MALKIA SANURA | SEASON 1 | FULL MOVIE
HTML-код
- Опубликовано: 14 фев 2024
- Follow Bravoo Genius on Instagram / bravoogenius
Follow Bravoo Genius on Facebook / bravoogx
Follow Bravoo Genius on TikTok www.tiktok.com/@bravoogenius?...
#Dah #Nandy #Mapozi #Newbongomovies #Chididikemovies #ruthkadiri247 #Nandyftalikiba #diamondi #Harmonizenewsong #Diamondplatnum #Mbosso #Marioo #Nandynewsong #Zuchu #Nandy #Mistake #Mwakatobe #Newbongomovie #BravooGenius #MkweMchawi #Bongomovie #Clamvevo #Samiasuluhu Развлечения
Mwakatobee😂...wangapi twatokea Kenya 😊
Hawa watoto ni wazuri bana😘
Mwakatobe. Nitafute nikupe pesa
Wapi sasa
Jamani me mwezenu huyu binti namkubali kinyama ❤❤❤❤
❤❤ mapenzi machungu baba
Juma jicho umeweza ❤❤
juma jicho kacheza vzr balaaa
Mnakosea sana kwenye kumalizia hatma ya jini sanura na kipara,chibu kaenda wapi na mengine mengi siyo powa
Kuwen na mwendelezo mzuri wa matukio mnatukatisha uhondo jmn
Juma jicho si kwa mistari hiyo yani full kumwaga vina😂😂😂
Kumbe Shakira mdigo wa tanga na miuno na Beyonce ni Mnyakyusa😅😅😅😅😅😅 pewa 🎉🎉🎉yako Mwakatobe
😆😆😆
Timu bravoo salt kwenu nawapenda xn
ila wazeee sofia nichuma kwel me nampenda sana sofia ❤❤❤❤
Mwakatobe anaweza kazi ya Uganga
Chiz uyo😂😂😂
Mwakatobe mtu wangu. Hapo sawaa👍
Juma jicho umeweza bro chukuwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ndo napenda saana hiyi 🤣🤣😂😂😂🤣 Tangu Congo 🇨🇩
Mwakatobe nakubali na Uganga wako ❤❤
Jamani picha tamuu tena sana
🙏🏽
Dawa juma mwakatobe alimlaza chumba champangaji ake
Jamani bora mngelichagua Jina jengine yani mwajuma ndo hataki kuirudisha mrejesho yani nibora ni Bali jina😂😂😂😂😂
Kipara bado ujasema na mpaka useme 😂😂😂😂
❤❤ kioara anashida
Kwanza mwakatobe nampenda sana
Shikamoo mwakatobe hah😢😂😂😂et Beyonce mnyakusa
Sandra na Sofia big up na ushoga wenu
Ogopa anae tafuna mkaa na kujambaa giza totolo
Jaman Sofia mi nataka nkupe mimba nimekupenda
Napenda kazi yenu sana
Asante sana
Achimenengule! Aachimenengule! Nngwaa🤜...Nngwaaaa🤛
Big up bravoo genius
😂😂😂😂 Nimechek mpka bas but iko poa next part musinikose😅😅 nichek niishe
Shukrani
Juma hicho unaweza mwang😅😅😅😅😅
Kipara wana man😂
Mungu aendelee kuwajalia ubunifu
Mwakatobe na kukubali sana🎉❤
Mwendo wakuyayuka tu😄😄
Wewwww Alafu uwe umeota saa mbili usiku ikieelekea saa tatu
Wewwwe!!!!! Ucku Mrefuuu
utamani hata kulala😂😂
Napenda sana huyu mganga
Mwakatobe😅❤😂😂umejikataaa
Kipara kwa maneno mmhhh
Elfu tisa mia nane😂😂
😂😂
Ndouzuli 🎉 from kenya
Mwakatobe na kipara wanezingua kwa hii movies
Jamani juma
❤❤salamu kutoka kenya huuyu sofia namtaka huku kenya nampenda
😂😂😂 mwakatobeeee
😮😂😂😂😂mama aminaaa duh mwakatobe mwisho
Mwakatobe umeshindikana jini kurufii
ivi mwakatobe Uganga wako hauitaji ela maana katik move zenu cjawai kuona mnadai ela ata cku moja
Kadai labda kuna sehemu imekupita
Mwakatobe big up
Mwakatope uko juu sna
BONGE LA MOVIE
Ngwaaaa ngwaaa😂😂😂
Jumaa umetisha sana.
Usimsahau juma kwa next film
Mwakatobe punguza mbwembwe
Season 2 pliiiz
Napenda kaziyenu tuu
Kipara anakuanga serious 😂😂
Mnamalizaje hivyo? tatizo hammalizi vizuri
Mwakatobe heshima kwako
Na jeuri yote uliyonayo kipara unalia?😂😂😂
😂😂😂 nimekukataa
Napenda mwakatobe
😂😂umeonaee mwakatobe chumaa
Juma Jicho kanimaliza
Sofia huyo kanipendeza hila nampeda sana
Tunaomba season 2 please Bravoo😍
Jichanganye mapenzi ya saivi umpe mtu asilimia 100 itakula kwako mpe robo ili hata likikuacha usiumie roho yako
Tunaomba season 2
❤KAZI nzuri
Kwani season 2 imekuaje mbona atuioni?
🎉🎉🎉
Sofiaaaaa
Kipara
Mnajitahid
Asante sana
Mtoto njoo nyumbani usiogope
hikikipindi kina chapter nyingine ama
Nahtaji part 2
Ila Sophia black beauty 💕
❤❤❤❤❤❤🙌🙌💯💯💯
Team kubwa tunawapenda xana
Santana kulfiii😢
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Uyo ni Sophia KANUMBA ao?
Inchi gani hii
❤❤❤❤❤🎉
🎉🎉🎉🎉🎉
😅😅😅😅
D😂😂😂😂
Mwakatobe🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍
Kipara ni kipara tu... na maappointment hakuna bana
Eti mafuta ya condom ni tiba
Mwakatobe heshima kwako
Mwakatobe😂😂😂💔
🎉🎉