nimekumbuka mbali sana hii move aisee Walale pema hawa wazee Mungu awaondoshee adhabu ya kaburini.....King majuto na Mzee smolo wangamba......Azipunzishe roho zao sehem salama.....Amen
Mm nilikua najua Mzee smoll ni mume wa bi chau jamani,yani wameigiza uhalisia wa uswahilini na kijini kijijini hasi walivyo vaa,chau mroho anataka talaka akale bata ,sikuhizi wanaigiza kijijini wametinda nyusi,wanaweka wevu wanaume,wanabrichi yani uhalisia haupo
nimekumbuka mbali sana hii move aisee Walale pema hawa wazee Mungu awaondoshee adhabu ya kaburini.....King majuto na Mzee smolo wangamba......Azipunzishe roho zao sehem salama.....Amen
Amina
Amiin
Sana jamani maisha haya...
Amiin
Wenzangu wa 2024 mwez wa 10 tujuane hapa
Old movies 🎥 are the best 😍🥰🇹🇿
Duu..hii mov nimeipnd atar.. Mwenyez Mungu awaleem mzee smor na mzee majuto..kazi zao zitakumbukwa jaman
Who’s still watching this beautiful movie 2019?
👆
Old is Gold pupo jmoja
Am watching it 2030!!
Me😂
nihatari kweli iyi movie ninzuri sana tena inani kumbusha zamani nilivyokuwa mdogo🔥❤️❤️❤️❤️🙏🇹🇿
Bichau bwana ety wakifanye nini,,, icho kidg tu walichokifanya umefika kutoa radhi😄😄😄 old is gold wawahi😍
🇰🇪🇰🇪😄😃😀😄😃😀
Mbavu zangu 🙌🏽🙌🏽🙌🏽. Bichau yuko juu 😍😍😍
Bi chau nakukubali
Mungu awaondoleye adhabu za kaburi wazee wetu mzeeh majuto na mzeeh smolo😢
Jamani yani hiyi movie naikumbuka nzuri haichuji forever
Nimemis sana kwa jirani yetu mungu ambariki mana tulikua tunajazana sitting room😁😁😁😁
😅😅😅kweli ata mie
Hii ndio sanaa.......
Kwanza sikiza kiswahili kimenyooka
Zamani kulikuwa na waigizaji haswaaa
Kweli kabisa we acha tu
My favorite 2023🇮🇪🇮🇪🇮🇪🇮🇪💪💪💪💪
Mungu akufunguliye jana mzee simply akupe wepesi wakabuli
Mpija picha sasa 😃😃
😀😀😀allah amlaze mahali pema mzee smol
Amina maskin
Ameen yarabi ameen
Ameen
Camera man jamani loh!😂😂😂😂
Harusi yakifahari Khanga mpasuko💃💃💃💃💃
My favorite movie ❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤙🏻🤙🏻🤙🏻
Mm nilikua najua Mzee smoll ni mume wa bi chau jamani,yani wameigiza uhalisia wa uswahilini na kijini kijijini hasi walivyo vaa,chau mroho anataka talaka akale bata ,sikuhizi wanaigiza kijijini wametinda nyusi,wanaweka wevu wanaume,wanabrichi yani uhalisia haupo
Chezea mjin wee 😭😭😭😭😭😭bi chau anataka kwenda mjini 😭😭😭😭😭😭
Who else 2020...
Siku yangu leo imekuwa nzuri Jamani🤣🤣🤣
Rip mzee wetu
Watu walikua wanaigiza kweli
Daah kitambo tuekeen hzi movie za zamani ndo nzuli
Loooo kazi IPO kugawana majukumu
Mbavu zangu jaaman🙆♀️
Bi Chau kiboko kabisa ☝️🔥🔥😂😂😂😂😂
Wapumzike kwa amani wazee wetu, majuto na small
nzuri
Mzee small legend!
Dah! Tupa Tupa. AL marhum king majuto Amri Othman.
😂😂😂😂iyo harusi mwee
Mungu amlaze salama bichau
Ulimuua wew ndugu?😂 mzima wa afya tafadhali
Mungu akulehemu mzee simolo akupunguziye azabu yakabuli
Usijinyonge kwa vile unavyonipenda !!!
Best movie
Bi Chau bwana hahaaaaa kiboko yaan hapa kijijin mbu na mende ninahamu nao tehe. teheee
Bi chau mchambaji hatar wallah😄😄😄😄
Who still watching 👀 this movie 2024 mnipe likes zangu
Mzee small na bi Chau
Hizo nasaa za bi chau 2023
😆😆😆😆😆😆😆penda sana
😂😂😂dah huyu bibi hapana 😂😂😂🙉🙈
🙉🙉🙉🙉🙉🙉
Yaaan nimecheka jaman mambo ya densa😅😅😅
Can someone please tell me what song is playing at 23.21
So nice
No 3 plz
nc sana
Siku hizi akuna mambo kama haya dah mabishow wamefungisha game la Bongo movie
Bi chau wee Kibookoooooo 😂😂😂😂😂
Michezo mengine ya small jamani
2022 august 6 Kenya
Jamn muvi nzur
good movie
Jina la Taarabu pls
Taarab ya kwanza naomba plz
Old is gold
Bro tuekee ile mtoto ni haki ya nani ile za mwazo pia. Coz hii ni nyingine tuekee ile ya mwanzo kabisa plz
😂😂😂Eti ntarogwa
Eti wataturoga
Leten part 2
Tuwekeeeni party 3
Katoà nasaha au kachamba😂😂😂😂😂😂😂😂
Kichambo icho😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Naikubal sana bi chau
Jamani mbavu zangu mbu na mende ninahamu nako😀😂😂😂😂😂✔️✔️✔️
Cameraman sasa 😃😃😃🇨🇩
Nice
Hahaha nimecheka fangilia wawaaaa
Liwalo na liwe halooo😂😂😂😂😂
Talaka tena😱😱😱😱
Jamn king majuto I mic u R.I.P
hassan type zingine za bichau
Sasa iliobaki kurogwa mzee small waaah haha.
22/8/2024 tujuane
Ñimekisaliti kidole nà jiwe🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona hiii michezo hamuimqlizi
Eti unaandika Takaka au unajinyonga😂😂😂😂😂😂😂
Napambika kweli
Bi chau jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bichau ana mbwembwe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂majuto jamanii
Nasaha za mama sasa😂
Jamani mimi mbavu zangu jmni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂daaaa mbavu zangu jamani
Mamaarusi.....si Kwa uchambo uo.... wambea dawa yao vitendo😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Nakwel 😅😅😅😅😅
2021
R.I.P
Hiyo harusi sasa 🤣🤣🤣
🥰🥰🥰🥰🥰🌺🌺🌺🌺🌺🌺❤️
Je Kuna Part 3 n 4
Part 1 and 2 only
Bi chau mi sauti yako unanikosha sn
Side boy km kaganda vile hajui nini kinaendelea
2023❤
Cameraman 😅😅😅
😁😁😁😁😁😁
mpiga pichaaa jamaniii
Mpiga picha kibooko
😅😅😅❤
2024