JIRANI YANGU full movie/ Africa movie swahili HD

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии •

  • @Gardenbeautysolutions
    @Gardenbeautysolutions 5 месяцев назад +3

    Woooow nothing to add on this mafunzo hatumalizi jamani❤ good work guys

  • @HusseinOmar-n8m
    @HusseinOmar-n8m 4 месяца назад +1

    Masha allah nimependa sana move yenu ina mafunzo mazuri nami pia nimrjifunza kitu hapa tuleteeni nyengine kama hii

    • @mquraishfilm
      @mquraishfilm  4 месяца назад

      @@HusseinOmar-n8m ok shukran sana

  • @AbdulazizMussa-sy2mz
    @AbdulazizMussa-sy2mz 4 месяца назад +3

    Masha Allah hakika naipenda sana kazi nzuri

  • @rawhiyasultan5778
    @rawhiyasultan5778 5 месяцев назад +4

    moves nzuri sana shekh inamafundisho sana ususani kwasisi wakinamama.

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 5 месяцев назад +1

    Mashallahu Tamthilia safi kabisa iliyojaa mafunzo ya Dini na ya Dunia Allah awalipe Nyie nyote mlioshiriki kamwe na wa Tunzi waliotunga na Sisi pia tulio ishuhudia In sha llah

    • @mquraishfilm
      @mquraishfilm  5 месяцев назад

      @@abdallahhalifa5860 allahumma amiin yaarabby SHUKRAN sana

    • @abdallahhalifa5860
      @abdallahhalifa5860 5 месяцев назад +1

      @@mquraishfilm Afwan Bro

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 5 месяцев назад +1

    Mashaallaah mna mafunzo mazuri hongera sana na Allah awazidishie kila la heri ishaallah nawapenda sanaaaaaaa jamani ila mkureishi nakupenda jamani

    • @mquraishfilm
      @mquraishfilm  5 месяцев назад

      Alhamdulillah shukran sana nasi pia tunakupenda zaid

  • @MakutuShivo
    @MakutuShivo 5 месяцев назад +1

    Hongeren filam nzuri sana na pia inafundisha

  • @AminaAfrica-pr3gi
    @AminaAfrica-pr3gi 5 месяцев назад +2

    Mashallah Baba mkwe hongera

  • @somoeGodhana
    @somoeGodhana 5 месяцев назад +1

    mashallah nimejifunza sanaa❤❤❤

    • @mquraishfilm
      @mquraishfilm  5 месяцев назад

      Alhamdulillah

    • @MwinyiSalim-d4j
      @MwinyiSalim-d4j 5 месяцев назад

      Mashallah mashallah we need more education for social society ​@@mquraishfilm

    • @MwinyiSalim-d4j
      @MwinyiSalim-d4j 5 месяцев назад +1

      ​@@mquraishfilmjazakallahuher

  • @AminaAfrica-pr3gi
    @AminaAfrica-pr3gi 5 месяцев назад +1

    Nimependa Baba na mama hongereni sana

  • @LambertKimati
    @LambertKimati 5 месяцев назад +1

    Aya ni mafunzo mazuri kabisa nawapenda sana from Lubumbashi in Congo RDC asanteni kabisa

    • @mquraishfilm
      @mquraishfilm  5 месяцев назад

      @@LambertKimati shukran sana nasi tunakupenda

  • @MwanasitiBakari-l4v
    @MwanasitiBakari-l4v 5 месяцев назад +1

    Uyu ni mzee yusuf ama pacha yake😢😢😢 but good movie 🎥🎥🎥

  • @ramlamdere4296
    @ramlamdere4296 5 месяцев назад +1

    Mashaallah filam mzuri ina mafunzo kweli ndoa niuvumilivu

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 5 месяцев назад +4

    Ila muhogo mchungu kumjibu mkewe hukubali unataka kuolewa wew😂😂😂 Mume wangu hayo matusi😅

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 5 месяцев назад +1

    Maashaallah mama ana maneno ya hema na busara na kujenga safi sana

  • @SharifaA-y4t
    @SharifaA-y4t 9 дней назад +1

    Masha Allah

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 5 месяцев назад +2

    Maashaallah tabarrak allah ,zuri hii move

    • @mquraishfilm
      @mquraishfilm  5 месяцев назад +1

      @@RamadhaniKitala-gx6wc wa antakadhaalika

  • @amiribuja9317
    @amiribuja9317 5 месяцев назад +1

    Move niliopenda 🎉sana

  • @MAMAKAGOMA
    @MAMAKAGOMA 5 месяцев назад +1

    Baba mwenye nyumba hafai... ukidai kodi usisimulie ya wengine kila mmoja mdai kisiri

  • @AgreyGona
    @AgreyGona 4 месяца назад +1

    Mafunzo mazuri sana aki

  • @KimtiBoy
    @KimtiBoy 5 месяцев назад +1

    Filamu nzuri inasisimua

  • @Maryam123-vh6sq
    @Maryam123-vh6sq 5 месяцев назад +1

    Maashaallah filam nzr sn inamafunzo ndani yake

  • @Zahara-l3l
    @Zahara-l3l 5 месяцев назад +2

    Mashaa Allah from singida

  • @ImranJuma_dr
    @ImranJuma_dr 5 месяцев назад +2

    Good kaka

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 5 месяцев назад +2

    Next plzz

  • @Surgeon-sk1ic
    @Surgeon-sk1ic 5 месяцев назад +1

    IN-NALLAHMA-AS-SWABIREEN

  • @SharifaA-y4t
    @SharifaA-y4t 9 дней назад +1

    Tupeni muendelezo jamani

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 5 месяцев назад

    Humu naskia ishaalah mashaalah kama zote ila Husna karoho kamejikunja bado ana wivu😂😂

  • @atkaali-mz5st
    @atkaali-mz5st 5 месяцев назад +4

    Bado moja apo ktk makosa yake
    Miguu akiswali aifunike pia ili wanao iga waige yalikua sahihi

  • @mamuamtoto
    @mamuamtoto 4 месяца назад +1

    Mkumbushe Mzee Yussuf maneno yake hayo.

  • @ashunebeibe2641
    @ashunebeibe2641 5 месяцев назад +1

    Alafu miguu haifai kuonekana

    • @mquraishfilm
      @mquraishfilm  5 месяцев назад

      Naam tunaelimishana taratibu

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 5 месяцев назад +2

    Part 2 jomon

  • @IssaAbushehe
    @IssaAbushehe 5 месяцев назад +2

    Hizi ndio filamu za kutazama sasa sio zile za nusu uchi

  • @AbdihamidMohd
    @AbdihamidMohd 5 месяцев назад +2

    Tuna PATA mafunzo kweny hii movie

  • @Luvunokkabi
    @Luvunokkabi 5 месяцев назад +1

    Ndio maana spendi nyumba za kukodi

  • @ALIMFAKI
    @ALIMFAKI 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 4 месяца назад +1

    Pia na nyayo. Zifunikwe lbis ame nena anaesali nyayo zikiwa wazi huyo ni mamake au mke wake tuvae socks tukisali

  • @AbdulazizMussa-sy2mz
    @AbdulazizMussa-sy2mz 4 месяца назад +1

    Yani hii movie kila siku naitazam yan inanifunza vitu ving