NGUVU YA MAPENZI ❤️ Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 264

  • @violetmakokha2529
    @violetmakokha2529 Год назад +17

    Kelvine , tafadhali nakuomba, mkianzisha series yoyote, hakukisha mmeimaliza hadi series ya mwisho. Hata kama itachukuwa miezi kadha, hakikisha mmemaliza kabla ya kuzindua ingine. Kila wakati mnatuwacha mataani pasipo kujua lipi lingetokea mwisho wa series.
    Mkizingatia haya mtakuwa na followers wengi saana.
    Na kama ni lazima mtoe series baadaya ingine, ni vyema ikuwe ya mda mrefu kama masaa mawili au moja.
    Thanks, much love from kenya.

  • @AshaMalekela-o7t
    @AshaMalekela-o7t 10 месяцев назад +8

    Jaman Kam mtu mzur tump mauwa yk❤❤❤❤❤ loveness mzur

  • @MsabaaMwenebokyo
    @MsabaaMwenebokyo Год назад +6

    Kelvin Congrats Kwa kazi mnayofanya ila ushauri wangu ni kwamba mnatoa movies nyingi Kwa mkupuo pasipo kumalizia ,mnatuchanganya sisi watazamaji wenu ,we appreciate your job from 🇺🇸

  • @wilfredroberttv841
    @wilfredroberttv841 Год назад +12

    Ila loveness ana sauti nzuri 😊

  • @sophiegedo9338
    @sophiegedo9338 6 месяцев назад +5

    Loveness congratulation unasauti nzzuri sana ❤❤❤❤ and mnapendezana sana na kelvin kama n wapenzi mmechaguana mnapendezana sanaaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤

  • @Aswan-f8r
    @Aswan-f8r 8 месяцев назад +3

    Much love from Kenya guys like back❤

  • @VivianAshby
    @VivianAshby Год назад +5

    pogezi sana sana kutoka kenya alf penzi la dada wa kazi banaa tunagonja tangu jana maze tunaboeka

  • @NoelaKk
    @NoelaKk 6 месяцев назад +2

    Dont'a tv mbona mnatoa Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jacklineminja-fg9ji
    @jacklineminja-fg9ji Год назад +60

    Donta tv mbona mnatoa movie nyingi lakin hamzimalizi mnaacha vipande vipande mara muishie episode hii msiendelee kwann mnatufanyia hivyo kama penzi la dada wa kazi, binti malaya, na nyingine nyingi tu hamzipeleki mwisho vp

    • @alhabib9874
      @alhabib9874 Год назад +2

      yaan wanaboa kweli cjuw manegment mbovu au vipi maana kuna ile ZALI LAMENTALI hawajaimaliza wanarukia nyngne

    • @fandbproduction4551
      @fandbproduction4551 Год назад

      Ukweli mnatuchanganya hatuelewi tunafata ipi

    • @Dontafamily
      @Dontafamily  Год назад +8

      Movie gani ambayo aijaisha?

    • @JudithGeorge-mw7fe
      @JudithGeorge-mw7fe Год назад +2

      @@Dontafamily penzi la dada wa kazi mmemalizaaa mbn mbachanganya mambo nyie

    • @JacklineMutiso-bb5ef
      @JacklineMutiso-bb5ef Год назад +1

      ​penzi la dada WA kazi

  • @reginaemilian
    @reginaemilian 8 месяцев назад +2

    Kaz nzur sana donta tv❤❤

  • @ShebeShey
    @ShebeShey 9 месяцев назад +2

    Lavness ❤❤❤. Unasauti. Nzuriukomuzuri❤❤❤

  • @mubarakkassimu
    @mubarakkassimu 8 месяцев назад +2

    Jaman eeh pia waendeleze ( kesho yangu)

  • @DonaldZacharia-ql9vt
    @DonaldZacharia-ql9vt 8 месяцев назад +2

    Kazi nzuri kwa camera man ila wahuska wa movies malzien vipande sio kuishia njian

  • @HappyCorgi-ep1uy
    @HappyCorgi-ep1uy 8 месяцев назад +2

    Love nes jamn nikupe maua yako ww nakev jamn nataka yakipofu mtengeneze namipenda

  • @HarunaHamisi-w1l
    @HarunaHamisi-w1l 10 месяцев назад +2

    Ndug hongereni kwakaz zenu nzuli ila jitaidini mmaliz episod mana mnaigiz zakuelimisha sana ila mwisho wake unashindwa kuelewa malizia hiyo kesho yang mana ayo maisha pindi nafika dar nimeyapitia paka najitegemea ko napona iyo movie nawaza mbal sana nawakubal sana

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Год назад +4

    Wow kumekucha kumbe 😂😂😂😂😂 brown wachapa wa2 kama mbuzi zimeingia shamban vile daaah

  • @JudithGeorge-mw7fe
    @JudithGeorge-mw7fe Год назад +5

    Tunawapenda Sana lakn jitahidin mfike mwisho

  • @ZamoyonNelson
    @ZamoyonNelson 6 месяцев назад +1

    mwendelezo wa siku moja kabla ya ndoa kazi zenu sana

  • @liberatusmahinja1705
    @liberatusmahinja1705 7 месяцев назад +2

    Love unajua kuigiza

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 2 месяца назад

    ❤ness mbna kwa movie zako nyingi sijakuona ukimnyenyekea kelvin kwa penzi lako kama hao wanaume wengne unavyowaonyesha na ww ushapendezana na kelvin kabsa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @JustinaMumbua-j2k
    @JustinaMumbua-j2k Год назад +2

    Dah loveness kudekaaa anajua nambari1 asanteni 👏

  • @JamesHakizimana-d9w
    @JamesHakizimana-d9w 9 месяцев назад +2

    Hiiii huu loveness ana sauti nzuli kabisa

  • @DonaldZacharia-ql9vt
    @DonaldZacharia-ql9vt 8 месяцев назад +2

    Loveness hongera pia

  • @g-zoman1081
    @g-zoman1081 3 месяца назад

    Vrt mnatuchanganya sna Donta tv movie zik nying mpunguz ten muw mnazimaliz,mko mnatuach njian vrt......✍😏

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 Год назад +5

    Brouwn punguza makali.❤❤❤ from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Family-i2d
    @Family-i2d Год назад +2

    Much love ♥️♥️💗💗 but niulize penzi wa dada w kazi iliesha hivyo

  • @Lawala-m3c
    @Lawala-m3c 9 месяцев назад +1

    Brawn wew punguza ukali Yani kila movie unacheza kiubabeubabe tuu hujui kucheza wewe mkali mno

  • @BenjaminiMwasongela
    @BenjaminiMwasongela 3 месяца назад

    Movie zenu twazifatiria sana ukwel ninying ila uwa amumaliz kwann

  • @Isaiahmukhwana
    @Isaiahmukhwana 7 месяцев назад +2

    hongera

  • @WitnessMkolongo-x9w
    @WitnessMkolongo-x9w Год назад +3

    Fonts nimeipenda iyo PENZI LAJILANI

  • @StellahAkyoo
    @StellahAkyoo 8 месяцев назад +2

    Am your follower

  • @Is-haqaElsuda
    @Is-haqaElsuda Год назад +2

    Huyu dada kwakutongoz wanaume hajambo😂😂😂🤣🤣

  • @JackMasai
    @JackMasai Год назад +2

    Nimemkubali dada love nes🎉🎉

  • @OshinaMollel
    @OshinaMollel Год назад +2

    Anayesema usinifananishe na wao yeye si kiongozi wao

  • @Bukuruzeno-zq5ut
    @Bukuruzeno-zq5ut 9 месяцев назад +1

    From Burundi we lov'u❤❤❤❤

  • @thabitharange-vz2ru
    @thabitharange-vz2ru Год назад +6

    Wow 🎉🎉 tuko pamoja 😂 brwo eti una rangi ngapi 😂.Kalove leo kapoleee😂

  • @JamesBernard-jv5jp
    @JamesBernard-jv5jp 11 месяцев назад +2

    Loveness apewe mauwa take nice

  • @maryd1538
    @maryd1538 Год назад +3

    Kwan penz l dada w kaz imeisha❤❤❤all

  • @johaali9959
    @johaali9959 Год назад +3

    Love punguza mapozi shog unajiharibia akaa

  • @ugenny125
    @ugenny125 Год назад +3

    Oy wakwnz mim weken like hap brown Kwa lovenessy unakomaaga Jap kanakutxaga hakikxh anakap spako za maana

  • @saidsoudally4163
    @saidsoudally4163 Год назад +3

    Ww loveness ni mzur sna ❤

  • @MzunguJulius
    @MzunguJulius Год назад +2

    Napenda kz enu hasa penz la dd wa kz

  • @ShazChem
    @ShazChem 2 месяца назад

    Moyo wa kuvunjika kwake Nelson...😅😅😅😅am dying 😂😂😂❤❤Loveness

  • @verohshayo703
    @verohshayo703 Год назад +13

    Jaman penzi la dada wa kazi ndo imeisha😢😢😢😢

    • @vivianrobert2276
      @vivianrobert2276 Год назад +1

      Mm pia na shidwa kuelwa man ilikuwa mwaaaaa❤❤

    • @mobastian5050
      @mobastian5050 Год назад

      Leo watatuma 3❤❤ nazisubri hapa

    • @chimamyjey1479
      @chimamyjey1479 Год назад

      Iliisha jamnn Ni vile tu labda hamkufatilia vizuri,iliisha pale wakaombana msamaha Tina,Kelvin na Vick mpk akaambiwa atapewa pesa za mtaji,loveness naye kawa chizi,mjombake Tina jela.

    • @StellahAkyoo
      @StellahAkyoo 8 месяцев назад

      Ilikuaa tamuu hatr

  • @MZEEWAUTANICOMEDIAN
    @MZEEWAUTANICOMEDIAN Год назад +2

    Hii ni nzuri imekaa sawa

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад +2

    Mmbea kaonaa kaenda kusemaaa sasa utakomaa loveness 😅😅😅

  • @Sabinambithekioko
    @Sabinambithekioko Год назад +2

    Wow very very nice ..❤❤❤❤

  • @richardmahoma8425
    @richardmahoma8425 11 месяцев назад +2

    Napenda xana love unavyo ongea

  • @Tommbayeye1
    @Tommbayeye1 Год назад +2

    Penzi la dada wa kazi kwani ndo mwisho jmn waah

  • @wemakorogwe6900
    @wemakorogwe6900 Год назад +4

    Penzi la dada wa kazi vp kelvn

  • @Yangabingwaofficial
    @Yangabingwaofficial Год назад +1

    We loveness mtoto una balaa sana hayo macho jmn

  • @ZamoyonNelson
    @ZamoyonNelson 6 месяцев назад

    mnapaswa kupewa maua yenu🎉fanyeni chapu tunasubili kazi zenu jaman

  • @FarajaSikawa-iz2mu
    @FarajaSikawa-iz2mu Год назад +2

    Ahaaa tuache utani loveness nimzuri jamn ❤❤❤❤

  • @OubwaMohamed
    @OubwaMohamed 3 месяца назад +1

    Kweli wala siongo wanatowa vipande vipande wanaboha hawa

  • @ngelefidele6134
    @ngelefidele6134 Год назад +4

    Need the next episode of penzi la dada wakazi

  • @DoliceAdam
    @DoliceAdam 10 месяцев назад +2

    Jamani nampenda love

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 10 месяцев назад

    Loveness ww na hiyo sauti yako ya huruma ww🤣🤣🤣

  • @AminaNgumba
    @AminaNgumba 2 месяца назад

    Yaan loveness humu sauti kaizidish bhn mhhhhh

  • @chidzodunda
    @chidzodunda Год назад +3

    Kazi nzuri jamani❤❤❤❤

  • @jacksonmayemba2950
    @jacksonmayemba2950 Год назад +2

    Huyu loveness anabana sana sauti mpaka anaboa yaaan

  • @Eunicekasupuu
    @Eunicekasupuu Год назад +5

    Tafadhali mnipe likes ZA nelly❤❤

  • @EstaDaffi-wg5cr
    @EstaDaffi-wg5cr 4 месяца назад

    Ila brwn un macho mazuri madg

  • @MwajumaYahya-g7i
    @MwajumaYahya-g7i 4 месяца назад

    Mbona mnatuzingua ivo jamn penz la dada wakaz tutoleen jmn

  • @AbdulazizShemweta
    @AbdulazizShemweta Год назад +1

    Loveness nicheki nakukubali sana

  • @ZubedaShaban-fb2dl
    @ZubedaShaban-fb2dl 5 месяцев назад

    Mnakera move zenu hamzimalizii

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 5 месяцев назад

    Broun akuna mapenzi ya nguvu bhna loveness hakupendi😂

  • @rebecamasengeka
    @rebecamasengeka Год назад

    Naombeni muwemnamalizia movie❤

  • @LevinaMacha
    @LevinaMacha 2 месяца назад

    Shanaiza sura kama yangu kabisa😅😅😅😅

  • @AyoubMohd-t8q
    @AyoubMohd-t8q 11 месяцев назад

    Kwnn msifanye moja Hadi iishe Alf mfanye nyingine mna mnatuzinguwa tunafatilia move Zaid ya5 zote hazijafika mwisho

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 Год назад +2

    Loveness nae na mapenzi nipe nafasi mwezio khaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂haya mapenzi shikamoooo .nel nipe nafasi basi 😁😁😁😁😁😁😁mm nakupenda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Lakini kwa brown pambana utauliwa 😊😊😊😂😂😂😂😂

  • @AminnaSaidy
    @AminnaSaidy Месяц назад

    Kelvin mm bado nasubiria kesho yangu jaman

  • @IsaacKarakach
    @IsaacKarakach 5 месяцев назад

    Nawapenda sana from Kenya 🇰🇪

  • @AishaJuma-ce9tk
    @AishaJuma-ce9tk 3 месяца назад

    Kelvin ira wewe ni ensam ❤❤❤❤❤❤❤

  • @rafaelamrosso262
    @rafaelamrosso262 10 месяцев назад

    huyu loveness huy mh kibok yaan mim nikukute uko kam hvy uniambie weee😅😅

  • @JoanMponda
    @JoanMponda Год назад +1

    Uyu love nae analegeza sana sauti khaaa🥵

    • @zagarinojo4227
      @zagarinojo4227 Год назад

      Yaani kwel hadi inakuwa kama sio reality..ina boa

  • @ntacobazongira4557
    @ntacobazongira4557 Год назад +1

    Vp jamn penz ladada wakazi limeisha 😢😢😢

  • @EricLushekanya-zy8gt
    @EricLushekanya-zy8gt 10 месяцев назад

    Lavunesi nampenda sanaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @samwelishayo2922
    @samwelishayo2922 Год назад +1

    We loveness mxuri san wew

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Год назад +2

    Wa saba nimewahi ❤

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад +1

    Mnyabii kavunga kiainaaaa😅

  • @ayoubucharles4149
    @ayoubucharles4149 Год назад +6

    🎉🎉🎉loveeeee kweli lovenes 💞💞💞💕💕💞

  • @mwanatumu7012
    @mwanatumu7012 Год назад +2

    Nyie niulize penzi la dada wa kazi limeisha ama ju cielewi mie

  • @NuriaPeter-lk9lu
    @NuriaPeter-lk9lu 11 месяцев назад

    Jamani. House boy episode ya 22 turushieni

  • @official_c21
    @official_c21 11 месяцев назад

    JAMAA ANA MIKWARA HUYU😅😅😅😅

  • @AnifaBwantumu
    @AnifaBwantumu 5 месяцев назад

    Nampenda loveness jamen

  • @officialkangondejuniormusi728
    @officialkangondejuniormusi728 7 месяцев назад

    Tunaomba mfanye kama wrong house boss mchawi

  • @ammytheboy3098
    @ammytheboy3098 Год назад

    Malizien series mnayoanzisha ndo muanze nyingine mnatuboa wafutiliaji wenu

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه Год назад

    Simba brown😂😂😂Nelly jitenge😅

  • @AbuuabdulrahmaanAssalafiy
    @AbuuabdulrahmaanAssalafiy 10 месяцев назад

    lovenees hiyo sauti 😢😢😢😢😢😢

  • @MartnSalim
    @MartnSalim Год назад

    Eeeh jaman kwan penzi la dada wa kazi ndio imeisha

  • @OmaryJafary-j8f
    @OmaryJafary-j8f 11 месяцев назад

    Kelvin badilisha Kila siku movie za mapenzi

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад

    Shida loveness 😅😅jichoo linanichanganyaaaa😅😅😅😅

  • @FavourGrunt
    @FavourGrunt 10 месяцев назад

    Nikweli lovens nimzur sanaaaaaa

  • @nadiamugisha2913
    @nadiamugisha2913 Год назад

    Jamani mi nareclama penzi la dada sa kazı nimeimisi sana

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti Год назад +2

    Good job 👍🔥

  • @IsmailBakari-g1n
    @IsmailBakari-g1n 10 месяцев назад +2

    Jaman endelezen tamthiria ya kijanja muuza maji love story kanikosha kipande chameisho icho

  • @LeydFahid
    @LeydFahid 10 месяцев назад

    Kweli mumalize sílit munatukosesha uhondo

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Год назад +1

    Ozorieee osiseee😅😅😅😅😅

  • @JanvierKathengya
    @JanvierKathengya 3 месяца назад

    Movi nizengi lakini Badn haziishii kwa Nini jamen

  • @NeemaPaul-lv5sk
    @NeemaPaul-lv5sk Год назад +3

    Woooooooo wapil Leo jmn