Hongera Adam move zako zote nitam yani kila utakayo iangalia unafurahia tu hataukiwa na mawazo unajikuta unacheka nakufurahi unasahau matatizo yote haki mungu azidi kukuongoza ufike mbali zaidi big up sana Adam ❤❤❤❤🙏🙏
Nimekuwa ni mfuatiliaj mzur sana wa filam zako kaka kusem ukwel unajua san kutunga story aswa zakuelimisha jamii mwenyezi mungu azd kukuongoza naiman utafika sana mbali kaka big up sana
Siwezi muacha mpenzi ninae mpenda kwa tamaa ya pesa subutu tunapambana mimi na yeye tupate zetu na sio kumuacha kisa boss anapesa Ongeleni sana kwa kazi zuli nawapenda wote umo ndani ❤❤❤❤
Umasikini mbaya sana, NAKATAA UMASIKINI KWA JINA LA YESU KRISTO BRO ADAM POKEA UBUNIFU ZAIDI KWA JINA LA YESU na pokea neema ya wokovu una moyo wa tofauti katika movie zako
Filim hii ni nzuri sana. And the actors mainly the guy who acted as a Boss did it to his best. But Asante sana kucheza movie hii nzuri. Am sorry for my poor Kiswahili only that am studying Swahili language and soon i will be perfect.
Much love adam 🎉🎉 ila wadada muache hizo roho zenu ngumu mtu Kuwa bc na huruma na mwezako ila loooooh😢😢😢 kweli pole adam wanawake viumbe wa ajabu just😂😂😂❤
Filamu ya mafunzo kweli.haina hah a utharau wenzio eti kwa sababu uko na hera kesho yako huijui.mbele ya mungu tuko sawa hakuna aliye zaidi juu ya mwingine.kazi nzuri adamu.mungu abariki kazi yako
Mko makini sana na story zenu yaani sinamafunzo sana unakuta umemaliz lkn warudish nyuma ile utazame Tena good job Adam na wengne much love from kenya❤❤❤❤❤
Daaahhh zuu amecheza freshy hapo kwa mda wa 1:19:55 🤣🤣🤣🤣boss kimaro akauwa kenge aty"nimeskia moyo umelia ngaa💥💥ngaa 💥💥"noma sana mzae...real time reality...congrats content moto moto👍
wow👍👍yani movie nzuri sana ns yenye mafunzo mengi sana,hongereni wahusika wote but the 4 of you;boss, husband and the wife na brother to wife big up🙏🙏❤❤❤❤
Kaka kama kuna filamu yako poa nilipenda sana ni yenye mke wako ataki kukuongelesha but anaongea na marafiki vizuri manze iyo filamu imenifunza sana sikuzote nitakuwa makini nilije nikawekeliwa ujauzito yenye sijuhi🤣😂🤣😂🤣😂🤜🤛ongera sana
Kaka hizi filamu siyo kwaajili ya kuDOWNLOAD, unatakiwa uangalie na kuiacha hapo hapo, ukiitaka tena uingie uangalie, kudownload ni kuiba haki za wasanii, ila ndo nitafanyeje tena mie, na ninatengeneza kwaajili yenu, Jidownlodie tu ila usije kulalamika bando jingi sababu siyo mimi mpangaji😊 karibu tena kutazama nyingine hapa, nawakubali.
Hii movie imenichekesha nilipo kumbuka wakati niliendaga kwa mdogo wangu kuomba kula naye kumbe hakuwa na kitu yakula akasema sisi tulikosea wapi jameni 🤣🤣🤣🤣🤣aki mumenikumbusha mbali
Hahaha asante, tumekuwa tukitoa filamu zinazogusa kwa jamii kwa namna moja ama nyingine, asante kwa kuwa unazitazama. Usiache ku Subscribe ili usipitwe na filamu zetu mpya.🙏
Tazama vituko vya dogo aliyezubaa baada ya kutafutiwa mke na mjomba wake😂😂Komedi ya kuchekesha👇👇
ruclips.net/video/Fu1K5aTTj10/видео.html
Napenda Sana move zako mungu akujaliee kwa mafunzo mengi unayotupatia
Napenda sana ❤❤❤❤
Hongera Adam move zako zote nitam yani kila utakayo iangalia unafurahia tu hataukiwa na mawazo unajikuta unacheka nakufurahi unasahau matatizo yote haki mungu azidi kukuongoza ufike mbali zaidi big up sana Adam ❤❤❤❤🙏🙏
Shukrani sana
Kiukwli filam zako zitubudisha sana
Asante mno.
Nimekuwa ni mfuatiliaj mzur sana wa filam zako kaka kusem ukwel unajua san kutunga story aswa zakuelimisha jamii mwenyezi mungu azd kukuongoza naiman utafika sana mbali kaka big up sana
Shukrani sana, asante kwa kuona hilo. Barikiwa na endelea kutu support kwa kadri utakavyoweza.🙏
Aisee broo umetisha yaani Mambo ni moto..story imeetulia kwa imepangika big up sana broo
Shukrani sana🙏🙏🙏🙏
Siwezi muacha mpenzi ninae mpenda kwa tamaa ya pesa subutu tunapambana mimi na yeye tupate zetu na sio kumuacha kisa boss anapesa Ongeleni sana kwa kazi zuli nawapenda wote umo ndani ❤❤❤❤
Asante mno
Umasikini mbaya sana, NAKATAA UMASIKINI KWA JINA LA YESU KRISTO
BRO ADAM POKEA UBUNIFU ZAIDI KWA JINA LA YESU na pokea neema ya wokovu una moyo wa tofauti katika movie zako
Ameen napokea🙏🏻🙏🏻
Dah!!!!funzo kubwa kweli... ahsante sana kwa kazi nzuri kakangu...
Shukrani sana🙏🙏
Wow nice one sijawai tazama filam hadi mwisho lakini hii imeweza good job
Shukrani sana, usiache ku subscribe zipo nyingi sana.
Filim hii ni nzuri sana. And the actors mainly the guy who acted as a Boss did it to his best. But Asante sana kucheza movie hii nzuri.
Am sorry for my poor Kiswahili only that am studying Swahili language and soon i will be perfect.
Ooh! Nimeelewa. Asante sana🙏🙏
Much love adam 🎉🎉 ila wadada muache hizo roho zenu ngumu mtu
Kuwa bc na huruma na mwezako ila loooooh😢😢😢 kweli pole adam wanawake viumbe wa ajabu just😂😂😂❤
Umeona eh, asante kwa kutazmaa
Uko vzr sana kijana wangu,nakuaminia cku zote huwa hukosei bn.Keep it up bro.
Thanks! Tuko pamoja.
Good work hilo ni fundisho kwa watu wenye kipato wanaowadharau wasio na kipato bigup sana na hongereni sana mungu awabariki katika kazi zenu
Kweli kabisaaa
Duh huruma kwa kimaro japo hata mm alikua ananiboa sana hongela kwa filam zenu zenye mafunzo
Shukrani
Filamu ya mafunzo kweli.haina hah a utharau wenzio eti kwa sababu uko na hera kesho yako huijui.mbele ya mungu tuko sawa hakuna aliye zaidi juu ya mwingine.kazi nzuri adamu.mungu abariki kazi yako
Kabisa kabisa aisee.
Wa Boss Wenye Jeuri Hilo Ni Fundisho Kbs Adam Big Up Sana.
Shukrani sana
@@AdamLeoStudios Yaani Ndugu Na Furahia Gisi Unavyo Igiza Kuhusu Mashauri Ya Dunia Ya Sasa.
Duuuuu, huyo bos kama kinu cha vitunguu swaumu kafupiiii🤣🤣🤣🤣lkn Ana mbwembwe kamq Mc 👌👌👌Pole Adam hiyo ndio pesa bwana inaongea
Yaani wewe acha tu aisee.
🤣🤣🤣🤣🤣 Jameni eti kinu cha vitunguu swaumu 🙆♂️
🤣🤣🤣
😂😂😂afu mkali balaa
Adam sure kwakuwa mvumilivu mwisho hula mbivu. Zuu nice game liwe funzo kwa kila mwenye dharau kama hizi kutojali masikini.👍👍🙏
Kabisa kabisa
❤😂🎉🎉😢 ongera sana movies zako zinafundisho kweli,mungu akubariki kwa kazi zako❤❤❤❤
Ameen
Nimechelewa kuitazama hii ila hongera sana Adam Mungu akupe nguvu uzidi kutupa mafunzo #TAMAA MBAYA
Asante sana, filamu yetu nyingine ya KIHORO hii hapa, unaweza kuiangalia ruclips.net/video/ZEUOcc9dgcg/видео.html
Mko makini sana na story zenu yaani sinamafunzo sana unakuta umemaliz lkn warudish nyuma ile utazame Tena good job Adam na wengne much love from kenya❤❤❤❤❤
Thanks a lot
Nimefulai sana ongeleni mungu awabaliki kwenye kazi zenu
Asante sana
Pole sana boss kimaro iyo ndo adabu ya kunyanyasa wenzako bg up broo Adam
Shukrani sana umeona roho mbaya haijengi.
Umeona eh, roho mbaya haijengi.
ASANTENI NYOTE, MNANIPA NGUVU YA KUENDELEA KUFANYA VIZURI ZAIDI. NINA WAAHIDI KAZI ZINAZOFUATA ZITAKUWA BORA ZAIDI.
BOSS
Kazi mzuri sana
Aise we jamaaaaa uko vizr sana unafikiri sana
I gonna join you jamaa yangu Nakuja tuungane tupige kazi nyingi Zaidi
Karibu @Clifford
Eee hiyo video ni noma kweli wee ❤❤❤
Shukrani
Kazi zuri xana brother nakupendaga😍
Asante sana shukrani
Adam nakukubali San muvi zako zinafundisha San Mung azid kukuimarisha Zaid kweny kipaji chako
Ameen🙏🙏🙏
Unahusika katika kumaliza bando langu kaka🔥
Shukrani sana.
Hongera adam kwa kaz zur sichachelewa kabisa
Shukrani sana, baki na sisi upate filamu nzuri na bora.
Kiukweli imeweza 🥰🥰🥰 congrats 👌👌👌💯💯💯
Asante sana kwa kutazama filamu zangu.
Tamaa si yote mbaya kwa sababu moja mimi nakupenda na ona mambo safi sana ❤❤❤❤👌
Asante mno
Asanten sana kwa movie mzur yenye mafunzo makubwa hapa dunian
Shukrani sana, usiache ku Subscribe ili usipitwe na kazi yetu mpya.
Masha Allah hadi raha ningepata mume kama ww akhaa na nenepa bla hata ya kula maneno tu mazuri
Jamani haahahaha
Mmmmm mtihani kweli Adam ushaachwa asee pesa iziii
Yaani we acha. Unaachwa kizembe sana.!!
Daaahhh zuu amecheza freshy hapo kwa mda wa 1:19:55 🤣🤣🤣🤣boss kimaro akauwa kenge aty"nimeskia moyo umelia ngaa💥💥ngaa 💥💥"noma sana mzae...real time reality...congrats content moto moto👍
Shukrani sana aisee.🙏🙏
ADAM LEO keep up bro make umekuja na kasi ya kufufua bongo movies basi ifanye iwe kama bongo flevor
Najitahidi🙏
kweli kaka iko kidogo tu watu wanatafuta mtu wampa ndomana wengine wanahalibu ndoa zawatu ili wakae wao nice movies
Kweli kabisa
Ila boss mtoto nimemkubali sana
Hahahhaha nomaah sana,
Great work MUNGU Akupe maarifa zaidii
Amen🙏😉
Good work may God grant you guys more skills
Thanks a lot🙏🙏🙏
Funzo waah hongeren
Asanteni
Filamu nzuri yafundisha nyingine ya huzunisha na kufurahisha hongera sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante sana
@@AdamLeoStudios 💓💪🏻☝🏻💥
Joka,boy3,
🙏
Kali brow
Shukrani
Nakubari papa
Asante sana.
Kwel tamuu nmeipenda na inafundisha hongereni wote mloshiriki
Asante sana, barikiwa.
Daaah nakukubali sanaaa jaman mungu akutunzeee nawapenda❤❤❤❤❤
Mimi pia
wow👍👍yani movie nzuri sana ns yenye mafunzo mengi sana,hongereni wahusika wote but the 4 of you;boss, husband and the wife na brother to wife big up🙏🙏❤❤❤❤
Shukrani sana Lydia kwa uwepo wako, tunakuomba usisahau ku Subscribe channel yetu na kutufollow instagram @adamleotz ili usipitwe na kazi zetu mpya.
umaskini unabowa hadi unafanya kazi ambayo ina mateso masimango da kelo♨️♨️
Yaani tabu tupu, ila ndiyo hivyo Mungu anatupambania.!
Ama kweli nakukubali sana kwa filamu zako tamu endelea kaka utafka sana mbali
Shukrani
Boss kimaro safi saana
Confidence 💯
Limeosha hilo
Salute to u Adam ...kazi nzuri sana haki
Shukrani sana
Haki nimependa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Asante
Hongera kaz, nzur mxikate tamaa ipo vizur
Asante sana🙏🙏🙏
Kaka kama kuna filamu yako poa nilipenda sana ni yenye mke wako ataki kukuongelesha but anaongea na marafiki vizuri manze iyo filamu imenifunza sana sikuzote nitakuwa makini nilije nikawekeliwa ujauzito yenye sijuhi🤣😂🤣😂🤣😂🤜🤛ongera sana
Asante sana bwaba Erick, ubarikiwe.
Hamu, m pia niliipenda sana
Shukrani sana.
Ndo ipi iyo
@@AdamLeoStudiosinaitwaje iyo move
Ongeleni sana
Asante sana.
Kazi nzuri,Adam,Kimaru,Zuri na wahusika wote
Asante sana, usiache ku subscribe kwa kazi zetu zijazo.🙏
Shukrani..
Adam napenda kazi Yako sana
Shukrani
Ndo maisha ya wafanyakaz wanawake mliokuwa kwenye ndoa muwe wavumilvu huku nnje jua kal😔😔😔😔
Kabisa kabisaa...😁
Kazi nzuri n inafundisha hongera
Shukrani sana🙏
Mmmh kazi nzuri sana
Asante sana kwa kweli.
Funzo zuri sana asante
Asante sana! Mnatupa nguvu ya kuendelea zaidi.
Kali sana ✌
Asante sana🙏
Hongeren sana kwa movie nzuri na yenye kufunza hasa kwa maboss wote wanao wanyanyasa masikin kwasababu ya mali zao
Umeona eh..!!🙏🙏
Sisi Ni Watoto Wa Uswazi Never Huwezi Kutuwekea Mipaka Unyama Sana Adamu👋
Mia sana damu yangu.
Boss kichefu chefu 😅😂😂😂😂😂
Saanaaa
Wanawake ukipata mwanaume mwenye anakupenda mheshimu Wacha ku
MtesA
Kabisa kabisa dada, sababu upendo wa kweli kwa wanaume wa sasa ni mdogo sana.
Lkn wanaume wakitendwa hulalamika sana lkn ss haku
Umeona ehhh!!
Imeweza😅😅🖐️boss kimaro anataka kulia🤣🤣🤣🤣
Hahahah kachokaa.
Hapa nimejifunza sanaaa Asante watayarishaji wa hii movie
Shukrani sana.
Afwan
🙏🙏
Adamu umenifunza kwa kweli Hawa Wana wake hapanaa
Yaani we acha tu kwa kweli.
Pole sana Kaka umasikini duuuu
Umasikini mbaya sana
KAZI nzuri, uhusika kamili
Shukrani mnoo
Kwa kweli movies zako Adam ni 🔥 I love it
Shukrani sana.
@@AdamLeoStudios afwan
Wauuuuuu hongera sana Adam kazi njema sana
Shukrani sana
Kazi nzuri kaka adam. Mungu akubariki
Amen, asante sana🙏
👍👍👍👍 I like your movies
Thanks a lot🙏
Adam nakupenda sana kazi zunu nzuri sana ongereni wausika nyote
ShukrAni sAnA🙏🙏
Really like your movies. They are a typical of current society and really have advises in them.
Thanks a lot brother
Mambo ni fire, kali sanaaaaaa,
Asante sana Nuru manyotaa.
Hongeren kaka kz nzur sn inamafunzo yakutosha kbsaa🔥🔥👌👌🙏
Asante sana jamani, usiache ku subscribe channel yetu.
@@AdamLeoStudios ok
Ok sada
Boss Adam asanti kazi
Hahahah huyo boss sasa😂😂😂
Duu sio kwa Style hio Boss Mtoto akua Mwana Mchanga aoshwa Minguu..🤣🤣🤣 Xanaa tu njomba Adam kaza kamba
Hahahaha boss mtoto ana shida na hela zake za urithi😂😂😂
Good job broo God bless you and your work 👍
Thank you.🙏🙏
Jamani kimaro pole mwaya mapenzi upofu
Kwelii kabisa
Kaz nzur san
Asante sana
nawafatilia sana aise sema kilichoniumiza kwa nje mb zanaonekana chache kudownload ila kumbe zinaenda nyingi so acheni udanganyifu
Kaka hizi filamu siyo kwaajili ya kuDOWNLOAD, unatakiwa uangalie na kuiacha hapo hapo, ukiitaka tena uingie uangalie, kudownload ni kuiba haki za wasanii, ila ndo nitafanyeje tena mie, na ninatengeneza kwaajili yenu, Jidownlodie tu ila usije kulalamika bando jingi sababu siyo mimi mpangaji😊 karibu tena kutazama nyingine hapa, nawakubali.
Safi sana Adam unanifundisha congole
Shukrani sana🙏🙏🙏
Hongera Sana kwafundisho
Shukrani sana
Adam wewe nakukubali sana💗🔥🔥🔥😍
Asante sana, nakupendaa.
@@AdamLeoStudios i love you too💖😍🙏
Me too namkubali kinoma
Nakukubali pia sister.
Fear women 🙌big up brother Adam
Thanks a lot
Aka jatoto ni nomaa sana l enjoyed the movie
Thanks
Dude bovu kabisa💯💥💥💥 hujawah fel
Shukrani sana. Kaa hapo usibanduke.
Much love u Adam ❤❤❤
Mashallah kazi nzuri sana Mungu awaepushie hasad🤲
Amin inshallah🙏
Gd move 100 %
Thanks aisee🙏🙏
Maboss washenz kweli 🤔🤔😏
Kuliko maelezo.
Inamaana.hela yapenda mtu msafi we boss kiboko kwa hiyo kma umchafu hela yakukimbia eti pesa zimemzoeeaaa haziez mkimbia🥺🥺🥱🥱🤭🤭🤭
Kweli kabisaa
Boss mwenyewe sasa😁😁😁😁😁
Hahahaha shida tupu.
Nice story so amazing
Thank you so much
@@AdamLeoStudios much love kaka from Kenya 🇰🇪 I love 😍 soo much your movie