Kanumba alikuwa mzuri,giant mwenye sauti yenye mamlaka je kama angeendelea kuwa hai mpaka leo tungefaidi zaidi ya hii movie😭😭😭30.03.2024🎉❤❤give your likes
Steven Charles Kanumba was completely ahead of time. Throughout the movie, you just check smooth sound, smooth locations, smooth characterisation, smooth light and smooth graphics that altogether bring about an immortal content for numerous generations to come. #Kanumba is and will always be incomparable here in Tanzania#
😢😢😢😭😭Naweza sema maisha ya duniani ni mafupi sana ka kanumba umetuachia majonzi mazito mimi ciyo ndugu yako lkn bado nakukumbuka😭😭😭mzazi wako anapata maumivu makali yaani umemuachia gonjwa la milele
Yote Kwa Yesu namtolea ,ndie mfalme wa pekee sasa Kwa furaha nitamwimbia ,wa kalvar... Oooh hallelujah...rehema bure na neema ...samaha nalo nilipewa ndipo aliponifungua wa kalvar 🙏🙏🙏🙏
Eeee Mwenyezi Mungu naomba raha ya milele umpe na mwanga wa milele umwangazie astarehe na KUPUMZIKA KWA AMANI Damu ya YESU KRISTO isikuache usogezwe na kitu chochote Cha muovu AMINA.
Mimi ni DEEJAY JAMES kutoka Kenya, Aki kunasiku mimi hukaa hivi,! Nadodokwa na Machozi ni kimkumkubuka, Bro Kanuba, Mungu ailaze Roho yake mahari Pema Peponi
Maskini wa Mungu ndo ninaanza kupenda movies zake bila kujua alikufa. Mie ni mwanauganda lakini nipo naangalia sana movi zenu za Tz. Rip kaka.....ulikuwa mwigizaji bora kweli natamani ningeweza kukujulisha hivi kabla yako kufa lakini popote ulipo najua in kwema zaidi. Amiina
Pumnzika kwa Amani. Kila ninapoangalia move zako kanumba sichoki. Pia mtanga upo wapi na huyu mwingine mmehusika vyema katika uhusika wenu hasa mnapo sema mna kapepo.
😭😭😭😭❤️❤️❤️Yani Nime mu miss hatarhiii marehemu Kanumba maneno yake ya Hekima 😭😭😭😭🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮Mariam from Burundi 🇧🇮 tuna wapenda San 🥰 🥰 😭😭😭Allah akufanyie wepesi kunako uzito kaburini 😭 brother
Watu walisema kanumba ako freemason bona apa alikuwa mchaa mungu kabisa kulitokea nini mbeleeni jamani rip jamaa alikuwa anajulikana mpaka Kenya. Vinjinjini ndani kabisa best Actor ata kama Ulifariki. Move zako bado twazipenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍😍😍😍👍👍👍👍👍
🤣😂 jaman kama kuna m2 anamuona kanumba akiwa anachizika peke ake akisoma barua, bas ndo mim apa nikiwa naangalia hili pichaa, (17.12.2021) NOMAA SANAA R.I.P STEVEN 💕💗♥💖
Movier ndo hzi sio kama muvier za sasa hvi wanapitia tyu unaweza ukaangalia na usiierewe ila hii movier ni hatal sana i love you kanumba, kama unaiangalia hii 2021 naomba Like tumukumbuke marehemu kanumba,💚
lakini bona wanasema eti kanumba fremason na venye alikuwa anamtumikia mungu duuuu R.I.P👉enyewe watu utoka mbali aunty alikuwa mdogo mwembamba sai ako smart cute beuty heee aise mungu ni mungu siku zote.
Kanumba alikuwa mzuri,giant mwenye sauti yenye mamlaka je kama angeendelea kuwa hai mpaka leo tungefaidi zaidi ya hii movie😭😭😭30.03.2024🎉❤❤give your likes
22/2/2024 I still remember you kanumba 😢😢😢😢😢
Niko hapa kumuenzi marehem Steven kanumba 2024
Kanumba u left a legacy...may your soul still rest easy.,.. legends never die😪
Steven Charles Kanumba was completely ahead of time. Throughout the movie, you just check smooth sound, smooth locations, smooth characterisation, smooth light and smooth graphics that altogether bring about an immortal content for numerous generations to come. #Kanumba is and will always be incomparable here in Tanzania#
Leo : 24/12/2023. Bado namkubali bwana Kanumba❤
2021 Wenye tumeangalia hiyi movie tujuane 😍miss you Kanumba 😢😢
,tupoooo
By mykpccyni.m....kom.S
Tupo
Tuko sana
Kwa mpigo
7.4.2021 leo umetimiza miaka 9 R.I.P L Legend 😍😍😍😍
Kanumba was the best movie actor in Tanzania. It's undortunate that he's gone when we still needed him.
Anyone in 2024😢
😊😊
Tupo
Here
Musani wa kweri
Tuko hapa 2024
😢😢😢😭😭Naweza sema maisha ya duniani ni mafupi sana ka kanumba umetuachia majonzi mazito mimi ciyo ndugu yako lkn bado nakukumbuka😭😭😭mzazi wako anapata maumivu makali yaani umemuachia gonjwa la milele
Kila atua duah
Inauma sana ila kazi ya Mungu haina makosa RIP Steve
WE LOVE YOU STEVEN THE GREAT... FROM SOUTH AFRICA.... RIP MY PASTOR PSALM 121 ..... WE LOVE YOU TANZANIA .ASANTE SANA!
Yote Kwa Yesu namtolea ,ndie mfalme wa pekee sasa
Kwa furaha nitamwimbia ,wa kalvar...
Oooh hallelujah...rehema bure na neema ...samaha nalo nilipewa ndipo aliponifungua wa kalvar 🙏🙏🙏🙏
MUNGU AMPE REHEMA BURE AISEE MAANA AMEMSIFU YESU KWERI KWERI
RIP kanumba
Mwanga wa bwana ukuangazie daima milele AMEN...RIP KANUMBA
Kanumba paix à ton âme tu étais un vraie comedien.c film c 'est une leçon pour nous qui sommes sur terre
Mbogi ya 2022 Kwa hii tent hapa 😥😥 RIP kanumba miss you may your soul rest in peace
2023 dec wenye tunawatch wapi likes za kanumba🥰🥰
2024 still watching this fantastic movie all the way from Kenya
Kanumba tutakukumbuka daima mungu ailaze roho yako maala pema peponi Amen
Eeee Mwenyezi Mungu naomba raha ya milele umpe na mwanga wa milele umwangazie astarehe na KUPUMZIKA KWA AMANI Damu ya YESU KRISTO isikuache usogezwe na kitu chochote Cha muovu AMINA.
LEGEND NEVER DIE WE ARE ALL KNOW THEY WENT FOR VOCATION 🙏
Bado nakukumbuka sana Steven Kanumba ulikuwa muigizaji mzuri sana.....2021 naendelea kuitazama filamu zako.
Dunia tunapita kila mtu na njia yake MUNGU ajua mwanzo na mwisho wetu 🤲🤲
It's just a stream of tears 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 missing you Kanumba you have moved with your bongo movies no one will ever fill your gap
Yan kanumba alikuwa na uhalisia kabisa wa mazingira anayofanyia movie mpk raha kijijin kabisaaa mpk unaona reality guud
Mimi ni DEEJAY JAMES kutoka Kenya, Aki kunasiku mimi hukaa hivi,! Nadodokwa na Machozi ni kimkumkubuka, Bro Kanuba, Mungu ailaze Roho yake mahari Pema Peponi
Amina
Amen pole sana upaswi kudondokwa na machozi unapaswa kumuombea
Amen
Mi Fatima Ali
02/01/2021 He was very Intelligent Quteint R.I.P the great KANUMBA.
The great kanumba film❤ duuu mwamba ungekuwepo sjui tungekuwa wapi kiflm
8 years without kanumba,, RIP😭😭
We loved you so much kanumba bt God loves u more,Rest in peace🙏😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nalia sana jamani kanumba ameenda na MV za TZ zimekufe zote.mi ni mcongomani lakn kila napomuona naliya sana kwakweli
Maskini wa Mungu ndo ninaanza kupenda movies zake bila kujua alikufa. Mie ni mwanauganda lakini nipo naangalia sana movi zenu za Tz. Rip kaka.....ulikuwa mwigizaji bora kweli natamani ningeweza kukujulisha hivi kabla yako kufa lakini popote ulipo najua in kwema zaidi. Amiina
Jitahid kufatilia ziponyingitu
I love that its teaching us people for what we pass through it
Wanaocheki hii 2023 gonga like tujuane
I'M Cheking It IN 2024 November
Pumnzika kwa Amani. Kila ninapoangalia move zako kanumba sichoki. Pia mtanga upo wapi na huyu mwingine mmehusika vyema katika uhusika wenu hasa mnapo sema mna kapepo.
Our pastor isaya we always remember you 🙏🏽🙏🏽
Dumapenzi aya
Never die the king kanumba
Legends they never die,we all know they went for vacation.
pp]
⁰00⁰
*Legends never die*, pronoun stands for noun, there fore noun(legends) & pronoun( they) can't be used together.
Sijawahi choka kuangalia movie za kanumba ayse hii ni 2020 nani yuko nami.....?
Safi sana
Hapati Kani mwengine ka wewe kanumba... You're still the best even in the grave
Kanumba 🥺😭😭😭😭 Mungu wangu akupokeee kwa Iman 🙏🙏🙏tunakuomba uishi na malaika uimbee hallelujah 😭😭😭Neema iwe nawee,,, tutakutana 🙏🙏🙏😭😭rip
We are so many in 2024 I need my like plz
The giant of bongo movie.
We really miss this guy u don't fear God but fear death which is true thnx for uplaoding 👏👏👏
Aminah Arapah Arapah so u mean god is not True serious
Kanumba. Uliondoka tukingali twakupenda. Ingerikuwa. Ukimuomba mungu. Kuwa. Ulrudi. Duniani🌎bhas. Ungelirudi
2024 tunaoangalia gonga like hapa
❤😊😊
Kanumba the best actor ever 😢😢😢
2021 mkono juu tusalimiane
Hi
@@sheilachepkorir2711 Hi too dear
@@bonifacemollel87 old is gold😂😂bdo tuko apa
🖐
@@thumnathumna5946 Thanks dr
paix à ton âme my kanumba ❤❤😭😭😭😭😭🇨🇩
Hizi movie funzo kubwa sana
😭😭😭😭❤️❤️❤️Yani Nime mu miss hatarhiii marehemu Kanumba maneno yake ya Hekima 😭😭😭😭🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮Mariam from Burundi 🇧🇮 tuna wapenda San 🥰 🥰 😭😭😭Allah akufanyie wepesi kunako uzito kaburini 😭 brother
Kazi Safi ariifanya kanumba
Good
Kanumba tutakukumbuka daima haswa kwenye kazi zako, ulijuwa kutufurahisha 2022 Lala salama my brother ❤😘😥
Dah,kizuri akidumu bora angeenda mond uko freemason,mmmh,rest in peace kanumba we2
Great movie
Great Kanumba
Rest in peace
Mwenyezi Mungu akulaze Mahal peponi na kuondolee adhabu ya moto Ameen
Hahah amen
2020 tujuane tunaoangalia hii move
yaaaaniii kanumbaaaa jamaniiiii daaaaaa
Tupo
Jmaa noma sn namkubali sn
Flora Mbwambombwambo tupo sana tu
Huyu so wakupingwa na mtu
Kanumba ni fundi maarufu na bingwa wa kuigiza pale Tanzania
Mungu nimjuzi wa yote msamee kipezi chawengi
nisiwe mnafiki kweli kanumba ulikuwa kipenzi changu kwenye kazi zako ulipoondoka tu na bongo move ikakifu jumla mungu akusamehe upumzk kwa amn
Kanumbaa😭😭😭😭😭😭😭
Anyone 2024 😢
2022, nakumbuka V2 vya kanumba. Mungu ailaze pema roho ya marehem Steven Kanumba. 🙏🙏🙏😭😭
iyo maisha nimepitia 😃😃😃😃😃taa ya mkembe upepo ukija kanazima😂😂 alafu kanumba ako busy kusoma barua ata aoni😂😂😂 R.I.P
Watu walisema kanumba ako freemason bona apa alikuwa mchaa mungu kabisa kulitokea nini mbeleeni jamani rip jamaa alikuwa anajulikana mpaka Kenya. Vinjinjini ndani kabisa best Actor ata kama Ulifariki. Move zako bado twazipenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍😍😍😍👍👍👍👍👍
Congrats 💐 brother May GOD keep you rising every day for praising Him❤
Missed you ancle JJ, you were such a powerful movie master, 9 years now missing you kanumba, may you rest in peace 😭😭😭😭😭😭😭
My real mode forever and ever is rip kanumba ❤😂
Wenye tuko hapa March 2020, wapi likes
Safi Sana'a!
Kanumba najiulizaga ungelikuwa hivi Tanzania ingekuwaje 😢
Still in ours am here to watch again on 7 / 04/2023,may God bless us all
🤣😂 jaman kama kuna m2 anamuona kanumba akiwa anachizika peke ake akisoma barua, bas ndo mim apa nikiwa naangalia hili pichaa,
(17.12.2021) NOMAA SANAA
R.I.P STEVEN 💕💗♥💖
2020 27th October bado tunakucheki late Steven Kanumba Rest In Paradise king of bongomovie
Kanumba daah
I loved this guy hope tutafufuka tuishi ulimwengu mwingine
Tukutane Kwa mungu
Kanumba na kipaji kisichoisha 2021 mwezi wa 4 nan tuko pamoja
Dah 2023 bado naichek village pastor ya kanumba yaan watumish wangekuwa wanaanza hivo tungefurahi injili mpaka kitaa kwa wahuni
Movier ndo hzi sio kama muvier za sasa hvi wanapitia tyu unaweza ukaangalia na usiierewe ila hii movier ni hatal sana i love you kanumba, kama unaiangalia hii 2021 naomba Like tumukumbuke marehemu kanumba,💚
Alkufa mwaka gani?
Gabo kumfananisha na kanumba ni kitu ambacho hakiingii akilin kabisa
True that huyu jamaa bado kwa tz hii hakuna hata mfano wake
Ni sahihi Mkuu gabo bado sanaaaaa
Kila mtu ana nafasi yake
Kila mtu ana nafasi yake
juma Abdallah atar xn
Pole pole tu.naye ata fika tu.kanumba naye alipo anza alikuwa siyo mkali sana.piya ujuwe kanumba alikuwa mwana chama we freemason
No one like kanumba rest in peace brother 😭😭😭😭😭😭
I am here to watch him again! who else is with me April 2019.... how I miss him
Movie za Kanumba Hadi Leo Bado nzuri kuliko zilizopo bongo movie wanakitu Cha kujifunza 🙌
Ety aujawai Fanya kangono 😂😂😂..... continue rip Kanumba 😢😢😭
Best movie
Sarah is my name.
I am proud of it 😀😍
Sarah is sister
We know
Haha hapana chezea sara
Nice name
Merci ndugu Steven kanumba ulikua simba sana r.i.p
From kenya..this man was great
Date 27.5.2019 am watching it again n feeling the pain of losing him😭😭😭
🇰🇪 joseph Wambua from Kenya,,,still condoling our hero,Rip kiongozi
Elfu mbili nyingi Sana aisee ni Bora uchukue tu kambuzi😄😄😄 Masai wameua Sana kipande hicho
Da!,2020 tujuane.ila kusema ukwel jamaa alikua anajua sana R.i.p
Miss kanumba wherever you are😭😭
Wenye tuko hapa 2023 mko❤❤❤❤❤
All the times this movies are ever new . very interested
Sole mzungu kama kuna mtu kaisikia hiyo gonga like
Tar.20.04.2020 still watching it. R.i.p Uncle Steve😭😭
acha kumuombea mabaya
Kanumba😭😭😭 Najikuta naliaa tu sijui kwann nimeangalia hii movie
lakini bona wanasema eti kanumba fremason na venye alikuwa anamtumikia mungu duuuu R.I.P👉enyewe watu utoka mbali aunty alikuwa mdogo mwembamba sai ako smart cute beuty heee aise mungu ni mungu siku zote.
Tunaoangalia hii 2023 tujuane❤❤❤❤
1,000+1,000 it's 2000 a goat 🐐 😂😂😂😂 Kanumba haiya maasai nipeeni huyo mbuzi ,the word touch me 😂😂😂😂😂,RIP MY HERO
Kanumba ni wa pekee ktk filamu ambazo zinaendelea kuigiza hata kwa karne hii, Iwapendeze wasambazaji wa kituo chenyewe Ku posti
My first movie to watch from Tanzania real teaching .....RIP though
Anyone in 2024😂😂😂
Continue resting in peace still...kanumba the great 😭😭