Sikitiko Langu - Steven Kanumba & Nuru Nassoro (Official Bongo Movie)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Pastor got into trouble after getting a new beautiful brethren, he turned to destroy his own marriage and the church.
    PRODUCED by Mtitu G Game
    SCRIPT by Steven Kanumba
    DIRECTED by Femi Ogedegbe
    Subscribe to Africa Movies on RUclips here: bit.ly/AfrichaM... #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment #Game1st

Комментарии • 612

  • @HussinMartin
    @HussinMartin Год назад +26

    It is 2024 but i cant get enough of this movie ..great lesson rest easy steve

  • @gidionsamwel8073
    @gidionsamwel8073 3 года назад +8

    Just imagine mtu n producer,story maker lkn anawaachia watu nafasi wanaplay as if wao ndio walikuwa na hyo idea; It's true legend people cooperate with people and not themselves.
    Sku hz mtu akitoa movie mwanzo mwisho yeye anajivisha uhusika kila sehem ndio maana wanafeli pakubwa.

  • @JackySteven
    @JackySteven 6 месяцев назад +12

    2024 achia like yako hapa move bado inabambakinoma kanupa ulikuwavizur kipaj ulibarkiw

    • @MillyMolly-q1c
      @MillyMolly-q1c 6 месяцев назад

      Continue resting in peace legend

    • @RemmyOmmy
      @RemmyOmmy 3 месяца назад +1

      Kanupa😂😂😂

  • @tuombemamila1364
    @tuombemamila1364 6 месяцев назад +2

    Kanumba ulikua zawadi nzuri kutoka mbinguni kwa kweli hatutokusahau kila nikiona movie zako nahisi upo hai siwezi choka kuona movies zako 2024 endelea kupumzika kwa amani kipenzi chaote Steven k

  • @MariamNakoa
    @MariamNakoa 6 месяцев назад +3

    Movie zuri sana 🎉🎉🎉 kanumba we missed you alot

  • @lisathebosslady
    @lisathebosslady Год назад +8

    Watching on 21st march 2023,,, from Kenya, we love you the late kanumba, may your soul rest in peace, your moveis are educational to our community, we'll appreciate your work you did when you still alive, this is the movie to be watched more and more by even our great grand children in future....

  • @hololpc6710
    @hololpc6710 Год назад +3

    For the remembrance kanumba imetuajia jiani gk vibaya bt iko n funzo much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 Год назад +16

    20th August 2023 Rest easy Steven Kanumba ..like hapa yunaoangalia mwaka huu

    • @rubazakennedy7441
      @rubazakennedy7441 28 дней назад +1

      😂😂dalili za ki filimason Nani ame Ona jisigani ame muombea Uyo mgonjwa ata Ku mtaja yesu Kristo aku mtaja

  • @jonathankavusa7215
    @jonathankavusa7215 4 года назад +27

    RIP African legend, Kanumba, The Great. Your works speak and educate generations. Forever Legend

  • @DavidOchieng-ip2lm
    @DavidOchieng-ip2lm Год назад

    Thanks!

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv Год назад +3

    Yaan jamaa ni muislamu lakin aliitendea kazi hasa hiyo nafasi ya mchungaji utadhan ni mkristo, nimeipenda hii😊

  • @zarikassim7738
    @zarikassim7738 3 года назад +7

    Nani bado yupo na mie leo angalia hii movie uku anatoka machoxi 5/4/2021 pumxika kwa amani ndugu yetu umeondoka na bongo muvie ata wafanyeje awakufikiii Revo Revo yako kabisaaa😭😭😭🥺

  • @fraizerkilimila847
    @fraizerkilimila847 Год назад +13

    Kwa tunao angalia 2023 gonga like 🤝

  • @jofredenglebert5242
    @jofredenglebert5242 4 года назад +20

    R.I.P star Kanumba.... It says something... It should be the lesson for all, may God protect us.

    • @people720
      @people720 2 года назад

      really legend💪

  • @rachelkerubo3013
    @rachelkerubo3013 2 года назад +2

    There are my favorite actors like Stephen kanumba may his soul still resting in peace 🙏 movie zake na Vincent kigosi nasipenda Sana🥰

  • @hiltrudashangarai5870
    @hiltrudashangarai5870 4 года назад +38

    Muvi nzuri Sana October 2020 kama na ww unaangalia gonga like twende pamoja 👍

  • @iddimapande2021
    @iddimapande2021 3 года назад +14

    Waliokuja baada ya kuiyona kwa ankoo zumo tujuane hapa
    #2021 Viva kanumba

  • @nyangimwita9401
    @nyangimwita9401 2 года назад +18

    2023 Niko nayo kutoka Kenya mbele pamoja.....still remember legend kanumba

  • @saurathshafi6305
    @saurathshafi6305 3 года назад +9

    Frankly speaking tunamiss sana haya mambo😪old is gold
    Mungu ni mwema kila wakati 🙏

  • @eliaskogo2356
    @eliaskogo2356 2 года назад +4

    Rest in piece African legend, your work continue to educate generations

  • @josephkisambia5
    @josephkisambia5 3 года назад +9

    This Man was a True Legend of Africa. May u continue RIP

  • @rubazakennedy7441
    @rubazakennedy7441 28 дней назад +1

    😂😂awa ma pastor wana sili kubwa

  • @davidwainaina3899
    @davidwainaina3899 2 года назад +1

    RIP brother kanumba , my Gospel teacher through bongo movies, Mungu bariki wasanii wote wa injili Tanzania Amen from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇪🇹🇪🇹🇪🇹🎄🎄🎄🕎✝️🕎✝️🕎🎄🎄🎄✝️✝️✝️

  • @nimrodmwalo7236
    @nimrodmwalo7236 5 лет назад +5

    Yawezekana huyu bosco kaathirika kiukweli maana haiwezekani kila movie karekta yako ni hiyo samahani,ila movie mafunzo tele shukrani zangu

  • @Pascal-uq7so
    @Pascal-uq7so 6 лет назад +9

    I have been overwhelmed by melancholic feeling. The source of the problem was the man to her sister. Are terrified that the sister was so inhuman she didn't even listen to her sister's cry and that's why all this has happened. May God be with you my dear sister. You have depicted what happens in real life and you've shown that your enemy comes from your family.

  • @jeanmarie4665
    @jeanmarie4665 Год назад +2

    Poleni sana dada zangu,hata kama na Sisi wanaume wa baya,ile muji taidi sana mufunguwe hakili zenu jamani

  • @parfaitchomachoma9858
    @parfaitchomachoma9858 9 месяцев назад

    My favorite tanzanian movie !!! God bless the director

  • @lashalashira4870
    @lashalashira4870 7 лет назад +13

    It really teaches a lot especially for thos who think money and sex lasts forever. Thank you atlist have learned something

  • @sanjaboytv6630
    @sanjaboytv6630 4 года назад +27

    Tuliochek 2021 ebu like apa tujuanee

  • @marcelsindayigaya5250
    @marcelsindayigaya5250 8 месяцев назад +9

    24th,may 2024 kama umeona naendelea na hiyi movie Gonga like hapa

  • @loreenmdee7939
    @loreenmdee7939 Год назад +7

    Still now watching this movie 🎥 it never get old look at kanumba I wish he was alive 😭😭 continue Resting in peace ✌️🕊️🕊️🕊️

  • @sarizwayniznyakangi6313
    @sarizwayniznyakangi6313 2 года назад +5

    watu wa 2022 tukimalizia mwaka wapi likes
    uendelee kupumzika kwa Amani kanumba
    Patrick kanumba yupo on your behalf he is well representing you

    • @paskalinapa6177
      @paskalinapa6177 2 года назад

      Kabisa Patrick kanumba yko na yuko vizuri kwa kuact

  • @MillyMolly-q1c
    @MillyMolly-q1c 6 месяцев назад

    Still watching from.kenya counue resting shalom

  • @kisaiwasimango6253
    @kisaiwasimango6253 2 года назад +38

    Kama hadi leo June 2022 bado unaangalia gonga like twende pamoja

  • @HfHg-v3k
    @HfHg-v3k 6 месяцев назад

    Tumor wegi kwa hii film mi nailed sana

  • @BlessJohn-c7r
    @BlessJohn-c7r 6 месяцев назад +1

    Jaman wele ambayo utunakumbudhia kuangalia 2024 jama ninzul sana simko pw lakin

  • @fatimamunguibarikisimba6709
    @fatimamunguibarikisimba6709 4 года назад +5

    Mungu kwa nini hukumpa muda mwingi wa kuishi duniani kanumba alikuwa ana elimisha jamii but jina lako lihimidiwe

  • @zarikassim7738
    @zarikassim7738 3 года назад +2

    Jaman kwenye movies ya sikitikoo kama kuna mtu kumuonaa mama dame wa comedy za joti tujueneee kumbeee kaanza zaman uyu mama aiseee

  • @paskalibayyo3190
    @paskalibayyo3190 4 года назад +15

    Natazama hii move Leo tarh 27_01_2021 tutakukumbuka daima kanumba RIP ndugu

    • @reubenjacob4566
      @reubenjacob4566 3 года назад +2

      Leo tr 10,07,2021 nahis msiba wa kanumba nmeupata leo😭😭😭😭😭namkumbka sana

    • @امينهتشارو
      @امينهتشارو 3 года назад

      @@reubenjacob4566 ✌✌

  • @paulinemongare1466
    @paulinemongare1466 3 года назад +6

    Kanumba your memories will still in remain in our hearts, rip

  • @liliannzingo5184
    @liliannzingo5184 7 лет назад +15

    Nakumbuka Mara yakwanza nilikuona katitika film hii ya sikitiko langu marehemu Steven Kanumba nandipo moyo wangu ukazidi kukupenda na kupenda film zako zaidi hadi umefariki kazizako zazidi nipendeza Mola azidi kukurehe RIP Kanumba

  • @danielmweta8716
    @danielmweta8716 Год назад +2

    Bado naitazama tena leo 2023

  • @shaydebby8084
    @shaydebby8084 4 года назад +15

    Dhambi yoyote inaanzia kwenye mawazo unaporuhusu mawazo yaendelee kutawala akili yako unampa adui nafasi🙁

  • @annaawinoolalaodero1672
    @annaawinoolalaodero1672 Год назад +1

    Ninakupenda sana bwana Yesu Amen Amén

  • @teclajosphat3155
    @teclajosphat3155 4 года назад +6

    Kweli Steve alikuwa stage ya adole izo pimples joh,,, wangapi tuko Dec 2020,,,,,from Kenya

  • @James_hd_prod
    @James_hd_prod Год назад

    Mungu wangu apewe sifa , yeye yuko juu yetu. Movie mzuri kabisa 😭😭😭😭😭😭😭

  • @brownbackron4994
    @brownbackron4994 4 года назад +13

    Kwan kuna Mtu yuko nami hii January 2021??

  • @mudimoz9329
    @mudimoz9329 Год назад +1

    Dah 2023 Siku Zinazidi Kwenda Lala Pema Kanumba 🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢😭😭😭

  • @azizachahali8942
    @azizachahali8942 4 года назад +55

    Nani yupo na mm leo 7april2020 kumbukumbu ya legend rip legend ngonga like twende sawa

  • @princesscateh1506
    @princesscateh1506 4 года назад +4

    Kwa kweli kanumba hatutokusahau ,,2021 piga like ukipita

  • @franciscar7153
    @franciscar7153 2 года назад +1

    😥😥😥 duuh movie nzuri kweli mungu amrehemu kanumba

  • @waridysimba7571
    @waridysimba7571 3 месяца назад +1

    Me nafunga mwak😂

  • @Lucyjusto-wn3mv
    @Lucyjusto-wn3mv Год назад

    Rip my bext friend stevo kanumba n mungu hakulashe paphari pemal peponi still we remember you

  • @JosephMkongo
    @JosephMkongo 5 месяцев назад +1

    Kanumba the great the best of Africa 12/ 9/ 2024

  • @HalimaBakari-so8dp
    @HalimaBakari-so8dp 10 месяцев назад

    Dah movie nzuri sana eeh mungu tusaidie

  • @fadhilifarjala427
    @fadhilifarjala427 3 года назад +25

    2021 tupo wapi?

    • @allygambi7862
      @allygambi7862 3 года назад +1

      June 3,,,2021,,,, yaani leo siku ya Simba na yanga,,,, Nani typo pamoja??

  • @dausonevarister7909
    @dausonevarister7909 4 года назад +13

    Nani yupo namimi ..January 2021🖐️🖐️

  • @zainabuhassan6607
    @zainabuhassan6607 5 лет назад +5

    👍👍 Yani zamani bongo move ninzuli kuliko sas

    • @phinareshow5447
      @phinareshow5447 4 года назад

      Kweli kabisa watching from kenya. Tunajikumbusha kanumba alikuwa ako juu sana

  • @BlessJohn-c7r
    @BlessJohn-c7r 6 месяцев назад

    Mungu akulemu kanimba

  • @dorcuswandicha5453
    @dorcuswandicha5453 2 года назад +16

    2022 and still fresh may ur soul continue resting in eternal life legend kanumba🙏😭😭😭

  • @ElisaKessy
    @ElisaKessy Год назад

    God iz great. rest in paradise brodah

  • @nimrodmwalo7236
    @nimrodmwalo7236 5 лет назад +13

    Nani keshawahi soma riwaya iitwayo "maisha kitendawili" yashabahiana na movie hii

  • @SAMUELKANINA-wd5pq
    @SAMUELKANINA-wd5pq Год назад

    He touch the world

  • @AaronAsisa
    @AaronAsisa 2 месяца назад

    Suzie ashaenda wapi, une beauté magnifique ❤

  • @labumua8656
    @labumua8656 6 лет назад +22

    R.I.P kanumba nilikupenda sana.but GOD love u so much more than us....naitaji mokosa part 3 ya

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 5 лет назад

      Hbar ndg naomba nisaidie KUSUBSCRIBE youtube channel yang MWAKANIEMBA SIFA inaitwa

  • @juhudikihongosi3904
    @juhudikihongosi3904 4 года назад

    Tea umejua kuigiza mambo yafanyikayo na watumishi na kondoo wao wanaowachunga ubarikiwe sana Tea

  • @BlessJohn-c7r
    @BlessJohn-c7r 6 месяцев назад

    Mungu akulemu kanimba❤❤❤

  • @jenifajafari7670
    @jenifajafari7670 5 лет назад +94

    Who is watching it in 2020💕💕🤗

  • @DanielLulinda-is2qv
    @DanielLulinda-is2qv Год назад +4

    Rest in Peace our LEGEND Steven Charles KANUMBA

  • @shaydebby8084
    @shaydebby8084 4 года назад +6

    Wala msimpe ibilisi nafasi .
    Kweli inafundisha hii movie mbaribiwe sana....#2020

  • @uzomaoscar8378
    @uzomaoscar8378 6 лет назад +33

    Who is watching it in 2019

  • @SAMUELKANINA-wd5pq
    @SAMUELKANINA-wd5pq Год назад

    I still watching this movie while is too old

  • @NasraSalum-v6s
    @NasraSalum-v6s Год назад

    Kweli mtaka yote kwa pupa hukosa yote 😢licha ya kuwa alikuwa shemej yako lakn alikujali muno❤ukapata bahat nyingne kwa alex nae alikupenda hatari❤mwisho umeenda kuliokota dume halina pesa halina upendo😢kuna wakat wanawake hatujuwi tunataka nni acha tu upewe ukimwi hakuna namna😢

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 2 года назад

    Hey Pastor ! Unakamatika Utapoteya NYOKA Yule Wa Zamani ata kumeza lakini Si makosa zako kuwa na Muke Mukali anakosa Hekima na Roho Mutakatifu na HATARI ni Bala acsente Muna. Cheza muzuri iyi ni leson

  • @supershopdubaifalis6249
    @supershopdubaifalis6249 2 года назад +2

    Tunaomkubali kanumba mpaka2023 twende na like

  • @hadija_makange
    @hadija_makange Год назад

    Daaah kitambo sana nimekumbuka mbali sn

  • @japhetmoseti8764
    @japhetmoseti8764 3 года назад +12

    It's really touching story plus it's a good lesson for this young generation

  • @yustergeorge894
    @yustergeorge894 3 года назад +3

    Endelea kupumzka kwa aman kanumba

  • @idrisarashidi7453
    @idrisarashidi7453 5 лет назад +4

    Hadi nzee magar alikuwa Kansan😀😀😀😀

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 3 года назад +1

    Bado cjamuona muigizaji bora kama KANUMBA hapa east africa labda MKOJANI kidogo anajitaid jina lake linavuma

  • @ireneirenge1452
    @ireneirenge1452 Год назад +2

    June 2023 na endeleya ku tazama🥰

  • @PhaidaBoniphace
    @PhaidaBoniphace 5 месяцев назад

    Very nice

  • @phestoyustin2898
    @phestoyustin2898 7 лет назад +15

    Nampenda uyo mdada #NDUMBAGWE anajuwa cna R.I.P #KANUMBA

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 2 года назад

    Baba mchungaji kaigiza jamani dah!!

  • @juhudikihongosi3904
    @juhudikihongosi3904 4 года назад +6

    Ila kipindi hicho inaonekana mlikuwa mnaunyuka misuruali mipana 😁😁😁😁😁😁 hongereni sana kwakuigiza

    • @JackySteven
      @JackySteven 6 месяцев назад

      Ukisikia yakale dhaabu ndo hayo masuruali yakipindi hicho kwasasa wanayavaa wakina diamond wasiyojua wanajua yakisasa kumbe vyakale vimerud

  • @edithalagwen8465
    @edithalagwen8465 3 года назад +9

    Nan yuko na mm hapa April 2021 naomba like za kanumba

  • @sephaniamwaigaga2721
    @sephaniamwaigaga2721 2 года назад +2

    Augst 18 2022 nimeiona imelushwa AZAM TV live saa 4 usiku RIP master 😭😭

  • @mrymkubali4017
    @mrymkubali4017 9 месяцев назад

    O3 may 2024🎉

  • @angelangel-wq4sx
    @angelangel-wq4sx 5 лет назад +16

    Uyu suzi eko wapi? Mchungaji we ni noma

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 5 лет назад

      Hbar dada naomba nisaidie KUSUBSCRIBE youtube channel yang MWAKANIEMBA SIFA inaitwa

  • @margaretnamubi4565
    @margaretnamubi4565 Год назад +1

    Kanumba was a perfect actor..rip

  • @sekelakapangala1083
    @sekelakapangala1083 9 месяцев назад +1

    2024 gonga like hapa

  • @gloiresuzana7262
    @gloiresuzana7262 Год назад

    I miss you so much kanumba rest in peace 😢😢😢😢😢

  • @sabinaelizabeth2340
    @sabinaelizabeth2340 Год назад

    Who is still watching this movie 2023

  • @chengeson
    @chengeson 2 года назад

    Linda kiuno chako katika huduma hiizi bila ivyo lazima uta tenda dhambi Mungu atusaidie

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 8 месяцев назад +1

    Kama hadi leo june2024 tunaangalia tujuane hapa

  • @gundoanimal6750
    @gundoanimal6750 4 года назад +7

    Who is here?? May 2020

  • @daviekamanga1417
    @daviekamanga1417 Год назад

    AMEN AMEN AMEN halleluja God bless ❤❤❤❤❤

  • @imeldabamba3779
    @imeldabamba3779 4 года назад +3

    Wapi Nora jmn,nampendaga sana.

  • @MohamedMohamed-ln6yc
    @MohamedMohamed-ln6yc 4 года назад

    Mama mchungaji badilika hata mchungaji anaitaji maanchumati mungu aliweka muda wakuomba napia akaweka muda wakupeana rahaa we mama mchungaji ikifika usiku umelivaa likoti hata umkaribii mchungaji sasa ona mchungaji ameanza kutamani nje😁😁😁😁😁😁

  • @amosnnko7792
    @amosnnko7792 3 года назад +2

    Kanumba bado upo miyoyon mwa watu daaaa 2022