KABURI LA SOFIA (BONGO MOVIE)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 433

  • @aishajuma220
    @aishajuma220 5 лет назад +21

    Daaah kunawatu wahenga humu wanakumbuka adi mwaka wahii movie!!! Noma

  • @issakihange902
    @issakihange902 3 года назад +14

    Kama bdooooo unatima hiiii 2021gongaa likee hapoi

  • @dieudonnensengiyumva2511
    @dieudonnensengiyumva2511 6 лет назад +28

    Mungu akubariki wewe ulie tuwekea hi movie.God bless you so much.

  • @HemedIdrisa
    @HemedIdrisa 2 месяца назад +1

    Wanaojikumbusha kwa kutazama ihii move 2024 gonga like

  • @ringoclever7208
    @ringoclever7208 8 месяцев назад +10

    2024 Bado tunajikumbushia tupo live

  • @TsuiAmbari
    @TsuiAmbari Год назад

    Ongera sana baba tizo filamu inaelimisha.

  • @nicehonesty3936
    @nicehonesty3936 4 года назад +69

    Kama bado unaitizama 2020 like hapa weweee....piga kelele kwa sofy akeee

  • @christinadaniel3728
    @christinadaniel3728 Год назад +2

    Jamani kila ninapo itazama hiii movie machozi lazima yanitoke😢 bat haikinai kutazamwa yaan ni nzuli sanaaa pongezi kwa director 🎉🎉🎉

  • @nicehonesty3936
    @nicehonesty3936 4 года назад +2

    Dahh dogo kanitoaga machoz tangu enz hizoo ad leo nampenda sana tizo jamni

  • @nuruabdallah9031
    @nuruabdallah9031 4 года назад +1

    Duuuuu safii sanaaa baba ....move ya kitambo sanaaa......Weka zingine zazaman Dj

  • @mchiadarsizm1052
    @mchiadarsizm1052 6 лет назад +5

    Ktambo sana dah!! Enzi izo dem unamtongoza kwa barua ___vzr kwa iweka bado Chiku na Kapili (Safari)

    • @khadijamessiah8620
      @khadijamessiah8620 2 года назад

      Ile movie kwa kweli iyekwe tu kipindi hicho Niko s .t.d 1

  • @NurudiniBeno
    @NurudiniBeno 25 дней назад

    Mm nurudini beno ❤❤❤❤❤❤nazipenda movie zakitambo mi siangarii masizoni🎉apanaka niangarie matotora yani silari tu

  • @mwalimhamad9622
    @mwalimhamad9622 6 лет назад +6

    safi sana kaka yani kipindi icho tukishamaliza kuangalia filam kama izo kimbembe kipo kwenye kwenda chooni..choon tulikuwa tunaenda wawili wawili dah safi san kaka tuekee na nyengine tufaidike zaidi

    • @estercharles7597
      @estercharles7597 5 лет назад

      Hahahahahahahaaaa hahahahahahahaaaa hahahahahahahaaaa noma sana kweli kabisaa kaoge kwanza ndo urud

  • @mwajumakweli6753
    @mwajumakweli6753 6 лет назад +2

    Dh..... mizee mingine bange sanaa hinasahau hilipotoka fyuuuuu

  • @abdulmpunjo1241
    @abdulmpunjo1241 3 года назад +4

    SAFARI YA CHIKU na KAPILI na jinamizi
    Kisa cha Kweli kilichotokea Rufiji miaka ya 90 ni nzuri Hizi movie

  • @abdulkadir3057
    @abdulkadir3057 4 года назад +2

    Daaah atari san

  • @halima7255
    @halima7255 4 года назад +1

    Ongereni sana kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote nifundisho kuwa sana

  • @sarhankomelo6507
    @sarhankomelo6507 Год назад

    Daaaa zaman sana movie hii ila aichoshi atakutazama

  • @manboyjunior8376
    @manboyjunior8376 6 лет назад +2

    Mhhhh hiii movie ya enzi gani haaaa nzuri xn

  • @dashuusaalim8882
    @dashuusaalim8882 6 лет назад +3

    hongera kwa kutuwekea the old move ambyo naipenda xana

    • @hawadere1512
      @hawadere1512 6 лет назад

      Jamani hii move ni zamani sana tunafanya kelele kwenye nyumba ya watu. Mpk tunafukuzwa anaeongea lkn hatukomi ucku tuwekewe tena kanda la tepu. Hahha

  • @opiyoomollo5333
    @opiyoomollo5333 5 лет назад +5

    Move zazaman zilikua safi sana

  • @hawwasandale1935
    @hawwasandale1935 3 года назад +1

    Duuuh! Mmeturudisha utotoni kitambo sanaaa nimefurahi balaa

  • @twalibndauka1451
    @twalibndauka1451 3 года назад

    Bonge la movie hongera Sana kwa stori nzuri.

  • @maryimah5173
    @maryimah5173 4 года назад

    Hii muvi ilikua na mafudisho sana..tofauti na bongo muvi za sikuhizi..kiukweli imenikumbusha mbali sana kipindi nipo mdogo.

  • @chabameinstrumentalbeat6510
    @chabameinstrumentalbeat6510 5 месяцев назад +3

    tuwekee na movie ya chiku na kapili ,,sijui hapa Kuna wahenga wanaikumbuka

  • @zahranassor4208
    @zahranassor4208 2 года назад +8

    Ni movie nzuri kabisa..inafunza kabisa..2022 hapa..kumbe movie za zamani ni kweli old is gold😍😍

  • @HilaliMabuku-jy7ip
    @HilaliMabuku-jy7ip 6 месяцев назад +2

    kipindi icho wali na nyama ni tajiri😂😂😂😂

  • @gracesemiono8040
    @gracesemiono8040 3 года назад +1

    Tizo anaweza sana

  • @jenifergreen4626
    @jenifergreen4626 4 года назад +5

    Tizo alikuwa good kwenye kuigiza

    • @azzahussein840
      @azzahussein840 4 года назад +1

      Nishida huyu mwalim Ali 😅nlisoma nae shule ya msingi mikumi

  • @amanimatokeo6765
    @amanimatokeo6765 6 лет назад +1

    Duu kitamb sanaaa hats bongo movies hazijabamb na bong freava

    • @amanimatokeo6765
      @amanimatokeo6765 6 лет назад +1

      Filam ya mafunzo makubwa tuepuke tamaaaa ss wanaume kwa Mali dhid ya vishawish vya wanawake

    • @alexassey5523
      @alexassey5523 4 года назад +1

      2020 tujuane hap

  • @bongoyetu8938
    @bongoyetu8938 7 лет назад +137

    Duuuhh miaka ileee sukari shilling 450@kg
    Kama unakumbuka fanya hivi 👍

  • @rachelmaula6871
    @rachelmaula6871 4 года назад +3

    Nilichojifunza safia anamuheshimu San mme wakee

    • @juliamhagama9035
      @juliamhagama9035 4 года назад

      Amelala nje apoludi anakalibishwa vizuli kweli anamuheshimu

  • @khadijakivanga9518
    @khadijakivanga9518 4 года назад +3

    Watoto wanajua sanaaa😘😘

  • @musasabu6969
    @musasabu6969 4 года назад +4

    Movie za zamani zlkuwa znafundsha

  • @shaniabdul542
    @shaniabdul542 6 лет назад +4

    Asantee kwa movie nzur

  • @anithamwenda7725
    @anithamwenda7725 4 года назад +1

    Yan limelala njee AF asubuh karibu Mme wangu Fyuuu

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 6 лет назад +43

    safi sana tulikuwa tunakusanyika nyumba moja hivi enzi hizo halafu unaambiwa kaoge kwanza ndipo urudi. thanks sana bonge la movie

  • @SalumSafkim
    @SalumSafkim Месяц назад

    Tumeni move ua mtemi masweta

  • @jocalproduction8102
    @jocalproduction8102 6 лет назад +15

    Ivi awa wa toto wapi waliko maman ngu alikuwaga napenda sana iyi filamu ivi niki mwambiya kama nime ipata kwenye RUclips dah itakuwa makelele ya raha naipenda sana iyi movie

  • @mwanahamisseif5506
    @mwanahamisseif5506 4 года назад

    Hii move uwa sichoki kuiangaliaa kwelii ya kale ni dhahabu 👌👌👌

  • @abdulzackawami7780
    @abdulzackawami7780 4 года назад +7

    Azam tv turushieni movie kama hizi sio kila siku manakazi ya kurudia movie tu za akina Tin white na Ringo

  • @hawamusumbawanghatognola4470
    @hawamusumbawanghatognola4470 2 года назад

    We stori tamu sana 💯❤️‍🔥💞

  • @amybrown469
    @amybrown469 3 года назад +4

    Jaman tunao angalia KABURI LA SOFIA 2021 tujuane

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 Год назад

    Dah! Tuesday Kihangala,,Mussa Banzi na Sultan Tamba walikuwa watunzi bora Sana wa filamu za mapenzi,uchawi n.k,,Nipo live 2023 hapa.

  • @biommy6700
    @biommy6700 6 лет назад +4

    Nice movie.....hongereni wote washiriki...inamafunzo kweli

  • @iradukundaSimplic
    @iradukundaSimplic 6 месяцев назад

    Iyi cinéma inatiya huruma sana mungu atupi mujakazi wake

  • @mbatomudi4664
    @mbatomudi4664 6 лет назад +4

    Nimeikubali

  • @fatmamwatamba5881
    @fatmamwatamba5881 4 года назад +1

    Daaah hii movie ni kali na haishi hamu😇😇
    Haijawahi kutokeya movie kama hii bongo

  • @shiruclever1679
    @shiruclever1679 6 лет назад +2

    Safi sana namkumbuka mwalim msila kasulu tulikua tunaiangalia kwake

  • @salvadordomingez8628
    @salvadordomingez8628 3 года назад +2

    Malipo yote ni hapa chini ya jua🙏 asanteni sana washiriki filamu hii inaelimisha jamii kwa ujumla

  • @sydney.ikapaya9994
    @sydney.ikapaya9994 4 года назад +1

    Sinema nzuri mnoooo

  • @TabiamohamedOoog
    @TabiamohamedOoog 29 дней назад

    Movie nzur

  • @MuraniSalim
    @MuraniSalim 2 месяца назад +1

    Kizazi sana 0:27 tupo 2024

  • @sadickrajabu4536
    @sadickrajabu4536 6 лет назад +5

    Hii movie nlkuwa mdogo sana iko poa sana

  • @rosemarypaulo8414
    @rosemarypaulo8414 6 лет назад +3

    wabongo bwana xa dam gan ya pink

  • @khadijakivanga9518
    @khadijakivanga9518 4 года назад +1

    Mda Sana nakumbuka mbal

  • @jumabakwel4508
    @jumabakwel4508 5 лет назад +4

    Daaah kitaaambo kweli

  • @ElizabethMajundo
    @ElizabethMajundo 3 месяца назад

    nimekumbuka mbali sana

  • @nasraally1708
    @nasraally1708 3 года назад

    Nice movie kitambo san

  • @mauwapremice7080
    @mauwapremice7080 4 года назад +2

    Daah kitambo san kweli apo kwenye pesa sasa daah😅😅

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 4 года назад +2

    Mwisho wa ubaya aibu baba aliakimbea hku afunga macho🤣🤣🤣

  • @thumaaesmail628
    @thumaaesmail628 6 лет назад +4

    zamani sana hii muvi

  • @ElizabethMajundo
    @ElizabethMajundo 3 месяца назад

    Hahaha wahenga tupo

  • @alexiswamillazo6520
    @alexiswamillazo6520 7 лет назад +38

    Itapendeza ukitupia na SAFARI chiku na kapili. Pia ROHO MBILI.. gd san

  • @timotheopaulo3800
    @timotheopaulo3800 5 лет назад +1

    Dah! Hama kweli mungu hamtupi mcha wake

  • @ibrahibakar1167
    @ibrahibakar1167 3 года назад +1

    Kitambo icho nilikuwa napenda kuangalia bongo movie sio sasa.

  • @okuchuigwee5814
    @okuchuigwee5814 6 лет назад +2

    Huyo mzee buree kabisa

  • @RukiaRukaiyarunde
    @RukiaRukaiyarunde 2 месяца назад

    Nimeinjoy kunichek hiii move

  • @barakahatibu1629
    @barakahatibu1629 6 лет назад +1

    Nice move sana

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 года назад +4

    Umaskini huu, baba mtu kashindwa kumgombeza mwanawe 😂😂😂

  • @maimunanewton410
    @maimunanewton410 4 месяца назад +1

    Naangalia namkumbuka baba i was 6 old when he passed away 2006 alinunua hii movies enzi hizo ni tape kubwa ma bonge la tv..😢

  • @chedichedi2992
    @chedichedi2992 6 лет назад +2

    Hassan hassan Asante sana kk kwa huiweka hii movie RUclips yaani long time sana

  • @imanibaraka503
    @imanibaraka503 6 лет назад +4

    noma xan

  • @shalmm4602
    @shalmm4602 6 лет назад +2

    Watoto wako machooo huhuhuh shda zote izi

  • @naimakweyamba5340
    @naimakweyamba5340 5 лет назад +9

    Tarehe ya 7/10/2010 leo natizama tena move ya kitambo sanaa Aisee..
    😃😃 mie bado sijaona upizani

  • @saudaomary9363
    @saudaomary9363 5 лет назад +1

    Daaah,kitambo sana

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 Месяц назад

    hawa wazee wehu wao wanalala mtoto akahangaik 😂😂😂😂

  • @Rajabujangusho
    @Rajabujangusho 2 месяца назад

    Daah namkumbuka huyu muhindi wa kanjibhai

  • @evelyneimana9372
    @evelyneimana9372 4 года назад +1

    Izi njo movie turikua tu ki Miss asanteni

  • @mwanaishamzee8572
    @mwanaishamzee8572 7 лет назад +4

    nice_movie

  • @biroridjuma927
    @biroridjuma927 3 года назад

    Jaman ebu nikumbusheni iyi movie ilitoka mwaka gan

  • @rukiahhussein6541
    @rukiahhussein6541 6 лет назад +5

    Napenda hii movie

    • @gaomariwa7637
      @gaomariwa7637 6 лет назад

      Mzee liko ambuyusha mzee hana busara kabisa

  • @BarukPascalkiza
    @BarukPascalkiza 6 месяцев назад

    Nani yupo wapi 2024

  • @hassansaid2113
    @hassansaid2113 6 лет назад +2

    Kaka hongera sana kw kututunzia kumbukumbu,kuna move ya bongo inaitwa shahidi ipo ila ni ya kitambo staring mbwana.

  • @sdfghsdfgj531
    @sdfghsdfgj531 6 лет назад +5

    daah atal enzi zilee

  • @frankditrick3109
    @frankditrick3109 5 лет назад +6

    Aliye ona jamaa anapuliza pesa kwa mashine agonge like!

  • @mchiadarsizm1052
    @mchiadarsizm1052 6 лет назад +2

    Hv Tizo sasa hv hatakuwa huyo dogo

  • @ruttycharles720
    @ruttycharles720 4 года назад

    Daah nimeamin wanaume wanabadilik

  • @zetimbinda4018
    @zetimbinda4018 4 года назад +1

    Kitambo move hii

  • @hajisoko1790
    @hajisoko1790 2 года назад

    Hatari sana

  • @JumaMpingo-x5b
    @JumaMpingo-x5b 4 месяца назад

    Duh zaman sana uwo muda tuliuza mayai kwa bei ya 50 ili tukaangalie video

  • @ZaharaMahendeka-e6q
    @ZaharaMahendeka-e6q 4 месяца назад

    Enzi izo tupo kwenye kibanda tunaangalia bila mia uingii

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 2 года назад +2

    Nice

  • @mussaKuntu66
    @mussaKuntu66 Год назад

    Tizo anamkoromea mzeee

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 года назад +1

    mambo n 🔥🔥🔥🔥🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

  • @raphaelkadyanji481
    @raphaelkadyanji481 4 года назад +1

    Kumbe huu usemi wa Mungu anakuona n wa ktambo

  • @Mbwana-t6o
    @Mbwana-t6o 3 месяца назад

    Abar jaman mm izi movie za kitambo Sana toka npo ndogo nilikuwa nkiangalia uck silali peke angu mpk niwe na ndg zangu

  • @cathereneisaka5570
    @cathereneisaka5570 5 лет назад

    Movie nzur Sana, nainafundsha

  • @graceuk8866
    @graceuk8866 7 лет назад +17

    jaman kipind cha move hii niko la 2 duu hatareee

  • @chaymahass
    @chaymahass 6 лет назад +2

    Thank you so much #GOOD MOVIE 💖💖👌👌