TUNDU LISSU ASHUSHA NONDO JUU YA MUUNGANO HUKU AKIWAULIZA WAKAZI WA MPWAPWA KANA NI NCHI MOJA AU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2024

Комментарии • 42

  • @FestoLubalisho
    @FestoLubalisho 9 часов назад

    Hiyo ya muungano baba tunakushukuru kwa erimu mungu akupe nguvu ya kutuerimisha ubarikiwe sana

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422
    @dullahkalanjedullahkalanje1422 27 дней назад +1

    Mungu akuweke sana mwamba tupo pamoja atuwezi kumpa kura raia wa nchi nyingine kura zote zako

  • @user-fr7jj1bo7y
    @user-fr7jj1bo7y Месяц назад +3

    Asante Tundu Lissu Mungu azidi kukupa afya njema na kukulinda.

  • @evelina9621
    @evelina9621 4 дня назад

    Elim.ya.zanzibar.elim.iko.juu

  • @evelina9621
    @evelina9621 4 дня назад

    7.30am

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 28 дней назад +1

    Ukimsikiliza kwa makini Lissu,
    Kuna jambo lakujifunza kutoka kwake

  • @Moneyprinter7
    @Moneyprinter7 Месяц назад +1

    Huyu ni zawadi toka kwa Mungu kwa watanzania

  • @ismailismailmwaluseke2111
    @ismailismailmwaluseke2111 Месяц назад +1

    Jamaa anajua sana mpaka anakela

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd Месяц назад +1

    Kwani tundulisu nyinyi watanganyika mnakosa nn kwenyi huu muungano? Maana naona kila kitu cha Tanganyika kinafanyika vizuri tu...kwa kivuli cha muungano sasa shida iko wapi? Zanzibar pamoja na kuwa na serekali yake lakini bado ni maskini haha hohe...shida nini Anty?

  • @user-zx4ur4zu6g
    @user-zx4ur4zu6g Месяц назад +1

    Ni yeye

  • @assenganews9435
    @assenganews9435 День назад

    Napendekeza chadema ifanye mabadiliko ya katiba . Tuwe na muundo wa serikali tatu . Yaani mwenyekiti chadema zanzibar mwenyekiti chadema Tanganyika
    Mwenyekiti chadema Taifa

  • @yassirarafat2858
    @yassirarafat2858 22 дня назад

    Hivi mnazani watanganyika Kuna mzanzibar anaependa mungano huu wa zulma Kama vp tujaribu kufanya x change miaka 60 mumetutawala Sasa tuwape Tanganyika yenu Kisha serikal ya jamuhuri ya Tanzania na mihimili yake yote Kwa muda wa mia mitano tuone Kama na nyinyi mtaa kimnya

  • @yassirarafat2858
    @yassirarafat2858 22 дня назад

    Muheshimiwa usiwe usiwe unasema uwongo Kuna watu kutoka bara wamemiliki ardhi zanzibar na wanapga kura pia huo wako ni uzush hemu ongerea point inayohusiana na mungano na mamlaka yenu watanganyika

  • @edwardgafachu8932
    @edwardgafachu8932 Месяц назад

    Maana ya kumiliki ardhi ni kwamba Mtanganyika huwezi kujenga au kununua nyumba Zanzibar, huwezi kulima n.k lakini wao huku wanaruhusiwa kumiliki nyumba, hoteli, gesti, na mashamba

  • @erasmichuwa4049
    @erasmichuwa4049 Месяц назад

    Ukweli halisi ni kwamba sisi siyo nchi moja kwani, Mtanganyika hana haki ya kuchagua au kuchaguliwa Zanzibar, kuajiriwa, kumiliki ardhi na mambo mengine

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 Месяц назад

    Upinzani ni afya kwa maendeleo ya nchi yoyote Duniani Wapinzani wanaibua baadhi ya mambo ambayo baadhi ya Wananchi wa kawaida wasingeweza kuyajua.Tuwaombe Wapinzani muungane ili tuwe na Vyama viwili vyenye nguvu ili kuleta ushindani wa maendeleo Tuige SIMBA NA YANGA

  • @undulemwakasweswe3797
    @undulemwakasweswe3797 21 день назад

    In

  • @assenganews9435
    @assenganews9435 День назад

    Bonge la shule

  • @abulaaliyah77amani91
    @abulaaliyah77amani91 26 дней назад

    Kaz

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 Месяц назад

    ASANTE SANA TUMEJUA CCM KAKIKUNDI WANAJIFICHIA HAPO KTK MUUNGANO

  • @SaidOmar-iw9kk
    @SaidOmar-iw9kk 29 дней назад

    Mzarau mwiba humchoma ccm walimdharau Mzee warioba sasa watamkumbuka

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 23 дня назад

    👍👊✌️。

  • @user-ti8fn1wn1w
    @user-ti8fn1wn1w 19 дней назад +1

    Asante kwa darasa

  • @EdmundSostenes
    @EdmundSostenes 29 дней назад +1

    Ogera sana Mtanganyika ariesoma vizuri na kuelewa sheria za nchi na katiba kwa kuendelea kujitoa na kupambania haki ya Wataganyika

  • @yassirarafat2858
    @yassirarafat2858 22 дня назад

    Sio kweli kama mtanganyuka Hana haki ya kuchagua ama kuchaguliwa hivi mzee mwinyi na mwanawe Hussein wametokea wp watanganyika acheni ubaguzi kisa mama kua rais wa watanganyika ndio imekua shida yote hiyo hebu daeni maslah ya Tanganyika yenu musiongelee upuzi wa kijinga usiokua na tija

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 26 дней назад

    Kama uwelewi huyu ww ni ndondocha kabisa aisee

  • @HilmarKahwili
    @HilmarKahwili 26 дней назад

    Channel haifunguki.

  • @suleimanomar4693
    @suleimanomar4693 Месяц назад

    Wauza nyungo wote wa Zanzibar ni wabara.

  • @yassirarafat2858
    @yassirarafat2858 22 дня назад

    Ongelea point za msingi ili watanganyika na nyinyi muwe na serikal yenu kwanza tumeshachoka na mungano wa kimabavu rais wa kwanza wa zanzibar hakua na zamira ya mungano Kama huu wa kijinga kabisa Nia wazanzibar ni kujitawala wenyewe na sio kutawaliwa na watwana na Kama tulikua tunahitaji kutawaliwa ni Bora angeliendelea kutawala sultan kutoka oman tungelikua na maendeleo miaka 60 ya mungano ujinga mtupu

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Месяц назад

    Why tundundulisu gos much deeper is because trying to show thouse who creat lie propaganda without sense lmpact into Zanzibar and Tanganyika that jointvencter crush started since 1995 into Tanzania Palament Antilles now that why we need new constuetion remove this misunderstanding jointvencter between Zanzibar and Tanganyika

  • @kaziburejuma8313
    @kaziburejuma8313 28 дней назад

    Bonge la shule

  • @yassirarafat2858
    @yassirarafat2858 22 дня назад

    Muheshimiwa usiwe usiwe unasema uwongo Kuna watu kutoka bara wamemiliki ardhi zanzibar na wanapga kura pia huo wako ni uzush hemu ongerea point inayohusiana na mungano na mamlaka yenu watanganyika