Aunty Asimulia Alivyokutana Na Kusah "Alinifuata DM, Alikuwa Anatafuta Chaka" | SALAMA NA AUNTY PT 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
    Nikuibie tu siri ya kabatini kuhusu haya mazungumzo yangu na Aunty Ezekiel, kwanza ilikua ngumu sana mpaka alipofika hapa kwenye kiti maana mazungumzo haya yalighairishwa zaidi ya mara tatu mpaka ilipofika siku hii. Kwa imani yangu nisema Mungu ana mipango yake, yaani kila kitu kwa wakati wake na bila ya shaka wakati wa hii ulikua haijafika bado ndo maana haikutokea na kwa kutokea siku hii, huu ndo ulikua wakati sahihi kabisa.
    Mimi na yeye tunafahamia ki vyetu, si watu ambao tunakutana kila siku ila ni watu ambao tukikutana tuna click tu vizuri na mambo yanaenda. Marafiki zetu wengi pia wanafahamiana kwahiyo tunaenda tu vizuri. Na nia na madhumuni ya sisi kumtaka kwenye kiti chetu ni kwasababu wote tunajua amepitia mengi na kwa yeye kutusimulia kuhusu makuzi yake na mahangaiko yake yanafaa nafasi kwenye kiti chetu.
    Toka mara ya kwanza kusikia jina la Aunty Ezekiel naamini miaka mingi tu ishapita, kama wewe ni wale wa zamani kama mimi basi utakua unamjua toka miaka ya katikati ya 2000 baada ya kuwa mmoja ya kundi la wasichana wazuri ambao walishawahi kushiriki Miss Tanzania. Kwenye mwaka ambao Aunty alishiriki kulikua na warembo kama Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na Irene Uwoya kuwataja tu wachache. Aunty yeye naye alikua kati ya wale waliongia Top 10. Mwaka huo ulikua mwaka wa ushindani sana lakini wengi ambao walimaliza vizuri ndio hawa mpaka leo wanaendelea kufanya vizuri katika nyanja mbali mbali ambazo wao wamezishagua.
    Aunty sasa ni Mama wa watoto wawili ambao ameniambia ni kila kitu kwake, wanampa sababu ya kutaka kuendelea kuishi na kuwa bora kwao kila wakati, nilimuuliza siku ya kwanza alipompata mtoto wake wa kwanza, na hisia yake ilikuaje, na anakumbuka jinsi ambavyo aligundua ana ujauzito na mara ya kwanza anamshika Cookie mikononi mwake.
    Aunty pia anakumbuka ‘ujana’ wake na mengi aloyapitia mpaka akawa hivi alivyo leo.
    Kuna suala la yeye kuwa na mahusiano na wanaume ambao ni wadogo kuliko yeye, au wale ambao alikua nao zamani ambao walikua wakubwa kuliko yeye, Aunty amenielezea maoni yake juu ya hili. Mahusiano yake na Marehemu Mzee wake, Mama yake.. Alivyolelewa na machaguzi ambayo aliwahi kuyafanya wakati anakua na pengine maamuzi mabaya au kama ana majuto katika maisha yake.
    Kama binadamu kuna baadhi ya mambo yanakua magumu kuwa nayo wazi au kuyaelezea kinaga ubaga, Ila hata kwa haya ambayo tuliongea nae natumai utapata ya kujifunza kupitia yeye.
    Tafadhali Enjoy.
    Love,
    Salama.
    Support us through anchor.fm/yahs...
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪RUclips Link bit.ly/RUclipsS...
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

Комментарии • 185

  • @halimavuhya5881
    @halimavuhya5881 2 года назад +23

    A humble down to earth person na yuko muwazi haoni haya kusema yy hajasoma ilhali yy ni star!

    • @angeljustine9397
      @angeljustine9397 2 года назад +2

      Aibu gani wakati ndio uhalisia wa maisha yake

  • @georgembau5907
    @georgembau5907 2 года назад +34

    I admire the maturity in this woman.... More love from 254

  • @catherineswai5900
    @catherineswai5900 2 года назад +28

    Nimependa hii interview,coz aunty Yuko open and happy...pia mama la mama salama amecheka sana♨️♨️♨️

  • @deusdedit789
    @deusdedit789 2 года назад +18

    Weka like kama huja soma sana ila MAISHA yanaenda..

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md 2 года назад +9

    Yani wanawake wote wangekua km Unty wangefanikiwa sana, yani yupo free na maisha yake yupo open alafu hajali wala nini, yani Unty ✔️

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 2 года назад +7

    Nimependa jinsi aunt alivyo open kwa kweli 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 2 года назад +6

    🤣🤣🤣 ukweli humuweka mtu huru hongera aunty kwa kuwa mkweli 👏👏👏

  • @minzamariamcasmir189
    @minzamariamcasmir189 2 года назад +7

    Wasanii underestimate how much we appreciate and enjoy their honesty.💯

  • @christinakiswaga6831
    @christinakiswaga6831 2 года назад +18

    Nimependa Sana hayo mazungumzo kwa sababu yanafundisha pia. Mimi natamani salama naye ahojiwe maana naye nipasua kichwa, na kama kungelikuwa na uwezekano ningeomba nimhoji mm mwenye 😃🥰

  • @amraabdallah9446
    @amraabdallah9446 2 года назад +18

    Beautiful conversation... Ningependa kumuona Iren pol please 😍

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 2 года назад +9

    Napenda sana maongezi yenu yanakuwa kama mko best friends

  • @shikugitati3544
    @shikugitati3544 2 года назад +6

    Any interview ya Auntie Ezekeli lazima nitazame sababu ni real sana. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @eliasbushiri2064
    @eliasbushiri2064 Год назад

    Napenda Aunty Mungu amupe maisha marefu hadi siku moja tu meet naye m niko Congo 🇨🇩

  • @enizetv5196
    @enizetv5196 2 года назад +4

    Nimekupenda sana jamani Dada ante umenitia moyo sana nisonge mbele Mimi ni MWIMBAJI NA MWIGIZAJI NINA ALBAMU YANGU NA FILAMU HAIJAISHA NIMEKWAMA NAITWA ENIZE MWAYINGA please naomba msaa wako nipe ushari nanionye njia na mimi Dada niko tayali kupambana

  • @Rymaas1TV
    @Rymaas1TV 2 года назад +3

    Salama naomba utuleteye sheikh Kishki nourdin , mtakuwa mmetisha sn , sio wasanii tu siku zote

  • @aldiboxingfanatic
    @aldiboxingfanatic 2 года назад +10

    Fili Gisi Kuku Mwehu Na Zigo La AY hii nimeipenda sana. By Salama on kipindi (HOT SEAT)

  • @shuu62
    @shuu62 2 года назад +10

    Oh man‼️ Have enjoyed this to the extent 👌

  • @elizabethcosmas7852
    @elizabethcosmas7852 2 года назад +3

    Asee nimecheka sana nyimbo ya ant na harakat za kuludaxubh love xana ant💖💖💖💖💖

  • @daimondelfina5689
    @daimondelfina5689 2 года назад

    Tuletee Aliyah wa wasafi(refresh),nahisi interview yake itakua so inspiring

  • @nelizabethnelson8576
    @nelizabethnelson8576 2 года назад +2

    Hongereni salama,tunamuhitaji wema naye aje kwenye intaviu

  • @shuu62
    @shuu62 2 года назад +3

    So hilarious 🤣🤣🤣🤣 Uliimba Watanzania hawakukubali😍😍😍 LOL 😆

  • @salimmohamed5232
    @salimmohamed5232 2 года назад +3

    Salama support kubwa kutoka kwangu....watching from dubai Kila session nawatch ila tunamuitaj Mr blue AKA kabaisa muhimu ni kujifunza kutokea kwenu

  • @aminiismail2118
    @aminiismail2118 2 года назад +5

    Dada salama, Nakuomba utuletee Kondeboy mezani. Tunaomba kusoma kutokana na ujasiri wake

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 2 года назад +3

    Was a nice interview 👌 👍 aunt she's very really 👌

  • @abbyhabiba8062
    @abbyhabiba8062 2 года назад +2

    Shes so pure i realy admare you Aunty..love you mama of 2 and still cute

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 2 года назад +1

    My dear ww nimtu wang wa damu kbs #AuntyEzekiel nakupenda mpaka naumwa kweli ❤❤❤❤❤

  • @hasinatylaizer616
    @hasinatylaizer616 2 года назад +1

    Ant wewe ni mrembo sana na umebarkiwa vingi sana❤️

  • @Ulfy305
    @Ulfy305 2 года назад +4

    Napenda anavo support masomo na mtoto wa kike asome

  • @jasmincharles3626
    @jasmincharles3626 2 года назад +1

    Nimependa aunt ❤anaongea vizuri pia yupo wazi sana

  • @zamdakimaro8040
    @zamdakimaro8040 2 года назад +9

    INTERVIEW TAMU HII NATAMANI ISIISHE AUNTY NIMEPENDA SANA THE WAY ULIVYO

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 2 года назад +2

    Mahojiano mazuri sana na aunt amekuwa muwazi.. Nimeipenda,
    Naomba nimkosoe kidogo aunt
    Sema una friends lkn hauna best friend... Ndio maana friends Zako wana akaunti fake... Highligh point ni hapo kwenye Msosi filigisi mwehu na zigo la AY.. hahahaaaa... Hapo sijaielewa hiyo menyu... Salama tunaomba ufafanuzi plz

  • @jinnahsameer
    @jinnahsameer Год назад

    Hongera sana anti nimependa unavyoongea lugha moja2 sio wale wanaochanganya changanya

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 2 года назад +5

    Ningependa kumuona Mchungaji Hananja Rich bilinear 🙏😂

  • @ephrahimrashid8165
    @ephrahimrashid8165 2 года назад +3

    Interview nzuri Inachekesha Kimtindo

  • @carenesendi4623
    @carenesendi4623 2 года назад

    Ilove mama cookie ,, how honest she is big up salama

  • @khayratsalim8576
    @khayratsalim8576 2 года назад +25

    Aunty nampenda hapindishi maneno😂😂

  • @MekuTech
    @MekuTech 2 года назад

    Kiwanda cha maarifa namkubali sana salama jabir anajua kweli kweli

  • @hildasawe666
    @hildasawe666 2 года назад

    Nimenjoy hii interview sanaaaaa.Da salama natamani siku aje Dina Marious

  • @idareyoutodream6030
    @idareyoutodream6030 2 года назад +5

    Her honesty 🔥

  • @mwitarawe4445
    @mwitarawe4445 2 года назад +1

    NMESIKILIZA NYIMBO YAO SAIV NMECHEKA SANA ILA CJAJUA KAMA KWAYA AMA BONGO FLEVA MTUHAJUI KUIMBA UYO JAMANI DAAAAAAH

  • @JamboTax
    @JamboTax 2 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣 amenchekesha Aunty kwenye kuimbaa Lol!

  • @israelmlabwa9783
    @israelmlabwa9783 Год назад

    Safi sana na hongera sana

  • @princessbim6096
    @princessbim6096 2 года назад +2

    Nimependa sana salama na mama nini🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 2 года назад +4

    Icho chakula nimekipenda jina lake filigisi, kuku mwehu na zigo la AY 😂😂😂😂 ila ningependa aje diamond kwenye interview tuna mengi ya kumuuliza

  • @jeniferkalugendo2857
    @jeniferkalugendo2857 2 года назад

    Ant anaonekana n mtu mwenye akl sana, ata kama apendi mambo ya uongoz ila m nahs anafaa tu kuwa kiongoz, napenda confidence ya ant alafu yuko very straight

  • @eliasbushiri2064
    @eliasbushiri2064 Год назад

    Napenda Irene uwoya aje pia kwenye meza hiyo plz salama fanya hivyo

  • @nzeyimanadorothea3775
    @nzeyimanadorothea3775 2 года назад +3

    next time tunamtaka jennifer mgendi muimbaji wa injili please

  • @missmannydxb
    @missmannydxb 2 года назад +1

    Aunty Mrembo Mashallah

  • @bobanthony1326
    @bobanthony1326 2 года назад +1

    don't quite understand this food bit - doesn't the food get cold? but good conversation. keep it up.

  • @fridasultansultan3688
    @fridasultansultan3688 2 года назад

    Best Interview ever

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 2 года назад +5

    Aunty ni mzuri nyie mashallah

  • @muhmdmystikal8313
    @muhmdmystikal8313 2 года назад

    Appreciate.!

  • @fatmakiraga4016
    @fatmakiraga4016 2 года назад +2

    Was really waiting for this interview I love Aunty Ezekiel

  • @ARAFATVSHOW
    @ARAFATVSHOW 2 года назад +1

    So humble

  • @neemamgaya3719
    @neemamgaya3719 10 месяцев назад

    Nampenda Aunt Ezekiel, mkweli sana.

  • @أمنعمان-س4د
    @أمنعمان-س4د 2 года назад +5

    🤣🤣🤣anasema yeye na shule No😂😂Aunty wewe

  • @fatmaamissi7251
    @fatmaamissi7251 2 года назад

    Mansha Allah ATIunatup ushaur mzur saan

  • @anastaziaruhomwa4032
    @anastaziaruhomwa4032 2 года назад

    Aunt umenifurahisha Sana unasema ukweli kabisa

  • @hamoudmontana7068
    @hamoudmontana7068 2 года назад +1

    Mbona vidole viwili havina kucha

  • @kudragwingi7259
    @kudragwingi7259 2 года назад

    Nimeipenda. Nzurisana

  • @mzizirashid709
    @mzizirashid709 2 года назад

    🤣🤣🤣 Aunty Bwana Msema Ukweli Hadi Rahaaaa

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 2 года назад +1

    Bongo movie "mlijipoteza" kwa kung'ang'ania kuiga movie za Africa Magharibi kuliko kuigiza vya kwenu Tanzania... Kama walivyo jitokomeza muziki wa dansi kwa kujipendekeza kuiga muziki wa Congo\Zaire.

  • @beatricemunisi7891
    @beatricemunisi7891 Год назад

    Aunt Ezekiel nimependa your honest

  • @khadijahbanana5602
    @khadijahbanana5602 2 года назад

    Hii nimeipenda sana

  • @njuka3515
    @njuka3515 2 года назад +1

    hakuna shida ila haikuwa kipaji chako bwana sio lazima wote tutoke kupitia elimu

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 2 года назад +3

    Ila ant nakupenda sana jmn🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zamdahassan5167
    @zamdahassan5167 2 года назад

    Hi salama am zamda wa kikwajuni Zanzibar naomba tuletee Mr blue

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 2 года назад +1

    Aunt nakupenda sanaa 😊

  • @ashaibrahim6244
    @ashaibrahim6244 2 года назад

    Mama bora Aunt Ezekiel ulionekana kwenye move ya wewe na watoto wa Wema Sepetu ambao uliwabadilisha kitabia.

  • @njuka3515
    @njuka3515 2 года назад

    uko very smart

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Ndio kyrat anajieleza vizur .nakumbuka miss bongo ilivuma na ndo ilimtowa

  • @bintspeech3868
    @bintspeech3868 2 года назад +1

    Hata mm yan mm na shule paka na pany 😂😂😂

  • @AishaNikule
    @AishaNikule 3 месяца назад

    Nakupenda saaaaaaaaaaanaaaa aunt

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Ndio ni kwel mimi mwenyewe sipendi uongozi kwasababu iyo napenda uongozi lakin unakuwa haupo uhuru

  • @rauhiaomar977
    @rauhiaomar977 2 года назад

    Aunty mbn km upo vzr kwenye maswala ya kusoma ila haujikubali, I believe una akili sana ni vile tu haukuwa tayari labda kwenye mambo hayo

  • @carenesendi4623
    @carenesendi4623 2 года назад

    Aunty una Rudi lini kwenye tamthilia ya Huba we miss you3

  • @johnmbungo1971
    @johnmbungo1971 2 года назад +1

    I for one, think cougars with relatively reliable source of income love cubs because they want domineering over the poor boys, they want to live their life unchecked,unquestioned in whatever way, they want to be by themselves.In this relationship you will find unending bickerings and the cub being told off all the time.The cubs love dating cougars because they love being pampered like a mother pampers her kid and because they have unreliable incomes , they like sponging on their older women.There is no responsible love been two people who are intellectually and mentally far apart from one onether, age and mental capacity go hand in hand with age. Secondly a cougar who loves cubs cannot cope with mature and responsible reasonings of an older man, (a sign of arrogance, unmanageability, and strong headedness of a woman who cant cope with a mature man).The stark fact that God took sometime to create Eve after Adam explains why there should an age gap beween a woman and a man in their matrimonial union. Don't be swept away by these satanic and demonic stereo types that love ain't age or age is just numbers, only nerds and unrespectful of God's plan will always go anticlowise God's plan!Don't you ever be gulliable believing this nonsense. YOU heard,!! Peace out

  • @zainabohus4903
    @zainabohus4903 2 года назад

    Kazi nzuri sana

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 2 года назад +1

    Mimi naijuwa iyo nyimbo nimbaya sana

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Wameona na wao wacheze tamthilia kwasababu wakolea walishawapita bila hivyo

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Ndio kuimba walisema hawezi .Mimi napenda kuimba na najuwa kaka yangu naye anajuwa anatunga pia

  • @faudhiatmasoud4025
    @faudhiatmasoud4025 2 года назад

    Big 5 yooo✌

  • @sihamnjagi
    @sihamnjagi 2 года назад

    Interview nzuri sana.. Lakini mimi kama mimi naomba muzingatie viti haviko kwenye muonekano mzuri vile.

    • @khayratsalim8576
      @khayratsalim8576 2 года назад

      Hivo wameweka kusudi hata meza

    • @anetyanety5249
      @anetyanety5249 2 года назад

      Ni makusudi😆😆😆

    • @newking6497
      @newking6497 2 года назад

      Mambo ya natural 😃

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 года назад

      Hvy ni vzr mbn, wamepaka rangi km ya ovyo ovyo ila ndo style hy

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 5 месяцев назад

      ​@@khadijahali4837kusudi limekamilika hapo, labda kama utataka kuuliza ina maana gani sanaa ya kiti cha namna ile (maana kwenye sanaa kuna mambo mengi)

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 2 года назад

    Ant muwazi sna ♥️♥️♥️

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 года назад

    Yani leo mda wangu wamapunziko nimemsikiliza anti ni vile nampenda na hujutii ukimsikiliza mama kuku

  • @amourdaty8528
    @amourdaty8528 2 года назад

    😂😂😂asante kwa kuwa mkwel dada gwantwa

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Kasema alikuwa anapenda nyimbo zake alisema kusah kuwa aliimbaga nyimbo yake.wengi hawakujuwa kama walikutana instragram walijuwa labda walionana live

  • @LisaJilala
    @LisaJilala Год назад

    Last time wema sepetu tunamhitaji ktk meza yako salama

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 2 года назад

    Auntie hana Mambo mengi Yuko wazi!afu salama icho kiti ulichokalia mmmh ukipige rangi bana location mzr kiti chako mmmh nakukumbusha tu naona umejisahau

    • @georginapaul5013
      @georginapaul5013 2 года назад

      Nahisi ndio design.na Iko poa tu.samakisamaki kama unapajua ndio staili zake.

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Kwel hakuwai kuwaza naona hakuamin alivyofuatwa DM

  • @solangekubota9487
    @solangekubota9487 2 года назад

    Nampendaka saaaana saaana anakuwaka mkweli

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 года назад +1

    Kwny mambo ya shule shule nmecheka 🤣🤣🤣

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 года назад

    Kipindi kikali sana ushafanya mambo nengi sana tuna mtaka mume wakoo umulete kwenye Interview please

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Kasoma shule ya bunge watto wa wakubwa wengi walisoma shule ya bunge

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Ndio tulifurah kwasababu hatujawai kuongozwa na mwanamke

  • @nurutwaha6710
    @nurutwaha6710 2 года назад

    Nimependa kiti cha da Salama

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 года назад

    Jamani Aunty asiogope kufanya mambo kwa uoga, au kwakuhofia elimu yake. Mbona wapo wala saba wanaakili kuliko hao mnaohisi niwasomi? Wangine wanaelimu ya kukariri tu. Jaribu mambo bibie

  • @lastsimbatv1497
    @lastsimbatv1497 2 года назад +2

    Salama Diamond awe next hapo plz fanya @ big fans

  • @godfreybayyo8079
    @godfreybayyo8079 2 года назад

    Hamjui nyimbo ya aunt 😂😂😂😂😂😂

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 2 года назад

    Kipindi safi sana.