MAAMUZI YANGU FULL MOVIE HEMEDY CHANDE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 фев 2024
  • hellow!!!wellcome to my official youtube channel HEMEDY CHANNEL....HERE YOU WILL SEE ALL MY MOVIES,BONGO MOVIE TANZANIAN MOVIES....THANK YOU
  • КиноКино

Комментарии • 715

  • @princessphena8863
    @princessphena8863 3 месяца назад +10

    Hemedy kwa kweli napenda movies zako pamoja na wewe mwenyewe ❤much love from kenya🇰🇪

  • @tima5679
    @tima5679 3 месяца назад +39

    Nimeipenda adi nimeshare kwa ddngu❤😂😂😂

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 3 месяца назад +14

    Congratulations my brother chande nzuri mno💓💓💓💓💓💟💞💞💖💖💖

  • @user-ko2jj4et1e
    @user-ko2jj4et1e 3 месяца назад +28

    Watu waburundi naomba tujuwane basi haki chande unapendwa sana kwetu

  • @onesmongulo3770
    @onesmongulo3770 3 месяца назад +16

    Hii story inafanana na ya @chesco aka mr . Bigi inaitwa ex wangu but umeifany international sana daaad keep it up my g.❤❤❤❤❤

  • @AshuraAmisi-ey4mj
    @AshuraAmisi-ey4mj 3 месяца назад +15

    Hemedy nakupendaga bure Kaka yangu mwenyezi mungu awe pamoja na ww kwenye kazi zako ❤

  • @UmukunziRamura-ur9zc
    @UmukunziRamura-ur9zc 3 месяца назад +33

    Hemed napenda sana movies zako sana tena nae nakupenda Sana kipenzi Mungu akurinde 🙏

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 3 месяца назад +15

    Hemedy nakupenda sana naomba mungu akufikishe mbali zaidi ❤❤❤❤❤❤

  • @user-jt8yy8yv6q
    @user-jt8yy8yv6q 3 месяца назад +21

    Ooooh ni kweli unajuwa so mm nikuombe kitu unisaidiye unitumiye jina za Cinema zako nzuri

  • @user-wz6gs3jk5o
    @user-wz6gs3jk5o 3 месяца назад +13

    Jaman wewe mwamba unajua aisee daaa mungu akutie nguvu

  • @user-uy1bw6yx3j
    @user-uy1bw6yx3j 3 месяца назад +12

    Waooo! Mm huwa sio shabiki wa movies za kibongo ila nimeipenda sana🎉

  • @clausmangula8077
    @clausmangula8077 3 месяца назад +7

    Nimejifunza kitu hapo😂🎉

  • @user-pf2cf4hp6w
    @user-pf2cf4hp6w 3 месяца назад +16

    Uyu jamaa hajawai kufeli kabisaaa kwene movi

  • @user-qf1yr5mv3h
    @user-qf1yr5mv3h 3 месяца назад +26

    Mwamba unajua sana so poa ujawai kufel labisa❤❤❤

  • @Chebet254
    @Chebet254 3 месяца назад +13

    Naipenda sana movie zako Mr nakufatilia kutoka Kenya 🇰🇪🇸🇦❤

  • @humphreywanjala6699
    @humphreywanjala6699 16 дней назад +3

    Kaka Chande hongera kwa kazi nzuri..unaiguza jamii kwa kiasi kikubwa sana

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 3 месяца назад +11

    Hemed huwa napenda movies zake zikona mafunzo Sana ❤

  • @ibrahimally-xn3br
    @ibrahimally-xn3br 3 месяца назад +9

    Dah stor ninzuli sana imetulia af pia mmevaa usika sana ata gres pia Kai wa huwa namfatilia toka uhulu dah nizuli sana imeniliza mie ilaa chandee mwanang unajua allah azidi kukujalie

  • @ayshanani
    @ayshanani 3 месяца назад +11

    Chande nenda ukalewe mpaka ulewe Tena mwache hemed achukue jiko mapenzi hayajaribiwi Chande uliyataka mwenyewe

  • @user-or8it3ob9h
    @user-or8it3ob9h 3 месяца назад +13

    Finally nilikua naona unachelewa tu😂😂

  • @JuxOmari
    @JuxOmari 3 месяца назад +10

    Bro wewe ni zaidi ya wajuzi kk kwa kweli unajuwa maanisha brother
    Congo 🇨🇩 tuko pamoja nawe sana my brother 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏

  • @user-ey2wb1vo8w
    @user-ey2wb1vo8w 3 месяца назад +9

    Movie nzur Masha'Allah Tabbaraqa Allah 🥰😍 ongera bro

  • @user-uy1bw6yx3j
    @user-uy1bw6yx3j 3 месяца назад +12

    Napenda sana movie za hemed😊

  • @nassorbabu5552
    @nassorbabu5552 3 месяца назад +9

    Dhaaaaah kaka unabalaaa hujawahi niboa since day one nakubalia unachokifanya natamn some day niwe kama weye

  • @user-ty7wi2dn2t
    @user-ty7wi2dn2t 3 месяца назад +12

    guys jmn mapenz hayajaribiwi ❤❤❤ but it so sad😢😢

  • @user-gv2le2sh6x
    @user-gv2le2sh6x 3 месяца назад +8

    Mchezo mwengine lini kaka ❤

  • @user-bt9rb1id9m
    @user-bt9rb1id9m 3 месяца назад +11

    Yani steve nakukubali kwa kazi yko nakupenda🎉🎉🎉🎉

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 3 месяца назад +4

    Kaka nime Anza kufatilia muv zako hakika upo kwe lialint og mungu azidishe ufanixi ndani ya utunzi wako amin🎉

  • @mariamkassimu5040
    @mariamkassimu5040 3 месяца назад +19

    More love form kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RebeccaMuhimba-be1pj
    @RebeccaMuhimba-be1pj 3 месяца назад +10

    Ila uyu kaka nampenda mpaka basi tu da hemed your so handsome boy

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 3 месяца назад

      Ana mwanamke wake uyo na wanapendana❤

    • @RebeccaMuhimba-be1pj
      @RebeccaMuhimba-be1pj 26 дней назад

      @@nahlahassan-fd6le my dear umenielewa vibaya kuwa na mwanamke mi yanihusu nini ko kumsifia ndo kwamba nataka awe mme wangu dada nakupa pole nampenda kama navoweza kumpenda mtu yeyote yule so uwe unasema comment unaelewa mtu ana manisha nini oky

  • @user-hd2xo4om2y
    @user-hd2xo4om2y 3 месяца назад +10

    I love the movie😘❤️🥰 but it's too short no wedding parts like seriously! At least you could have shown us that you two got married like daah!🙄😔😞☹️

  • @user-hq7pp3te3w
    @user-hq7pp3te3w 3 месяца назад +10

    kaka honger mim napenda kuigiza ila sijapata watu wakunishika mkono nafatilia xan kaz zako kaka

  • @justinendayisenga7180
    @justinendayisenga7180 3 месяца назад +5

    Unaceza vizuliiii sana filamu zako Zina mafunzo mengiii kabisaaa❤❤ from Bdi

  • @hajrabablysh8892
    @hajrabablysh8892 3 месяца назад +12

    I need more romantic movie from you, thanks alot for this

  • @SyliviahMosomi-er2oh
    @SyliviahMosomi-er2oh 3 месяца назад +6

    Pongezi sana kwa wahusika wote wa filamu hii kali sana yenye mafunzo katika jamii nzima

  • @happybosha
    @happybosha 3 месяца назад +5

    Hemedy muendelezo movie nzur sana tunaomb part 2❤

  • @mosesgodfreysembe8570
    @mosesgodfreysembe8570 3 месяца назад +8

    Mwanangu unajua sana sema nini jina la stivu ndo sijaelewa kabisa

  • @user-tz6tv1lz4b
    @user-tz6tv1lz4b 3 месяца назад +33

    Kaka angu movies zako zinamafuzo mazuri sana Allah akuzidishie alimu uendelee kutoa movies nzuri zaidi inshallah

  • @IslamPeto-fd6wr
    @IslamPeto-fd6wr 3 месяца назад +9

    Bro chande uwaga utuangushi, mob love from Kenya,, ur ma best actor nakupendaga sanaa

  • @FrahaSaidi
    @FrahaSaidi Месяц назад +2

    hongera xana tena xana mm niko mtwara ila najifuza kuingiza kwasababu ya kuzitizama muvi zako co napitia wakat mgumu ili niwe kama ww navp kuhuxu dada xapina maana ata mm natumia jina ilo nawatu wananiuliza nimetolea wap jina zur ka hilo mungu awaajaalie ameena❤❤❤❤

  • @aishanyoha7591
    @aishanyoha7591 3 месяца назад +10

    Pole san chande ulikuwa unaweka maji kwenye tenga ona sasa

  • @user-ts9dx9eb7t
    @user-ts9dx9eb7t 3 месяца назад +8

    ❤❤from Zambia inatoa machoz mapenzi ayajaribiw😢😢

  • @BeatriceWillison
    @BeatriceWillison 3 месяца назад +4

    Jaman jaman wee mtoto wa mama chande au Steve unanimalizaga Hataz hasta kipengele Cha kutoa hisia zako kwa umpendae unajuaga sana ❤🎉

  • @user-hv3ib4dw5h
    @user-hv3ib4dw5h 3 месяца назад +6

    Mimi nakupenda hemedy n movie zako nazipenda sana yani

  • @yoonaaccygreegory
    @yoonaaccygreegory 3 месяца назад +6

    bro h.chande respect sana unajua bro 🙏

  • @ridhiwankalissa
    @ridhiwankalissa 29 дней назад +2

    WOOOW WHAT A AMAZING TALENT YOU HAVE BRO YOU ARE THE MOST TALENTED BONGO ARTIST IN TOP 5 IN MY LIST

  • @danichacomedians5805
    @danichacomedians5805 3 месяца назад +6

    Napenda kazi zako chande unaongezea ujuz kwan pia mm nimuigizaji kutoka kenya baran pwani

  • @user-pk4so6gr6q
    @user-pk4so6gr6q 3 месяца назад +6

    This movie is master piece god bless you hemedy🎉🎉🎉🎉🎉🎉💐💐💐

  • @SyliviahMosomi-er2oh
    @SyliviahMosomi-er2oh 3 месяца назад +3

    Movie nzuri sana.kwa wale wanaume wanaowafanya wake zao kama wachakazi ni virahisi sana kuwapoteza na kuishi maisha ya aibu

  • @zamaliabdulkarim5598
    @zamaliabdulkarim5598 3 месяца назад +5

    Sija wai kulizwa na movie yeyote lakini hii ime nitoa machozi kweli Asant kijana

  • @shamsaaaaa3963
    @shamsaaaaa3963 3 месяца назад +10

    Nakupendaga kka upo vzri🎉🎉🎉

  • @nadhifagabriel
    @nadhifagabriel 2 месяца назад +2

    Hemedi chande nakupenda sna kwanz movie zangu zinanifunza mambo mengii igwa badoo sjaingia kwa ndoa goodies ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊

  • @alexnswila7900
    @alexnswila7900 3 месяца назад +6

    Umekandamiza Sanaa mwanangu unanifanya niludi kufatilia bongo muvis

  • @faridaali2820
    @faridaali2820 3 месяца назад +3

    Mapenzi niupufu ama kwelu ❤❤🎉🎉 Mashallah umeweza❤

  • @Alicia-pl8zh
    @Alicia-pl8zh Месяц назад +2

    Hemedy Chande chukua mauwa yako🎉

  • @faridaomary5361
    @faridaomary5361 Месяц назад +1

    Nipo vzr bro so amazing japo kidg tunaomba ubadilishe maana move la maamuzi yangu na first love unasehem Moja na mzik wa move change kidg 💪🤝

  • @JonhLenadi-zl8ct
    @JonhLenadi-zl8ct 3 месяца назад +4

    Nakubali sana hemedy chande haujawai kosea❤❤❤❤

  • @Jali-et8py
    @Jali-et8py 3 месяца назад +8

    Wow ,nice Movie ❤❤much love from Uganda 🇺🇬

  • @user-jn8wk9il8j
    @user-jn8wk9il8j Месяц назад

    Jamani Hemedy tunajifnza meng kupitia movie zak aiseee mungu akueke na akupe nguvu uzidi kuendelea na atuendleze na ss inshallah.

  • @yusterarody-ck5zy
    @yusterarody-ck5zy 3 месяца назад +5

    Nimependa sana❤hii move but keep it

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 3 месяца назад +13

    Mapenzi hayajaribiwi jaman mwisho unapenda kweli❤❤

  • @AngelDonald-ok5yh
    @AngelDonald-ok5yh 17 дней назад

    Hemed nmeikubli San hii movie nmwomba Mungu akupe maish maref n ufanisi mkubwa katik Kaz yakooo🎉❤❤

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 3 месяца назад +6

    You are one of the best actor Mr chande Hemed

  • @user-op8dv7lw8l
    @user-op8dv7lw8l 3 месяца назад +42

    Team strong tuko.mbele tena

  • @user-bq6tg1bj9s
    @user-bq6tg1bj9s 3 месяца назад +5

    Safi napenda sn movie zko hemed hongera sn❤❤❤❤

  • @user-rv5hl3pk6h
    @user-rv5hl3pk6h 3 месяца назад +7

    Brother brother brother. Nimekuita mara3 bro ya 4.. unajua mwanangu napenda unachokifanya

  • @user-og2ug5di5u
    @user-og2ug5di5u 3 месяца назад +4

    Hongera napendanga movie zako nikupe 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ConfusedBirdBath-yp6qo
    @ConfusedBirdBath-yp6qo 2 дня назад

    Hongera sana yan movie zako nazipenda san zaidi kutoka zaidi na zaidi

  • @user-xu2nn8rt3r
    @user-xu2nn8rt3r 3 месяца назад +4

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 movie nzuri sana nimeipenda Sana

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 3 месяца назад +5

    Nimesema mfunge ndoa haraka sana steve

  • @user-dr7if5qx6v
    @user-dr7if5qx6v 3 месяца назад +4

    Daah mmetisha sana napendaa san muvi zako

  • @AdmiringCaptainHat-gh3tf
    @AdmiringCaptainHat-gh3tf 3 месяца назад +4

    Chande hujawah kukosea broo what a movie🔥🔥🔥

  • @user-fo8nf9mi5h
    @user-fo8nf9mi5h 3 месяца назад +2

    Nice vedeo,mnisaidie sehemu ya2 ya first love

  • @cellcelll2151
    @cellcelll2151 3 месяца назад +5

    Nakupenda chande from Kenya

  • @user-bl7ex4ld6x
    @user-bl7ex4ld6x 3 месяца назад +4

    Hujawah kosea chande keep it up

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 3 месяца назад +4

    Hemed nilikuonea huruma ila hongera❤❤

  • @user-xu3mu4yk8j
    @user-xu3mu4yk8j 3 месяца назад +6

    Kaz mzur mashallah hemed chand upo romantick😂😂😂❤❤❤ mnanisisimuwa

  • @saimmoymohd7313
    @saimmoymohd7313 3 месяца назад +4

    Kali sana chande anajuwa 😊

  • @omaromarmwandege-kv5uk
    @omaromarmwandege-kv5uk 3 месяца назад +5

    Kiukwel napenda sana move zako ❤

  • @flavin001
    @flavin001 3 месяца назад +3

    Great one watched it twice❤❤..love it from kenya🇰🇪🇰🇪

  • @JoshuaLeonard-lo3cs
    @JoshuaLeonard-lo3cs 3 месяца назад +2

    Kazi kazi!!! Iko vizuriii sanaaa

  • @majomasliman7856
    @majomasliman7856 3 месяца назад +3

    Nzuri kbs nimependa pia mafunzo mazuri

  • @user-ul5vc8xk1w
    @user-ul5vc8xk1w 3 месяца назад +5

    Kazi nzur mnoooo❤

  • @rodahkahuyah6169
    @rodahkahuyah6169 3 месяца назад +1

    Daah...Steve kikojozi big up bro!!!!tamu kweli

  • @user-hb3wy6fq7z
    @user-hb3wy6fq7z Месяц назад

    Hemedi chande nakukubali sana Allah ajalie kazi zako ufike mbali ameen 🙏 ❤

  • @MussaBakari-fz1fj
    @MussaBakari-fz1fj 3 месяца назад +2

    Tuko pamoja kaka jitahidi usichelewe kutowa ili tusichoke kukufatili movie nzuri sana

  • @fatumajuma1811
    @fatumajuma1811 28 дней назад

    Hemed Yani nafatiliaga movies zako uko Bomba kinoma kaka Na kubali Sana mashallah congratulation kaka🎉

  • @holylostborn
    @holylostborn 3 месяца назад +4

    This is a beautiful movie ❤❤

  • @malkiamommy293
    @malkiamommy293 3 месяца назад +4

    Nawapenda san 😊😊❤

  • @Saleh-on3ot
    @Saleh-on3ot 3 месяца назад +4

    Dagh brodah uko vzr san ktk kuigiza mungu azid kukusimamia ila ukifany kaz na steve mweusi utatisha san

  • @hajrabablysh8892
    @hajrabablysh8892 3 месяца назад +7

    Background sound on fire ,,,,,,,

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 3 месяца назад +24

    Mary ujue laki5 c ndogo ee😅😅😅😅😅😅namm nikifanya deel zangu naongezea naenda kutoa mahari kwenu😢😢😅😅😅😅😅😅

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 3 месяца назад +3

    Marry! Usifanye kaxi hlf ujilipie mahari!!

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 3 месяца назад +2

    Hongeren sana broo kwa kazi nzuri sana ❤❤❤

  • @AminaBakari-oy9eb
    @AminaBakari-oy9eb 3 месяца назад +5

    Nawatch from🇰🇪🇧🇭

  • @user-tm7gi3sb1h
    @user-tm7gi3sb1h 29 дней назад +1

    uko vzur ndo nine ziona mbli I bilv utatiza ndoto zako na za wengi wanao kusapot nev given up

  • @sanetag2173
    @sanetag2173 3 месяца назад +2

    Chanda unamupeana mwenyewe bibi😂😂😂

  • @user-rp4yg5de2b
    @user-rp4yg5de2b 3 месяца назад +4

    Más força mano hemedy,gosto das suas histórias

  • @user-tf5mm2fn3p
    @user-tf5mm2fn3p 4 дня назад

    Chande nakubali na unaandaa stor nzuri pamoja

  • @fatumajuma1811
    @fatumajuma1811 28 дней назад

    Nime penda Sana picha zako much love from 🇶🇦🇸🇦