PENZI LA KIJANA MLEMAVU 💔😭 Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 276

  • @ClaraMunisi
    @ClaraMunisi 10 месяцев назад +3

    Loveness nakupenda wajina unaplay part vyema ya Hilo jina. Daaah aki vile donta TV wameniloga Kelvin na loveness guys wanaplay original character ya hayo majina.🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️

  • @mwamzikazimoto
    @mwamzikazimoto Год назад +10

    Mshikaji kaigiza kwahisia sana ameweza kinoma

  • @verohshayo703
    @verohshayo703 Год назад +43

    Oyoooo leo mekuwa wa kwanza🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️🥰Nawapenda jamaniiii

  • @francEspoir-xs6nt
    @francEspoir-xs6nt 8 месяцев назад +1

    Maisha nimagumu😮 Asante waigizaji muendeleye mbele kwaiyi kazi munayo ifanya.

  • @Damacline4004
    @Damacline4004 Год назад +6

    Nampenda sana dada loveness upo vizuri...ila hongereni sana nyote walio shiriki....nawapenda from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤗

  • @kinyuakitaka2408
    @kinyuakitaka2408 Год назад +4

    Pole brown from kenya shabiki wenu

  • @JemesPeter
    @JemesPeter Год назад +2

    Love ness nakupenda sana Mimi mtanzania Niko Uganda nakufatiria sana cinema zako nzuri sana zinafundisha sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @linetkhaemba1029
    @linetkhaemba1029 Год назад +8

    Wa kwanza watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @SarahJulius-qe9nj
    @SarahJulius-qe9nj Год назад +1

    Loveness nakupenda sana chikia maua yako kipenzi❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️

  • @denique438
    @denique438 Год назад +2

    Hi scen umewez Brown daah ongera umenitia huzunii Sanaa nimelia sanaaaa

  • @MwanaSelemani-w6u
    @MwanaSelemani-w6u Год назад +4

    Yan move zenu ni nzur sana❤❤❤🎉🎉

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 Год назад +4

    Ongeren kw kaz yenu jmn❤❤❤much love frm 🇰🇪🇰🇪 Alfu naulizaje wana donta tv,Maua na Wembe wako wapi😢

  • @maryatieno7590
    @maryatieno7590 Год назад +2

    Pongesi kwa mwimbaji,ilove your music❤❤so much❤❤❤❤❤🙏🙏

  • @MwarafiaAbdi
    @MwarafiaAbdi Год назад

    Kazi nzuri stori inafundisha mtunzi namuandaji na wasabi wote maua🎉🎉🎉🎉🎉

  • @PurityShey
    @PurityShey Год назад +2

    Hongereni sana walioshiriki kwenye show hii my kenyan people much ❤❤❤❤❤❤❤To you all guyzzz

  • @asmoretune
    @asmoretune Год назад +2

    dakika ya 10 sekunde ya 36 dada amejisahau kidogo, amesahau kama hajuan na brown lakn amemtaja jina lake brown kwaio kajisahu kidogo but nampenda sauti yake sana anakosha mioyo ya wengi natumain hakoseag much love for DONTA TV🌹🌍. nawapenda @asmore tone musician new generation

    • @asmoretune
      @asmoretune Год назад +1

      loveness nampenda kwakweli am from tz✌️

  • @lucialaizer5572
    @lucialaizer5572 Год назад

    Big up sana team Kelvin mnazidi kutufunza mengiiiiii I wish more success and blessings ❤❤❤❤❤❤

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 3 месяца назад

    Brown pole kwa ajali ila loveness napenda sana kuwa na msimamo huohuo kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula Год назад +1

    Pole brown Kwa Yale umepitia. Dada Agnes heko endelea kuwa na hiyo roho safi ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @IsaacIlunga-n5q
    @IsaacIlunga-n5q Год назад

    ❤❤❤❤ Junior mwechimiwa c'est toujours dans la lignée

  • @YohanaMalecka-kl8kz
    @YohanaMalecka-kl8kz 9 месяцев назад +3

    Kiukweli kabisa jomon Loveness ni karembo sana

  • @RaheemaOmani
    @RaheemaOmani 4 месяца назад +1

    Movie ni nzuri sana nime ipenda

  • @clariszawadi2010
    @clariszawadi2010 Год назад

    Woow kazi yenu nzuri sana, Donta TV family,loveness be blessed darling ❤️❤️🙏🙏, napenda roho yako ya upendo,

  • @AshoreAa
    @AshoreAa 4 месяца назад +1

    Lavnes yupo vzr sana Kelvin huyo.kwenye kazi yako asikosekane

  • @fatmajilo1513
    @fatmajilo1513 Год назад

    Woow movie nzuri sana,nainjoi nikiwa saudi afu na hicho kiwimbo mashallah ila tina❤❤❤

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt 4 месяца назад

    Pole sana brown na kazi nzuri kwaloveness.tina na wewe iyo kazi yakutomboka unaijua kbs ongera sana Wana Donta tv🎉🎉🎉🎉

  • @hannan2793
    @hannan2793 Год назад +2

    Umeweza vizuri kabisa...ila vaeni mavazi ya heshima mtaendelea vizuri...from kenya 🇰🇪 ♥

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 Год назад

      Kwer kbs ma2mbo wazi jmn 2muogope Mungu pia

  • @godwinJohnSila-v7d
    @godwinJohnSila-v7d 5 месяцев назад +1

    Endelea na moyo uouo love uko very smart❤👍🇹🇿 but malizien bas (mtoto was boss please) thanks you

  • @JohnKadzitu-ut2sj
    @JohnKadzitu-ut2sj Год назад +1

    From kenya. Lovenes ukomakini Sana mrembo hongra

  • @JumanneSalum-ql4gu
    @JumanneSalum-ql4gu Год назад +2

    Jina la nyimbo jamani

  • @FelixOnkundi
    @FelixOnkundi 9 месяцев назад

    mim loveness nakupenda ♥️♥️♥️♥️ Sana mi mkenya Niko rondwa nafuatilia Sana move zako sinafundisha kwa kweli

  • @AmiduHassani
    @AmiduHassani 6 месяцев назад +1

    Loveness nzuri sanaa big up for you

  • @hashimuomary4569
    @hashimuomary4569 5 месяцев назад

    Ila mmetudanganya love kamjuaje brown anaitwa hv wakat hamjui jina na hakuambiwa but mnatupa burudan donta tv respect

  • @EnnyEnimon
    @EnnyEnimon Год назад

    Nawapenda sana BT so sadness movie God bless you young sister

  • @TitoMaiko
    @TitoMaiko Год назад

    Aloooo kama huyo dada anaroho Hy hy alooo nimke ila nguo kidog zinatukwaza sisi mashabik😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti Год назад +1

    Move nzur sana WY haina part two🔥🔥🔥

  • @RamadhaniNdayizigiye
    @RamadhaniNdayizigiye 2 месяца назад

    Loveness nakukubali una kipaji unajua ku act sana.

  • @Cathypardon
    @Cathypardon 11 месяцев назад +1

    Najifuxa mengi sana jaman

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 Год назад +2

    Movie nzur xnaa big up brown ❤❤❤❤ much love guys ❤❤❤

  • @DianaRumbanisa
    @DianaRumbanisa 5 месяцев назад

    Brown umecheza vzr mnoo axee big up xan brown

  • @ZynabZynab-b7m
    @ZynabZynab-b7m 2 месяца назад

    Dada loveness upo vizur nimependa kazi zako

  • @JESCANECY
    @JESCANECY 3 месяца назад

    Kiukweli love ness unamoyo nakupenda sana love

  • @VelandaMgaya-cb6dq
    @VelandaMgaya-cb6dq Год назад

    Dada loveness ww mzuri ila jitahidi sana magazine mailing unaonyesha sasa mdogo wangu

  • @MuyamaPenina
    @MuyamaPenina Год назад

    Yeah from Kenya l love 💟💟💟💟

  • @noorakoom1687
    @noorakoom1687 Год назад +1

    We dada nimekupenda kwa kazi yako ❤❤❤❤

  • @hellenachieng3896
    @hellenachieng3896 Год назад

    Moja kwa kumi wenye roho safi kama huyu dada Agnes, Much love❤

  • @samuelyanosammypower
    @samuelyanosammypower 3 месяца назад

    Niko nanyi bega kwabega kutoka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @RaheemaOmani
    @RaheemaOmani 4 месяца назад

    Loveness we ni nzuri nakupenda sana

  • @ElogeMuhindo
    @ElogeMuhindo Год назад

    😢naliya sana vraiment hâta mi mwenye Nili pitiya Yale hali Ila tu kitu moja ambaee n'a endeleleya kumshukuru mungu wazazi Wangu wali kuwa wako haii kwaiyi duniya , Nili pona wali ni tukana pahalii pote Nili po pipata wali ne tema mate me mungu Aka ni shindaniya n'a nika pona Léo Ila kwaiyi duniya kilitsho kuwa n'a mwanzo lazma kiwe n'a mwisho pôle Sana ndugu yangu aksante sana dada yangu😢

  • @Millium-n6q
    @Millium-n6q Год назад

    Loveness nakupenda sanaa dada ang ❤❤❤❤❤❤❤

  • @jumaaabdillahi4534
    @jumaaabdillahi4534 4 месяца назад

    Lovenes kazi nzuri ❤

  • @PrudentRwango
    @PrudentRwango 2 месяца назад +1

    Courage kk brown

  • @faithnyambura-fo7fm
    @faithnyambura-fo7fm Год назад +2

    Sadness movie😢😢 God bless you sister❤

  • @YOHANAEKONON
    @YOHANAEKONON Год назад

    It teach a lot continue with that spirit 🙏🙏🙏

  • @kinyuakitaka2408
    @kinyuakitaka2408 Год назад

    Hajapenda kuwa Ivo ni maumbile yke mwenyezi mungu

  • @swabramakota7379
    @swabramakota7379 2 месяца назад

    Loveness kwenye nakupenda sana ila kwenye hii movie mavazi yako sijayapenda

  • @MbaroukAbdalla-f6r
    @MbaroukAbdalla-f6r 5 месяцев назад

    Mm nipo msumbiji ni mtanzania nawakubali sana kwenye kazi zenu

  • @sawasuleimanmwambungo9706
    @sawasuleimanmwambungo9706 2 месяца назад

    Hawa wzri sna wkiwa bila makeup ❤❤❤❤❤❤❤

  • @makkamakka9171
    @makkamakka9171 Год назад +1

    We da Tinna kwann usiombe na ww cku moja uigize ukiwa mpole utakuwa na mdomo hadi really life kwa mme wako😂😂😂😂😂😂😂

    • @joycesamwely7896
      @joycesamwely7896 Год назад

      SI kweli liama Aly unafaham pigo zake ila uhalisia wake unaufaham?

  • @SarahTsuma-w3v
    @SarahTsuma-w3v Год назад +1

    Pole kakangu mungu Yuko pamoja nawe

  • @PhilomenaKangalawe
    @PhilomenaKangalawe Год назад +4

    Lovenes pungua nguo za wazi sana

    • @LucyMashange
      @LucyMashange Год назад

      Kwel lovenes anavaa nguo za wazi Sana

  • @karisa-qp9cg
    @karisa-qp9cg Год назад

    hii vdeo iko poa xn ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @marcelefungo-yc6zr
    @marcelefungo-yc6zr Год назад

    Movie nzuri sana ❤❤❤

  • @KamuleteKashindi
    @KamuleteKashindi Год назад

    Hmmmmmmm picha kali kwakweli😢😂😅

  • @sheilaabdallah-x2e
    @sheilaabdallah-x2e 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ na wapenda wote

  • @philisterzawadicharo4495
    @philisterzawadicharo4495 Год назад +2

    Lovenes unakaa uko beautiful

  • @Brianmari17
    @Brianmari17 11 месяцев назад

    Wee Tina washable roho mbaya😂😅

  • @YasirBoy-u7n
    @YasirBoy-u7n Год назад

    Uwovimbo waitwaje ❤❤❤ love wimbo mzuli sana

  • @Noella-p5u
    @Noella-p5u Год назад +1

    Naapenda san I'm from Burundi ❤❤❤

  • @Wanyona-e4y
    @Wanyona-e4y 9 месяцев назад +1

    Loveness nakupenda bure

  • @Mummyr_j
    @Mummyr_j Год назад

    Jamani nmelia tokea mwanzo😢Big up donta❤❤❤❤

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 10 месяцев назад

    Kafupi ila 🔥🔥🔥🔥

  • @MubaMudi
    @MubaMudi Год назад

    Hahahh huyo daa tina anaongea mpaka mm ninae angalia namuogopa

  • @Reyss-r8w
    @Reyss-r8w Год назад

    Ongeleni sanaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NdanuValeria-bu1xr
    @NdanuValeria-bu1xr Год назад

    Pole sana Kayangu know that mungu ako pamoja nawewe dear

  • @mbwilojenipha8741
    @mbwilojenipha8741 Год назад

    ❤❤❤❤ Vile napenda mov zen

  • @JackyMokii
    @JackyMokii 5 месяцев назад

    Love ness kuja Kenya utoke tz

  • @GWABZYMC
    @GWABZYMC Год назад

    Lavuns dada ❤yup jisitr nyele mvi ikosawa

  • @stellahwabibi9072
    @stellahwabibi9072 Год назад

    Mmetisha🔥🔥🔥

  • @denique438
    @denique438 Год назад

    Umetishaa Sanaa aseee Brown mpk nimelia daaah😢

  • @Hawa-j9t
    @Hawa-j9t Год назад +1

    ❤from kenya chukueni maua yenu💐

  • @FatumaBakari-c4m
    @FatumaBakari-c4m 7 месяцев назад

    Congratulations wana donta Tv❤❤❤

  • @JosephMlacha-h4b
    @JosephMlacha-h4b Год назад

    much love your movie nimependa sana loveness anavomjali brown

  • @tommyevans-l9g
    @tommyevans-l9g Год назад

    Eee mungu mponye huyo my brother

  • @RigobertFurahisha
    @RigobertFurahisha 9 месяцев назад

    Ongereni San wote mulio shiriki mawakubali san

  • @MbaroukAbdalla-f6r
    @MbaroukAbdalla-f6r 5 месяцев назад

    Hongera sana brarawnn

  • @KhanKhan-q7d9c
    @KhanKhan-q7d9c Год назад

    Hongereni sna

  • @josemaxwelltheeactor2726
    @josemaxwelltheeactor2726 Год назад

    Tupeni next part oyeee

  • @maryd1538
    @maryd1538 Год назад

    Big up donta tv familly❤❤❤ from kenya

  • @SaudatyAbdallah-g5y
    @SaudatyAbdallah-g5y 4 месяца назад

    Nakupeda sana loveness saa

  • @عاملهمنزليه-ي8ض
    @عاملهمنزليه-ي8ض Год назад

    Aky movie zenu ziko poa san ❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @WasiKakule-r3x
    @WasiKakule-r3x 3 месяца назад

    Hoooooo ongera sana

  • @MariamHasani-n1t
    @MariamHasani-n1t 3 месяца назад

    Kutoka Kenya Moore safi sana'

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 месяца назад

    Loveness hongera una roho ya huruma kumsaidia Brown kwa Brown ako mlemavu sio mapezi yke

  • @chepchumbamelody2760
    @chepchumbamelody2760 2 месяца назад

    Congratulations 👏👏

  • @DE_AIRAM_DOLLAR_FILMS.
    @DE_AIRAM_DOLLAR_FILMS. Год назад

    Kijana brown Big up kak❤❤❤

  • @TEONESTKACHIRA
    @TEONESTKACHIRA Год назад

    Tumuombe Mungu kwa kila jambo hakuna anayependa ulemavu mushukuru Mungu

  • @NdayishimiyeEstella-u8j
    @NdayishimiyeEstella-u8j Год назад

    ❤❤❤❤❤❤❤ pole sana

  • @SebastianJumanne
    @SebastianJumanne Год назад

    Nainjoi Sana ndugu zangu asanten

  • @LENSONBaraka
    @LENSONBaraka Год назад

    Napenda pia