MSAKO | FULL MOVIE |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 155

  • @Kareish254
    @Kareish254 11 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤much love from kenya

  • @BonfaceOkemwa-t2v
    @BonfaceOkemwa-t2v Месяц назад +1

    mnaweza mkateka anga katika sanaa Dada Kim pongezi kutokea Kenya tunawapenda ❤❤❤more love

  • @FatumaUchi-i7t
    @FatumaUchi-i7t 5 месяцев назад +6

    Napnda Sandra n mwasi kidogo wanafanana u're very creative congratulations

  • @Mariambuja
    @Mariambuja 6 месяцев назад +3

    Katika kazizote muzofaya na kimu hiniyo imevuja rekodi nimeipenda sana vizuri ❤❤❤❤ kimu nafaliya yako abayo musiriyana 👏🏿👏🏿👏🏿🤲🤲🙏🏽🙏🏽🙏🏽🫶❤️

  • @BonfaceOkemwa-t2v
    @BonfaceOkemwa-t2v Месяц назад +1

    😂😂😂mama yooooh kuhesabu mchele tena hii noma😂😂😂😂

  • @WollfitOntomu
    @WollfitOntomu 9 дней назад

    Movie bila prophesa, kipara. 😂😂,si movie. Salute kazi nzuri hiyo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇧🇭🌹

  • @abbyskills7311
    @abbyskills7311 2 месяца назад +2

    Ila sandra , beautiful girl...❤❤

  • @kinanaissango3492
    @kinanaissango3492 7 месяцев назад +8

    But all in all kazi nzuri washiriki wote wameshoo love kwa moyo mmoja kabisa japo kwa wale ambao hawaja fit ni kwakua tuu uhalisia wao hauruhusu wao kua ktk seem hizo bravo✍️

    • @jonathanjulius5556
      @jonathanjulius5556 5 месяцев назад

      Dah ahsante kim napenda kaz zako endelea kusimama kazi nzuri

  • @richardchristopher7141
    @richardchristopher7141 7 месяцев назад +13

    Vigezo namasharti viko pw kabisa kwenye hii movie like kama tuko pamoja❤

    • @Mtemele
      @Mtemele 2 месяца назад

      Yani hamna movi hapa imeanza vizuri mwisho mbaya unaelewa nini hapa sasa duuu 😢😢😢 bola movi zazamane vinaisha naunaelewa kitu ila saizi tia maji tu

  • @kolojojames1665
    @kolojojames1665 2 месяца назад +1

    Tanu unatakiwa usikosekane katika move zote maama maana kila nafasi una fiti vizuri mungu akutunze Tanu

  • @Kakamjesi
    @Kakamjesi 5 месяцев назад +4

    Kim Ana Hishiwapi man nampenda kweli kweli

  • @ukhtymwana40
    @ukhtymwana40 7 месяцев назад +34

    Nimewahi jamani taem strong Oman nawakilisha 🎉🎉🎉🎉 nipewe like zangu 😂😂😂

    • @NeemaNixon
      @NeemaNixon 7 месяцев назад +7

      Hujaenda kupika😂😂

    • @ukhtymwana40
      @ukhtymwana40 7 месяцев назад +3

      @@NeemaNixon mwanzoni nilizani chozi nikaifungua naona mkimbizano kuja kusoma jina kumbe misako nika left fast 😂😂😂

    • @SaidaRamadhani
      @SaidaRamadhani 6 месяцев назад +1

      Mm pia Oman kipenzi

    • @NeemaNixon
      @NeemaNixon 6 месяцев назад +2

      @@ukhtymwana40 yaaani wanaboa wanatoa nusu nusu movi mpka nachukia ety

    • @yangaMwananchimedia
      @yangaMwananchimedia 6 месяцев назад +1

      Uko oman sehem gn

  • @Fatumabeuty-bx1qo
    @Fatumabeuty-bx1qo 6 месяцев назад +4

    Apo kwenye vitu vya ajabu😂😂😂ndio pamenifurahisha

  • @NaomyBahati
    @NaomyBahati 5 месяцев назад +6

    Haijaishia patamu. Jaman 😅😅😅 kiufupi haijaeleweka mwishoni hapo

  • @lionlee257
    @lionlee257 6 месяцев назад +1

    Mbuela safi sana
    Nakukubali 🔥🔥🔥

  • @JescaChande
    @JescaChande 6 месяцев назад +3

    Msituchoshe nakutaka tuwape like kisa wa kwanza tyache kuwapa walio tengeneza muvie 😮

  • @ephraimraphael3299
    @ephraimraphael3299 4 месяца назад +4

    Mbwela, Mwasi, Mwanji, Gozi, Kim etc team kali sanaaaa

  • @swabiaa1489
    @swabiaa1489 5 месяцев назад +4

    😂Kim yupo seriously kinoma😂 ila anajua san

  • @greencitywarriors8345
    @greencitywarriors8345 5 месяцев назад +6

    kim hapa kuna kitu haiko sawa nilisikia ukimuuita mamaako bibi now nasikia ukimuuita mama

    • @martinkinn_
      @martinkinn_ 4 месяца назад

      Elewa story ya movie bana

  • @mnyiwakusekwa1801
    @mnyiwakusekwa1801 2 месяца назад

    Mbwela unatisha sana mzee baba🎉

  • @Younomane
    @Younomane 3 месяца назад

    Mwenyekiti mnoko hafaii🎉🎉$

  • @EsterDaniel-h7j
    @EsterDaniel-h7j 5 месяцев назад +2

    Kim w ni Noma🥰🥰

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 6 месяцев назад +2

    Kipara bahna😂😂😂😂😂😂 just do it 😂😂

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara 7 месяцев назад +3

    Kazi nzuri kim

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu 4 месяца назад

    Jaman mwanji 😂😂leo kawa boss na nasio makonde 🎉🎉🎉kazi nzur hongeren sana 💯.yan km ni wakihindi hii filam nitasema mastereng wote wamo humu na ma kajal wawo 😂😂😂

  • @SAIDIHOSENI-rr2kg
    @SAIDIHOSENI-rr2kg 3 месяца назад +1

    Sauti imekosewa ira kazi nzuri😊

  • @Rodmovies
    @Rodmovies 2 месяца назад

    Kipara 😂😂😂just do it 😂❤❤

  • @geldamkama5625
    @geldamkama5625 4 месяца назад +2

    Kimu maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Lipamboli1
    @Lipamboli1 6 месяцев назад +1

    Filamu nzuri! Wakati nimeona dada'ke na Mbwela pamoja na yule kijana wakifungiwa kamba kama mbuzi, nimekumbuka jinsi wakoloni wabelgiji walikuwaka na watesa bibi na babu zetu kwa kuwafunga kamba shingoni kama mbuzi. 🇨🇩🇨🇬🪘 ila nafurahia sana filamu hii.

    • @Lipamboli1
      @Lipamboli1 6 месяцев назад

      Endeleeni hivyo!✊

  • @joymkenya2359
    @joymkenya2359 7 месяцев назад +1

    Movie Smart ❤wa TZ 👍 we love you 😊

  • @JacobItao
    @JacobItao 3 месяца назад

    Eee movie zenu safi tena inapendeza ila kitumoja sauti mumeinyima ikochinisana

  • @emanueldishon1021
    @emanueldishon1021 Месяц назад

    😅😅😅😅😂😂😂😂 kuhesabu mchele siyo poa

  • @Rodmovies
    @Rodmovies 2 месяца назад

    Kipara mjinga sana 😂😂

  • @danibboy6831
    @danibboy6831 7 месяцев назад +1

    Napenda movie zenu endeleeni ivyo ivyo

  • @LailathkalemaLailathkalema
    @LailathkalemaLailathkalema 3 месяца назад

    ❤❤❤ nzuri

  • @Fibi-og9ce
    @Fibi-og9ce 3 месяца назад

    😂😂😂😂 kipara kizungu kimezidi

  • @AbdallaSalum-w4w
    @AbdallaSalum-w4w 6 месяцев назад +3

    Nawakubali kumbe vipaji vipo

  • @geoffreymwangi5867
    @geoffreymwangi5867 2 месяца назад +1

    Story ya movie Iko sawa ila mwisho mmeshemsha juu hata hatujui ni wanakijiji Gani wanahusika

  • @Rodmovies
    @Rodmovies 2 месяца назад

    I like kim from 🇨🇦

  • @nassorhamad3584
    @nassorhamad3584 6 месяцев назад +2

    Mchezo mzuri but mumeharibu mwisho mumeufanyia harak kuumaliza pasipo na kuonesha tamati kwa ufasaha

  • @MkayulaDavid
    @MkayulaDavid 3 месяца назад

    Wakali wa hizi kazi nawapenda sana

  • @NiyiduhaRenè
    @NiyiduhaRenè 6 месяцев назад +2

    Mbona kaisha vibaya jameeeni

  • @MbwanaPindo
    @MbwanaPindo 4 месяца назад +1

    Mbwela nakukubali kk unajua

  • @NextLevel-fg5ph
    @NextLevel-fg5ph 6 месяцев назад

    😂😂😂 Yule ndo predeta mwenyewe

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 4 месяца назад

    😮kipara siku zote wewe ni wakuchoma wenzako😂😂😂

  • @FridaMwaipaja
    @FridaMwaipaja 7 месяцев назад

    Unawezaaa 💯💯💯💯💯

  • @HusseinFunga
    @HusseinFunga 6 месяцев назад +2

    Nampenda sana mwasi hajaolewa?

  • @JanepherBudodi
    @JanepherBudodi 3 месяца назад

    Yaan imeish kizembe sijapenda

  • @ShafiiAmisi-h3w
    @ShafiiAmisi-h3w 6 месяцев назад

    Sandra mzuri san asee❤❤❤

  • @MichaelCharles-uo6rw
    @MichaelCharles-uo6rw 5 месяцев назад +3

    Wanao kimbilia kuomba like wote wachawi

    • @ZebuuZebuu
      @ZebuuZebuu 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂

  • @NextLevel-fg5ph
    @NextLevel-fg5ph 6 месяцев назад

    😂😂Nikashenzi hizi kauli zilizotumika humu ndani

  • @suleimaanunda
    @suleimaanunda 3 месяца назад

    huyu tanu huwa ikija upande wa usaliti huwa yuko vizuri sana... yaani ule ufedhuli alio nao na namna anavyodadisi mdhulumiwa utadhani ni mkweli

  • @factmedia254
    @factmedia254 4 месяца назад

    mwasu Kwa msimamo wa doa😂😂

  • @MichaelCharles-uo6rw
    @MichaelCharles-uo6rw 5 месяцев назад +1

    Wew kimu nakuuliza hii muvi imeishaaa au badoo

  • @domysulley1887
    @domysulley1887 5 месяцев назад +1

    Bahati yenu mwisho mmemaliza vizuri nilikuwa nishangae itaisha na huo unyama au

  • @ChalloEmmanuelChallo
    @ChalloEmmanuelChallo 2 месяца назад

    Hapa finish mbaya

  • @ZainabuMathias-x6p
    @ZainabuMathias-x6p 4 месяца назад

    Mbona imeisha kizembe jamani😢😢😢

  • @janethmathew-y9b
    @janethmathew-y9b 2 месяца назад

    ish afu kwel imeishia pa ovyo jmn mbon move nzur ila mwisho wake hauelewek

  • @geldamkama5625
    @geldamkama5625 4 месяца назад

    Mbwela safi sana

  • @ChristinaJonh-e5d
    @ChristinaJonh-e5d 3 месяца назад

    Ivi kipara kila move ni mbea tu😂😂

  • @QueenAmanda254
    @QueenAmanda254 3 месяца назад

    Hamgeimaliza hvi jamaniiii

  • @MmenoSamuel-b3s
    @MmenoSamuel-b3s 6 месяцев назад +2

    Liko poa Ila mmetuacha kuzubaa😂

  • @kadaharupinda
    @kadaharupinda 3 месяца назад

    Mmmh Mambo sindyo haya sasa hpo unyama yan ubaya ubwela

  • @kinanaissango3492
    @kinanaissango3492 7 месяцев назад +3

    Kim VEVO apa umezingua 😅very sad kaka Ako alipitia jeshi tulitaka tumuone hukomafunzoni aliiva ,, alafu butua anafaa kuigiza mlevi tuu ama mporipori pia mmeo kwa snake boy hafai kua jambazi wamjini huko maporini ndio ana faaa ungemtumia rafiki ake kakoso Kwa snake boy anafaa kua jambazi yule

  • @MWANAISHAMTENGO
    @MWANAISHAMTENGO 4 месяца назад +1

    Muko vizuri ila mbona mumeimalizia hvyo

  • @shadyasaid5828
    @shadyasaid5828 7 месяцев назад +4

    Msiwe mnaongea maneno ya ovyo kwenye Movie zenu kama vile Kahaba n.k kwasababu hizi movie zinatizamwa na Rika zote.

  • @Princescynth
    @Princescynth 7 месяцев назад

    Anakuangalia kama hakuangalii😂😂😂😂

  • @damarismuli8364
    @damarismuli8364 7 месяцев назад

    I love this man boya hogera sana dugu

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 4 месяца назад +1

    Kipara bado ni ombea hadi uku😂

  • @arafathswaleh
    @arafathswaleh 5 месяцев назад +1

    Eti ndo unaenda kulipeleka,?ndio narudi Kkkk

  • @tuombemamila1364
    @tuombemamila1364 6 месяцев назад +1

    Kumbe Kim producer hongera dada

  • @Rodmovies
    @Rodmovies 2 месяца назад

    Butua 😍😍

  • @EgideMapenzinduwimana
    @EgideMapenzinduwimana 4 месяца назад +1

    Imeisha mapema lakini

  • @factmedia254
    @factmedia254 4 месяца назад

    mliharakisha hii sana

  • @StarAdowanaman
    @StarAdowanaman 5 месяцев назад +1

    Imeish vibaya

  • @SaidBurhan-t1t
    @SaidBurhan-t1t 7 месяцев назад +2

    Mwenye coctati za mwasi naziomba jamani

  • @hawahawa8441
    @hawahawa8441 3 месяца назад

    Waoooo🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @DemmyPatrick
    @DemmyPatrick 3 месяца назад

    Kim unaonaje ukawa mke wa clam maana mnaendana kabisa

  • @rehemamutua44
    @rehemamutua44 3 месяца назад

    Kipara nae kizungu chake😂😂

  • @komorajonah
    @komorajonah 5 месяцев назад +1

    Movie naikubali from kenya lakin mbona fupi watu wangu

  • @dirmkamani
    @dirmkamani 5 месяцев назад +1

    Ondereza movie iyi. Aija isha vizuli ata kidogo. Asu wanangu?

  • @DernolLeonard
    @DernolLeonard Месяц назад

    Mna balaa

  • @ephraimraphael3299
    @ephraimraphael3299 4 месяца назад +1

    Nimependa hayo mazingira ya location, sijui ni pande zipi!

  • @stevinthomas2151
    @stevinthomas2151 Месяц назад

    Sandra mzuri

  • @joycecharles6799
    @joycecharles6799 6 месяцев назад

    Jamani, mwanzo kabisa uyu bibi alimwita Kim mjukuu wangu, na Kim akasema bibi. Lakin badae ikawa mama na mwana

  • @yohananyamaruri9105
    @yohananyamaruri9105 7 месяцев назад

    Kim hongera❤ Tunaomba part two

  • @Teddyzhuofficial
    @Teddyzhuofficial 7 месяцев назад

    Nimetazama KIM VEVO

  • @NillyNilly-fm5pw
    @NillyNilly-fm5pw 7 месяцев назад

    Wow nimeipeda

  • @KellyIgorNinziza
    @KellyIgorNinziza 6 месяцев назад

    Hhahaha 😂Kipara bwana ,eti unakwend kushoot nani!!??? Jason Statham 😅, ila nawakubali saana wadau

  • @Chawamsafi1
    @Chawamsafi1 5 месяцев назад

    duh easy like that 😂

  • @Mtemele
    @Mtemele 2 месяца назад

    Yani duuuh ndiomana watu wanasema movi zakihongo hakunq kitu naamini nibule kabisaa kama umeangalia umeelewa nini najmejifunza nini sasa

  • @FredrickBaga
    @FredrickBaga 6 месяцев назад

    Kim ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉

  • @al-bleproshooteur1922
    @al-bleproshooteur1922 3 месяца назад

    Dah😢

  • @Irankundasadiki-yx1vf
    @Irankundasadiki-yx1vf 7 месяцев назад

    Munayiaca acaje injethu ivi kuyiingiza ndani imewashinda ahaaaa ngoja tukaonethu

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh 7 месяцев назад +3

    Jman punguzenii kutuleteaa movies za vijijinii Kila msaniii saiv anatoaaa movie location yakee vijijinii ndo nin xax

    • @ALIMOHD-bk9lr
      @ALIMOHD-bk9lr 6 месяцев назад

      Hahahaha so ndio chimbuko letu😂😂😂😂😂😂😂

    • @ephraimraphael3299
      @ephraimraphael3299 4 месяца назад

      ​@@ALIMOHD-bk9lrbinafsi nazipenda sana, sorry hivi ni vijiji vya mkoa gani?

    • @SalmaSalim-fu7oc
      @SalmaSalim-fu7oc 4 месяца назад +1

      Toa yako mjini bro😊

  • @SalamaJuma-uf7do
    @SalamaJuma-uf7do 2 месяца назад

    Mnamalizaje hivyo bwana hata mwandish hatujamuona

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 7 месяцев назад +1

    Mbona hamukutumalizia muliachia nusu hatukujuwa hatima ya begi

  • @SaidBurhan-t1t
    @SaidBurhan-t1t 7 месяцев назад

    Jamani huyu mwasi anajuwa kuecti sana

  • @mildredzainab170
    @mildredzainab170 2 месяца назад

    @ Kim vevo,,natafuta chozi langu muendelezo mbona siupati????

  • @geoffreymwangi5867
    @geoffreymwangi5867 2 месяца назад

    Mwisho mmeshemsha sana hakuna good connectivity