AUNTY EZEKIEL afunguka kuwa ni MJAMZITO wa miezi 6, asema atamzalia KUSAH ata watoto 6 bila NDOA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2025

Комментарии • 58

  • @G.S985
    @G.S985 Месяц назад +15

    Aunt alikua na mapenzi ya dhati tangu awali ila alukua alishamkosa wakufanana nae.Hongera Kusah kumfurahisha Aunt wetu❤

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 Месяц назад +9

    Kiukweli anty nimzuri tena natural ❤❤

  • @tibamohamed3952
    @tibamohamed3952 Месяц назад +33

    Aunty ni mwanamke na nusu wakat anamzaa Nono kusah alikua na maishaa magumu sana lakin alikua pamoja naye asilimia mia Saizi mwachen ale matunda yake Zaa mama Kwa Raha zako❤

    • @NeemaMasala-o7c
      @NeemaMasala-o7c Месяц назад +4

      Kusah alikuambia alikua chini? Au naye ni mumeo

    • @GiftAbduly
      @GiftAbduly Месяц назад

      ​@@NeemaMasala-o7calisema

    • @ditaely7309
      @ditaely7309 Месяц назад +1

      @@NeemaMasala-o7c😂😂😂😂😂😂

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Месяц назад +2

      ​@@NeemaMasala-o7c😂😂😂😂😂 swali zuri

    • @Sara-gn6kr
      @Sara-gn6kr Месяц назад +1

      😂😂😂😂​@@NeemaMasala-o7c

  • @FatmaAlly-w7p
    @FatmaAlly-w7p Месяц назад +12

    Me nawapenda kusah na aunt na mtakuwa na maisha Zaid mazur Insha'Allah

  • @navokisembo
    @navokisembo Месяц назад +4

    Hongera saana mama K. Ongezaa tuu dear Mungu amekupa kizazi kuna wanaolilia hii nafasi ya uzazi. Za nitakutumia diapers for sure. Mie mama wa ubatizo Aunt. ❤

  • @henriettenkuba3240
    @henriettenkuba3240 Месяц назад +5

    ❤❤❤❤aunty

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 Месяц назад +4

    hongera saana binti

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 Месяц назад +3

    Aunt 🎉❤

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt Месяц назад +3

    huyu ndio ameniconvis niwaze kuolewa na mwanaume wakipato kidogo naniampenda mungu atulinde

  • @JunioxJuniorsalva
    @JunioxJuniorsalva Месяц назад +3

    Hongera mamii

  • @ericanevar4538
    @ericanevar4538 Месяц назад +10

    Muhimu upendo

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 Месяц назад +2

    hapo kwa ZARI❤❤❤❤❤❤

  • @mariamKasembe
    @mariamKasembe Месяц назад

    ❤❤❤❤ ant

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 Месяц назад +7

    Katika mastaa wanajielewa waliokuwa astaa wazaman ni huyu dada

  • @umu-ul-kurthumhamad9500
    @umu-ul-kurthumhamad9500 Месяц назад +5

    Watoto NI wako mamaaa

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn Месяц назад +4

    Zari. Ni mfano wa kuigwa. Mungu amjalie na familia yake

  • @ElizabethGodwin-d3n
    @ElizabethGodwin-d3n Месяц назад +3

  • @ArianaTwinah
    @ArianaTwinah Месяц назад +2

    Garama ndogondgo,roshen na oil 1k, kuna akina ss roshen elf5 na mafuta ya nywele ya elf2,ahahaaa😂😂😂, ila aunt nakupendaga aswaaa shingo yako ya cheni,uish maisha marefu mamy

  • @AntoinetteKimbumnu
    @AntoinetteKimbumnu Месяц назад +2

    ❤❤

  • @LucyNgowi-r2o
    @LucyNgowi-r2o Месяц назад +4

    Safi ongeza watoto

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Месяц назад +4

    Nakupenda Aunty❤❤❤

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p Месяц назад +6

    Aunt ni mzuri kweli

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh Месяц назад +3

    Nampenda aunt mkweli mno❤❤

  • @Marzzzzzz20
    @Marzzzzzz20 Месяц назад +5

    Why would you say kipato cha familia yako lakini publicly 🤦🏾‍♀️

  • @Purity-l2v
    @Purity-l2v Месяц назад +2

    Mmmh ant atakuwa kashajifungua

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p Месяц назад +2

    Ndio kbs

  • @marrykigabimk
    @marrykigabimk Месяц назад

    Kwahiyo unampa range kwasababu asikukimbii😅😅😅😅😅😅😅

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 Месяц назад +2

    ❤❤❤❤❤

  • @lucymtuka3199
    @lucymtuka3199 Месяц назад +2

    Mwanamke unaejisimamia

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty Месяц назад

    Hauna mvuto hata kidogo unajiongopea mwenyewe. Vilevile mimi sishangai wakrsto wanazaaga bila ndowa kwa hiyo wewe kwako hiyo ni kawaida kuzini. Unaelezea uzinifu wako mbele ya jamii hata hofu ya MUNGU HUNA

  • @Naju645
    @Naju645 Месяц назад +6

    Kwan kuna ulazima upinge ulete namambo ya nyumba

  • @jescalutegonsombnambyakoda6719
    @jescalutegonsombnambyakoda6719 Месяц назад

    Km anapesw lkn ad
    Asomesh mwanae za nn sasa

  • @FatimaAo-r9p
    @FatimaAo-r9p Месяц назад +4

    Mnazaa tu bila ndoa ila kwa bongo kawaida

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g Месяц назад +1

      Wivu huoo😂😂😂😂 kwanin inakuuma

    • @vickymathew
      @vickymathew Месяц назад

      Ww wawapi kwani??? Unafanya nn hapa bongo??

    • @hawaramadhani6954
      @hawaramadhani6954 Месяц назад +1

      Ndoa ni majaliwa, acha hukumu huenda nae anatamani ila ndo hawezi kumlazimisha mtu kama unayonsema alhamdulillah achana na utaifa bongo,mara sijui wapi hakuna mahala pabora ila ni panapotumika kama sehemu ya ibada tu Kuna mataifa mengine watu wake kweli hawazai nje ya ndoa ila wanafanya mapenzi kinyume na maumbile na wengine kuikwepa mimba

    • @mapishiyetumazuri2312
      @mapishiyetumazuri2312 Месяц назад

      Nikweli ndo tabia zao ndowa hawapendi ndowa si wageowana tu yani nimtihani

    • @mapishiyetumazuri2312
      @mapishiyetumazuri2312 Месяц назад

      @@hawaramadhani6954 Nikweli ndowa nimajaliwa lakini wabogo wamezidi wanapenda zinaa ukweli ndio huwo na juwa etawauma

  • @WahidWahidRamdhan
    @WahidWahidRamdhan Месяц назад

    Kufanya uchafu tuu mufunge ndoa muszin bure muowan ndoo itapeendeza

  • @HawaAlly-b9d
    @HawaAlly-b9d Месяц назад +3

    Aunt bhana apindishi maneno Yani unanyoooka

  • @AgnesShonga
    @AgnesShonga Месяц назад +3

    Acha sifa kubali matokeo mume kakuzidi kiuwezo acha kushindana aunt

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g Месяц назад +1

      Najua wewe na kundi lako ndio wale mlikuwa mnamkejeli billnas kwa nandy ila bado wanaendelea vizuri sana, pole yako😂😂😂

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Месяц назад +3

    ❤❤❤❤❤❤

  • @ZuwenaIssa-di5yy
    @ZuwenaIssa-di5yy Месяц назад +3

    ❤❤❤