza ni wengi Sanaa

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 23 дня назад

    Ni kweli hata huku bara tunashuhudia hata maduka yao wanaandika zanzibar shop

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw 13 дней назад

    Sasa kama ni hivyo serikali ya Zanzibar ya nini,rais wa Zanzibar wa nini.

  • @alexanderankiza3185
    @alexanderankiza3185 27 дней назад +1

    Nadhani ni context mbili,NATIONALITY na ETHNICITY, kila moja ni sahihi kutegemea unazungumzia kwenye muktadha gani.

    • @humphreymkony8915
      @humphreymkony8915 25 дней назад

      Stupid! Wewe limbo umesoma wapi ATI NATIONALITY NA ETHNICITY! Mjinga!!

  • @josephatmbilinyi8947
    @josephatmbilinyi8947 22 дня назад

    mzee huyu hamna kitu

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s 24 дня назад

    hili lizee.liwadsira Nini likoje nilawapi linawapotosha watanganyika

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 16 дней назад

    Wasira kama uraia ni watanzania kwann Kuna katiba ya Zanzibar
    Hii katiba ya Zanzibar nikatiba yawatu wa nchi gani

  • @madenge731
    @madenge731 24 дня назад

    Wasila ni zaidi mkundu hata sijamuelewa anasemaje

  • @eliaskangabo779
    @eliaskangabo779 23 дня назад

    Hiyo ni nadharia na siyo uhalisia

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 23 дня назад

    huyu wasira wala hashangazi kuzungumza maneno hayo, inaonesha alikua kashalewa na pia anazungumza kwa chuki ila mungu atamjalia atakufa na chuki zake na ataiwacha zanzibar

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 22 дня назад

    Huyu WASIRA mbona ukimtazama hapo anapoongea anafanana na mgonjwa ambaye yuko WODINI hospital anasuburi daktari amletee dawa .

  • @husseinbhatia434
    @husseinbhatia434 21 день назад

    Tuseme sawa mzanzibar,tuseme sawa Zanzibar inchi na Tanganyika ni nchi kwahiyo tuseme waropokaji hawajui Nini maana ya muuungano?Samia ni raisi wa jamuhuri ya muuungano wa tanzania akitokea Zanzibar full stop

  • @eliaskangabo779
    @eliaskangabo779 23 дня назад

    Mzee Wasira unaongea nadharia na siyo Uhalisia

  • @petromgaya1746
    @petromgaya1746 19 дней назад

    Hv mbona Mimi hata spendi muungano 😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 28 дней назад +1

    👍👊✌️.

  • @abuunhakim
    @abuunhakim 17 дней назад

    Mi nashangaa kwani km wazanzibari hatutaki muungano munatulazimishaje? Si tugawane tu kila mmoja na chake. Mumeng'ang'ania zanzibar sio nchi hamjishtukii? 😂