KIFUNGO | FULL MOVIE 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 88

  • @MamuLiana
    @MamuLiana 28 дней назад +2

    Hawa nakupenda Sana dada angu nataman ningekuwa na wew ATA karibu sema ATA sjui unaish wap kwenye move nikikuona ww tu nafulai

  • @FadhilaElisha-t4k
    @FadhilaElisha-t4k 12 дней назад

    Waooo kazi nzuri Sana mungu awabariki na wapenda Sana

  • @RamzJay
    @RamzJay 13 дней назад

    Waigizaji wazuri sana nakukubali sana sana hawa

  • @CarlosLekupe
    @CarlosLekupe Месяц назад +3

    ❤❤❤❤❤ kipindi kizuri sana
    Naipenda saaana

  • @Maliki-o3z
    @Maliki-o3z 2 месяца назад +5

    ❤❤❤❤❤🎉 waoooo mvi nzuri

  • @adammgaza5322
    @adammgaza5322 8 дней назад

    Hawa ujawahi kuniangusha kwenye movie zako Kwanza unajua kucheza na script zako nakupenda sana pacha wangu mm Adam

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu Месяц назад +3

    Nzuri sana 🎉🎉❤❤

  • @NestorNsengiyumva-t8b
    @NestorNsengiyumva-t8b 15 дней назад +2

    Duuh kumbe Mchina anahakili kiasi hicho ,wanao mkubali Mchina tugonge like basi

  • @HudhaimaYussuf
    @HudhaimaYussuf 25 дней назад +1

    Ila mchina unaongea points sana🎉❤❤❤

  • @TongoTz
    @TongoTz Месяц назад +1

    Kazi nzuri ❤Tupo pamoja""""

  • @NtawuzibiramukaJean
    @NtawuzibiramukaJean Месяц назад +1

    Munneza Kutoka Rwandan endeleeni kuamusha watu! Nakujifunza hivyohivyo mrembo poleni sana ndugu

  • @MONSEIGNEURABASIAMZATI-q7i
    @MONSEIGNEURABASIAMZATI-q7i Месяц назад +1

    Kipara wanamane nakupenda saaaana unakua mkali sana

  • @OengaMildred
    @OengaMildred Месяц назад +3

    Mchena jukua maua yako 🌹🌹🌹🌹💕

  • @Lameck-g4n
    @Lameck-g4n Месяц назад +2

    Daaah mchina unaakili utafika mbali kaka pamban

  • @KanyerereThomass
    @KanyerereThomass Месяц назад +1

    Daah pole sana dad angu kwann hiy bhat isiwe kwangu hivi wan ume wa hivy bad wak tanzania hii namchukia hiyo mm wak

  • @JumaMtilikwa
    @JumaMtilikwa Месяц назад +2

    Hahaha 😅😅😅 kupara kaz unaiweza

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 Месяц назад +2

    Kipara mtelezo 😆😂😂😂 ama kipara Brand 😂😂😂

  • @fimbomlelwa
    @fimbomlelwa 16 дней назад

    kipara nakukubali

  • @Maliki-o3z
    @Maliki-o3z 2 месяца назад +3

    Asee huyu jamaa anamtesa mrembo mzuri hivyo daah

  • @Ambazo
    @Ambazo 2 месяца назад +6

    Sikuizi kipara wana man anongea kizungu sana

  • @VannyleyQessa-v6i
    @VannyleyQessa-v6i 2 месяца назад +1

    Daaàaaa aiseee

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 2 месяца назад +4

    Dada pole sana kwa unayo yapitia

  • @EmmanuelMwachiti
    @EmmanuelMwachiti 29 дней назад +1

    yaan mtoto mzuri kama uyo alafu uyo mwamba yuamtesa nitakuja tu tanzania karbuni🤣🤣

  • @ImeldaJonnas
    @ImeldaJonnas Месяц назад +1

    Yan uyu mwanaume kaacha mkewe mzuri 😢

  • @MONSEIGNEURABASIAMZATI-q7i
    @MONSEIGNEURABASIAMZATI-q7i Месяц назад +1

    Kipara kweli ni mumbeya wa carne hii🎉

  • @VannyleyQessa-v6i
    @VannyleyQessa-v6i 2 месяца назад +17

    Roho yangu inaniuma sana natamani ningekuwepo nimuonyeshe uyo mwamba mtoto wakike mzuli kiasi hicho anatakiwa apewe nn

    • @salhamlanz9806
      @salhamlanz9806 2 месяца назад +2

      😂😂😂😂😂daaaa

    • @EshsRashid
      @EshsRashid Месяц назад +1

      😅😅😅

    • @Briankimanthi-wc7pp
      @Briankimanthi-wc7pp Месяц назад +1

      We fala nini 😂😂😂 ii ni scripti tu😂😂

    • @VannyleyQessa-v6i
      @VannyleyQessa-v6i Месяц назад +1

      @Briankimanthi-wc7pp sasa wew unanitukania nini kenge wa mweusi unatiwa nini

    • @VannyleyQessa-v6i
      @VannyleyQessa-v6i Месяц назад

      @Briankimanthi-wc7pp afu fala baba ako mknd wew

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 Месяц назад +1

    Ila mchina unajua kumuumbua huyo kakaako mpuzi mmoja huyo asiyejua thaman ya mke anajua mchepuko tu 😔😔 sjapenda 😢

  • @KhadijaDida-j8o
    @KhadijaDida-j8o 2 месяца назад +2

    Mashallh muvi nzur😅

  • @PhilemonMaduhu
    @PhilemonMaduhu 29 дней назад +1

    Kipar anachekexha ety njooo unyonye

  • @JumaMtilikwa
    @JumaMtilikwa Месяц назад +2

    Daa judi mzuri san kabarikiw

  • @paulos4672
    @paulos4672 2 месяца назад +5

    Ndo nmewai wa kwanza basi msiguze comment yangu😂

  • @SaraRobert-io8xv
    @SaraRobert-io8xv 29 дней назад +1

    Sema zaukweli awa walikuwaaga wanawake wazaman siyo waleo mim tayari nisha sepa

  • @VeronicaJonh-b5i
    @VeronicaJonh-b5i Месяц назад +1

    ♥️♥️♥️

  • @PrincessNarfat
    @PrincessNarfat Месяц назад +2

    Humu tsuu natafuta bwana mwenzenu😅😅😅

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 Месяц назад

      Unaroho 😢😂😂😂

  • @davidsamuel-fk3de
    @davidsamuel-fk3de Месяц назад +1

    💓💓💓💓💓

  • @DedanMagambo
    @DedanMagambo Месяц назад +1

    Mdogo wangu mchina maneno yako yamenipa fundixho

  • @dontatv-g5z
    @dontatv-g5z 2 месяца назад +2

    Kenya ndani❤❤

    • @A7films255
      @A7films255  2 месяца назад +1

      +254🔥🔥🔥

    • @dontatv-g5z
      @dontatv-g5z 2 месяца назад

      @@A7films255 yes🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @DedanMagambo
    @DedanMagambo Месяц назад +1

    Ila jaman maganga auna akili ukitaka kumchit mkeo jaribu kuangalia anaemzid mkeo uzur ata akikufumania anasema kwel mme wang kashawixhika

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 Месяц назад

    Hawa kaingia cha kiume kwa kweli

  • @o.ballek.e4265
    @o.ballek.e4265 2 месяца назад +1

    Unamliza mtoto mzuri ivyo we kweli unamasihara

    • @A7films255
      @A7films255  2 месяца назад +1

      Nimeriogwa jamani🤣

    • @VannyleyQessa-v6i
      @VannyleyQessa-v6i Месяц назад

      @@A7films255 noma ila imetulia story kaka big up👍❣️

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 Месяц назад

      ​@@A7films255😅😂😅😂😅😂naliye kuroga atakuwa kafariki mda sana 🤣 😂🤣

  • @halimaali3719
    @halimaali3719 2 месяца назад

    😂😂😂😂weweee

  • @OengaMildred
    @OengaMildred Месяц назад

    Haki wanaume nyinyi 😢😢 mwenye alisema wanaume ni umbwa akukosea😂😂rusha mawe nimalishie mchei😂😂

  • @MwanashaAkida
    @MwanashaAkida 2 месяца назад

    Asalalaaa kiparaa 😂😂😂😂😂 unabalaa weweeeh

    • @vionathomas1686
      @vionathomas1686 Месяц назад

      Kipara mambo ya watu mwaka huu ndio yanamfuatilia

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂 ndoa iyo kwiyo 😏😏

  • @Fibi-og9ce
    @Fibi-og9ce Месяц назад

    😂😂😂😂kipara umbea mwingi jaman

  • @PhilemonMaduhu
    @PhilemonMaduhu 29 дней назад

    Mwanamme kama huyo siwez kumpa mapenz yakweli

  • @ShamsiaAbbasi
    @ShamsiaAbbasi Месяц назад

    Mchina kaka angu napenda maneno yako 🇦🇪🇦🇪🇦🇪😂😂😂

  • @Khadijafatuma-v2b
    @Khadijafatuma-v2b 6 дней назад

    Mchina mpeuyo mpaka akijitazama ajione yupo uchi

  • @SalminiMaulidi-o1r
    @SalminiMaulidi-o1r Месяц назад +1

    Uzuli wakipara anaga tabia zaumbea umbea

  • @paulfrancis7380
    @paulfrancis7380 2 месяца назад

    Maji na mafuta yajitenge kwake kuchungu kumbe shetani kipara Aachi umbra Kila muvi mmbea anaweza

  • @Frola-ym2nq
    @Frola-ym2nq 2 месяца назад +2

    Kipala siyo Kila kitu kinazungumzwa Kwa urahisi hivyo utasutwa

  • @KanyerereThomass
    @KanyerereThomass Месяц назад

    huyo jamaa ni mjinga kabisa kaacha mke wak mzr shep la kutosha sur ndy usisema alf ana danga danga tu

  • @ThomasWilliam-k5h
    @ThomasWilliam-k5h 2 месяца назад +1

    Kipara kipara kipara nimekwita mala 3 acha kumsema modewiji kwamba alimtambulisha dada yake siku ya simba day kwel

    • @A7films255
      @A7films255  2 месяца назад

      🤣🤣🤣🤣kazoe uyoooo

  • @ZulfatRamadhani
    @ZulfatRamadhani 2 месяца назад

    Kipara wewe kweli Treni ya Umeme

  • @PhilemonMaduhu
    @PhilemonMaduhu 29 дней назад

    Mchina unamafumbo na usipofumbuaa

  • @adammgaza5322
    @adammgaza5322 8 дней назад

    Mchina nakukubali kaka na falsafa zako kwa maganga

  • @VannyleyQessa-v6i
    @VannyleyQessa-v6i 2 месяца назад

    Yani ungekua kaka angu ningekulia dodo ilo

  • @BarakaNgwila
    @BarakaNgwila Месяц назад

    nitapata wapi mwanamke kama huyu

  • @ShamsiHadhidha
    @ShamsiHadhidha 2 месяца назад

    Yalio na yasokuamo kipara jamani

  • @MosesJuma-ds1ys
    @MosesJuma-ds1ys 2 месяца назад +1

    Kwanza mchepuko mwenyewe anamatulinga kama ya Kikuyu wa huku kwetu kenya.mchina mchukuwe huyo shemeji yako uwe naye kama make wako ili umuumize kaka yako.ajue kitu Cha dhana kina wa kukitunza

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 2 месяца назад

    Manganga wachana na mchipuko

  • @VannyleyQessa-v6i
    @VannyleyQessa-v6i 2 месяца назад

    Oya mbona unamtesa mtoto uyo

    • @salhamlanz9806
      @salhamlanz9806 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂umesahau hii ni move au aki nimecheka

  • @Brendah-i6f
    @Brendah-i6f 2 месяца назад +2

    𝕂𝕦𝕗𝕒 𝕞𝕒𝕘𝕒𝕘𝕒, 𝕜𝕦𝕗𝕒 𝕕𝕖𝕣𝕖𝕧𝕒 𝕨𝕒𝕜𝕖𝕟𝕪𝕒 𝕦𝕡𝕠𝕠𝕠𝕠𝕠𝕠😂😂😂❤❤ 𝕤𝕖𝕞𝕒 𝕦𝕟𝕪𝕒𝕞𝕒

    • @A7films255
      @A7films255  2 месяца назад +1

      @@Brendah-i6f 🤣🤣aya bhana

  • @ZeinabMohammad-t2z
    @ZeinabMohammad-t2z Месяц назад

    ❤❤❤