KIHORO | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | ADAM LEO
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Kijana Adam ambaye ni dereva boda boda anajikuta katika matatizo baada ya kufumaniwa na mke wa jirani yake Abdallah, ambapo baada ya fumanizi hilo, Abdallah alimuachia bila kumfanya chochote na kumruhusu aondoke kwa sharti la jambo hilo kubaki kuwa siri ya watu watatu, Je, Adam ataweza kubaki na KIHORO hiko kinachomtesa ndani ya moyo wake bila kumwambia mtu? Fuatilia...
.
Filamu hii Imeandikwa na kuongozwa na ADAM LEO
Kwa mazungumzo yoyote ya kibiashara wasiliana nasi kwa simu namba 0652393960.
.
Usisahau ku SUBSCRIBE ili usipitwe na kazi zote tunazoziweka kila mwezi.
Tazama vituko vya dogo aliyezubaa baada ya kutafutiwa mke na mjomba wake😂😂Komedi ya kuchekesha👇👇
ruclips.net/video/Fu1K5aTTj10/видео.html
1saxxx1❤ww
@@AdamLeoTv saw broo
❤❤❤❤🎉🎉🤝🤗🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪aky hii movie inamafunzo mazuri sana nani pitia hapa
Shukrani sana
Hongera sana Adam kwa kutuburidisha unaweza big apu
Shukrani sana
Mke wa mtu tutututuu sumu 😅 Adamu kimekukuta kitu 😂😂😂 Haki movie zako ni nzuri na zina uhalisia ,wahusika wanajua kutumia vizuri nafasi wanazo pewa na zinafundisha sana, Mungu akuongoze kwenye njia ya mafanikio 🙏🏻
Ameen
Mashallah hongera sana Adam leo group mnaweza sana zaidi ya sana🔥🔥🔥🔥
Shukrani sana aisee.😊
Katika movie zimebeba uhalisia ni hii Adam. Safi sana,Keep up the good work. Nimependa kila sehemu hasa wahusika wote walivyobeba uhalisia, kwa kutoa machozi, that was great!
Shukrani sana bro, I appreciate🙏🙏
Bora upewe adhabu kuliko ufumaniwe muhusika akuache mbaya sana hongera kaka adam kwa mafunzo🎉🎉🎉
Umeona eh
Adam mdogo wangu nimeona movie zako nyingi tu lakini hii kali sana yaani Adam nimelia sana. Adam Nakuombea Mungu sana akuzidishie katika talent zako. Uko juu mdogo wangu.
Shukrani sana aisee🙏🙏
Jaman. Adam. iviukiwa nawifi. inakuje. Maana. Sokwasauti. Hiyo. Daaah. Yote kwayote. Movie. Zako. Tamu balaaaaa. Nakupenda. Mungu akupe hitaji la moyowako. Inshaalh. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen
Wapi like za wakenya
Like kama zoooooteeeee.... +254 nawapenda...
Mww sin mbavu ap Adam et nimeshibaaa
Yaani
Hakuna siku inapita kama sijaangalia filamu za Adam
Yapendeza sana,,, Adam unafunza jamii kweli
Nzr. Sana mashallah. Kaka. Abdallh upo. Vzr. Nakupenda. Sana. Jinsi. Ulivyo
Shukrani sana
Asante
Adam nakukunali sana umetupa funzo kubwa sana kwa sisi wanawake
Shukrani sana
Daaah Kali sana haki ya mungu kihoro kinaweza kuua
Umeona eh
Nakubal Adam kwa kazi yko ila yataka moyo pia yatupa fundisho kwetu sisi kizazi cha sahii bigup my brother may Lord God bless you
Thanks a lot.🙏
Broo Adam uko makini sana na ector zako nakukubali kinoma pia na mafunzo ndani yake..bodaboda pia waache tabia mbaya kama hizi
Shukrani sana
Tumpe hongera huyu kaka Adam maana kazi zake ni nzur na zinamafunzu aki.
Shukrani sana😂😂
Jamani Adam pole kwa kufumaniwa na mke wa mtu 😭💖🌹😭😭😂ila hongera sana kwa kazi nzuri💖💖🌹🌹💪.
Asante sana🙏🙏
Hongera sana kaka adam hakika movie zako ni nzuri aisee hongera
Shukrani sana
Ongera kabisa 🤙 brother director adam leo ♌ kazi tunafuata toka apa katanga Lubumbashi ☑️✅ napenda sana movie
Shukrani, hongera zako zimefika🙏🙏🙏
Huyu jamaa anajuaa balaa uktizama movies zake huboeki kwa kweli unatamani usiishe 😍
Shukrani sana, kazi zake zote zinapatikana hapa🙏🙏🙏
Hongera adamu unalia kama kweli bana hii movie namini ndio the best qwa sasa
Asante sana🙏🙏
Kazi nzuri bro keep moving...i pray God to protect you 🙏🙏🙏kweli kaka angu movie zako zanifunza kitu keep moving bro tusha pata the next Stephen kanumba
Amen thanks for the prayers!🙏
Pongezi sana kwenu, filam nzuri sana, ina mafunzo mengi, hasa Adam unaweza sana nawapenda. 09.11.23.
Asante sana
Adam umeyatimba mke wa mtu sum 🎉🎉kiukweli movie nzuri na Inamafunzo makubwa sana
Asante sana🙏🙏🙏
Jamani wanawake turidhike na waume zetu, watching from kenya
Shukrani mnooo
Wengine wanapesa lkn wanavibamia😂😂
Nawafatiliya 10/10 toka drc congo
asante sana kutoka dc
Asante sana sana, u got love from us🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hatari sanaaaaaa. Wadau si ya kukosa hii. Waambieni na wenzenuuu.
🙏🙏
Binafsi filamu akishakuwepo Adam Leo tu huwa siachi kuangalia sababu najua ni nzuri, hongera sana adam
Asante sana
kweli hanaga kazi mbovu
Waaah Adam uko vizuri kwenye movie zako sihami ❤❤❤❤🎉
Shukrani sana sana.
Kazi nzuri kamanda wangu adam
Shukrani sana🙏🙏🙏
Yani sio movie tu! Hadi mafunzo ndani ..hujawai niangusha damu yngu adamu😁💥💯🙏🏾🏁 hakuna anaejutia bando lake humu bloody ..mungu akuongoze na kazi zako kaka #StayBlessed
Shukrani sana, barikiwa mzee🙏
Good job penda sana adam
Asante
Waliomuonea huruma Adam baada ya kufa, gonga like hapa
Asante, ninashukuru.🙏🙏
Mimi hapa😂😂
Movie nzur sana kaka Adam 🥰 barikiwa
Amen🙏🙏🙏
mpo vizuri adam
Shukrani, usiache Ku subscribe ili usipitwe na kazi zijazo.
Alafu dadake Adam aky congratulations unampenda sana kakako I wish ningekuwa na dada kama ww
Yaani hadi raha, anajua kumpambani mtoto wake🙏
Hii movie imeniliza kikweli yaani nairudia tenaa,likes za kenyan
Shukrani sana
Hii kali sana inamafunzo na inahuzunisha pole adam
Asante sana sana.
Kihoro bonge moja la funzo, nimekukubali adam na washiriki wote, filamu nzuri sna
Shukrani sana🙏🙏
Mafunzoo mazurii Sanaa San subraaa muhimuu sanaa ktk hii dunia
Kabisa kabisa, subra ndiyo kila kitu.
Safiii adamu big up broooo
Shukrani sana..🙏🙏🙏
Adamu kazi zuri San nimejifuza kitu apa hongera San
Shukrani sana, na hilo ndilo lengo hasa la ukurasa huu, kuweka filamu ambazo angalau mtu anaweza kuelimika na kuburudika.
Waaa kali hii movie iko n mafunzo vizuri adam wanawake tutulie tu n waume zete.... lkn mwisho imenitoa machozi😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nashukuru asante, comment yako imenipa nguvu ya kuendelea mbele zaidi. Asante sana!
Hadi huluma 😢dah tutulie kwakweli na waume zetu jamani....ila hongera sana kaka Adam na washira wote mumejua kutumia huusika vizuri keep it up ❤❤❤ wapi like za wakenya jamani
Kazi nzuri Adam naadhani vijana wetu wa bodaboda hapa kwetu kenya wamejifunza kitu napenda vile adam anavyokula tu
Hahahah asante jamami
Unafundisha kabisa. Big up Adam!
Shukrani sana
Yan mnajua kuigiza ad raha😘😘😘😘bigup
Asante sana aisee.
Wapili leo Adam keep going 💖💖
Umekuwa wa kwanza, hongeraaa... enjoy filamu nzuri🙏🙏
ajifunze
Daaaaah funzo nzuri sanaaaa kaka daaaah
Shukrani mno
Nakupenda Adam
Nakupenda pia.
Uko juu mwaya ndio maana nakupenda 🥰 .....japokuwa tumechelewa ila huwa tunasema chelewa ufike😅....much love from kenya
Thanks a lot...!!!
Ila kimekuramba baba 🤣🤣..mke Wa MTU sumu
Hongera sana Adam love you💖💖🌹
Thanks love u moree..
Hongera.sana.adam
Asante sana
Adam dar zamani sana mpaka nime miss Enzi zetu za kwa chuzy days kihangara😂😂 kazi nzuri sana ndugu balikiwa sana 🙏
Asante nitumie namba zako
Movie kali sana na unajua kuwapatia wahusika nakubali sanaa adam❤
Shukrani sana
Filamu nzuri sana hongereni sana adam
Asante sana, nitahakikisha naleta filamu nzuri kila kukicha, usiache ku Subscribe ili usipitwe tu.
Asanteni nyote. Nawapenda sana🙏🙏🙏
Boss
MashaAllah movie nzuri na Adam una Mke mzuri nimempenda
Shukrani sana🙏🙏
@@Stanbul.Y wole wako ukamnyemelee mke wake utakula ubwabwa na maharage huku unalia🤓
Hahahaha
Adam nakubal Sana kwenye move zako unacheza vizur
Shukrank
Nakubl kz nzur
Shukrani sana🙏🙏
asante sana
Hongera kakangu umefanya vzur sana
Asante sana
Shikamoo Adam😂😂😂asalam alaykum warhamtullah wabarakatul Abdallah 🤣🤣🤣🤣.
🙏🙏🙏🙏
Wooow so Amazing uko vizur broo
Thanks a lot, ubarikiwe sana Saumu🙏
The ending made me cry😭 so sad😪..!! I love u Adam
Pole, mimi pia nililia.😁 nitajitahidi kufanya filamu zinazogusa hisia za watu, usiache ku Subscribe ili usipitwe.
Hahahah jamani hayaa, ngoja niendelee kulia.
Hii kali Adam mmmmh umeweza kweli ata yatihuruma
Asante sana kwa kweli
Nimecheka hapo kwenye kula yaani jamaa aliemfumania adam ako serious. Eti akuetee pilipili😂😂😂😂 adam derea
🤣🤣
Mashaallah jaman mung awabarik san kaz mzr san🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Alaa why Adam made me cry sorry honey 😂😂
Very sorry😭😭
Wa pili Leo🤓💪
Hongera mzee, enjoy filamu nzuri.
Adam ongera sana kwa kazi nzuri toka RDC Katanga lubumbashi
Nashukuru sana.
Huna mbaya broo Safi Sana hii kitu
Shukrani sana mkuu, tuisambaze ili ujumbe uwafikie watu wengi..
Hakiii hii move adam umeweza xaaan"kiukweli inafundisha na kituelimisha pia daaah mpak nimelia kk up juu✌️✌️🔥🔥🔥🥰🥰🙏🙏🙏
Shukrani sana aisee...🙏🙏
Nimejikuta namhurumia Adam Bora mtu akupe azabu yoyote Ile Ila sio ufanye ubaya akufanyie wema inaumiza sana
Umeonaa eh😭😭😭
Mguu wangu mguu wako na huyo rafki yako mpka kwa huyo baba,ah mm kule hapana siezi kwenda,na ulpoenda kuyafanya....😅😅😅🤣🤣
😂😂😂😂
Adamu umetisha sana yani umeweza
Asante sana sana
Ebnaa adamu eeee mi nishapiga mke wa mtu lakin kwangu na nilifunga mpka milango ya choooo la kwa move hiii nafuta namba sasa hivi 🤣🤣🤣
Hahahah futa kaka, wanachota unyayo siku hizi... wanaua kimya kimya hawakupigi tena.🤣
@@AdamLeoTv ebnaa ni hatar sana sasa kwa hiyo adamu ndo umekufa mtu wangu 🤣
Adam Kwishney..
Daaah umelia kwa uchungu sanaa Adam movie nzur sanaa ina mafunzo yani ipo kwenye uhalisia kabisaa ambao vitu hivii vipoo
🙏🙏🙏asante sana, usiache ku Subscribe kwa filamu zangu nyingine.
Hahha adamu umenichekesha hp 🤣sina mbavu kwa kucheka
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣bado ww fulani adam shukrni kama vile kwli😋💓💓💓
Asante sana aisee🙏🙏🙏
Movei kali Adam nzpenda xna movie zko kkngu
Asante sana dadaangu.
Kuna wanawake wengine..na wanaume wengine sijui wakoje..awatosheki..ata uwafanyie nni..watachepuka tu 😭😭😭.. shikamoo mapenzi...mi Niko single naejoy 🤣
Enjoy mama😂😂😂
@@AdamLeoTv 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
@@AdamLeoTv kazi njema 🎉🎉
Yani hii picha ni funzo nimeipenda sana
Asante sana
Mwamba anajua aisee salute🙌
Shukrani sana, tuisambaze ili ujumbe uwafikie watu wengi.
Hongera sana kakaang kwa kaz nzur yenye mafunzo
Asante sana, kazi nyingine zinakuja hivyo usiache ku Subscribe. 🙏🙏
Adam hongera Sana kwako Huwa hukosei movie zako 😍🥰
Asante sana🙏🙏🙏
São
Zip
🙏🙏🙏
🙏🙏🙏
Wa kumfananisha Adam na hao wengine mjinga sana ashavuka stage hizo hongera kaka
Asante sana nashukuru
You have good and seductive movies thnkx 4 everyone who participated in it wish you all the best 🥰🥰🙏
Thanks, I appreciate!!!
Aliemuona adamu akila wali maharang nani
😂😂😂😂oman
Abdallah pole sana hahahaha mke anauma sana ingekuwa kwel n hatr
YaAni we acha tu, anAumaa sana.
Hahahaha adamu we mshenzi wewe yani mmi nkiangalia movie yako hua natamani hata isishe brow uko juu haya angalia tv mbn unaogopa
Hahahaha🤣🤣kuogopa muhimu!!
@@AdamLeoTv unajitia huruma et usamehewe bure mara unamaliza kula jamaa anakupaka mafuta
Hongera Sana nimewakubali sauti ziko poa
@joseph shukrani
Adamu good job
Adam hayo macho basi.sura km kalamba limao
Ogopa kifo, hakina uzuri wa sura ukikishuhudia ndiyo utaelewa mwanadamu anaonekanaje.
ADAMUUUU.UNATISHA KWAKUJUA KUTONGOZA HUJAMBO.WEWE NA WANAWAKE TU.
Msiige vijana hizi movie tu.
Kaka Adam nimekupenda bure umeigiza vzr ongera yako lete chuma kingine
Soon nawaletea kazi mpya
Wakwaza Leo na kuku bari Adam Leo nikikuonaga kwenye kava mapema tu naingia kucheki dubwana
Karibu sana, na hii hautojutia...🙏
@@AdamLeoTv mwendelezo pleas
Hii move imenipa simansi,,hongereni washiriki
Asante sana
Dada wa Adamu kaenda kuomba msamaha kwa Dullah kutoka kwa Dullah mpka kwa Adam ni mtaa wa4, Dullah rafiki ake walikutana kujadili swala la Adamu, and Adamu alipigiwa simu kwenda Ubungo maziwa ili Dullah aweze kuchota mchanga, Dullah alifanikiwa kuchota mchanga na Adamu alirudi home umauti ukamfika wakati huo dada ake aliye toka mtaa wa4 hajafikaa😂😂 inachanganya sana kwakwelii, Adamu yupo kitandani anaugulia maumivu ya mkono aliwezaje kuendesha boda mpaka Ubungo maziwa?? I think ilipaswa kuwa hata baada ya siku4/5 mbele
Asante kwa maoni.🙏
Pale yule shekhe alikuwa anakumbuka utakuwa hujaelewa tu
Vijana ambao wanajifanya ni maziwa watulie waache kutembea nama sumu, Love from 🇧🇮
Umeeoonnaaa, sumu ya mke wa mtu kali kuliko maziwa yaliyopo ghetoni kwao.
Sna cha kusema nikimimwonaga Adam tu najua movie nzur sina shaka nae
Basi hakika hutojutia na hapa utazipata kazi zote za Adam Leo🙏🙏usiache ku Subscribe na kubonyeza alama ya kengele ili usipitwe na kazi mpya kila tunapoziweka.
Napenda kz yako brother ❤❤❤❤
Shukrani
MUNGU baba wa mbingun baba🤣🤣🤣🤣
Maombi mengi baada ya kuyatinganya😁😁
Kwel ni Adam Leo na kihoro kweli kazi nzuri hongera. Nimepend una reply cmnt za mashabik zak. Barikiwa sana
Shukrani sana
Kanyimbo kazur cjuih nan alieimba
Anaitwa RUMIE SAJ, mtafute instagram kwa jina hilo.
Thanx
@RumieSaj, unajua sana✔✔✔
Congratulations 👏 👏 move nzur bro Allah aibariki mikono yako
Amen🙏
Kula chakula adam kula hongeleni sana kazi nzuri
Shukrani🙏🙏🙏
Katika wanadamu ni watu wachache sana wenye moyo kama huyu jamaa aliekufamania brow
Kabisa kabisa, ila ukiangalia mpaka mwisho ndiyo utajua kwamba mioyo ya wanadamu wote inafanana.
@@AdamLeoTv sawa wacha niende nayo mpaka tamati
Poa
Aisee unaweza Adam nakupenda bure MUNGU akujalie ufike pale unapotaka kufika
Amen