KUFULI | FULL MOVIE |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Hottest Video 2024, New Hottest Film Videos 2024, Full Movie By Kim vevo
    If we have any mistakes. please comment and tell us, what is our mistake? We will try to solve this error next. please watch our videos and give us the courage to try better. Thank you for watching this video.
    Director - HAIR Script Writer - MABWANGA and team Producer - KIM VEVO Camera Man - HAIR Editor - IMMORTAL HAIR Actors - Kim, Butua, Mwanji, Sara, Kipara, Mbwela, Mwasi, Mbonolwa, Tanu, Zungu, etc. This video is not dangerous of any kind.
    This video does not take any risk, no Dangerous Action, no physical harm, it is fine for the Viewers. thanks for watching
    #clamvevo #kimvevo #tanu #mbwela #kipara

Комментарии • 190

  • @maurine3503
    @maurine3503 5 месяцев назад +17

    Ni mara yangu ya kwanza kuskia Kim anatusiana. Kumbe mwasi ni mrembo tu ivi wehhhh, great job my people much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @sophiamwailonda
    @sophiamwailonda 5 месяцев назад +14

    Mwasi,tanu na huyo kaka alocheza kama mume wa kim wanajua sana kuigiza huwa nawapenda sana❤❤❤❤❤

  • @DenisKipkemboi-p9f
    @DenisKipkemboi-p9f 5 месяцев назад +19

    Kazi yente kabisaa na next movie mmakinike mwishomwisho 🇰🇪

  • @Karimzabdul
    @Karimzabdul 5 месяцев назад +8

    Mwasi uko n mtu kwli mana hali yko nzuri ❤❤❤❤

  • @Shaddy255
    @Shaddy255 5 месяцев назад +10

    Kim na mwasi daah kazi nzuri mno❤️💋💋love you from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪

  • @FarajaAmbade-p1v
    @FarajaAmbade-p1v 2 месяца назад +3

    Mbwela mimi nime tokea ku kukubali sana kwa kazi nzuri na movie zako zote ni nzur sana mazingira ya kijijini hongereni saaana 🎉🎉🎉❤

  • @Frola-ym2nq
    @Frola-ym2nq 5 месяцев назад +7

    ❤❤❤Maua yenu Tim nzima mnajua kutuburudisha

  • @Don_Will.i.am07
    @Don_Will.i.am07 Месяц назад +2

    Kim bhana unajua daah sijawahi kuona uki act Kwa dharau maana nyingi una act mpole ... Respect sana my sisi. Al the way from Arusha Tanzani

  • @BonfaceOkemwa-t2v
    @BonfaceOkemwa-t2v Месяц назад +2

    kim eeh kenya tunapenda kazi yako mno pongezi kwanza weeh mzuri kwanzia macho na kilakitu ❤❤more love

  • @najmahamisi4409
    @najmahamisi4409 5 месяцев назад +1

    Wueeehh mwasi wueehh filamu Kali Sana ...alafu hiyo WA kufuli nzuri Sana pia.....mumeweza,mumeweza,mumeweza tena 🙌🙌🙌

  • @RitaNjeri-d4g
    @RitaNjeri-d4g 5 месяцев назад +3

    Hii movie ni nzuri ,I really love the actor's to kwanza hapo kwa nyimbo ya Kikuyu mumeweza aiseee love you guys🇰🇪

  • @MwanneOthuman-o3q
    @MwanneOthuman-o3q 2 месяца назад +1

    mwasii nyuma unatuumiza mamaaa❤❤❤by zairati

  • @yusuphmdoe5451
    @yusuphmdoe5451 5 месяцев назад +65

    Daah jamani mwasi kumbe ana msambwanda oya kama kunamtu ameliona la mwasi kama mimi gonga like👍 hapa

    • @mr_shabery
      @mr_shabery 5 месяцев назад +1

      nimeliona msambwanda

    • @mr_shabery
      @mr_shabery 5 месяцев назад +1

      punguza kuona

    • @BenjaminChakwe
      @BenjaminChakwe 5 месяцев назад

      Ujinga Ujinga tu

    • @mkakamwenyefyuchatv5003
      @mkakamwenyefyuchatv5003 5 месяцев назад

      Hii comment imenifny niangalie movie oya zigo la kwenda af camera imetenda haki hakika nime enjoy

    • @Official_C.E.O
      @Official_C.E.O 5 месяцев назад

      😂😂😂😂😂 Ni Atar

  • @dalalimwalimufurnitures
    @dalalimwalimufurnitures 4 месяца назад +10

    Weee kama unamkubali Kim kama mimi basi gonga like hapa

  • @ndayikezaoscar3467
    @ndayikezaoscar3467 5 месяцев назад +20

    TANU mwigizaji mzuri sana. Aendelee kupewa nafasi nyingi zaidi

    • @maylucson001
      @maylucson001 5 месяцев назад +1

      Sanaa nampendaa mno 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 11 дней назад

      Noma sana

  • @Mtotowainter
    @Mtotowainter 5 месяцев назад +3

    Safi sna iruduwe kwa ajili yagu❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @evaristeNimbona
    @evaristeNimbona 5 месяцев назад +1

    Hongera saaaana tano😅❤nagupenda saaana

  • @SukhairaZaiytun
    @SukhairaZaiytun 3 месяца назад +2

    Dada happy anafanya yake❤❤❤

  • @suleimaanunda
    @suleimaanunda 3 месяца назад +4

    ila bimigomba jamani 😂upo vizuri mama eeh 😅

  • @MbwanaPindo
    @MbwanaPindo 4 месяца назад +1

    Yes wanajua ❤❤ wote .mtafika mbali "

  • @fatumamohamed6903
    @fatumamohamed6903 2 месяца назад +2

    Mm shabiki sana wako w movies zenu mbwela yani sina Tv ila simu ndio tv tosha nazipenda sana movie zenu jamani❤I'm from🇰🇪🇰🇪

  • @DennisKarani-n1t
    @DennisKarani-n1t 5 месяцев назад +9

    Wangapi walimkubali mwasi 😅

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz Месяц назад +1

    Kazi mzur

  • @OthmanAbdallah-y4v
    @OthmanAbdallah-y4v 4 месяца назад +2

    Kweli ndugu yangu. Mwasi anamzigo sio mchezo. Anashawishi haswa.

  • @AbdisamidHussein
    @AbdisamidHussein 4 месяца назад +1

    ❤❤mwasi nampenda bure from kenya

  • @Jozuine
    @Jozuine 2 месяца назад +1

    Sijapenda Butua😢😢 unaona wanawake wote mbwa

  • @NifferWagee-kz2sv
    @NifferWagee-kz2sv 3 месяца назад +4

    Napendaga staili ya mbwela akiwa anaambiwa jambo na adui kama ana watu anawaangalia wote ndio anajibu ,kama yupo peke ake anaangalia kulia na kushoto ndio anajibu aisee napenda sana

  • @Aisha-ld3ol
    @Aisha-ld3ol 5 месяцев назад +11

    Mm n wakwanza naomba like❤❤❤❤❤ kim🎉🎉🎉

  • @rajabkiti896
    @rajabkiti896 5 месяцев назад +2

    Waaaaah mwasi anamkiaa nmeu❤❤

  • @davykisabo875
    @davykisabo875 5 месяцев назад +2

    Leo ndiyo nimeona uzuri wa kimu kwa jicho la kipekee sana

  • @ShanyAbuzefa
    @ShanyAbuzefa 4 месяца назад

    Kimu hongera sana umeweza endelea dada uko vizuri ila huku Kwa uchawi Kwa tisha

  • @FatumaUchi-i7t
    @FatumaUchi-i7t 5 месяцев назад +11

    Wakwanza team strong nipeni mauwa yangu

  • @OMOYUDATV
    @OMOYUDATV 2 месяца назад +1

    Mimi na mlevi tuko kimoja naomba likes hapa kutoka Kenya 🇰🇪 ❤

  • @wizaraxx1256
    @wizaraxx1256 5 месяцев назад +3

    Hii movie ninzur sana lakin mwishoni mlifeli kaena makin napenda sana movie zenu 🇰🇪🇰🇪

    • @MaryamSaid-s3v
      @MaryamSaid-s3v 3 месяца назад

      Yani hawa muvi zao nyingi nzuri ila zinavyoisha ndio mtihan sijui wanafeli wap

  • @ShijaJagady
    @ShijaJagady 5 месяцев назад

    jamani mwasiiiiiiiii umenitoa checked kwa sambwanda lako kudadeki😍😍😍

  • @GracedamaKasiwa
    @GracedamaKasiwa 5 месяцев назад +6

    Like kwa mwasi

  • @PaisibleKasamukulu
    @PaisibleKasamukulu 5 месяцев назад +3

    Kim naku penda sana toka rdcongo

  • @TomJangal-l4l
    @TomJangal-l4l 5 месяцев назад +4

    Jamani kama mwasi ajaolewa naomba mawasiliano yake

  • @KibwanaJohn
    @KibwanaJohn 4 месяца назад +1

    Safi sana

  • @SaudaIbrahim-xr4fw
    @SaudaIbrahim-xr4fw 14 дней назад

    Pambee tuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SaimonAlphonceLuoga
    @SaimonAlphonceLuoga 5 месяцев назад

    Mwas umesema uko singo naomba uwe mshangazi wangu😢😢😢😢😢❤

  • @Director___Mwadadu
    @Director___Mwadadu 3 месяца назад +1

    🎉🎉🎉🎉nice movie ❤

  • @danielaloyce8418
    @danielaloyce8418 2 месяца назад +1

    mwasi humu ni laana🤤

  • @FatumaNasoro-z2b
    @FatumaNasoro-z2b 5 месяцев назад +1

    Wakwaza mie Leo

  • @alexkatana5037
    @alexkatana5037 5 месяцев назад +2

    Kazi Nzuri sana

  • @AbediKanu-xt3iq
    @AbediKanu-xt3iq 17 дней назад +1

    Eti tuliza nini yako!!!aibu hadi watoto wamekimbia kwend lala

  • @عليعلي-خ2م9د
    @عليعلي-خ2م9د 2 месяца назад +3

    Haa jamani ndipo mwavuka mipaka mlev katusi et sura kama nn chagueni matusi

  • @GodwinOmulama
    @GodwinOmulama Месяц назад

    Napenda movie zenu sana

  • @FaithMalonza-l7t
    @FaithMalonza-l7t 2 месяца назад +1

    𝙆𝙖𝙯𝙞 𝙨𝙖𝙛𝙞 𝙨𝙖𝙣𝙖💖💖💝💯

  • @anethkidai1060
    @anethkidai1060 4 месяца назад

    Duh! Mwasi anamtako huo❤❤

  • @RaimamomedSaide
    @RaimamomedSaide 25 дней назад

    We butua😂acha ujinga unasemaje pombe ni nzuri kuliko mke?nani angezaa km tungeowana na pombe?kazi nzur hongeren sana 💯 ila mwanji leo kawa nahasira zaid ya sana nahua sio kawaida yake 😢.

  • @SaudaIbrahim-xr4fw
    @SaudaIbrahim-xr4fw 14 дней назад

    Bi mgomba umetishaaa 😂😂😂😅😂😂😂😂😂😂

  • @EstherMaturi
    @EstherMaturi 3 месяца назад +1

    Kim napenda inavyoonekana we ni mrembo sana❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatumaandrea247
    @fatumaandrea247 5 месяцев назад

    Mwasi dah Yale mavazi ya kwenye snek boy kumbe Yana kuficha msabwanda 😂😂😂 hahahaha mkovizuri

  • @mussamohd4414
    @mussamohd4414 5 месяцев назад +1

    Hongera yako mwasi sichoki kukusifia katka ubora wako

  • @MwanahamisiSalumu-uq2pj
    @MwanahamisiSalumu-uq2pj 5 месяцев назад

    Mme jua kutuonyesha sambwanda la mwasi😂😂 ila kazi nzuri sana sana kim

  • @nashclien7688
    @nashclien7688 5 месяцев назад

    Wa nne Leo kutoka 🎉🎉🎉

  • @StevenNguvamali
    @StevenNguvamali 5 месяцев назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yusuphmdoe5451
    @yusuphmdoe5451 5 месяцев назад +2

    Ila hii kitu kali sana

  • @ashajao
    @ashajao 4 месяца назад

    Mumeanza vizur mukmaliza ndivyo sivyo but mmejaribu❤❤

  • @JafarySadick
    @JafarySadick 5 месяцев назад +1

    Kazi kazi

  • @RoseOenga
    @RoseOenga 4 месяца назад

    Kazi safi dada ❤❤ keep it up ❤❤❤

  • @BarasaRose
    @BarasaRose 12 дней назад

    One love from Kenya manze

  • @venancemwamfise7510
    @venancemwamfise7510 4 месяца назад +7

    Movie Ni nzuri Sana. Ila punguzeni lugha zisizofaa kwenye movie haswa pale msanii anapokua anaigiza akiwa na bad mood mfano hasira. Movie zenu tunaangalia na watoto wetu sasa maneno mfano MATAKO YAKO Alivyosema chapombe wetu butua Sio mazuri. Pia maneno kama PUMBAVU WEWE kama yalivyotumiwa na baadhi ya characters pia Sio mazuri. Vinginevyo mko vizuri Sana. Mkirekebisha Hayo,,, nawaona Mbali Sana nyie wasanii wetu.

    • @mymussept3662
      @mymussept3662 3 месяца назад

      Mmmmh sasa hayo si maneno ya kawaida km pumbavu had kwenye biblia lipo sasa nawee kaaa mkuu wa nidhamu

    • @gershomchallo
      @gershomchallo 3 месяца назад

      Nimeipenda, natamani movie nitazame na wanangu au wazazi wakiwepo. ❤

    • @PelesianaBukuru
      @PelesianaBukuru 2 месяца назад

      Hakuna watu wanaongoza kuongea matusi kama movie za kizungu ila sijaona hata mtu akisema ila watu kusema pumbavu tu inakua mbaya

  • @FadhilaElisha-t4k
    @FadhilaElisha-t4k Месяц назад

    Mungu awatunze vipenzi

  • @SaudaIbrahim-xr4fw
    @SaudaIbrahim-xr4fw 14 дней назад

    Mzidole iyo staili ya mdomo haijakupendeza😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @chelahkenyah3596
    @chelahkenyah3596 2 месяца назад +1

    Wanaopenda matako ya mwasi tujuane😂

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 4 месяца назад

    Kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤

  • @LaveLavy
    @LaveLavy 4 месяца назад

    Kim mi na kukubali sana endelea kuchenza kama wewe

  • @Aisha-ld3ol
    @Aisha-ld3ol 5 месяцев назад

    Mwasi hio kaza haikufai kabisa jamni daaah😢😮

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz Месяц назад

    Huyu tanu mtu mbadi sana yupo vzur

  • @SammyEkai-r2x
    @SammyEkai-r2x 2 месяца назад +1

    Kim VEVO kufuli

  • @MwizineMsangi
    @MwizineMsangi 4 месяца назад

    Utam kunogaa❤

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 5 месяцев назад

    Good job 🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @fadhilirighton9225
    @fadhilirighton9225 Месяц назад

    Movie ambayo butua sijapenda ndio hii

  • @SultanSultan-q6b
    @SultanSultan-q6b 4 месяца назад +1

    Hongren Kaz nzur

  • @diakissd8353
    @diakissd8353 4 месяца назад

    Iyo inatu furahisha Sisi wana Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ponji_wana_man
    @ponji_wana_man 5 месяцев назад

    all in all mwasi uo msambwanda omba nisiwe tajiri 😁😁🤣

  • @DismasiHokororo
    @DismasiHokororo 5 месяцев назад

    Mjamaa ambae anabeba manat ajui ndo amearbu h movie

  • @OthumankibabiKocho
    @OthumankibabiKocho 4 месяца назад +2

    Mwasi ana nyashi

  • @davykisabo875
    @davykisabo875 5 месяцев назад +1

    Kim Kim Kim Kim

  • @symorebeatztz6664
    @symorebeatztz6664 5 месяцев назад +1

    Nimependa color grade.imetulia

  • @Mamu-w4k
    @Mamu-w4k 4 месяца назад

    Nampenda sn mwasi jamani

  • @dicksondigungu3949
    @dicksondigungu3949 2 месяца назад +1

    Mwasi kiboko

  • @DismasiHokororo
    @DismasiHokororo 5 месяцев назад

    Du mwasi anamakalio 😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋

  • @RoseOenga
    @RoseOenga 4 месяца назад

    Eti wanawake nyoko tena nyoko kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂anguka nayo😂😂😂😂

  • @TightnotChome-fn2jy
    @TightnotChome-fn2jy 5 месяцев назад

    Mwasi wewe nimrembo usije ukajiharibu kutengeneza uzuri zaidi kwenye mwili wako kama wengine hakutajwi watu sikuhizi😂😂

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 5 месяцев назад +1

    Butua wetu alipona sasa jmn😅

  • @AbdalaYahaya-g3o
    @AbdalaYahaya-g3o 5 месяцев назад +1

    Daah mwas

  • @LeonardGewa-t6d
    @LeonardGewa-t6d 5 месяцев назад

    Mwasi nampenda san hakika Dem mzuri anamsambwanda duh 🙄

  • @AlmasHussein-d8m
    @AlmasHussein-d8m 5 месяцев назад

    kumbe mwasi yuko vzr nimezoey akivaa manguo ya ajabu leo ndan ya kanga

  • @SudimakukaMakuka
    @SudimakukaMakuka 4 месяца назад

    Kim nimsani mwenye uweredi wa kuingiza nampa bigap

  • @davieh_the_splatter2547
    @davieh_the_splatter2547 5 месяцев назад +2

    Chozi itaendelea lini @Kim vevo

  • @SudimakukaMakuka
    @SudimakukaMakuka 4 месяца назад

    Jamani kama atujali nilikuwa naombi moja mwasi nimemuelewa

  • @MongaNgoy-b2r
    @MongaNgoy-b2r 4 месяца назад +1

    😂❤❤ ok slt

  • @fadhilirighton9225
    @fadhilirighton9225 Месяц назад

    Wonder

  • @ShabaniKazz
    @ShabaniKazz 5 месяцев назад

    Kali sanaaa

  • @EstherMaturi
    @EstherMaturi 3 месяца назад +1

    Mwasi anawezab❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sarikokiagape7685
    @sarikokiagape7685 5 месяцев назад +2

    wanaoangalia huku tukipitia comment tujuane❤

  • @AlexanderMbwika
    @AlexanderMbwika Месяц назад

    Kim ni kiboko yao,,,