LISSU AGEUKA MBOGO KUENGULIWA WAGOMBEA WA CHADEMA, ATOA MBINU NZITO, MKWE WA RAIS ATANDIKWA ZA USO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 46

  • @RockusssySanka
    @RockusssySanka 18 часов назад +20

    Darasa la maana sana kwa wagombea wote !
    Lisu ni mtu muhimu sana kwetu sisi Watanzania wala si kwa Chadema peke yake .
    Tumwombee kwa Mungu aendelee kumlinda na kumkingia hatari zote ! Amina.

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 7 часов назад +3

    UONGEZEWE ULINZI WA YESU KRISTO MILELE AMINA

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad 5 часов назад +1

    Kara ya ndala jimbo la shinyangs mjini safari hii tulikstaa kuwa mateja tunamshukuru mungu wagombea wetu wamebandikwa wore asante ofisa wa kanda ya serengetii my ndatara ndaturu kwa kutupa maelekezi sahihi leo tulikubari kujipunguza akiri tumefanikiwa

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 7 часов назад +1

    Nakukubalisana mwalimu lissu Umetoa darasa la maanasan tunakuombea Mungu aendelee kukupa wepesi ktk kila jukumulako.,

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 16 часов назад +3

    Laiti elimu hii ikienea nchi nzima, raia wataamuka na kuibwaga CCM kama furushi la mavi yanayonuka asubuhi tu. Siku zote kinachowanyang'anya haki watu huwa ni ujinga wa kutojua. Ukijua, wewe ni mshindi na hakuna wa kukuonea wala kukubabaisha. Asante sana Tundu Lissu kwa kutujengea ufahamu na uelewa huh !!

  • @EliasBamanyisa-uu7og
    @EliasBamanyisa-uu7og 7 часов назад +2

    Huyu lissu sometimes mungu anachagua mtu ili amwakilishe kutoa ujumbe sahihi wa haki kwa watu wake

  • @vincentmpupua5839
    @vincentmpupua5839 7 часов назад +1

    Lisu ni mwalimu mzuri sana

  • @MachinjaShabani-n8m
    @MachinjaShabani-n8m 14 часов назад +3

    Mheshimiwa Lisi ni ktk hazina la taifa

  • @Flaviosafari
    @Flaviosafari 17 часов назад +5

    Elimu ya uchaguzi bila malipo. 😅😅😅

  • @mwendexhaninu4757
    @mwendexhaninu4757 7 часов назад +2

    Mwamba karudi jaman rais wetu

  • @TunuAgast
    @TunuAgast 6 часов назад +1

    Pamban baba mungu yupo pamoja naww lissu wetyu😂❤

  • @cyprianpetetmbonde6374
    @cyprianpetetmbonde6374 6 часов назад

    Ni shule ya maana sana hii💪🏿💪🏿💪🏿🙏

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 10 часов назад +2

    LISSU CHUKUA TAIFA TUTOE KWENYE HUO UKOLONI MAMBO LEO MUNGU AKUSIMAMIE KAMNDA MABAYA WANAYOKUWAZIA YAWALUDIE MARA700 WAKAFIE MBALI

  • @MzeeNdege
    @MzeeNdege 10 часов назад +1

    Safi kaka

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 12 часов назад +2

    Ni mbaya sana ccm ni janga la taifa wao ndo wasimamizi wa uchaguzi na wao ndo wamuzi wa kila jambo ni hatari sana bila vyuma kulia nchi hii hakuna haki

  • @josephnjellah280
    @josephnjellah280 10 часов назад +1

    Nimemukubali bure🎉

  • @allynassoro8448
    @allynassoro8448 6 часов назад +1

    Asante lisu ila watakaokuelewa ni wale wasio ccm ila ccm hawakuelewi kazi wanayoijua ni ulaghai tu

  • @davidmwamakula3944
    @davidmwamakula3944 15 часов назад +1

    ❤❤❤❤safi Sanaaa ❤❤

  • @ezekielmassambu4931
    @ezekielmassambu4931 15 часов назад +1

    Mkuu mungu akulinde

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 17 часов назад +5

    Lisu hua anatoa digreee kwa mda wa dakika 30 tu ila hatoi cheti tu, akili kubwa

  • @MwatijaFikoti
    @MwatijaFikoti 15 часов назад +1

    Kaka Risu tunashukuru Kwa kutupatia elimu wananchi ili tupate uelewa khs uchaguzi.

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 13 часов назад +1

    Rais wangu huyu sina shaka nae hata kidogo NIYEYEE NIYEYEE NIYEYEE

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 12 часов назад +1

    Chadema muwe makini huyu mchengerwa acha uccm wake pia ni mkwe wa samia pia moja ya mikutano yake aliwahi sema upinzani hautakamata nchi hii kwa njia zozote

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 17 часов назад +2

    Mwamba unasomeka sana

  • @MosesSimbao
    @MosesSimbao 6 часов назад

    Kata ya kasanga wilaya ya kalambo mkowa wa lukwa makalani wameweka pingamizi ni kweli hiiii. Wagombea wote baazi ya vijiji wameondolewa kugombea

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 18 часов назад +5

    Hakika mbowe asisubutu kushika fomu akitaka kugombea urais maana wanachama wanataka mtu jasiri ambae hajikombi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 9 часов назад

    👊✌️👍.

  • @godfreykahabi1964
    @godfreykahabi1964 16 часов назад +3

    Rais wa mioyo ya watanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️✌️

  • @benardkinde8496
    @benardkinde8496 16 часов назад +1

    Hii elimu waichukue wote

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 11 часов назад

      Sawa sisi sote ni zao la mfumo hule hule wa Elimu. Vyama vyote na wanachama wake ufafanuzi huu unafaa.

  • @AkwilineKawishe-t3d
    @AkwilineKawishe-t3d 16 часов назад

    Toa kisomo Mkuu

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 16 часов назад

    😂NI YA KALE NA HAYANUKI 👏🏼

  • @gaudencekondo3794
    @gaudencekondo3794 18 часов назад +1

    Ni muda wenu wa kupanua makoo na kusafisha njia wafalme wapite 😅😅😅😅

    • @JosephineKabuka
      @JosephineKabuka 17 часов назад

      Endelea kucheza rede majibu utayapata

    • @AnnaFelix-p1z
      @AnnaFelix-p1z 5 часов назад

      Mujinga wewe subili yatakutokea puwani

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 6 часов назад

    Elimu murua kabisa

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 15 часов назад +1

    Mwamba umeludi

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 14 часов назад

    Hawa ccm msimu huu tuzae nao

  • @AmasiAmasi-z4m
    @AmasiAmasi-z4m 18 часов назад +3

    Waelimishe wajinga wanaewekaga mapingamizi ya kijinga

  • @MosesSimbao
    @MosesSimbao 6 часов назад

    Wajinga Wana ondowa wagombeavkisa kaacha talehe ya kuzaliwa. Ccm wao awajaguswa na wapi kajaza talehe ya kuzaliwa ila kakosea kajaza talehe 17-8-20000
    Wengine 2024
    Wengine 1255
    Wete ao awaja kosea ila chadema kuacha kuijaza nafasi ya talehe ya kuzaliwa kakatwa jina sii ujinga

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 14 часов назад

    😂😂😂 kifuaa

  • @MosesSimbao
    @MosesSimbao 6 часов назад

    Kata ya kasanga wilaya ya kalambo mkowa wa lukwa makalani wameweka pingamizi ni kweli hiiii. Wagombea wote baazi ya vijiji wameondolewa kugombea

  • @MosesSimbao
    @MosesSimbao 6 часов назад

    Kata ya kasanga wilaya ya kalambo mkoa wa rukwa makalani wamewawekea pingamizi ni kweli hiiii. Wagombea wote baazi ya vijiji wameondolewa kugombea