Mobb love from Kenya..Watching inside Doha Qatar..Nimecheka kama chizi baada ya kuona jamaa alivokimbia,pindi nguo zilipogeuka zikawa maji..Hongera kwa kazi nzuri♥️
I dont understand swahili but nime enjoy na movie imeniliza sn 😢yaan hakuna kama mama. Na tusiweke tamaa mbele jamani tufikirieni na mauti,allah tupe mwisho mwema
Movie yenye mafunzo.nimependa unavozungumzia madhara ya mihadarati.binaadamu tutawacha lini kuwanyanyapaa wagonjwa wa ukimwi,it's sad.Allah azidi kukupanua akili bro,much ❤ from Nairobi Kenya
Kwatunao angalia uku tunasoma. Comenti kama Mimi gonga leck hapa twende sawa
Endelea ku enjoy
Brother iyii umeweza kweli
Tuko hpa
Daaah yan ata uwaje mbaya jaman mama jaman n mama
😂😂😂jamaniii
Leo sioni watu wakuomba lakes mimi ndio wakwana kuomba😢😢
Enjoy sanaa
😂😂😂😂😂 aya bwana
🤣🤣🤣🤣
Kado maneno ya mama yako utayakumbuka leo unachezea uwahi wa mama kweli kado usaia wa mama yako utaumbuka bade 😢😢😢 Ila Ongeleni wote umo ndani ❤❤❤❤
Yaani😥😥😥
Move ni nzuri mno tumetazama mm na mama yangu na tumeiyelewa mno kaka adamu mungu akubaliki kwa kutupatia ujumbe mzuri na wenye funzo ndani yake ❤❤❤❤❤
Asante mnoo
No pain, no gain, much love kutoka Kenya
Kweli kabisa
Nikikuita kaka nakosea ww ni sawa na baba yangu kweli mungu kakupa kitu ndani yako na mm nawish to be in your work❤😂
Karibu
Wow
SubhanAllah😢,mwisho wa ubaya ulimgeuza chizi…movie nzuri sana mashaallah!!!,,,,keep it up…cardo ulicheza parts zako vizuri hongera sana!!👍🏽👍🏽👍🏽😅
Asante
Nimecheka sana hii movie,, sekala alikuwa anajihami mizimu haongopi,, alivyotimua na kanga na huyo adam wake😂😂😂😂😂😂😂 uwiiiiiiiii
Hahaha nomaa
Funzo tosha kwa wenye kung'ang'ania uridhi tafuta chako hadi wauwa kado ,twasoma kupita filamu Adam kakangu mungu awazidishie kipawa
Amen
Much love from saudia Arabia really appreciate that ❤❤❤❤❤🎉🎉
Thanks
Kaz nzuri wakenya pitien huku❤❤❤😊
Asanteni wakenya
Mobb love from Kenya..Watching inside Doha Qatar..Nimecheka kama chizi baada ya kuona jamaa alivokimbia,pindi nguo zilipogeuka zikawa maji..Hongera kwa kazi nzuri♥️
Shukrani sana
Adam kazi safi mimi apa niko apa Rd Congo nime ikubali filamu yako
Shukrani sana
Nakubali kbx filamu yenyewe natokeya nairobi kenya❤❤
Asante mno
Duuh kaz nzur sana, kumbe sio vichaa wote hulogwa
Kabisa
Kàdo laana ya mama Ako inakutanuna duuuh tamaa mbaya sn good job Adam family ♥️
Kweli kabisaa asante
I dont understand swahili but nime enjoy na movie imeniliza sn 😢yaan hakuna kama mama. Na tusiweke tamaa mbele jamani tufikirieni na mauti,allah tupe mwisho mwema
Asante sana ubarikiwe kwa kutazama🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Duuuu 😢😢 1:10:41 watu kama kado najua mumejaa kwa hiyi dunia ebu mujilekebisheni acheni tama tama ni mbaya 😢😢😢😢😢❤🇧🇮🇧🇮
Kabisa yaani
Ongereni Sana, ADAM LEO , movie zenu uwa ndio zinanifanya niwe RUclips naangalia movie za kibongo za Adam 🫡🫡🫡🫡🫡 hamjawai kufeli ❤
Shukrani sana sana
Napenda Sana muvi za Adamu leo❤❤❤❤❤
Shukrani sana
nzuri sanaaaa 😊😊 nakubali sana movie zako♥️♥️ Allah akuzidishie kipaji chako.🙏🙏
Ameen
Da we Adam kiboko bro mover zako sio mchezo zinafundisha
Shukrani sana
Movie zako nzuri watching from saudi arabia much love
Thanks
bonge moja la movie nimejifunza kitu hapa
Shukrani
Wooow finally umeachia mzigo...Nakupendaje Adam jmni😘❤
Endelea ku enjo
Uyu mama anajua sana jmn kuigiza kuumwa❤❤
Shukrani sana
Tujifunze kwa hiyi movie ninzuri sana
Asante sana
Ila kado macho ameyakodoa utazani ye ndo mzimu😅
Hahahah acha kabisa uoga huo
Adam yaani kama umekasirika uko mcute❤😂😂😂much love lakini
Thanks a lot
iwefundisho kwavijana wote asante kaka adamu god bless you❤❤❤
Amen
Movie yenye mafunzo.nimependa unavozungumzia madhara ya mihadarati.binaadamu tutawacha lini kuwanyanyapaa wagonjwa wa ukimwi,it's sad.Allah azidi kukupanua akili bro,much ❤ from Nairobi Kenya
Shukrani sana sana!!
Watching from Qatar nice movie❤
Thanks
Waaah hata kama ni roho mbaya 😢
Umeona eh
Pafu moja linakaa myaka3 nimecheka kinoma😊
Hahaha acha kabisa
Hongera Adam Leo Kwa Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Upo vizuri sana
Asante sana
😢😢 jamani mim leo wa pili naombeni like 😢😊
Endelea kuenjoy
I like actor @adam Leo ❤sauti yako nzuri sana
Asante
Napenda move zako nataman siku moja nije kuigiza na wew Adam ❤
Karibu
Uwezi Amin tunao angalia mov hi 2024 adi mwaka elf 5000 tutakua atupo
Hahhha aisee ni kweli
Na Mimi naceka eti muzimu kwenye Tv😂😂😂😂😂😂😂 nakupenda sana Niko Rwanda❤
Hahaha asante saanaa
Muvi nzuri yenye mafunzo ndani yakee
Asante sana
Much ❤from Kenya Iko poa sana tamaa mbaya
Kweli kabisaa
Nikisema nampenda Adam na movie zake muelewe😂😂😂
Jamani asaantee sana
Mm nampenda zaidi😂😂😂niachie2 😂
Asanteni
Much love from kenya❤
Thanks
Adam umetisha kaka Aisha from Rwanda napenda movie zako 😮
Shukrani sana
Naangalia huku nikisubiria kukutana na mpenzi wa Facebook 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahah acha kabisa😂😂😂
Nice movie❤
Thanks
kazi zako nzur sana ❤
Asante
Kazi noma sana kaka Adam big up kaka mafunzo mazuri ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Asante
Movie ina mafunzo mungu awabariki wote
Asante sana
Oooo anakua chizi sababu yakutaka mali kwa nguvu zenye hakutafuta mzimu wa mama yake umemshikaaaa😢😢
Yaani acha tu
Ila Adam bn kila ki2 unamwambia miadarati daaaah😂😂😂😂😂
Hahah jamaniii
Niunganishen na mm jamn
Karibu
Next pls tamu zaidi ya asali can't wait ❤guys keep going 🌹🌹🌹🌹🌷🥀
Enjoy❤️❤️❤️
Adam hatari sana ❤❤❤maua yako
Shukrani sana
Much love from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
🤝🤝🤝
Ni Stori mzuri Sana kept up adam
Thanks
Kazi nzur san kaka adam big up👍
Shukrani sana
Adam umechesha sana😂😂😂😂😂 ss wakimbizwa nann😂😂😂 wanimiza mbavu jamani...😂😅
Hahaha acha kabisaa
Movie tamu jamani 😃😃😄
Asante
Kaka adamu wew ni noma❤❤
Asante sana
Kwa huyu mama jirani amepaniki sana
Panga lile alilotishiwa
Bonge la movie, halafu short and clear.. 👏👏👏
Shukrani sana
We Adam huamini mwenzako 😅 kila saa mipombe mibangi
😂😂😂😂
Talent uko nayo kakangu itabidi hata .m nisilalie kipaji changu cha kuigiza ila tatizo sijapata wakunishika mkono ila hongera kwa kazi zko❤❤❤❤
Shukrani sana
Adam na kado🎉🎉🎉🎉
Naam
Kazi nzuri sana wapendwa
Asante sana
Nice movie
Thanks
M mwenyew napenda siku Moja niwe kama nyie jaman nionen
Enjoy
Kaká admo mim shabikiako sana nipo Mozambique
Shukrani sana
Jamani kaka Adam nimechelewa lkn nimefika kazi nzuri sana ❤❤
Shukrani sana
Be blessed for that teaching.
❤
Same to you!
🥰🥰🥰🥰
❤️❤️❤️
Ongeraaaaa san umeweza kaz unayo mzike tu huna namun😅😅😅😅
Umeon eh
Uyu mama nae mroho wa mar kado asingejua uyo mama angekausha
Kweli kabisaa
Much ❤️ from Kenya
Thanks
Safi sanaa kaka Adam..shukran kwa movie nzuri
Asante kwa kutazama boss wangu
much love from somalia
Thanks
Adam never dissapoint, nilikuwa nasubiria performanc yako ktk movie za horror ni bila shaka uko vzr
Shukrani sana mkuu
kaka mkaa😀😀😀😀?
Hahhaa Kado kadanganywa
@@AdamLeoStudios 😃😃
Nakupenda sana Adam leo ❤❤❤❤ nimecheka nimelia yaaan wacha tuu
Enjoy❤️
Ni poa sana bro keep going 😂
Talent unayo brother napenda sana filam zako😊😊😊
Shukrani sana
Movie nzuri sana,ila adam me nakupendaga sana naomba niwe hawa tule tunda😢😢
Hahaha aisee
😂😂😂😂😂 Jaman tena😅😅😂
😂😂😂😂😂😂 adam nae nduki 😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Thanks Adam zidi kutuletea mazuri🎉
Kila kukicha
Wakenya mpoo🇰🇪🇰🇪
Wapoo
Nimechekaaa adamu ulivokimbiaaa😂
Hahaha dah jamani una tabia mbaya kunicheka😂😂
Nilikumic sana Adam 😂😂mwambie anizike😂😂😂
Hahaha nizike ni nomaa
Adamu we noma,nakubali kazi yako broo,nimekwelewa
Asante sana shukrani
Mzigo mzito umedunda jomba,kazi maridhawa sana.Heko❤
Asante
MashaAllah kazi nzuri
Asante sana
Good 👍 job ubarikiwe sana kaka yetu ❤❤🎉🎉
Asante sana
Filam iko vizur sna❤
Asante boss wangu
Mutuleteye namba 2
Sawaa
Nace brother ❤❤❤
Many many thanks
I love your movies iko na mafunzo mengi ,❤❤❤❤❤
Shukrani sana sana
Maskini kado mama anaumwa wewe unataka urithi amakweli dunia imeisha 😭😭
Kwakweli
hii zaidi ya🔥❤️🔥
Shukranii
Adam kazi nzuri