MILIONI 428 ZAIBIWA ARUSHA, MAKONDA AWASHA MOTO, WAHUSIKA KUBURUZWA MAHAKAMANI,.🙌🙌

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 апр 2024

Комментарии • 45

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 Месяц назад

    Wewe ni kipenzi wa mungu .fanya kazi mola atakulipa.tupo kenya tunakupenda sana

  • @elifasiscawa5698
    @elifasiscawa5698 Месяц назад

    Asante makonda jembe letu , izo ela warudishe na fidia wananchi tunufaike. tunateseka hatuna barabra na umeme haujatufikia .

  • @MatthewSimonKanyanzulu
    @MatthewSimonKanyanzulu Месяц назад

    Daaah Mungu akupe nafasi kubwa zaidi brother makonda kitendo cha wewe kupaza tu sauti yako,unaonesha nishijaa wa Tanzania

  • @aminbhulji1677
    @aminbhulji1677 Месяц назад

    Hawo wahalifu wapate kifungo ya maisha well done makonda mungu yuko na wewe

  • @seremalatznaaustralia1462
    @seremalatznaaustralia1462 Месяц назад

    Muheshimiwa em njoo Kiseriani kuna kakalavati kamejengwa kwa milioni mia na hamsini

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Месяц назад

    Hongera sana Mh Makonda piga kazi Mungu akusimamie

  • @userKAZIEYENDELEE
    @userKAZIEYENDELEE Месяц назад

    asante sana haya ndio mambo ya msingi kuwapa taluma wananch na viongozi wanye maamuzi ya uwendeleshaji wa rushuwa

  • @jamalimussa4928
    @jamalimussa4928 Месяц назад +1

    Piga kazi ww ni jembe
    We are proud of you

  • @user-jj7qv7kh2s
    @user-jj7qv7kh2s Месяц назад

    Mimi nakukubali sanaa toka ulivyotolewa kwenye uongozi niliumia sana, ebu msaidie sabaya nae arudi kwenye system mshawishi mama mheshimiwa makonda sabaya nae arudi.

  • @LaurenceNchimbi-jm9lj
    @LaurenceNchimbi-jm9lj Месяц назад +2

    Tunahaja ya kumlinda kuanzia sasa

  • @elifasiscawa5698
    @elifasiscawa5698 Месяц назад

    Wananchi arusha tumuombee makonda, tutanufaika na uongozi wa mama samia ela zimepigwa

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Месяц назад

    Huo mchezo siyo Arusha NCHI nzima

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 Месяц назад +1

    Ze Jembe at WORK 🎉🎉🎉

  • @pastorykimaro7576
    @pastorykimaro7576 Месяц назад

    Haya unayofanya Mungu akutangulie, asnt

  • @a.m_--68
    @a.m_--68 Месяц назад +1

    Huyu ndio kiongozi baba wataifa alietaka wananchi wamchague, wakati huo alikuwa anazungumzia mgomea uraisi. Alietaka kiongozi ambaye kilammoja akiulizwa aweze kusema ndio Kwa mambo manne la kwanza likiwa ni rushwa.

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Месяц назад +3

    Makonda nimekuona upo
    Wananchi tilihuzunika tulipokukosa kwa muda ulipoitwa na CCM.

  • @drtobias_
    @drtobias_ Месяц назад +1

    HIVI WE MAKONDA SIUWE RAIS WETU TU JAMANI

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 Месяц назад

    Mungu Akusimamie katika Majukumu yako...

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад +2

    Kwamakonda vichaa watapona

  • @davidgagi2134
    @davidgagi2134 Месяц назад

    Asante Sana Makonda!
    Hakika MUNGu atakuwa pamoja
    Nawe Na tukuombea Mungu Aendelee Moyo wa kutumika
    Maana hii ni Vita tunapaswa Tushikamane site wanaarusha!

  • @zephaniamkondya9977
    @zephaniamkondya9977 Месяц назад

    Hata dada yetu jana ameniambia ameandikishwa mara nyingi pale Mlowo,lakini hajawahi kupokea pesa ya Tasaf!

  • @komolonindooto
    @komolonindooto Месяц назад

    Karibu ngorongoro kuna madudu kibao

  • @meshackpatrick6981
    @meshackpatrick6981 Месяц назад

    Hongera kijana wa JPM,,
    Migambo nao wamilike
    Wanaenda kusumbua tena wajasilia Mali kwenye masoko
    Waliyopangiwa .

    • @a.m_--68
      @a.m_--68 Месяц назад

      JPM aliko anafurahia

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 Месяц назад

    Mh chapa kazi lakini unatakiwa uongoze nchi hii

  • @mariansumari2179
    @mariansumari2179 Месяц назад

    Asante mheshimiwa Makonda ❤❤❤❤

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 Месяц назад

      PAAZA SAUTI RC. HII NCHI NI WIZI MTUPU. MUNGU TUNUSURU

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Месяц назад

    👏👏👏

  • @a.m_--68
    @a.m_--68 Месяц назад

    No more Rushwa, naomba Raisi wetu na yeye alizungumzie hili kinagaubaga. Ikiwa ni hamna rushwa tu Kwa Makonda au Arusha! Dhambi ya rushwa maeneo Mengine ya nchi yataambukiza Arusha.

  • @danielkessy
    @danielkessy Месяц назад

    Kamata mtandao wote iwe fundisho kwa wengine,wawajibishwe kwa mujibu wa Sheria,

  • @jasonwatz7457
    @jasonwatz7457 Месяц назад

    Wasipowajibika watawajibishwa, ifike mahali uadilifu iwe ni kipao mbele namba moja

  • @tanzaniayetu6973
    @tanzaniayetu6973 Месяц назад +1

    Njoo Mushono kiseriani madukani kaka wakata ushuru wa mchanga hawakati ushuru wanakula hela za serikali na wao pia ni wauza mchanga kitu kinachosababisha conflict of interest na kuleta migogoro mara kwa mara

    • @seremalatznaaustralia1462
      @seremalatznaaustralia1462 Месяц назад

      Ivi kweli yale malori yanakatwa ela huwa zinaenda wapi? Alaf yanaleta kero mno pale yanaposimama kweny kalavati

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 Месяц назад

    Huyu kijana apelekwe Rukwa kule Kuna uozo uliokithili

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 Месяц назад

    Kaka hawa tafas wanafanya madudu kweli kuna kioja pale kata ya magulilwa kijiji cha ng'enza kitongoji cha lutengelo watu hawa wametelekeza mradi pale tangu mwaka jana

  • @HashimuAbubakar-ej8gc
    @HashimuAbubakar-ej8gc Месяц назад

    Kaka iyo kazi ningumu peke Yako utaweza nchi ngumu sana hata jpm alikemea rushwa lakini alishindwa kaka makonda nakuomba uwe mpole mengine yatazame uyaache kama yalivyo

    • @fredysiwale5413
      @fredysiwale5413 Месяц назад

      Acha kumkatisha tamaa jembe la Watanzania wote

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 Месяц назад

    Kwa hili kongole. Kaza moyo wako , hawa wako wengi hasa Mainjinia wa miradi. Wanachukua wala Hawaibi utafikiri pesa ni zao.

  • @knight6757
    @knight6757 Месяц назад

    🤔

  • @user-xd9kw6nt8w
    @user-xd9kw6nt8w Месяц назад

    Baba hapo tutapona yaani Kuna wazee wetu wameandishwa lakini hawajawahi pewa hizo pesa mpaka wengine wamekufa

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад

    Ndio maana nataka kumpa makonda uwaziri mkuu anapiga kazi sn

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад

    Ufuatiliaji alifanya magufuli ikafanya watu wakaiogopa pesa ya uma.utashanga chadema wanakuja kuponda kazi nzuri ka hii .wajinga sana

  • @abuumaryam185
    @abuumaryam185 Месяц назад

    tasafu wanapiga hela viongozi wa taasisi hiyo wazee wangu wanaishiaga kuandikwa majina tu

  • @HashimuAbubakar-ej8gc
    @HashimuAbubakar-ej8gc Месяц назад

    Kaka iyo kazi ningumu peke Yako utaweza nchi ngumu sana hata jpm alikemea rushwa lakini alishindwa kaka makonda nakuomba uwe mpole mengine yatazame uyaache kama yalivyo