Asanteni nyote mnao SUPPORT kazi zangu. Mnanipa nguvu ya kufanya kazi nzuri na kuboresha filamu zangu zijazo. Jiandaeni kwa kazi nzuri. NAWAPENDA SANA🙏🙏🙏
Movie tamu Adam mi nimejifunza kitu about true Love kwa kweli . Alafu mmependezeana na 🌹 rose I love you guys, marekebisho hapo mpangilio kidog, ila mko vizuriiiiiiiii
We support you so much Adam Leo and we need more and more from I learn more kwa Filamu zako am happy it keeps me getting wise and having truly exposed to life
Adamu hii movie ya penzi la kweli limenifunza,mm nilikosewa vibaya sana,ila cja aamuwa kwenda kwa mme mwengine kisa pesa ,hizo pesa najuwa kuzitafta mm mwenyewe nikajilisha ila na hisi bila mwenzangu nilio kaa nae kwenye ndoa lazma nitamsamehe na turudiane,cz mapenzi c pesa,katika maisha hata mkipata kidogo ridhika nacho hujuwi kesho mungu kawapangia maisha yapi,shukran sana sir Adam
Big up kaz nzuri napenda kumpa pongezi mtuzi wa kazi hii pili niwapongeze wote mlioitendea haki kazi hii hakika mna kitu kikubwa ongezeni ubunifu na ufanisi zaidi
Daah nimechelewa kuicheki hii movie, lakini kwa dkk kadhaa nilizoangalia, huyu Adam anajua ku act anii, yuko very serious then ana punch line... keep it up broo!
Hahahaha mchizi alikuwa anataka kuongopa amkoroge mwenziye ndiyo akajichanganya.😂😂😂hata kwenye real life kuchapia kupo.... . By the way, asante kaka kwa support.🙏
Yaani kaka sijuwi mahana hii movie imenisaidiya Sana ni kutoka jiji la LOUISVILLE mkoa wa Kentucky nchini MAREKANI Natamani kupata namba zako na mimi niwe na mchango wangu kwenye kundi lako
Kaka Adam sisi mashabiki zako wengine tunapenda kazi zako lakini ukipost video RUclips tunapata shida kuview kutokana na mtandao kusua sua , kwahiyo Kama itawezekana hata vipande tupia Facebook tuangalie kwa kule🙏🙏🙏🙏
I would like to say that I really enjoyed the movie and congratulations to whoever participated in the preparation of this amazing movie but my suggestion is that I would like to see Rose and Adam in another beautiful movie again love you Rose you are in list of one of the best Tanzanian actresses I’ve never seen before love you so much Rose see you again❤️❤️
Tazama vituko vya dogo aliyezubaa baada ya kutafutiwa mke na mjomba wake😂😂Komedi ya kuchekesha👇👇
ruclips.net/video/Fu1K5aTTj10/видео.html
Tunakupata mpaka Mozambique kaka uko vizuri
Tunakupnda san
@@AdamLeoStudios part 2 yake iko wapi
Jamani movie nzuri😘 wenye mapenzi yao ya kweli wana maadui wengi Ila asante Adam unatupa movie zenye mafunzo tu✨🥰
Shukrani sana🙏
Move zako Zina mafunzo Adam nazipenda Sana usikise kutuletea ya kinyozi part 2
Asanteni nyote mnao SUPPORT kazi zangu. Mnanipa nguvu ya kufanya kazi nzuri na kuboresha filamu zangu zijazo. Jiandaeni kwa kazi nzuri. NAWAPENDA SANA🙏🙏🙏
CEO👊
Nimesoma Comenty tu vizuri Sana acha nikuone vizuri wewe Adam😀
Haya dada! Karibu sana hakika hutojutia.
Rose mwambie nimempenda bure ila yeye ameniboa kidogo😀
Hahahah salamu zimefika.
Hii movie infundisha uvumilivu ❤❤❤nakutokata tamaa,,na usiwe mwenye tamaa kwa kukosa kwa siku moja sio kukosa kwa siku zote ❤❤❤❤❤❤❤
Kabisa kabisa, umeona eh.
Big up 💪💪💪🇰🇪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 rose amenijaz mwanamke kama rose ndo wanafaa mwanamke n kuomba msamaa
Umeonaaa ehh
Adam you are a good actor, I think you are the best i have seen in the last 5 years
Thanks a lot🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mashaallah adam i like you're work from saudia nice Allah akuajalie zaidi kwa kipaji chako❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen
Asante sana
Movie tamu Adam mi nimejifunza kitu about true Love kwa kweli . Alafu mmependezeana na 🌹 rose I love you guys, marekebisho hapo mpangilio kidog, ila mko vizuriiiiiiiii
Asante sana!!! Tunakupenda pia...!💟💟💞
Adam I love it msimamo mpoa ,,,,,Alf rose pia msimamo smart keep it up
Thanks a lot
Filamu nzuri kweli.marafiki sio wazuri sometimes wanaweza wakakuingisha kwa shida sababu ya pesa ukamkosa uliyempenda.kazi nzuri adam
Asante sana
Mange kimambi ameleta balaa la kutisha, kamdanganya Rose, 😂 Adam Na wahusika wote mko vzirur. Much love from kenya🥰👌🏼
Shukrani sana aisee
Mauli na boxer waaa hehehe siku zangu zimeongezeka walai
Enjoy
This is so emotional and inafundisha mno.
Unge kausha ata mwez ajifunze vzuri.
Ila kwakuwa Adam umebarikiwa ishi Sana.
Nime enjoy 💞💞💞
Shukrani sana, asante kwa kuenjoy asee. Tunapenda mambo kama hayo hakikisha una subscribe ili usipitwe na filamu mpya.
Adam and rose nawapenda 😘😘nimeipenda team yenu 👏👏👏💋💋💋
Asante sana, tunakupenda pia! #BARIKIWA
me adam ananifundishaga kutongoza tu 😅mwamba anajua kupangilia verses
Hhahaha haya kaka
Uko vizuri Adam filamu zako Zina mwanzo na mwisho
Asante sana aisee
We support you so much Adam Leo and we need more and more from I learn more kwa Filamu zako am happy it keeps me getting wise and having truly exposed to life
Napenda movie za Dar, mie shabiki mkubwa, nasuburia sehemu ya pili kwa mpigo💕 much love Adam kongongole
Shukrani sana... kazi mpya inakuja.
Shukrani sana... kazi mpya inakuja.
@@AdamLeoStudios mm pia naitaji nafasi ya kuigiza naweza.
Namba zako @Nuru
Adam nmekupenda sana ww n team yko🎉 watching 4rom saudi❤❤❤❤❤❤
Shukrani sana sana
Adam unajuwa kbsa ❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Asante sana!🙏🙏🙏
Nampenda rosey kwa msimamo yake Adam pongezi sana kwa mafunzo mazuri ❤❤❤❤❤
Shukrani sana sana
I enjoy viewing your movies Adam.You create very good compositions that pictures out the reality of poor and rich family backgrounds.
Thanks a lot!!🙏 I appreciate brother.
Funzo zuri sana kwa wapenzi wote ady naisi kumwaga machosi ni meipeda sana
Asante sana sana.
Jamani munatupatua furahaa watoto wa saudia jamani sapot coment..section💪💪💪
Shukrani
Umbea wako mwenyewe kaka kimekupeleka nn kwakina Rose😂❤❤
Hahaha kweli aisee
Nmesoma comments nkaridhka, ss acha nikae mkao wa kula nimwangalie Adam 😘
Hahahah!! Karibu, hutojutia🙏🙏🙏💞
Kihukweli mimi Adam ananiachanga hohi kweli marecan tuna mkubali
🙏🙏🙏 Asanteni sana jamani @vannesa
Karibu. Hutojutia.
Wow nice movie Adamu leo vumilia sana zaidi munaweza sana
Shukrani
Shukurani Sana. Kwa kazi nzuri ❤️ ❤️
Asante sana.
From 254 nice movie big up bro
Thanks a lot🙏🙏🙏
Nzuri saana nimekukubali dada rose❤️❤️❤️
Asante kwa niaba.
Naipenda iyi🎉😂❤
Shukrani sana...
Nimecheka kwa kweli hii move mwisho imeniua hongereni sana Adam na team yote mmeweza
Asante sana, nashukuru kwa kuitazama nitahakikisha ninawaletea filamu zangu nzuri mara kwa mara, usiache ku Subscribe🙏🙏
Xana nduguu!
Adamu hii movie ya penzi la kweli limenifunza,mm nilikosewa vibaya sana,ila cja aamuwa kwenda kwa mme mwengine kisa pesa ,hizo pesa najuwa kuzitafta mm mwenyewe nikajilisha ila na hisi bila mwenzangu nilio kaa nae kwenye ndoa lazma nitamsamehe na turudiane,cz mapenzi c pesa,katika maisha hata mkipata kidogo ridhika nacho hujuwi kesho mungu kawapangia maisha yapi,shukran sana sir Adam
Asante sana sana.
100❤
Big up kaz nzuri napenda kumpa pongezi mtuzi wa kazi hii pili niwapongeze wote mlioitendea haki kazi hii hakika mna kitu kikubwa ongezeni ubunifu na ufanisi zaidi
Amen!!!!🙏barikiwa sana!
Hii nzuri bro...
Asante sana
Watching from New Zealand 🔥🔥🔥
Thanks a lot, I appreciate.🙏
Asanteni nyote
Filamu zenu ni nzuri sana,na zinafunza
Shukrani sana.
Mapenzi ya pesa Niya muda,love you Adam 💪🙏
Asante mno
Rose kweli ni mrembo kaumbwa kaumbika hongera Adamu nimeanza kutizama video zako na Zina mafunzo tele ...kutoka Kenya mji wa Nakuru 🙏
Nashukuru sana aisee.
Plz Adam tuekee part 2 plz 👏👏👏👏filamu nzuri sana kuna kitu ata mm kimenigusa.
Sawa nitafanya hvyo.
Wooow muv nzr san
Asante sana
Wow Adam unajua ku actor🔥🔥 sana ,nakupenda bure🙏
Nakupenda pia aisee... Asante sana ubarikiwe🙏🙏🙏
@@AdamLeoStudios lini nyingine movie jamani💖🔥
Siku za karibuni tu. Wewe hakikisha una subscribe ili nikiweka isikupite.
@@AdamLeoStudios sawa tunasubiri 💞🔥
Ok🙏
Big up from kenya nafuatilia Adam's movie everytime
Thanks a lot
Nice movie adamu anajuwa kuigiza anavaa uhalisia kabisa 😍🥰
Shukrani sana🙏🙏
Hii filam iko vizuri sana na iko na mafunzo mazuri tu.
Shukrani sana, asante kwa kutazama.
Congrats bro you are a real man watching from Qatar 🇶🇦 movie zako zinaweza bro. Mnanpatia hamu ya kukuja matembezi Tanzania keep it up bro
Karibu sana.
Ipo bomba plus Mange kimambi😂😂😂
Hahaha asante sana jamani😂
Adam hongera sana na kubembeleza umejaliwa Nice
Asante sana jamani! Ni filamu tu hizo kawaida sijui kubembeleza aisee😀
@@AdamLeoStudios 😂😂😂😂
😂😂😂live nina gubu, wivu na napenda kununa😂😂
@@AdamLeoStudios Polee
Asanteee....!!!
Adam hungering sana kwa vitus vyenu
Haya
Weeeeeh noma😅
Shukrani sana
Jamani mapenzi sio pesa, na tamaa huwa ina mwisho wake, watching from kenya, Hongera sana kaka ADAM
Shukrani sana, thanks for watch.🙏🙏
From keny nice movie big up bro part2
Thanks a lot
Ahhaah adam upendi kupandishiw sauti hata movie zako karb zote unapendag hilo neno
Sipendi kabisa😂
Hahahàhahah inaonekan mana ni Kila movie upendi
Big up brother
Thanks
Kazi zuri
Asante sana.
Dada ni mzuri kwa kweli mtoto dimpo
🙏🙏shukrani
Adamu unajua sn 🎉🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤❤💪💪💪
Asante sana
Daah nimechelewa kuicheki hii movie, lakini kwa dkk kadhaa nilizoangalia, huyu Adam anajua ku act anii, yuko very serious then ana punch line... keep it up broo!
Thanks for ur time, I appreciate🙏
@@AdamLeoStudios s
Kaka angu Adam nazikubali sana muvi zangu
Asante
Adam hongera Kaka upo vizur
Asante sana!🙏🙏 ubarikiwe.
Mapenz sio pesa jaman
Ni kweli
🤣🤣🤣anakaa apo juu bondeni pale sasa tueleweje? Juu bondeni bty beysway move kali sana
Hahahaha mchizi alikuwa anataka kuongopa amkoroge mwenziye ndiyo akajichanganya.😂😂😂hata kwenye real life kuchapia kupo....
.
By the way, asante kaka kwa support.🙏
Hongela Kaka muvizako ninzuri piainafundixha
Duh hongera sana kwa uvumilivu ila kumbuka marafiki sio wazuri pamoja kaka pambana
Asante mno
Very great movie Adam love it Adam
Shukrani sana
Kaka adamu mungu aendelee kukupa nguvu make unatoka move zenye mafunzo
Nashukuru sana
Movie tamu kweli penzi la kweli kbsaa
Tamaa mbaya turidhike natunacho kipata pesa ni maua ten yanaua kazi nzuri Adam niejifunza kitu barkiwa
Shukrani sana.
Adamu nakupenda bure😘😍
Nakupenda pia wangu! Ubarikiwe🙏🙏
Nakupenda pia.
Nimempenda mama rozi
Yaani
Napenda sana kazi zako Adam, nikiwa Kenya 🇰🇪
Nashukuru sana wa kenya, nawapenda.
Nice one my brother... your channel is like a class to me.. Salute 🫡 🖖 🎉❤
I appreciate that
Big up Adam movie nzuri sana
penzi la kweli 🔥🔥🔥
Shukrani sana, usisache kuSubscribe kwa kazi zetu zijazo.
Kazi nzuri pia iko na mafunzo pongezi 🎉🎉❤❤
Shukrani
Hongera sana ndg movie zako nzr
Asante sana, ubarikiwe ndugu🙏🙏🙏
❤❤❤❤🎉🎉 mwenyezi mungu akujarie ufike mbari
Ameen
Kaka Adam nakukubali sanaaa pamban utafikia malengo yak
Amen!🙏🙏🙏ubarikiwe sana kaka.
Uko vizuri mwandishi ,nimependa ulivyomalizia
Asante sana🙏🙏
Jamaniiiiii!
Asanteee 🙏🙏🙏
Big AP sana brother Adam nakufatilia sana Kwa kazi hii unayofanya shukrani saaaaaana
Asante nashukuru🙏🙏🙏
Ili kakage adamu Kama fala
Hahaha jamani
Ucjal kaka adam tuko pamoja sana
Poa poa kaka
Hongeren ndugu zangu tuendelee kupambana nawapenda na tushirikiane
Asante! Barikiwa.
@@AdamLeoStudios mampenz hayaingiliw kaka hata ckumoja ona xx kilichotokea
@@AdamLeoStudios ila mpo vizur cna hongeren sana
@rose kabisa kabisa.
Bigger sana broo
Shukrani mno🙏🙏
Wasoma coment like me mpooooooo
Wapoooo💥💥💥
😁
Kazi nzuri sana brother Adam🎉🎉🎉
Shukrani sana
Eee man unajua man, maridadi sana ✊✊
Asante sana! Usiache ku Subscribe channel yetu kwa filamu zetu zijazo.
Movie nzuri bala
Shukrani sana, usiache ku SUBCRIBE ili usipitwe na kazi mpya.
Yaani kaka Movie zako zinanifunza Sana hendeleya kaka wala kusije mtu wa kukutenguwa kwenye hili
Shukrani sana.
Yaani kaka sijuwi mahana hii movie imenisaidiya Sana ni kutoka jiji la LOUISVILLE mkoa wa Kentucky nchini MAREKANI
Natamani kupata namba zako na mimi niwe na mchango wangu kwenye kundi lako
kaz zur
Asante sana kwa kweli.
Jomba.asante sana kwa kazi nzuri.zidi kua mbunifu kwa kila unachokifanya.
Asante, nitajitahidi kufanya hivyo.
Good Rose you have come to your senses
Thanks for your comments, please make sure u subscribe our channel🙏
Adam we noma xanaa Big up!! So very much!
Shukrani sana aisee🙏
Kaka Adam sisi mashabiki zako wengine tunapenda kazi zako lakini ukipost video RUclips tunapata shida kuview kutokana na mtandao kusua sua , kwahiyo Kama itawezekana hata vipande tupia Facebook tuangalie kwa kule🙏🙏🙏🙏
Sawa nalifanyia kazi.
@@AdamLeoStudios Shukran Sana
🙏🙏🙏Asante sana!!!!
Tupo p1 kamanda
Poa poa wangu.
Hi movie imenikubusha Bali sana Adam bigup bro
Shukrani sana
Adam keep up the good job,you are talented young man,much love😁😃
Thanks a lot, I appreciate🙏🙏🙏
Move nzur xaaan ila Rose kiupande flan hajauvaa uhusik vzr ukichek yeye nd main character! Akiendelea na mazoez atakuwa vzr zaid
Sawaa
Adam mzuri sana nmependa tia bidii katika uigizaji
Asante sana nitajitahidi.🙏🙏
I'm watching now 👍
Thanks momy!🙏🙏 appreciate.
Wao film nzuri kwakweri ivi kwa iyi dunia kuna mwanaume mweny mapenz kama adam nai enjoy san 💫
Nipo jamani.
From 🇧🇮movie nzuri jaman 😘😘😘😘
Asante Nuria jamani💟
Lakini umejitaidi Adam muvi nzuri 👏👏
Asante sana
For USA I really love your movies Adam 💞
Thank you so much. I appreciate...!!!
I would like to say that I really enjoyed the movie and congratulations to whoever participated in the preparation of this amazing movie but my suggestion is that I would like to see Rose and Adam in another beautiful movie again love you Rose you are in list of one of the best Tanzanian actresses I’ve never seen before love you so much Rose see you again❤️❤️
🙏🙏🙏
Nimeipenda hiyo
@@idefonsehussein4842 👍