SINDANO EPISODE 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 122

  • @ZebuuFilm
    @ZebuuFilm Месяц назад +39

    Kazi ni safi sana sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉

    • @VERENICEMICHAELY
      @VERENICEMICHAELY Месяц назад +2

      Huyoo mwanamke jamn anavyoongea tu mi napenda.....alafu afananii kabisa na ukomandoo hapana cheza na pesa😂😂

    • @ZolufaMas-ie4un
      @ZolufaMas-ie4un Месяц назад +2

      Kp ndio wapili 🎉🎉🎉❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MwagadiJamilaAbdalla
    @MwagadiJamilaAbdalla Месяц назад +15

    Pambana dadaangu Kim Vevo mungu atakufikisha pale unapotaka IN SHAA ALLAAH❤❤❤❤❤❤L❤VE KIM

  • @MkayulaDavid
    @MkayulaDavid Месяц назад +6

    Safi sana kimu hawa wasanii wengine ni wageni nilitafuta mpaka nikuone safi sana

  • @LeidonePlabodamz-v8t
    @LeidonePlabodamz-v8t Месяц назад +2

    Kim nakupenda san kipenzi

  • @Ng_wenda_Pole_Tz
    @Ng_wenda_Pole_Tz 26 дней назад +1

    DADA KIM NAOMBA BAS NIWE MWANAKIKUND WAKO NAMI NAPENDA SANA HII KAZI NIPO MWANZA PIA NIMSUKUMA LAKIN NAMI NAKIPAJI PIA NAPENDA SANA SANAAA DADA ANG

  • @Hand-rightMarketing
    @Hand-rightMarketing Месяц назад +12

    KIM leo naomba iwezamu yako kunipa like shabiki yako nakupenda sana

  • @sarahumuhoza6928
    @sarahumuhoza6928 Месяц назад +8

    Wakwanza from Rwanda 🇷🇼

  • @MishiRashid-g7h
    @MishiRashid-g7h 27 дней назад

    Tupo hapa wakenya hongera sana watanzania ukweli tuseme kazi zenu nzuri sana sio sana sio muziki yaani murwa.

  • @directormattoog5654
    @directormattoog5654 Месяц назад +5

    Kazi nzuri

  • @anitakerubo9429
    @anitakerubo9429 Месяц назад

    Hehehe kwa nyumba ya mumeo sio mazuri 🎉🎉🎉kazi safi kim

  • @Alphonsine-zc8cp
    @Alphonsine-zc8cp Месяц назад +11

    Ambao tunamkubali Kim tuko wapi🎉🎉🎉

  • @MauriceAbushinani
    @MauriceAbushinani Месяц назад +1

    Kim tunakupenda sn... Kazi zako ni nzuri Sanaa Ila nilikuwa na ombi ingekuwa vizuri iyi kazi ya sindano wakati ita isha ulete mwendelezo wa CHOZI mana nisafi île tu njo ilikuwa ombi langu.... Kama muko pamoja na ombi langu gongeni like ata 50

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 Месяц назад +38

    Wapi coment za wakenya😊😊 I like it tanzania yetu na wasanii wetu❤❤❤

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje Месяц назад +2

    Hongera kim kazi iko vizuri

  • @JuliusSiame-h1g
    @JuliusSiame-h1g Месяц назад

    Kazi zuri kim 🎉🎉sapoti yenu wakuu

  • @EsterEssy-b2x
    @EsterEssy-b2x Месяц назад

    Wa kwanza kutoka kenya🇰🇪 kazi nzuri sana kimu

  • @MagrinhoKingZG
    @MagrinhoKingZG Месяц назад +3

    Kazi nzuli Kim

  • @ZuraAmisseAbudo
    @ZuraAmisseAbudo Месяц назад +2

    Kazi nzuri,kutoka Moçambique, cabo Delgado

  • @Brownlovietz
    @Brownlovietz Месяц назад

    KAZI NZURII💪🔥🔥🔥

  • @CelinavicenteMajani
    @CelinavicenteMajani 28 дней назад

    KAzi ni safi sana kim

  • @Maryam-e2x8p
    @Maryam-e2x8p Месяц назад

    Nakupenda bure ❤ 🇸🇦 🇸🇦

  • @MasauShida
    @MasauShida Месяц назад +1

    Kazi nzuri Kim🇹🇿

  • @Leyla-n6x
    @Leyla-n6x Месяц назад +3

    Wa pili😂🎉❤😢😮😅😊 love kim

  • @salmaathumany
    @salmaathumany Месяц назад +1

    Kazi nzuri ❤❤❤❤❤

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz Месяц назад

    Sibomana 🎉🎉🎉mau yako hayo

  • @AminaUjumbe
    @AminaUjumbe Месяц назад +1

    Kim kazi zako nzuri mashaallaah,

  • @felixnelsen3777
    @felixnelsen3777 Месяц назад +1

    Kazi safi🇰🇪

  • @OBAMALove-f2p
    @OBAMALove-f2p Месяц назад

    Hahaah kim saiv unaendeshaa ndigaa

  • @AlexAlex-e4x
    @AlexAlex-e4x Месяц назад +1

    Kazi nzuri sana

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express Месяц назад +7

    ❤ *PONGEZI NYINGI* kwa Director, ameweza kuiongoza kazi hii ktk kiwango cha hali ya juu. Uigizaji wa madevu ( rafiki yake Tin White ) umekuwa mzuri tofauti na nilivyomzowea. Sceen zimekaa kwa ufanisi wa hali ya juu na cameraman ameitendea haki nafasi yake. Muandaaji wa stori maua mengi kwake 🌹🌹🌹 location zimetuliw mno.
    Video editor kaifanya Tamthilia hii iwe tofauti na tamthilia nyingi za wasanii wa Clam Vevo. Wengine music sound effects zao nizile zile mpaka zinachosha.
    ❤ KIM VEVO umefanya vema sana kuja na tim mpya ili kazi zako zisiwe sana na za wasanii wengine wa Clam Vevo. Kupitia kazi hii nakuona mbali ktk tasnia hii.
    Kaza buti, chapa kazi, sanaa ina changamoto nyingi usichoke kupambana nazo. ❤

  • @LadhimRajabu
    @LadhimRajabu Месяц назад +1

    Km big up sana endelea kupambana

  • @aminakatana8721
    @aminakatana8721 Месяц назад

    SASA HII MOVIE NIMEIPENDA MAANA KIPENZ CHANGU SIBUMAANA NIMEMUONA❤❤❤❤❤❤ NAKUPENDA SANA DADANGU

  • @ismailjoseph9116
    @ismailjoseph9116 Месяц назад

    nimeipenda 😊😊😊

  • @RizikiStadza
    @RizikiStadza Месяц назад

    Keep it up sister Kimu nakupenda ❤ sana mungu akubariki

  • @NeemaSalum-d1d
    @NeemaSalum-d1d Месяц назад +1

    Ila Sibomana anamwambia mumewe kibonzo kwel nimecheka hatr 😂😂😂😂

  • @NajmaAmir-w6v
    @NajmaAmir-w6v Месяц назад

    Good job kimu mungu akuinue ishallah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @NamuinjidyaNhamueziBoytuga
    @NamuinjidyaNhamueziBoytuga Месяц назад +1

    Jitaidi namini mutafika munako elekea🎉🎉

  • @NishBrand-f1v
    @NishBrand-f1v Месяц назад

    Nimeikubar bule jmn kali❤❤❤🎉

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu Месяц назад

    Kazi poa sana 🎉🎉❤❤

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d Месяц назад

    Uko Sawa Kim,,, hata dakika iko sawa

  • @TerryAnn2022
    @TerryAnn2022 Месяц назад

    Sibu nakupeda mnoo,,,,,ata kwa muina kwa mkoba WA mama

  • @etiennembonyinshuti8452
    @etiennembonyinshuti8452 Месяц назад +1

    Nakupendasana

  • @GiftNdula
    @GiftNdula Месяц назад

    Kazi nzuli🎉🎉🎉

  • @rockyjrkaaya6577
    @rockyjrkaaya6577 Месяц назад

    Kim safi sana nakukubali zaidi mtu wangu ntamani upae juu ziadi

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa Месяц назад

    🇰🇪 🇰🇪 hongera sana

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Месяц назад

    Kazi nzuri sana kim ❤❤

  • @AshuraSiri-r7t
    @AshuraSiri-r7t Месяц назад

    Nam namkubali Kim sana tu

  • @sadatteloway
    @sadatteloway Месяц назад

    Duuh hii kaz imeishia patam mnooo
    Tafadhal seem ya pili isikawe kim VEVO ❤️❤️ baada ya sik 2 tu achia kitu

  • @SarahKalimba-u6t
    @SarahKalimba-u6t Месяц назад

    Maua yako 🎉🎉🎉❤❤❤Kim kazi nzuri sana hongera My dear ❤❤❤❤❤❤🎉❤🎉

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Месяц назад +1

    Kitu kipya ico🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @PaulineNasoro
    @PaulineNasoro Месяц назад

    Kim vevo we love you 💗💗💗 so much 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 Месяц назад

    Kazi poa dada huna baya

  • @JastinJoseph-u8z
    @JastinJoseph-u8z Месяц назад +2

    Penda sana dad

  • @AngelMbaraka
    @AngelMbaraka Месяц назад

    Hapa Sasa ndo nimeelew kumbe Kilangaso ulikuja kumsapot Sibo🥰 anyway mefurah

  • @OengaMildred
    @OengaMildred Месяц назад

    Kazi safi dada ❤ kumpaff wewe eti munaomba kila siku,na kulala kila siku 😂😂😂😂kwa hivyo yy ndio amesababisha msizae 😂😂😂

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n Месяц назад

    Good job Kim Big up sana we love you

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v Месяц назад

    Km safi sana🎉🎉🎉🎉

  • @EmmyBaisa
    @EmmyBaisa Месяц назад +1

    Wapili apa ❤❤

  • @GwagwagwaMkaliwao
    @GwagwagwaMkaliwao Месяц назад

    Kibonzo wewe😂😂😂❤

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo Месяц назад

    Hatare rakin nisarama🎉🎉🎉🎉😂😂🎉❤❤❤

  • @sadatteloway
    @sadatteloway Месяц назад

    Coz watu tumebak roho juu juu,afu iyo scene irudie ten seemu ya pili Duuh

  • @LinadaMaria
    @LinadaMaria Месяц назад

    Very good my sister Kim i AM from cabo delgado 🇲🇿🇲🇿

  • @IsmailKisenime
    @IsmailKisenime Месяц назад

    Kaz nzur mwendelezo plz

  • @EuniceNgala-k3h
    @EuniceNgala-k3h Месяц назад +3

    From Kenya 6

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d Месяц назад

    Sasa uyu mzee,,, afukuze mtoto alafu yeye atarajie kumpata wa kwake😢😢alafu uyu mtoto ni wa Salama na Mambo vile naona wamefanana na Salama

  • @Ng_wenda_Pole_Tz
    @Ng_wenda_Pole_Tz Месяц назад +5

    KIM KWEMA SAMAHAN KWAHIL NINAOMBI KWENU BAS LAMAIGIZO NIPO MWANZA MAFAS KAMA IPO NAOMBEN SANA DAKIM LANGU NIHILO TU

  • @AINEAEsipila
    @AINEAEsipila Месяц назад

    Safi xan kim❤❤❤❤❤🎉

  • @NaimaRama
    @NaimaRama Месяц назад

    Mbona sibomana haendani na hiyo nyumba yupo kama house gels

  • @mussakazungu8698
    @mussakazungu8698 Месяц назад

    😢kilangaso umekua na wewe

  • @HamadiOmari-h3q
    @HamadiOmari-h3q Месяц назад

    Umehalibu kilakitu Kim looo

  • @dtv6734
    @dtv6734 Месяц назад +2

    Hii ni KALI, Ila nnavyomfahamu KiM, Kesho tu!!! atashusha Final Episode 😂

  • @Youngmituno
    @Youngmituno Месяц назад

    Let’s go 🔥🔥

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg Месяц назад

    Yani Kim nlivoona kava ya movi iyo picha yako nkajua ni clam vevo 🌹 🌹

  • @matingasimwinyihija8428
    @matingasimwinyihija8428 Месяц назад

    Utoe na muendelezo maana uwa unaachia katikati

  • @SuleimanSalim-q9j
    @SuleimanSalim-q9j Месяц назад +1

    Huna baya dada Kim MOLA abarik kaz ya mikon yak mamaa

  • @sadatteloway
    @sadatteloway Месяц назад

    Ududu ni mwingi San kwa kim VEVO

  • @wesleykiptanui6910
    @wesleykiptanui6910 Месяц назад

    Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuko wapi

  • @Agnes-q6b
    @Agnes-q6b Месяц назад

    Wapili from Burundi.

  • @linuslusian-d5w
    @linuslusian-d5w Месяц назад

    kim na clam vipi tena

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 Месяц назад

    🔥🔥👌

  • @stardulla7597
    @stardulla7597 Месяц назад

    from msa kenya

  • @PaulineShee
    @PaulineShee Месяц назад

    Wow❤

  • @FayjNahodha
    @FayjNahodha Месяц назад

    Nice movie ❤

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 Месяц назад

    salute kim

  • @IgnaseTalaboe
    @IgnaseTalaboe Месяц назад

    Safi sana kim

  • @machozimukucha
    @machozimukucha Месяц назад +1

    🎉🎉❤❤❤

  • @Juniorkondo-e9e
    @Juniorkondo-e9e Месяц назад

    Uthimfukudhe thima

  • @titusmwange4988
    @titusmwange4988 Месяц назад

    Kilangaso ulipotelea wapi

  • @mercymwende-qr9gg
    @mercymwende-qr9gg Месяц назад +1

    Kazi Zur kim

  • @mjapanitz
    @mjapanitz Месяц назад

    🔥🔥

  • @MarthaNyalandu
    @MarthaNyalandu Месяц назад

    bakar mwamnyeto nimemone

  • @NeloeusebiomandaManda
    @NeloeusebiomandaManda Месяц назад

    Klove Kim Moçambique

  • @PowerElyon
    @PowerElyon Месяц назад

    From kenya link zkowap

  • @dunishwamaggie2430
    @dunishwamaggie2430 Месяц назад

    Kim❤❤❤❤

  • @josephinajoachim3552
    @josephinajoachim3552 Месяц назад

    Kim nataman kuigiza na ww

  • @yuui1878
    @yuui1878 Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AliciaCarol-w4k
    @AliciaCarol-w4k Месяц назад

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Amikhan_drama
    @Amikhan_drama Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @EgideMapenzinduwimana
    @EgideMapenzinduwimana Месяц назад

    Naweza pata namba ya kim tafadhali

  • @ChristianChristianRehema
    @ChristianChristianRehema Месяц назад

    ❤🇸🇩🇸🇩