Subhana llah. Waja sote hatujakamilika na makosa ndio udhaifu wetu lkn tujitahidini kubakisha maneno kwenye swala laRizki mtoaji ni Mungu na Mola Kila mja humpa kwa wakti wake nakupenda aunt lkn kwakweli maneno uliyosema hanaya ungwana Allah atuheed tuwe wenye kuelewa(Amiin)
Aaliyah amependeza sana maashallah ckuiz anajitahidi kuvaa vzr sio km vile mwanzo v mini..alf anty ujafa ujaumbika chunga mdomo wako maisha yanabadilika
Ruby my young sister, usijibizane na hili kubwa jinga. Anamchokonoa Ruby ili apate majibizano. Akili zake ni tope! So Ruby nakushauri usijibizane, achana nae!!
Ndo maana nampenda zari ,alipoulizwa kuhusu mtoto wa hamisa alisema yy hana shida na mtoto na anachukulia km mtoto wake kwa sbb mtoto hana hatia,mjifunze kutoka kwa bosslady msiwe waropokaji sasa aunt Ezekiel unaongea upuuzi hivi daaa mungu akusaidie ujielewe
Uyo mwanamke ni fala kumamake anaona pesa ndio ktu zitaisha urudii mtaha rubi na kusa ndio wanaendana ww ni mzee kumandge ww pesa ya maziwa yakuhusu falaa sana
Hajaongea vizuri kabisa mwenyezi mungu ampe fahamu akatambue hajaongea poa .mtu amsaidie akaombe msamaha maana pigo litakalompata aunty utalia mama.Mbona mm nakuhurumia sasa
Ametajiwa mtoto wa Rubi kapanik mtu mzima kilapa mamae papa limezeeka unawakosea radhi mbwa ww unajiaibisha kugombea dudu hata kwa Yule wakwanza ulijimaliza atimae ukatemwa Rubi ndo alianza usione tamu mwezio kashaichezea Sana msenge we
Maneno yameniuma km nambiwa mimi khaah kwer wanawake cc ni nyokaaa ila aunty tambua mungu kibidu atakubidua kichwa chin miguu juu ,,,mungu utusaidie sie wamama tunaolewa watt wetu bila baba zao kwakwer tunakutan na mengi ni vile tu cc co super star
Jeuri bure mtu mzima hovyooo eti pesa anaomba kwa Babu tale... Rubby Mama angu Lea mwanao atakufaa badae acha kuomba Hela kwa watu my unajidhalilisha ona Sasa huyu shangazi inamaa pengine wewe umemuomba pesa Babu tale kwa Nia njema yeye ndio anakutangaza pole dear
Aunty Uzee ushakukuta bado unachezewa na vibenten. Huna jipya wewe alafu waongea kaambae we ndo mgawa Rizki vile. Usiseme ukamaliza Dunia duara hii na mtandao hausahau
Aunt huwa nakupenda sana ila umemkosea mpaka Mungu kwa maneno ya dharau kuwa makini Mungu sio mtu halafu hata huyo mwanaume hatafurahia kwani huyo ni mzazi mwenzie
Nakuelewa sn aunt always co mgomvi ila mtu akichezea sharubu zako humuachi salama. Rubby na mosse interview zao zote wakiulizwa kuhusu aunt na kusa basi wataponda vibaya So naona umechoka kumsafisha anaekuchafua. Good job,👍
Silence is a best answer mi nafikiri kila mmoja angekaa kimya akaendelea na yake Ruby amtolee maneno aliezaa nae aunt nae vle vle haina aja ya wao wanawake kuchukiana sbb sidhani kama aunt kamuiba au kumlazimisha kusah ni maamuzi ya moyo wake mwenyewe na moyo wa mtu haulazimishwi luby akubali tu matokeo japo moyo unauma aache kufatana fatana nao akijisikia kutukana amtukane alozaa nae adi siku hasira zake zitapoisha Inauma Ila ipo siku nayy atapata wa kumtuliza na aunt nae huwezi jua Leo anaweza kuwa nae Kesho pia wakaachana sbb yote matokeo na kila mmoja ana sababu
Wow 😳 ha ha haa mm sioni watu mpaniki no kawaida Sana Kwa wanawake ambao walisha date mwanaume mmoja kurushianama maneno hata Ruby na Mose wameongea shit Sana kuhusu aunt na kusah xo aunt nan mpaka anyamaze jmn hata anamoyo aunt mnyoshee huyo asikuzoee
Usione huyo kusa anakupenda nikwasababu unamlea kosa hela uone asiporudi kwa Ruby na nataka tu nikwambie wanaume wengi wa tanga wanapenda sana kitonga kwahiyo kuwa makini bibie mungu atakupa pigo moja tu ndo utajua huyo kusa alikuwa anakupenda au anapenda hela zako na kapata sehemu ya kulaza ubavu
Yan aunt unaongea kwa dharau kiasi hiko kisa mwanaume...huyuhuyu aliezaliwa na mwanamke ambae anaakili ya mwanamke kesho na keshokutwa atakudharirisha....bora ungetulia tu ucngejibu chochote mamy.....umekosea sanaaa!!!!!
Sasa hana rizki kwani ameshakufaaa kila kinachoishi mungu anakipa rizki hata sisimizi tena ujuwe rizki ya mtu ipo mikononi Kwa mtu upo tunategemeana wacha ujinga usimkosee mungu Kwa wivu wako mpuuzi kizee weye
Sikutegemea kama ungeongea ujinga kiasi hicho yaani kuomba maziwa tuu unamtangaza Sasa angeomba pesa ya kula ingekuwaje jamani wanadamu TUMUOGOPE MUNGU
Mm sioni shida rubby akiomba pesa ya maziwa juu kwa sababu alizaa nae na mtoto niwa kush na ruby kwaio sioni kama kuna shida sema2 uko na wivu ama useme lengine lakin ilo atukubaliani
Hivi hata aunty aoni amezeeka aache mambo za kisenge ruby pia alishawai kuwa favourite wa kusah hadi wakazaa so asijisahau sana kisa anamlea kusa ruby pia kuna siku atapata hela acha dharao
yaani aunt Fala sana wewe uchukie mchumba wa mwenzio alafu umseme vibaya loo haya unayo yafanya kumbuka umezaa una mtoto wa kike akiwa mkubwa yasimkute kumbe chanzo ni ww ongea kwa kiasi unamdhalilisha Ruby kuomba maziwa kunahusiana nini sasa akati maziwa ya mtoto na unajua
hujafa hujaumbika na riziki anayetoa n Mungu inawezekana yako imewahi ya mwenzio imechelewa na kuna kupata na kukosa umetumia jeuri sanaaaa jaman na kwa mtu mzima kama wewe duuuuh kweli akili sio umri ni hekima iliyoko kichwani kwako
Aunty kitambo ulivyokuwa na moza nlikuwa nakupenda na kukuheshimu bt kwahili la rubby nimekudharau sana nakuchukia mtu mzima ovyo usie jielewa waropokwa bila kufikiria lkn ujue mapenzi yana mwisho tafuta mwanaume mnae lingana umri wacha kupoteza watoto wa watu na kuwapotezea mda wajiita rahma na hujui ata kuswali
Haya majibu ya aunty sidhani Kama kusah yamempendeza japokuwa Yuko na aunty aunty kweli umejibu kwa jeuri kwa Ruby Hana ridhiki,, maisha Kuna kupanda na kushuka
Heee dada hiyo kauli uiitoa haifai kwa mwanamke alikamilika!! Alafu kumbuka Mungu hatoki kijjini kwenu🤔 ko usione ww kwa kusah umefika , nimejikuta roho unaniuma as unanijibu mm hayo majib!! Kwan wanaume asilimia kubwa wao ni onja onja ataona kwako panafaa cz hajakuchoka lakin Amin usiamin unaeza ona kwako kipo anachotaka kupiga Ila first is first my dear 🤫 chunga ulimi
Ruby is a full package,she is the power house,she is still young,she will go far,God is good all the time
Subhana llah. Waja sote hatujakamilika na makosa ndio udhaifu wetu lkn tujitahidini kubakisha maneno kwenye swala laRizki mtoaji ni Mungu na Mola Kila mja humpa kwa wakti wake nakupenda aunt lkn kwakweli maneno uliyosema hanaya ungwana Allah atuheed tuwe wenye kuelewa(Amiin)
Tena anasema hana rizki😥
Aunty chunga ulimi wako usione umefika kwa kusa haya ni maisha tu majibu ni mungu anatoa usizarau mbona majibu y fedhea
Yn anajiona kafika kweli kweli na wakat hii ni dunia twapita
🤔🤔🤔🤔
Yaan anajiona mjanja
Kusa mwenyewe anatembea na mdogowangu nimwana chuo anampenda Atari nasikia
@@youngbilioners4631 weeeeeee, unasema kwle?? 🤣🤣🤣🤣Kudadek sad kabjsa
Aunty azeeka na uzuri wakee...endelea kumzalia kusa..penda ww sanaa😍🤩😍😍🔥🇰🇪
Kabisaaa
Endelea kumsukuma mlevi dada ila tambua riziki mafungu 7🙏🙏
Mnafiki ungekua mwanamke kwl mwenye hekima ungejibu mtoto wa Ruby niwako pia unafiki Sana uchafua cv ya ruby
Sura mbayaaaaa ..jibibii hili JAmaniiii sura hili mpararaa mwenywee
Aaliyah amependeza sana maashallah ckuiz anajitahidi kuvaa vzr sio km vile mwanzo v mini..alf anty ujafa ujaumbika chunga mdomo wako maisha yanabadilika
Kwani akiomba pesa kwa tale tatizo lipo wapi?coz hata ww mpaka unakua ivyo sio wazazi wako Tu walio kukuza kuna watu pembeni wamechangia
Ruby my young sister, usijibizane na hili kubwa jinga. Anamchokonoa Ruby ili apate majibizano. Akili zake ni tope! So Ruby nakushauri usijibizane, achana nae!!
Ndo maana nampenda zari ,alipoulizwa kuhusu mtoto wa hamisa alisema yy hana shida na mtoto na anachukulia km mtoto wake kwa sbb mtoto hana hatia,mjifunze kutoka kwa bosslady msiwe waropokaji sasa aunt Ezekiel unaongea upuuzi hivi daaa mungu akusaidie ujielewe
Kwa sababu ni mtoto wa X
Nyoooooo!!! Sura imekunyoooka ujue wewe!! Yani mnazeeka na upuuzi kwa vichwa
Kumbuka mtoa riziki ni mungu dada,acha kujifanya ww malaika shaur yako
hana riziki wew mungu....hujielew wew..mtu mzima mchafu..muache ruby wangu humfiki hata chembe bibi wew..nyooooh hovyo chevu sula imekukoma tu
Uyo mwanamke ni fala kumamake anaona pesa ndio ktu zitaisha urudii mtaha rubi na kusa ndio wanaendana ww ni mzee kumandge ww pesa ya maziwa yakuhusu falaa sana
Dah!inauma sana nakuombeà Ruby utapata tuuu
Hajaongea vizuri kabisa mwenyezi mungu ampe fahamu akatambue hajaongea poa .mtu amsaidie akaombe msamaha maana pigo litakalompata aunty utalia mama.Mbona mm nakuhurumia sasa
Sijapenda kauli ya huyu dada
Ametajiwa mtoto wa Rubi kapanik mtu mzima kilapa mamae papa limezeeka unawakosea radhi mbwa ww unajiaibisha kugombea dudu hata kwa Yule wakwanza ulijimaliza atimae ukatemwa Rubi ndo alianza usione tamu mwezio kashaichezea Sana msenge we
Vizuri sana mami.yule Anti.simutu
Sijapenda kauli za aunty siyo nzuri....
mjeuri
Ila watangazaji mko waconganishi
Maneno yameniuma km nambiwa mimi khaah kwer wanawake cc ni nyokaaa ila aunty tambua mungu kibidu atakubidua kichwa chin miguu juu ,,,mungu utusaidie sie wamama tunaolewa watt wetu bila baba zao kwakwer tunakutan na mengi ni vile tu cc co super star
Jeuri bure mtu mzima hovyooo eti pesa anaomba kwa Babu tale... Rubby Mama angu Lea mwanao atakufaa badae acha kuomba Hela kwa watu my unajidhalilisha ona Sasa huyu shangazi inamaa pengine wewe umemuomba pesa Babu tale kwa Nia njema yeye ndio anakutangaza pole dear
Siyeye mwenyewe ndo alisema kwa midia kwan n uongo
Alisema mwenyw, anakataa huduma kwa baba mtoto ili apate lakuongea
Nampenda huyu dada
Sass c kasema mwenyewe kua aliomba hela
Chunga mdom aunty rizik anatoa MUNGU sio ww ngoja uachwe utajua kwnn yesu alisalitiwa na yuda
Aunty mm nakupenda sana wachana na walimwengu kazi ni kuongelea tu ndoa za watu.
Daaaaah lnauma ningekuwa mimi ni ruby sijui ningefanyaje😪😪😪😪unamwambia mwenzio hana riziki
Yaani mm pia nimeumia sanaaaa aiseee ila tupo mariposa nihapahapa haela kuhesabiwa
Hana bahati tu kwenye mziki ila Ruby angempotezea tu uyu
Nmefanana naee Sana ant💓💓
Hujaongea vizuri mum.
Aunty Uzee ushakukuta bado unachezewa na vibenten. Huna jipya wewe alafu waongea kaambae we ndo mgawa Rizki vile. Usiseme ukamaliza Dunia duara hii na mtandao hausahau
Tena ni mkubwa mno na apo tu kwa video mashavu yamembwebwea live je fala tuna tunza video hii mamaye zake
@@mariamyusuphu5434 mmh mbona matusi ya wazazi jamani muogope Allah ajatusi mtu pole wajina kama nimekuhuzi
mashaa Allah kimbe ni mwislam nimeturahi sana
Ya ila ni Mwislam ovyo
Ruby anampenda kussa❤aunty njoo uone wanavyo panic❤❤
Mashallah mtangazaji umependeza xn leo😍😍😍😍😍
Mungu ndie atamfikisha anapo taka kufika sio kwa kumpush ww ujafa ujaumbika dada jikwae kidole cha mguu ucjikwae ulimi dunia duara
Umesemaaaa
Aunt huwa nakupenda sana ila umemkosea mpaka Mungu kwa maneno ya dharau kuwa makini Mungu sio mtu halafu hata huyo mwanaume hatafurahia kwani huyo ni mzazi mwenzie
Nakuelewa sn aunt always co mgomvi ila mtu akichezea sharubu zako humuachi salama.
Rubby na mosse interview zao zote wakiulizwa kuhusu aunt na kusa basi wataponda vibaya
So naona umechoka kumsafisha anaekuchafua.
Good job,👍
Silence is a best answer mi nafikiri kila mmoja angekaa kimya akaendelea na yake Ruby amtolee maneno aliezaa nae aunt nae vle vle haina aja ya wao wanawake kuchukiana sbb sidhani kama aunt kamuiba au kumlazimisha kusah ni maamuzi ya moyo wake mwenyewe na moyo wa mtu haulazimishwi luby akubali tu matokeo japo moyo unauma aache kufatana fatana nao akijisikia kutukana amtukane alozaa nae adi siku hasira zake zitapoisha Inauma Ila ipo siku nayy atapata wa kumtuliza na aunt nae huwezi jua Leo anaweza kuwa nae Kesho pia wakaachana sbb yote matokeo na kila mmoja ana sababu
Hongera mwaya my love unt hacha waongee tu
Aunty ww nakupenda🥰🥰🥰🥰
KIKUBWA WANACHOKIJUA WATANGAZAJI NI KUCHOCHEA FITNA TUU.
From Kenya🇰🇪 don't judge and you won't be judged.
Usiamini mahusiano si wanaume ni wa muda
Bora umelitambua hilo
Mmmm aunti unamwambia mwenzio hana riziki usikute wewe umemnyanganya sibure rubi hangaika haiwezekani anasema waziwazi hapa rubi hana ridhiki tambua hili ni jibu kua amemnyanganya
Mashaa allah nakupenda saaana dada
Duh anamidharau uyu dada kah🙌
Asante msambaa
Nampenda ant arafu my pch
sio tatizo lake jamani msameheni anazeeka vibaya tu halafu uzee unaonekana unamdhuru ubongo.pole shangazi kizee
Ant kaongea zarau San mungu atakupiga Kofi nanamuombea mungu Rubi warudiane na kusah uwachwe upigike Atari
What goes around, comes around
Sahi ameshaachwa
Wow 😳 ha ha haa mm sioni watu mpaniki no kawaida Sana Kwa wanawake ambao walisha date mwanaume mmoja kurushianama maneno hata Ruby na Mose wameongea shit Sana kuhusu aunt na kusah xo aunt nan mpaka anyamaze jmn hata anamoyo aunt mnyoshee huyo asikuzoee
Kweliiiii
Usione huyo kusa anakupenda nikwasababu unamlea kosa hela uone asiporudi kwa Ruby na nataka tu nikwambie wanaume wengi wa tanga wanapenda sana kitonga kwahiyo kuwa makini bibie mungu atakupa pigo moja tu ndo utajua huyo kusa alikuwa anakupenda au anapenda hela zako na kapata sehemu ya kulaza ubavu
eding na filter ni Shida Kweli unahonekama mkubwa Kweli Kweli
Those people throwing shades at Aunty Ezekiel have never heard Ruby talking
She is too much .too much talkative me am not interested with that Ruby
Yan aunt unaongea kwa dharau kiasi hiko kisa mwanaume...huyuhuyu aliezaliwa na mwanamke ambae anaakili ya mwanamke kesho na keshokutwa atakudharirisha....bora ungetulia tu ucngejibu chochote mamy.....umekosea sanaaa!!!!!
Sasa hana rizki kwani ameshakufaaa kila kinachoishi mungu anakipa rizki hata sisimizi tena ujuwe rizki ya mtu ipo mikononi Kwa mtu upo tunategemeana wacha ujinga usimkosee mungu Kwa wivu wako mpuuzi kizee weye
Kapuyangaa leo mungu akisema nyuma geuka utaamin
Haloooo👌👌👌👌kusah bhn mtaamu uyo kaka jmm
Aunty ujue dunia nduara
Goooooooosh this woman.. whaaaaaat you can talk like that about another.. remember Money is not everything
Umesikia maneno ya rubby anavyomtukana Auntie
Wasanii wabongo wasivojuaga kuoa ck moja uyo mzee mwenzetu ataaibika jmn sijui ilo lisura lake ataliweka wp
Wacha ujeuri shangazi wa kusah hujui kesho yako wewe mtu mzima unamzaa Ruby
Mwambie huyo.
Jamani mapenzi AYANA Rika kwanza sisi waislamu ni suna ya mtume s.a.w
@@مريم-ه2ز9ق we nae kila comment upo Kwan amekutuma
@@مريم-ه2ز9ق safi kabisa
Wanasema utu uzima dawa mengine maradhi tu
Sikutegemea kama ungeongea ujinga kiasi hicho yaani kuomba maziwa tuu unamtangaza Sasa angeomba pesa ya kula ingekuwaje jamani wanadamu TUMUOGOPE MUNGU
Usijitutumue saana Mhh
Ant ezekiel ana kiburi sana
Mm sioni shida rubby akiomba pesa ya maziwa juu kwa sababu alizaa nae na mtoto niwa kush na ruby kwaio sioni kama kuna shida sema2 uko na wivu ama useme lengine lakin ilo atukubaliani
Asante mama la mama
Anti nakuonag unaakili kumbe huna kabisaaaaaa chefuuu
Hivi hata aunty aoni amezeeka aache mambo za kisenge ruby pia alishawai kuwa favourite wa kusah hadi wakazaa so asijisahau sana kisa anamlea kusa ruby pia kuna siku atapata hela acha dharao
Yaani aunt anaona maisha kayapatia... Sijui siku wakitengana na huyo kusah sura yake ataiweka wapi?
What ant ana hela gan mbna ruby anamnyima usingiz sana
Ww aunty unaongea upuzi huu usiamini mwanaume nikiumbe dhaifu sana kiliumbiwa kutamani ukiongea bakisha kitu
Kwa kweli
@@fatmahchambo3131 yap wanaume fanya kuwaona hivyo tuu
@@hmddhmdd1169 😅😅😅 umenichekesha
yaani aunt Fala sana wewe uchukie mchumba wa mwenzio alafu umseme vibaya loo haya unayo yafanya kumbuka umezaa una mtoto wa kike akiwa mkubwa yasimkute kumbe chanzo ni ww ongea kwa kiasi unamdhalilisha Ruby kuomba maziwa kunahusiana nini sasa akati maziwa ya mtoto na unajua
Sihata rubby ako n mchumba wa aunt pia ssa la ajabu lipi hapo ngoma droo
Kwani auntie unajikutaga nani ww dada hujui kama maisha ni Duara eeh😪
hujafa hujaumbika na riziki anayetoa n Mungu inawezekana yako imewahi ya mwenzio imechelewa na kuna kupata na kukosa umetumia jeuri sanaaaa jaman na kwa mtu mzima kama wewe duuuuh kweli akili sio umri ni hekima iliyoko kichwani kwako
Amezeeka
mmh tabia mbaya tu hiyo na sio vizur hana riziki kwan we umejiumba mwenyew mungu anakuona
Daa mbona maneno kutu
Aunty Leo umechoma jamani waah kwani imekuwa aje mungu wangu
Huyu Bibi jmn anajikuta kafika kwa yule mtt anaemlea (kusah)
Acha 2 mshenz Sana kaniudhi na kauli zake chafu
Uyu dada anaona yuko peponi tayari
Nakupenda aunt
Aunty kitambo ulivyokuwa na moza nlikuwa nakupenda na kukuheshimu bt kwahili la rubby nimekudharau sana nakuchukia mtu mzima ovyo usie jielewa waropokwa bila kufikiria lkn ujue mapenzi yana mwisho tafuta mwanaume mnae lingana umri wacha kupoteza watoto wa watu na kuwapotezea mda wajiita rahma na hujui ata kuswali
Hii media si poa...pia wamtafute ruby cz aunt anajiona ana pesa mbwa huyu asiejua kesho yake
Haya majibu ya aunty sidhani Kama kusah yamempendeza japokuwa Yuko na aunty aunty kweli umejibu kwa jeuri kwa Ruby Hana ridhiki,, maisha Kuna kupanda na kushuka
Duh huyu dada...ina maana hawezi msaidia mtoto wa bwana ake aliezaa huko kabla??😳 na hela siyo kitu ktk maisha. Furaha, penzi ndiyo kila kitu.
Daah wanawake sisi daah
Yaani hawa hawatakiwi kugombana kwasababu wamefanya butter tread waishi tu
Daaaah 🚶♀️🚶♀️🚶♀️napita mimi
Kumbe shangaz anatoa rizki sawa now days hakuna mungu mtoa rizki 😂 shangaz mmh mmh
Heee dada hiyo kauli uiitoa haifai kwa mwanamke alikamilika!! Alafu kumbuka Mungu hatoki kijjini kwenu🤔 ko usione ww kwa kusah umefika , nimejikuta roho unaniuma as unanijibu mm hayo majib!! Kwan wanaume asilimia kubwa wao ni onja onja ataona kwako panafaa cz hajakuchoka lakin Amin usiamin unaeza ona kwako kipo anachotaka kupiga Ila first is first my dear 🤫 chunga ulimi
Auntie umeongea vby ujue na dunia duara na pia Mungu amesikia madharau yako. Sijui utakapo kuwa hoi utaomba msaada kwa nani? Ukorofiiiiiii😂😂😂
Riziki anatoa Mungu sasa wewe unasemaje hana riziki ufunguo wa riziki yake unao ww?
Ata mm nimeshanga😭
Ukimuomba mungu wala akutangazi ila kuomba maziwa imekuwa ishu na walijuaje la anaomba maziwa
Dada una maneno magumu duh Mungu atusaidie sasa kama qnaomba maziwa si baba wa mtoto hamtumzi.mwanae aibu yenu wote.
Nyie ruby jeur acha akomeshwe mamae zake
Leo anaongea na makasiriko whyyyyy🥺🥺🥺
Umependeza Alia
Umezeeka mam
ILA AUNT UMEKUWA JITU ZIMA WALLAH DAAH🤔, PAMOJA NA KUWA DAMU YAKO INABUSTIWA NA VISERENGETI BOY KILA SIKU LAKINI JISURA LIMECHOKA HAKI KHAA!!!
Kwani utu uzima ni dhambi jmn? Kila atazeeka
Kuisha kupo
Hasira za nini kunchamba dada wa watu? Wewe ndo utabakia kijana milele? Umri unahusu nini acheni ushamba
Kusa hajafika 👌🏽Ni kamserereko tu
Unaroho bay sana nilikuwa nakupenda pk nimekuzalau mtoto ana hatiy gan mtoto nimalaika tuu
That is so wrong.. Kwa hivyo unamlea right?its good umekubali unalea mwanaume sweetie.. whaaaaaat!
Ezekiel mtu mzima ovywooo