Hii movie ina mafunzo mazur xna, inafinza kuhsu wale wanaume wenye tamaa na kpnda kufnya mapnzi ovyo na kla mwanamke big up xnaaa broo adamu nzuri xna ❤❤❤❤❤❤
Adam na kundi lako lote hongereni sana. Mna mafundisho mazuri mno, binafsi nawakubali hatari na nawaombea muendelee kutuelimisha hasa katika dunia hii inayonuka uovu.
Mimi bado mdogo brother lakin nimejifunza mengi kupitia movie zako Zina ujumbe mzito unao hitaji moyo wa uvumilivu Ili uweze kuyabeba na kuyafanyia kazi HONGERA SANA BROTHER ADAM
Its the best combination Uyo jamaa mrefu anajua sana kuigiza dah alinifurahisha san kwenye ile movie Adam umemchukulia mkewe afu ukaenda kukaa kwake Dah mnatish kk Adam i see you both far
🤣🤣🤣🤣Thanks for the behind the scene, I was nearly convinced it was a true story. Lovely colours, nicely timed music and quality love you guys great job. Kadoo played very well congratulations
Mh maajabu Adam kwenye movie hii hupendi madem adi unamshauri mwenzako ila movie nzuri nimeipenda na ina mafunzo mazuri kwa wanaume wenye kupenda madem
Big up My brooo kazi nzuri sana congratulations 👏👏👏👍❤❤❤🎉🎉🎉 mungu azidi kukubariki kila wakati nawapenda wote mdau wako shabiki love you so much 💞 mbarikiwe nyote
Usiache kutazama Filamu yangu mpya ya SLAY hapa👇
ruclips.net/video/UdUSLh0glcg/видео.htmlsi=72_bENQWV7-UIWdG
powa
Muendelezo wa SLAY tunangoja 😋😋
Adamu.hongelasana.mukubaliki
Is this slay part 2
Movie nzur sana ❤
Hii movie ina mafunzo mazur xna, inafinza kuhsu wale wanaume wenye tamaa na kpnda kufnya mapnzi ovyo na kla mwanamke big up xnaaa broo adamu nzuri xna ❤❤❤❤❤❤
Shukrani sana, nafurahi kama umepata funzo tulilolimaanisha🙏🙏🙏
Adam unaweza sana
@@RehemaBakari-u7xasante sana
Hongereni sana aiseee SEMA kuacha inakuaga ngumu sana aiseee
@@AdamLeoStudiosAdam mwendelezo wa Sabi unazingua ujueeeee
Leo nimecheka yangu yote watching from Saudi 🇸🇦 wakomeshe hao wanaume watabia kama hizo na akikisha pia umewakomesha pia wanawake watabia hizo❤❤❤❤❤
Kabisa kabisa🙏
Kabisa.
Nafatilia sana muv zako Adam leo very Nice work,Big up my brother Mungu aibariki kazi ya mikono yako na akili yako🙏maana unatoa mafunzo kwa jamii..
Amen na asante
Penda San Kazi zako 🎉🎉
Asante
Adam. Huyaki. UTI. Sugu. Nimecheka kwasauti. Daah. Kazizako. Nzuri sana. Hongera. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana
I'm a Kenyan watching from Spain. I love it😊. Thanks guys
Thanks a lot🙏🙏
Duuuh movie tamu sana yenye mafunzo na yenye kuchekesha pia❤❤
Shukrani sana
Mimi nko Mombasa Kenya napenda movie zako jee pili na khanifa Salma wako wapi wako SAWA
Utawaona soon.
I'm a kenyan watching from 🇸🇦big up bro
Thanks
Adam na kundi lako lote hongereni sana. Mna mafundisho mazuri mno, binafsi nawakubali hatari na nawaombea muendelee kutuelimisha hasa katika dunia hii inayonuka uovu.
Shukrani Lawyer❤️Nakupenda
@@AdamLeoStudios Asante dear
My favorite, tunaendelea kufuatilia movies zako, safi kabisa!
Shukrani sana
Mashallah hongereni sana wadau nimejifunja kitu
Shukrani sana sana🙏🙏🙏
Bro Adam much respect very well combination, we are going to get new kanumba, allah yuko pamoja na wewe kila la kheri kk
Shukrani sana, naendelea kupambana na kuhakikisha nawapa burudani kila leo, msiache kunisupport kwa ku SUBSCRIBE na kuSHARE filamu zangu🙏
Yaa huwa na Shea Sana na ku subscribe na ndo maana kila movie unapotoa lazima niione kaka angu adam
Asante sana.
@@AdamLeoStudios our next kanumba
congrats kaka napenda kazi zako
Shukrani sana
Mimi bado mdogo brother lakin nimejifunza mengi kupitia movie zako Zina ujumbe mzito unao hitaji moyo wa uvumilivu Ili uweze kuyabeba na kuyafanyia kazi HONGERA SANA BROTHER ADAM
Shukrani sana aisee...!! Mungu akubariki..
Its the best combination Uyo jamaa mrefu anajua sana kuigiza dah alinifurahisha san kwenye ile movie Adam umemchukulia mkewe afu ukaenda kukaa kwake
Dah mnatish kk Adam i see you both far
Shukrani sana kaka, we appreciate🙏
Eeeee!!!!!! hii kali,funzo kuu,eee bwana we adamu tia bidii
Shukranii
🤣🤣🤣🤣Thanks for the behind the scene, I was nearly convinced it was a true story. Lovely colours, nicely timed music and quality love you guys great job. Kadoo played very well congratulations
Glad you enjoyed it, we appreciate🙏
Jamani Mimi ni mvivu WA kuandikwa comment ila sio mvivu WA subscribe na kufatilia Kila move inayotoka Sasa sijui namu support vipi huyu kaka adam
Thanks sana
Asante sana adam leo,wenye tabia za umalaya jamani,iwafikie hiii,
Kabisa kabisa hii ni kwaajili yao.
Jiunge na Adam leo uenjoy 😊
Kabisa kabisa aisee🙏
Niwe tu mkweli nimejufunza kitu apo kwa uhuni aisee wanaume lazima wataacha tu wapenda wa sipende, i salute you and BIG RESPECT
Shukraniii
@@AdamLeoStudioskaribu sana kaka yetu kipenzi tuko pamoja na wewe twakupenda sana Jabali wetu King 👑❤❤❤
🙏🙏🙏❤❤
Adamu nmesuscribe nafrahia filamu zako xana kaka Mungu akubariki kama nko darasani vile.
Shukrani sana
Good job man,am really addicted to your movie's tuned in from Kenya
Shukrani sana aisee.
Leo ningekuwa wakwanza sema tu nimechelewa ibadani
Sio mbaya kikubwa umeitazama..
ADAM UKO VIZURI MOVIE ZAKO ZINA FUNDISHA NA KUELIMISHA JAMII
Asante sana.
Mh maajabu Adam kwenye movie hii hupendi madem adi unamshauri mwenzako ila movie nzuri nimeipenda na ina mafunzo mazuri kwa wanaume wenye kupenda madem
Asante sana😂😂😂sema dah jamani mimi🙏
❤🎉🎉🎉❤cogratulation movies zenu zina mafundisho mazuri🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤🤗🙏
Asante sana sana
Adam tunamshukuru sana kwa kaz nzur,, umetumia akil nying kumbadilisha kaka yako unastahl pongez kaka hongera xana.
Asante sana
Adam Shukran sana kwa Movie nzuri ❤❤❤ Mungu akuongoze uzidi kutufurahisha 🤗👏👏👏😊
Asante na tupo pamoja.
Hi
@@IsaahMohamed Hi
Hata kama nimechela bora nimetazama,,, Asante kaka Adam kwa movie nzuri
Shukrani sana aisee..
Adam Mungu anakuona hadi kaka Kado kaokoka 🤣🤣🤣🎉❤ nice movie
😂😂😂anampenda yesu..!
Adam mov zako tu kaka zinamafunzo san mung azid kukupa afya uelimishe jamii❤❤❤❤
Amen
Asanteni
Inafunzo kukaa kwa watu shida
Congratulation kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
Umeona eh
Boss adamu alivyo mkubwa hivio hajuwi kaskazini ni wapi mungu wangu wwwweeee😂😂😂😂😂
Hahahaha acha kabisa.
Adam leo hongera sana kakaangu hizi movie zako zina mafunzo 💯💯💯💯💯🎉🎉🎉🎉
Asante sana sana aisee.
Naye amekoma kweli 😂 😂 aki nmecheka mpaka nkamuonea huruma😢 kazi KUNTU 🎉🎉 kaka Adam umejua kumkomesha, na wenye tabia kama hii mkome pia..... ❤❤
Kabisaa
Hapo kwer ulimuweza blaza yako Adamu....tisha sana you are so creative 👊👊
Shukrani sana
Wewe kaka nimependa movie zako sana kbs yani kwa hii moja umejuwa kunikomolea mtu kbs
Shukrani sanaa😀😀
Utakii kingaaa kwa hiyooo kadoo anapigaa kavuuuu dooooo😅😅😅 una hatariiii
Kado ana hatari sana
Mmmh napenda sana 254🇰🇪we r representing well
Shukrani sana
Nakukubali snaa Mr Adam Leo hakika unatoa vitu vya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shukrani🙏🙏
Kaz nzuri mafunzo mazuri bt nmecheka hadi nkapaliwa n mate😂😂😂😂
Hahaha enjoy
Nakupenda sana brother I wish nikuje kuishi dar Alf niigize kwenye filamu zako
Karibu
Asante. Sana. Kwa kutuerimisha wa dada. Na wa Kaka. Piatujilekebishe
Shukrani sana sana.
@@AdamLeoStudios asante nami pia kwa kutujali tulioko mbali na tz. Tunainjoy sana
Ujawai kukosea mchumba hongera sana kwa kutuma kitu chenye mafunzo 😊
Shukrani
Much love from Kenya adamu movie zako nzuri kweli kweli keep up bro ❤
Thanks🙏
Woow mmeigiza vizuri sana jamani na nimepata mafunzo yakutosha, asanteni ❤❤❤
Asante sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣adam umemfanya mwenzio goigoi
Hahaha jamanii
😅😅😅😅kinga jaman muhimu sna mashetani ya menda huyu mwisho hahahaha❤
Umeonaa eh
Shetan kaingiaaa😅😅😅😅
Nomaaa
Mdogo wangu,Adam,mbona unapenda makande saanaa,maana kila movie lazma utaje makande!
Haha
Dah mov nzr sana inafundsha ata kama Kuna mtu anatatzo ili anaweza apply aidia hii na akafanikisha
Kweli kabisa asante kwa kuliona hilo🙏🙏
Big up My brooo kazi nzuri sana congratulations 👏👏👏👍❤❤❤🎉🎉🎉 mungu azidi kukubariki kila wakati nawapenda wote mdau wako shabiki love you so much 💞 mbarikiwe nyote
Asante sana sister❤❤❤
Adam hizi filamu zako zinamafunzo sana❤❤❤
Asante sana
We kado nuwiya vizuri 😂😂😂 navenye wewe ndo umekogota shida zote😂😂😂😂😂❤🇧🇮🇸🇦
Hahahah jamaniii
Watching from Nashville USA, Adam. Hongera
Thanks a lot🙏🙏🙏
@@AdamLeoStudios God is with you never give up Leo, Mark my words one day you'll be somewhere
I appreciate🙏🙏
Abana Adam mimi niko Australia lakini nazipenda movie zako sababu zinafundisha sana.
Asante sana
Hii move inafundisha Sana adamu nimefatilia Sana move zako uko vzr sana
Shukrani mno.
Ila Adamu unajuaa sana 😅😅😅😅sijawahi kuona unatoa kazii mbovuuu pongezi san
Shukrani sana.
😂😂😂movie nzuri sana kado kapata adabu kweli👏👏👏
Umeona eh
Mwenyezi mungu akubariki kaka Kwa kuendelea kutupa mafunzo
Amen
Nimejikuta kufunga macho kwa maombi ya kado ongereni kwa kazi nzuri ❤❤
Hahahah asante sana jamaniii, Kado alikuwa anashusha upako🙏🙏
kaka iko poa sema hiyo introduction ungeiwek mwanzoni sio katikati
Poa poa mkuu, shukrani kwa maoni.
Mwamba kanyoka kweli mpaka anaomba daaah n hatari kwa kweli 😂😂😂😂😂😂
Kanyookankweli😂😂
mpka mwamba kado amerudi kwa yesuu wueeh😂😂😂...huu mchezo noma Adam❤
Shukrani sana sana aisee.
Behind the scenes cracked 😂😂😂😂😂😂😂 my ribs, anyways thanks for killing my stress
Much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬
Thanks Ug, endelea ku enjoy.
@@AdamLeoStudiosAsante sana
Hii movie nimependa sana tena inamafunzo❤❤❤ from kenya
Asante
Penda sana Adam unaweza tena na tena
Asante tena na tena
Huyu jamaa kafanana na mc machet wa chumvi nyingi 😂😂ila movie mzuri sanaa hongereni sanaa washirika
Shukrani sana sana.
Asante sanaaaaa Adam kwa movie nzuri asante 🙏🙏🙏♥️♥️♥️🙏🙏
Asante nawe kwa kutazama🙏
nimeipena sana tena vijana tusikie
Hii movie n zuri sana kwakweli inamafunzo mazuri sana
Asante sana
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 nakupenda bure
Mi pia
🤣🤣🤣daaaah funzo kubwa sana hongera sana kwa kuzidi kutuelimisha kaka ADAM
Shukrani
Umetisha kaka angu Adam Mungu akuongoze ufanye vitu vizuri zaidi 🙏🙏🙏
Asante mno
Mwamba mwenyew
Naam
Mwanzoni tu kazi inaonekana poa Sana hongera Sana mwamba kwa burudani hii
Shukrani sana aisee.
Adam. nimemisi makande😅😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤penda sana kazi nzuri❤❤
Shukrani
Kweliiii nimekoma umalaya nyoooo😂😂😂😂😂😂
Umalaya harudii tena
Aisee uhuni sikitu kizuri
Umeonaa eh, jamaa umemtokea puani.🤣
Hii muvi nimeipendaa buree Adam hongera sana kwa Ubunifu ,,,,nimependa
Asante kwa kuona hilo
Mmmm ongera sana.kweli mauwa yako bro 🌹🌹🌹🌹
Shukrani
Bro adam unajua cheza movie big up ❤🔥
Shukrani
Eeh wanawake tutafika binguni Kama tumechoka Aki uko Na mwanaume lakn bado unataka brother yake pia haraam mushimila much love from kenya
Thanks
Adam,nakupenda as my brother,watching from Burundi❤
Asante sana
Ingekua wazizi wote wafanywa ivyo wengi wangekoma😂😂😂 kudadeki wachezea kifo ww
Congratulations kazi nzuri saana❤❤❤
Asante
Huyu kaka anajua nyieeee ❤
Shukrani sanaa
Movie mzuli nimeipeda sana from 🇲🇿🇲🇿
Asante sana
Mimi ni mtanzania nawaangalia nikiwa Germany 🇩🇪 kazi nzuri
Shukrani sana
Atumbua macho kama mjuzi kabanwa n . Mlango n 😂😂😂😂😂😂nime wapenda sana kazi nzur sana
Hahahha acha kabisa
😂😂😂😂😂 nimecheka yangu yote ,Adam l love u , kado kimzamramba 😂😂
Asante jamani❤❤❤
Mamae kado 😂😂😂😂😂😂😂😂 ila ningekuwa mm ningemnyoosha kwanza huyo jini ndio nipeleke jeneza lake
Hahaha jamani
kazi nzuri sana. Be blessed more
Thanks a lot🙏🙏🙏
Adam kazi zako nzuri sana zinamafudzo
Asante
Adam Nakupenda sana kwa Jinsi unavyojua kuipangilia Movie zako Big up Broo❤❤❤❤❤❤❤
Thanks a lot🙏🙏
Your wlcm
🙏🙏🙏🧡
Adam aaa kkaako mekoma kweli? Da hasante kwamafunzo. Nawapenda kweli😊😊😂😂
Shukrani sana.
hii movie ni darasa tosha napnd sna mnavyo tuleteya movie zenye mafunzo allh wape nduvu Zaid
Asante mnoo🙏🙏🙏
safi kabisa bro good lesson
Asante sana