HII NDIO DAWA YA WASICHANA KAMA HAWA 💞 NI KUWAZAGAMUA TU 😂

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 258

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 10 месяцев назад +14

    Waambie wakawe mama ntilie na Dharau zao... Victoria simple lady with confidence ❤❤❤

  • @RachelThomas-ox3jr
    @RachelThomas-ox3jr Год назад +32

    Congrats kwa da v super woman wetu ujawah kutuangusha Victoria team mikono juu tafadhal 🖐️ afu gonga like ❤

  • @MmKkk-c7o
    @MmKkk-c7o Год назад +17

    Victoria mungu akutunze Sana dadaa aki 🙏

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 3 месяца назад +2

    Asante vicky amepata kaz wanaompenda vicky gonga like hapa

  • @MagyCaasi
    @MagyCaasi 11 месяцев назад +4

    So amazing movie twazipenda sana movie zenu zina mafunzo mazuri sana❤ from keny

  • @wynesesthertchuwa2139
    @wynesesthertchuwa2139 Год назад +13

    Nakupenda sana Victoria ❤❤❤❤🎉

  • @Rabeccaedward-gr7wf
    @Rabeccaedward-gr7wf Год назад +28

    Victoria popote ulipo kazi nzuri sana na pia brawn nawapenda bure ❤️❤️❤️

    • @Germainmbavindi
      @Germainmbavindi 7 месяцев назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @MirimaaAntony
      @MirimaaAntony 4 месяца назад +1

      💛💛💛💛💛💛💛💛

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 2 месяца назад +1

    Wazagamuliwa n office messenger mwenye kuchagua CV n director wee huogopi 😅😅😅😅🎉🎉🎉🇰🇪

  • @Dianaf774
    @Dianaf774 Год назад +11

    Watching you from saudi arabia mko sawa sana❤

  • @mtikamtika8013
    @mtikamtika8013 Год назад +5

    ❤❤❤❤❤❤ victory mkalimsana 🎉🎉🎉🎉🎉😂😂

  • @IbrahimOganga-l9u
    @IbrahimOganga-l9u Год назад +6

    From kenya Vic nakupenda sana kwa ustaarabu wako na simu yako kubwa hiyo

  • @Emmy-qo1yx
    @Emmy-qo1yx Год назад +6

    Victoria mungu akutunze sana dada ake

  • @AaAa-oh9lw
    @AaAa-oh9lw Год назад +10

    Bigger up victoria❤❤ mungu azidi kkufanikisha Kwa ukarimu wko dear

  • @osadgstuy5746
    @osadgstuy5746 Год назад +7

    Nakupenda sana Victoria from Kenya

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt 4 месяца назад

    Mungu akubariki sana vicky .kilasiku ukinyenyekeya unapataka kitu kizuri.chukua maua yako🎉🎉❤❤

  • @vallarykazirika6149
    @vallarykazirika6149 Год назад +38

    Nampenda sana victoria kwa jinsi alivyo mstaarabu❤

    • @ruthmukonyo6871
      @ruthmukonyo6871 Год назад +3

      Nampenda sana pia mm. She is cool ad humbled lady.Mch ❤❤❤❤❤ mommy.

    • @HeppinesiBakari-vk7dd
      @HeppinesiBakari-vk7dd Год назад +2

      Mi mwenyew nampenda sana

    • @TeresianamanTeresianaman
      @TeresianamanTeresianaman Год назад

      ​@@ruthmukonyo6871you have

    • @AlfredaMwenda
      @AlfredaMwenda Год назад

      ​@@ruthmukonyo6871q1.

    • @alimwadima254
      @alimwadima254 10 месяцев назад +1

      Ana Sifa zote za Kuwekwa ndani victoria anayempa hii scene anamjulia Sana...hawa wengine madanga Tu Ki sura na Kitabia pia

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is Год назад +9

    Victoria mungu akubariki sana dadaa nakupenda bure ❤❤❤

  • @owenvevo411
    @owenvevo411 Год назад +3

    Yaani ni kupiga ngozi na kupita shwaaaaah😅😅😅😂😂😂, nzuri sana ❤❤❤❤❤

  • @GraceMbulu-rp8ko
    @GraceMbulu-rp8ko Год назад +1

    Victoria ni mwanamke wa nguvu ❤❤❤💪💪💪

  • @davidpeter2398
    @davidpeter2398 Год назад +5

    Kula ngozi nakupita shwaaaa 😂

  • @MunyaoJulius
    @MunyaoJulius Год назад +6

    Nampenda sana Victoria❤❤❤❤

  • @Eunicekasupuu
    @Eunicekasupuu Год назад +2

    😂😂😂iendelee part 2,,❤❤❤❤❤Victoria kaua Na cuteness na Hana maringo❤

  • @HadijaKanze
    @HadijaKanze 3 месяца назад +1

    😂😂😂😂 ila Tina jamani

  • @FahadMungwe
    @FahadMungwe Год назад +1

    Kazi ushapata ila kuzagamuliwa kwa kwenda mbele 😂😂😂😂😂

  • @IreneNatasha-o9k
    @IreneNatasha-o9k 4 месяца назад

    Napenda sana movie zenu manake zina mafunzo mengi sana

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه Год назад +1

    Tina Nae😢😢😂😂😂😂😂😅😅brown mzagamua😅😅😅😅😅kutoa tu shangazi Vicky❤🎉

  • @mtikamtika8013
    @mtikamtika8013 Год назад +2

    Nakupenda sana Victoria kwajinsi alivyo mkalim

  • @faridahally6314
    @faridahally6314 Год назад +4

    Kazi zenu n nzur xna hongereni❤

  • @fellst4159
    @fellst4159 Год назад +4

    Victoria much love mamaa❤

  • @NauluIvan
    @NauluIvan Год назад +1

    Wow nimekupenda Victoria ❤❤❤

  • @faithnyambura-fo7fm
    @faithnyambura-fo7fm Год назад +7

    Vicky much love from this side❤❤❤

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 Год назад +2

    Kazi safi watu wangu❤❤❤❤

  • @MariamJaberi-g5y
    @MariamJaberi-g5y 2 месяца назад

    Nakupend san Victoria ❤❤❤❤

  • @kingmrume
    @kingmrume Год назад +4

    Safi Sana Don😂😂

  • @fatumajumakombaikokombaiko8788
    @fatumajumakombaikokombaiko8788 Год назад +2

    Kweli dharau sio njema plz muendelezo wana dontaa tv ❤

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د Год назад

    Good keep it up tamaa si nzuri congratulation Victoria

  • @Amina-i4r
    @Amina-i4r 11 месяцев назад

    Viki dada nakupenda bure shika maua yKo🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @samwelisakayo9533
    @samwelisakayo9533 Год назад +1

    Victor upo vizuri buraun endelea kuwakamwa kamanda

  • @sophiegedo9338
    @sophiegedo9338 7 месяцев назад

    Hahahahaha jamani tina ananfurahisha sana ❤❤❤❤❤❤ hahahahaha

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 Год назад +1

    warembo wamerushqa darausinjema usimdarau usomjua 😂😂😂😂😂

  • @MwanahijaMzonge
    @MwanahijaMzonge Год назад +1

    Majiraniiiiiii ukiona manyoya ujue kaliwa uuuuuuwwwwwiiiiii,ww brwn ww mungu nakuona

  • @thabitharange-vz2ru
    @thabitharange-vz2ru Год назад +5

    Vikitoria 🎉❤❤

  • @RichardNdambo
    @RichardNdambo 2 месяца назад

    Mni rushie muvi mtakayo toa jamani❤❤❤❤❤

  • @SabinaEmmanuel-j3s
    @SabinaEmmanuel-j3s 11 месяцев назад

    Nakupenda sana victory mstalabu sana dada angu

  • @YusraYusra-hg7wu
    @YusraYusra-hg7wu Год назад +2

    Mob love siz Victoria💓💓💓💓💓💓💓

  • @RachelThomas-ox3jr
    @RachelThomas-ox3jr Год назад

    Ukewenza nomaa hongera shekh brown kwa ushaur kwenye ndoa iyo

  • @Dieumerci-bv2wl
    @Dieumerci-bv2wl Год назад +1

    Victoria wenimwana Muke bora mustarabu natamani ningekuwa na kaka ngu angekuowa DD weuna staili kuwa wifi yangu, mwambie kelvin akuowe munaendana sana

  • @RitahLucy
    @RitahLucy 8 месяцев назад

    Big up to Victoria ❤❤ nakupenda sana ❤❤❤

  • @christine7744
    @christine7744 Год назад +4

    Safi sana broo kazi na uzembe haiendi❤❤❤❤ much love from kenya mmmwwaaaa🎉🎉🎉

  • @HudhleymAly
    @HudhleymAly 2 месяца назад

    Uku kwetu mtu ukimuita mnyamwezi munapigana,ila movie zenu zinafunza sanaaaaa 😂

  • @lulupeter-xf9gs
    @lulupeter-xf9gs Год назад +1

    Upo vzur mrmbo vic japo wanakudharau ww hata haujalii yani

  • @JosephmatongwaMabonga
    @JosephmatongwaMabonga 6 месяцев назад

    Vick na kunambi much love endelea hivo nko kenya ila nawapenda sana

  • @MorganLunguya-xw2yh
    @MorganLunguya-xw2yh 11 месяцев назад

    Shwaaaa 😂😂😂😂😂
    Mwanamke mwenye CV hatoi rushwa ya ngono. Wale wenye elimu myeyusho ndio hutanguliza sambusa.

  • @AnnastaziaVicent
    @AnnastaziaVicent Месяц назад

    Jamani nimecheka sana😂😂😂

  • @WitnessGodfrey-c7k
    @WitnessGodfrey-c7k 5 месяцев назад

    Kazi nzur sana kak na umejuwa kuwakomesha

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 Год назад +2

    usimzarau mtu usie mjuwa hakika ❤

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 2 месяца назад

    Viky hana cmu yake ni katululu maskini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 7 месяцев назад

    Victoria Huna baya nakupenda bure ❤❤❤ dadaangu

  • @shabaniathumani2284
    @shabaniathumani2284 Год назад +1

    victoria kama changamoto unapitia inaonekana umepitia magumu hata kwenye maisha ako so kuigiza2

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 8 месяцев назад

    Sasa sim n sifa au ulimbuken tu punguzen miemko😂😂 sm zenyewe mmezipata kwa kudanga😂

  • @paulinabajutha4445
    @paulinabajutha4445 Год назад +6

    Much love to Victoria and Brown

  • @ruquiajuma8405
    @ruquiajuma8405 Год назад +3

    Vicky nakupenda bure

  • @LucyDagras
    @LucyDagras Год назад +1

    Victoria nakupenda dada ❤❤❤

  • @ShazChem
    @ShazChem 2 месяца назад

    Mimi kwa maisha yangu nitaishi kukaa kama victoria kamwe,kitabia amekuwa kielelezo nzuri kwangu...❤ila naona shanaiza na tina wakiambulia patupu😅😅😅😅kwa ajili ya empty promises za brown....wote wawili wanapata kazi😅

  • @MusaLaiza-u5g
    @MusaLaiza-u5g Год назад +2

    wow Victoria ogera sana kwa ustaarabu wako

  • @musyokikimeu9103
    @musyokikimeu9103 Год назад +1

    Thi woman is one's in a million

  • @fatumamohammed15
    @fatumamohammed15 Год назад +2

    Kivumbiiii leooooo😂😂😂

  • @gladyskenga-v8w
    @gladyskenga-v8w Год назад +5

    Alafu brown uko sawa sana victoria daa congrats ❤❤

  • @RichardJoseph-y1q
    @RichardJoseph-y1q 5 месяцев назад

    Brawn nae bana❤😂😢😮😮😅

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 Год назад +3

    Vikitoria ❤❤❤❤

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز 11 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 nawapenda saana 😂😂

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 11 месяцев назад

    Dharau sio nzuri😅😅😂

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq Год назад +5

    Bg up sana brown iv ndo wanatakiwa kufanyiwa km iv mana wanajua kutoa rushwa ya ngono ndo inatosha ndo wajifunze xx

  • @RichardNdambo
    @RichardNdambo 2 месяца назад

    Mbona amtoimuvi jamani❤❤❤❤❤

  • @عاملهمنزليه-ي8ض
    @عاملهمنزليه-ي8ض Год назад +4

    ❤❤❤❤ from Kenya

  • @SharifaOmary-f5c
    @SharifaOmary-f5c 4 месяца назад

    Wana donta naombeni mwendelezo wake hii move please Wana donta tv

  • @mbwilojenipha8741
    @mbwilojenipha8741 Год назад +1

    victoria ❤❤❤❤❤ san yan

  • @Stephenekidipat
    @Stephenekidipat 9 месяцев назад

    Huyu Victoria ndiye anafaa hiyo kazi juu ako na ustaarabu Sana aki

  • @sophiegedo9338
    @sophiegedo9338 7 месяцев назад +1

    Napenda swaga za brown

  • @NehemiaMaritine
    @NehemiaMaritine Год назад +1

    Hiinoma saan❤❤ nawapenden🎉🎉🎉

  • @christinaaloyce6762
    @christinaaloyce6762 7 месяцев назад

    Victoria much love🎉❤❤

  • @vivianrobert2276
    @vivianrobert2276 Год назад

    Adi Raha jamani victory mzri kinoma❤❤❤

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 Год назад +16

    Much love from Kenya ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @abuungoda-tq9jo
    @abuungoda-tq9jo Год назад

    Victoria yani kama ulivyo na tabia zuri kama hiyo Mungu akupe mume mwema

  • @isaacpayiai4934
    @isaacpayiai4934 Год назад +1

    Victoria much love ♥️💜💜💜

  • @mtanganyika-films
    @mtanganyika-films Год назад +2

    Victoria 💪💪

  • @Verry-og3iw
    @Verry-og3iw 8 месяцев назад

    Jmn Victoria nakupenda sanaaa love you

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 3 месяца назад

    Jama mbona wanawake tnajirahisisha hivyo hatakama tuna shida😊

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 Год назад +2

    Victoria💖💖💖💖💖❤❤❤

  • @RichardJoseph-y1q
    @RichardJoseph-y1q 5 месяцев назад

    ❤❤❤Victoria mama yako🎉🎉🎉

  • @Amina-i4r
    @Amina-i4r 11 месяцев назад

    Nimechelewa lakini team kelvin nawapenda bure

  • @RenathaCosmas-m3t
    @RenathaCosmas-m3t Год назад +1

    Victoria love you❤❤❤❤❤

  • @shabaniathumani2284
    @shabaniathumani2284 Год назад

    mbona tina hasifiwi jamani na yeye ni m
    wema jamani😂😂😂😂

  • @RichardJoseph-y1q
    @RichardJoseph-y1q 5 месяцев назад

    Waende wakafanye kaz ya umamantilie😢😮😮😂😂😂😂😂😂 21:06

  • @CelestineKibii-vd9og
    @CelestineKibii-vd9og Год назад +15

    Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @BenAnton-ws5ux
    @BenAnton-ws5ux Год назад +1

    Jaman Kaz nzur sanaa

  • @QueenBaby-mv4px
    @QueenBaby-mv4px 7 месяцев назад

    Hahaha mmmh 😊😊

  • @Kulthumaly-cu9sd
    @Kulthumaly-cu9sd Год назад

    Tamaaa hizo zimewaponza😂😂😂😂

  • @khairatabdallah8168
    @khairatabdallah8168 Год назад +3

    Ata kam nimechelew ila bd nipo pamoja na nyie hamna bay kwang nawapend san kikund cha kelvin

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 6 месяцев назад

    Victoria ni umoja tu❤