Kama Kuna uongo,bas lisu namba moja,nimekuzalau,swali,ulikimbia nchi wakati gani,Ben saa nane alipotea wakati gani,mlifungiwa mikutano wakati gani,uchaguzi upi ulifutwa wa mitaa ilikuwa wakati gani,lema,heche walikimbia wakati gani,acheni kutumwa tunajua,nchi hii ni ya wote,hata sie tunafikiri,hakuna rais alieweka uhuru wa siasa kama Samia,swali,nani alikuita uje kutokua ubelgij,mikutano na maandamano,mpaka mkapewa ulinzi,roho mabaya,ni mabaya tu.,
@@saltechnologiesco.ltd.2377 nakushukuru sana,kwa maelekezo,huo ndio ubinadamu,sio wengine ,hapo ingekuwa matusi tu,nimekuelewa,ngoja naendelea kuifatilia,ubarikiwe sana,huo ndio ustaarabu wa kupeana mawazo.ubarikiwe sana
Je waliompiga risasi walishapatikana? Kama walipatikana wameshahukumiwa? Nia ya Rais ilikuwa njema ila wako wanaompotosha na kumwelekeza vibaya kwa mustakabali wa nchi.
Mzee lisu Mungu wa mbingun akubariki sana uwe na maisha marefu sana ww ni kichwa
Ndo maana wanataka wapinzani kama nyinyi hamtakiwi kwa kusema ukweli
Lisu huwa anapanga hoja vizuri sana na anafafanua moja baada ya nyingine.
Lisu kichwaa❤
Very analytical 👍
Nchi tunahitaji viongozi kama lissu samia hawezi kutuongoza tena atatutumbikiza kweye shimo
Basi huyo lissu ndo hafai kabisa
@@yassinm69 alikuongoza ww ukamuona hafai
Ripoti ya TCD inasemaje? Tujitathmini
Mwamba Lisu
Kama Kuna uongo,bas lisu namba moja,nimekuzalau,swali,ulikimbia nchi wakati gani,Ben saa nane alipotea wakati gani,mlifungiwa mikutano wakati gani,uchaguzi upi ulifutwa wa mitaa ilikuwa wakati gani,lema,heche walikimbia wakati gani,acheni kutumwa tunajua,nchi hii ni ya wote,hata sie tunafikiri,hakuna rais alieweka uhuru wa siasa kama Samia,swali,nani alikuita uje kutokua ubelgij,mikutano na maandamano,mpaka mkapewa ulinzi,roho mabaya,ni mabaya tu.,
Umekurupuka sana dada yangu, umesikiliza ripoti au umemsikiliza Lisu tu?
@@saltechnologiesco.ltd.2377 nakushukuru sana,kwa maelekezo,huo ndio ubinadamu,sio wengine ,hapo ingekuwa matusi tu,nimekuelewa,ngoja naendelea kuifatilia,ubarikiwe sana,huo ndio ustaarabu wa kupeana mawazo.ubarikiwe sana
Akili kubwa wewe lissu
But ni mkimbizi huyo
Lissu MwenyeziMungu anakuona😢😢😢 hubebeki
Je waliompiga risasi walishapatikana? Kama walipatikana wameshahukumiwa? Nia ya Rais ilikuwa njema ila wako wanaompotosha na kumwelekeza vibaya kwa mustakabali wa nchi.
Weww unasema magufuli hafai sasa story ya magufuli yatoka wapi?