"NAMUUNGA MKONO MAKONDA KWA MOYO WOTE" WABUNGE WASHINDWA KUJIZUIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2023
  • #OFFTRACKTV #offtracktv #samiasuluhuhassan #raissamia #ikulu #rcchalamila #tulia #ipu
    Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 whatsapp.com/channel/0029VaDF...
    KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
    PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
    / offtracktv
    Email | info@offtrack.co.tz
    🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
    🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 621 149 014)
    🔴 Email: info@offtrack.co.tz
    Www.offtrack.co.tz
    𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
    ...............................................................................................
    Subscribe: / offtracktv

Комментарии • 22

  • @joelakyoo7981
    @joelakyoo7981 16 дней назад

    MKuu Mungu akulinde pambana kiukweli watu wa Mungu walikuwa wameteseka sana

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Месяц назад

    Hongera sana Makonda ni chuma bhana

  • @alexsambia3046
    @alexsambia3046 2 дня назад

    Jamaa anaongea point wabunge hawajitambui hawatendei haki wanainchi

  • @jumamakamba2212
    @jumamakamba2212 6 месяцев назад

    Wasukuma hongera Kwa nondo za

  • @simbamsonde4822
    @simbamsonde4822 6 месяцев назад

    safi sana unakipenda chama chako hauna unafiki

  • @abuusaid3297
    @abuusaid3297 6 месяцев назад +2

    Baadhi ya Watu wanatakiwa wawekewe sheria kali ili wakae kwenye mstari,kuwasematu haito saidia wataendelea kuiba, toka lini wanasemwa mbon bado wanaendelea nawizi, inatakiwa walazimishwe na sheria ya kunyongwa kam wakiiba, kwasheria hio wataacha wizi !!

  • @yohanakinyunyi
    @yohanakinyunyi 5 месяцев назад

    Inasema kweli ndugu

  • @vicentmakoye237
    @vicentmakoye237 6 месяцев назад

    Safi sana mbunge

  • @lawijosephezekieli1078
    @lawijosephezekieli1078 6 месяцев назад +1

    Iviiiiiiiii michango ya ulizi kwann wanawatesa wanch

  • @EmmanuelAkyoo-bm9zb
    @EmmanuelAkyoo-bm9zb 6 месяцев назад

    Wabungeeeee uwiiiiiiiiii tusaidieni sisi wananchi tulioko kiteto tuna nyanyasika sana tuna nyanyaswa na kabila moja la kimasai

  • @MalaikaFurniture-qh9vd
    @MalaikaFurniture-qh9vd 6 месяцев назад +1

    Makonda anae power sio mwoga Na anauthubutu kama jpm

  • @alichengilangwa1361
    @alichengilangwa1361 26 дней назад

    Umenena mheshimiwa na kigahe asimamishwe aulizwe amefanya nini?

  • @user-gn7rs8li8e
    @user-gn7rs8li8e 6 месяцев назад

    Naomba ipitishwe sheria ya kunyongwa maana mafisadi hawaachi kuiba

  • @user-gu7pb3ko7k
    @user-gu7pb3ko7k 6 месяцев назад

    Sema baba huna baya

  • @abuusaid3297
    @abuusaid3297 6 месяцев назад

    Nikweli mafisadi wanatakiwa wanyongwe,nchi itapata maendeleo, jifunzeni kwa china, !!!

  • @user-vv9kk3gz5f
    @user-vv9kk3gz5f 6 месяцев назад +1

    Makonda mkombozi wetu

  • @VictorZimba-kg3xr
    @VictorZimba-kg3xr 6 месяцев назад

    Naunga mkono Ila na mbunge asipotekeleza anyongwe

  • @user-cz7bd9tc5k
    @user-cz7bd9tc5k 6 месяцев назад

    Kama Nyinyi Wa Bunge Mmeshindwa kukamata wezi Minao mezani kwenu Makonda Ata kuwa mpiga kelele tu Wakamataji ni Nyinyi Hapo Muna fanya kazi gani? Mpaka Makonda Ateseke hivyo

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 6 месяцев назад

    kunyonga ni zambi hata magufuli alikataa. ila wataifishwe mali zao zote ziludi selekalini.ukinyonga utanyongwa

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 6 месяцев назад

    SEMA mimi nalamba minguu ya bashite

  • @mushumbaeric4916
    @mushumbaeric4916 6 месяцев назад

    Naona magufuri anaanza kufufuka yajayo nimazuri zahidi upinzani kaapembeni mpaka magu afufuke kabisa