MAMA AVURUGWA KWA MAKONDA | NITAFIA MAHAKAMANI KWA KESI HIZI | MAWAKILI WA ARUSHA HAWAFANYI KAZI

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 62

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 Месяц назад +8

    Mahakama za Tanzania ni mbaya sana duniani hakuna. Huyo Jaji mkuu anamuangusha mama Samia kimya kimya.

  • @froma3732
    @froma3732 Месяц назад +6

    Mawakili sio wazembe ni wizi hao ndio wanachafuwa hali hio

  • @thelalas9204
    @thelalas9204 Месяц назад +7

    Jamani tuchagueni viongozi vijana waliosoma vizuri hawa wazoefu watupishe sasa,maana tunahitaji kwenda kwa kasi.Hebu angalieni nchi zenye majangwa wanafanya vizuri kuliko nchi zetu zenye neema tele.Problem is leadership tuacheni kushabikia kila kitu.

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Месяц назад +6

    Mahakama za nchi hii zinahitaji kiongozi kama makonda au slaa kufanya operation za kesi zote zilizoko magakamani.

  • @user-ih1pk1vs4q
    @user-ih1pk1vs4q Месяц назад +6

    Mama umeliwa jina tu la Kamugisha hutoboi pole

  • @mohdsaid8744
    @mohdsaid8744 23 дня назад

    Makonda ni kiongozi mzurii mwenye imani

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 7 дней назад +1

    ,mahakama Tanzania tatizo kubwa kwa wany9nge wasio fedha wenye uwezo ndio wenye haki

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад +9

    Bunge linashindwa kutunga Sheria nzuri KAZI kugonga meza tu kina kibajaji Sheria hamjuwi

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 Месяц назад +5

    Hongera sana mh Paul Makonda

  • @ag3044
    @ag3044 20 дней назад +3

    Wow what r lady

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 Месяц назад +6

    Nchi hii imeharibika sana, kila kitu watoa haki ndio wanao haribi

  • @user-yc1tm4hp4n
    @user-yc1tm4hp4n Месяц назад +3

    Makamishina na maafisa ardhi ndio chimbuko kubwa la dhulma Viongozi msirubuniwe wasilize vyema wananchi pindi wanapojieleza.

  • @babuuosama8752
    @babuuosama8752 27 дней назад +1

    Mama tapika yote Leo Mtu wa Mungu Yupo Arusha Makonda atawatibuwa wote Matapeli washenzi hao wote Makonda Wazibuwe Leo

  • @HassanWarsame-bk3sv
    @HassanWarsame-bk3sv Месяц назад +3

    Pole sana haki yako makonda ataifanyia kazi

  • @jewajua-tv
    @jewajua-tv 28 дней назад +1

    Nilichogundua kuna kero nyingi sana na sheria na mahakama zimeshindwa kabisa "TOTAL FAILURE" katika kutatua hizi kero

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t Месяц назад +2

    Pole mama mwenzangu haki itapatkana wapo Viongoz wanaosmama kihaki Makonda

  • @mohdsaid8744
    @mohdsaid8744 23 дня назад

    Watu wanadhulumiwa sana hawajui kama maisha ni mpito unamdhulumu mtu maskini hawajui kama dhulma ni dhulumati

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад +4

    Majaji nayo tingi tu tatizohawafukuzwi KAZI hata huyo jaji fukuza kazi

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 Месяц назад +4

    Mahakama zinanuka Rushwa

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg 29 дней назад +1

    ❤Mungu akuride

  • @robertmhilu132
    @robertmhilu132 25 дней назад +1

    Makonda anasafisha mji

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Месяц назад +4

    Tz,kuna, dhulma nyingi ya ardhi na, nyumba

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Месяц назад +1

    Du umezeeka pole

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад +4

    Kila ofisi ya mtendaji kuwe na ramani ya kata husika nchi nzima ku kuzuia utapeli na kwa wenyeviti

  • @JohnP-gl1ie
    @JohnP-gl1ie Месяц назад +1

    Mama mtafte n waziri slaa

  • @hellenshayo3454
    @hellenshayo3454 Месяц назад +1

    Duuuuu kesi 49 hi ndiyo Tz

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg 29 дней назад +1

    Mawakili teden haki

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f Месяц назад +1

    Da rais samia unayskia haya

  • @amaniarajiga1902
    @amaniarajiga1902 28 дней назад +1

    Rushwa inapofusha

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Месяц назад +5

    Anaongea kama mangekimambi😅😅😅

  • @halimayusuph4931
    @halimayusuph4931 25 дней назад

    Watu wa Arusha wazuri

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 Месяц назад +1

    Pole

  • @hakunamatata8065
    @hakunamatata8065 28 дней назад +1

    Mawakili wa tanzania wamekua matapeli kabisa

  • @user-ml3zf7mw1y
    @user-ml3zf7mw1y 25 дней назад

    Hassan unasema huyu mama ni nyingine na sio raia ina maana ukweli unaujuwa ww na swala la uraia uhamiaji wapo ndio kazi yao

  • @davidanselmo4041
    @davidanselmo4041 Месяц назад +1

    Arusha wamepata kichwa 😅

  • @Charzlomo
    @Charzlomo Месяц назад +2

    Very sad why

  • @jamalimussa4928
    @jamalimussa4928 Месяц назад +1

    Enyi binadamu ambao mmepewa mamlaka tendeni haki iyo ni dhamana kubwa mmepewe

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai Месяц назад +1

    Kweli mama

  • @cephassikaonga6370
    @cephassikaonga6370 Месяц назад +3

    Tatizo mahaka

  • @MosesJoseph-tp3dr
    @MosesJoseph-tp3dr Месяц назад +2

    Mchukue mwabukusi WA mbeya

  • @fundimagari5825
    @fundimagari5825 Месяц назад

    Ndio lengo la makonda kufikisha ujumbe katika jamii ili watawala wajue shida za watu wanaowatawala kuhusu upande wa sheria ayupo active

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 25 дней назад

    Hakuna haki mahakama za Tanzania hasa kwa maskini

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад +1

    MTOTO MMOJA SASA MBONA MNAFANYIA VIGISU MPENI MAKONDA MPIGE DRONES APO

  • @AnoliasiKope
    @AnoliasiKope Месяц назад

    mama yetu anajua mungu

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Месяц назад +1

    Baba akiwa na mali ni shida

  • @geraldadolf4928
    @geraldadolf4928 Месяц назад

    Tabia ya kutanguliza pesa mbele bila utu mmejiona mnajua pesa sana na kizazi chote kinajali pesa kuliko utu hilo linahitaji muda mrefu kuliondoa

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад +1

    Mahakim wa tz ni rushwa au hawana elimu?

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Месяц назад

    Sasa serikari serika mjalibu kuona kunatatizo mahakamani watu ni wengi na wengi wana lalamika rushwa ,

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f Месяц назад

    Da na jaji mkui yupo yan da

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад

    Ndio maana huwa nasema mahakama zifutwe abaki makonda

  • @HassanSheikhghalib
    @HassanSheikhghalib 25 дней назад

    Mama we muongo kwanza inavo inaonekana we sio raia wa Tanzania makonda hana uwezo wa kuingilia mahakama

    • @mahamudali1453
      @mahamudali1453 23 дня назад +1

      Mama apate hakiyake na huyu mtapele ashikwe familiya yote msiba tupu angoja mlima lengai itakulipukiya tena

  • @faidhatmagige133
    @faidhatmagige133 25 дней назад

    Makond a ni jembe wambunge wa mikoa yote wangeig a hivi kusaidia wananchi jaman

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 Месяц назад +2

    ujuwe mambo ya kusema mahakama haiingiriwi ndio maana rushwa zinakuwa nyingingi sana mahakamani haki hakuna

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Месяц назад

    WE MAMA KUMBUKA MAHAKAMA NI TASISI INAYOJITEGEMEA?. MAKONDA HAWEZI KUINGILIA MAHAKAMA. LABDA MAMA SAMIA.

    • @user-zn6mg3xp3l
      @user-zn6mg3xp3l Месяц назад +1

      Lakini an😂aweza kuongea na raisi chap kupitia makondaaa ni simu moja tu!

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Месяц назад

    Makonda anachofanya kinadhihirisha uwepo wa mfumo bovu na uhitaji wa 👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @imranhassan9994
    @imranhassan9994 Месяц назад +2

    🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    👉Jamani huku kwetu kenya mbona hakuna neema hizi...
    🇹🇿 Maana Tanzania kuna MAKONDA WA HAKI...
    🇰🇪 Kenya yetu nayo MAKONDA NI WA MAANDAMANO...
    🇹🇿 MAKONDA WA TANZANIA Kavalia Hekima Kichwani...
    🇰🇪 MAKONDA WA KENYA Kavalia Sufuria Kichwani...
    😒😡😡 Afadhali nikawachunge tu mbuzi wangu wasile mahindi...

    • @user-xk7vy4gb6g
      @user-xk7vy4gb6g Месяц назад

      Viongozi, wabunge igeni mfano kwa Mh Makonda wananchi wana dhulumiwa sana kwakweli

  • @user-rs4vz2vt9z
    @user-rs4vz2vt9z Месяц назад +2

    Makonda hutaweza bila kuondoa rushwa nchi imeja rushwa na rushwa IPO ngazi za juu.