SIKUTAKI TENA 💔 Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 304

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 10 месяцев назад +24

    Ndoa nikuvumilia dada hao mashoka wako wanakupoteza, Much love from Mombasa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FaithChivatsi
    @FaithChivatsi 10 месяцев назад +15

    Jamani huu urafiki au unafiki jamani lovenes jiangalie utapotea n hao marafiki

  • @MercylineMutheu-l5t
    @MercylineMutheu-l5t 10 месяцев назад +41

    Wakenya tujuane kwenye likes

  • @NaomyMollel-w3r
    @NaomyMollel-w3r 10 месяцев назад +14

    Nice job sanaaa, love na kundi zimaa

  • @TitusMutemi-y4b
    @TitusMutemi-y4b 10 месяцев назад +4

    Nice film .congrats donta family kazi Iko freshieee kabisaa... Napeda loveness sana ..sauti ake tamu....#titoh-kenya

  • @TheodensiaThadeo
    @TheodensiaThadeo 10 месяцев назад +7

    Jaman Victoria yuko wapi siku hizi mbna hachezi nimemmiss sana,

  • @Glorian-iv6xz
    @Glorian-iv6xz 10 месяцев назад +16

    Team hamam tujuane jamani...kaxi nzuri team Dojta❤❤❤🎉🎉

  • @sammymutuamunyoki6291
    @sammymutuamunyoki6291 10 месяцев назад +11

    Kazi nzuri donta family. loveness ,tinah na kunambi nawapenda bure❤❤❤❤ #sammidoh kenya

  • @BhokeKambarage
    @BhokeKambarage 10 месяцев назад +6

    Loveness kuwa makini shoga angu mashoga sazingine wanapoteza sana usiwamini sana mwamini mumeo dear

  • @peresdavid9879
    @peresdavid9879 10 месяцев назад +5

    Comment zina raha sana ni movie tu ila watu wanavyotoa ushauri Kwa loveness kama kweli vile

  • @SalmaPurity
    @SalmaPurity 10 месяцев назад +13

    Lovens, utakuja, juta, dadang usifwate, ushauri w mashoga, wanaharibu, ndoa, yaan nakuonea huruma ndo movie n kwanza 😢🎉🎉🎉

  • @SiayaFinest
    @SiayaFinest 10 месяцев назад +15

    wa kwanza toka kenya...nipe likes zangu

  • @NassraSoud-ou3qv
    @NassraSoud-ou3qv 10 месяцев назад +12

    MashaaAllah ❤❤❤ ilove it. ni short film ila imebeba mafunzo makubwaa na mazurii sana hongeren sana donta family. Muendelee kutuletea vtu vzr❤❤❤❤

  • @AziziSaidi-mg8br
    @AziziSaidi-mg8br 10 месяцев назад +10

    Hahaha bonge la move

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l 10 месяцев назад +2

    Uwiiiiiih Loveness wangu marafiki daaaah polee kipenz changu mzuri 😭😭😭

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 10 месяцев назад +2

    Mashoga sio wazuri kwenye ndoa asanteni kwa somo tunajifunza pole dada loveness

  • @SarahLish-q3s
    @SarahLish-q3s 10 месяцев назад +3

    Safi sana team brown,nimejifunza kitu hapa hongereni sana❤❤❤❤

  • @mariamjuma2535
    @mariamjuma2535 2 месяца назад +2

    Weelovenes . Nimumeo huyo kumbuka majuto nimjukuu😢😂😂

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 10 месяцев назад +85

    Team hammam wenye tuko huku tukiwatch like hapa tujuane 😂😊

    • @zahraali5113
      @zahraali5113 10 месяцев назад +6

      😂😂😂😂 nipo

    • @BINTIHAMISI-c9p
      @BINTIHAMISI-c9p 10 месяцев назад +3

      Yani hatulali 😂😂😂😂

    • @zahraali5113
      @zahraali5113 10 месяцев назад

      @@BINTIHAMISI-c9p na kwambia tunasahau na hamam za watu 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Agyy628
      @Agyy628 10 месяцев назад +1

      We are there🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @RaelArasa
      @RaelArasa 10 месяцев назад

      Waja tu

  • @Jane-b3b
    @Jane-b3b 10 месяцев назад +10

    Team donta good work keep it up ❤

  • @LovenessRamadhan-o4l
    @LovenessRamadhan-o4l 10 месяцев назад +2

    Jaman naomba mniunge kwenye kundi lenu nitafurah San nawapenda wote❤❤❤

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 10 месяцев назад +4

    Team donta kazi nzuri hamna baya.

  • @AdamAmos-lz7oz
    @AdamAmos-lz7oz 10 месяцев назад +14

    tanzania tujuwane kwenye like🎉🎉🎉🎉

  • @bakirimariam8983
    @bakirimariam8983 10 месяцев назад +2

    Love ukivaa kijora unapendeza jamani
    Yote Kwa yote good job

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j Месяц назад +1

    Umetoka wp ukubwani😂😂😂😂 duuuh loveness mashoga watakupoteza😢😢😅😅😅🎉🎉🎉🇰🇪🇸🇦

  • @HarushimanaSamuel
    @HarushimanaSamuel 10 месяцев назад +1

    Good movie Yan lovenes akiwa kweny movie naipenda bure from burundi

  • @HadijaLipindi
    @HadijaLipindi 10 месяцев назад +3

    🎉🎉🎉🎉🎉 Asante Sana donta mko vizur

  • @FREDCHILUMBA-hf5dm
    @FREDCHILUMBA-hf5dm 10 месяцев назад +14

    Wakwanza Leo naomben like zenu

  • @سيييققق
    @سيييققق 4 месяца назад +1

    Loveness marafiki zqko wanaharibu ndoa yako nawatch nikiwa gulf mimi from 🇰🇪

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 10 месяцев назад +7

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 месяцев назад +3

    Msambaa mtt wa tanga huyo🎉🎉🎉

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt 4 месяца назад +1

    Mwanamuke ajenge ajili ya marafiki.loveness unapashwa vumilia hali ya mme wako

  • @zainababdallah2667
    @zainababdallah2667 10 месяцев назад +5

    Good work team donta ❤from Kenya

  • @MartinEmmanuel-eh7fu
    @MartinEmmanuel-eh7fu 10 месяцев назад +7

    Excellence brawn keep it up🎉🎉🎉❤❤

  • @AnnaAmos-u1x
    @AnnaAmos-u1x Месяц назад +2

    Wasambaa mpo

  • @StellaA-n4i
    @StellaA-n4i 10 месяцев назад +3

    Jaman kalvin Yuko wap mbona hamjibu

  • @faieshikoo6955
    @faieshikoo6955 10 месяцев назад +3

    Weeeeeuh Tina 😂😂😂😂 alivyo ruka ungethani ni jimbi😂😂😂

  • @sophiegedo9338
    @sophiegedo9338 6 месяцев назад +2

    Jaman.jaman jaman nampenda sana tina

  • @JememzeewakeshoJememzeewakesho
    @JememzeewakeshoJememzeewakesho 5 месяцев назад +1

    Nimependa sana Brown kwa sababu amejikaza kuwa nahekima sana. Mimi nipo mujini béni DRC

  • @Sabinambithekioko
    @Sabinambithekioko 10 месяцев назад +1

    Nimejifuza kuwa ukichukua mahamzi ya ndoa lazima ukate vitu zingine.nice movie

  • @ZubedaShaban-fb2dl
    @ZubedaShaban-fb2dl 2 месяца назад +1

    Kumbe love ni msambaa

  • @ShukuruRajabu-l3s
    @ShukuruRajabu-l3s 10 месяцев назад +1

    Love acha ujinga B's uyo nd mumeo achana na mashoga awo watakualibu jmñiiii

  • @Annajumwa
    @Annajumwa 6 месяцев назад +2

    😂😂😂😂urafiki wakuvunja ndoa hahaha 😂😂😂 wanafiki

  • @Shariphashabani
    @Shariphashabani 10 месяцев назад +3

    Wasambaaa utawaambia nn brown

  • @mariamjuma2535
    @mariamjuma2535 2 месяца назад +1

    Jamani jamanilove mumeo katukanwa nahao nduguzo

  • @سيييققق
    @سيييققق 4 месяца назад +1

    Marafiki zako loveness hao 😅😅😅 wamekueka njia pandaa

  • @SabraHasan-c7y
    @SabraHasan-c7y 10 месяцев назад +1

    Wasambaa hatupigi hovyo jalibu uwone❤❤❤

  • @Viviankemmy-p4k
    @Viviankemmy-p4k 10 месяцев назад +1

    Nilikua tu utageukiwa😂😂😂😂ulikua unajifnya ww ndio kusema ..pole sana loveness

  • @victornzoyihaya3385
    @victornzoyihaya3385 10 месяцев назад +1

    Nawapenda sana tena sana loveness nampenda

  • @Viviankemmy-p4k
    @Viviankemmy-p4k 10 месяцев назад +2

    Loveness nakwambia hao marafiki zko watakuaribia ndoa,,hyo brown ndio mme wko na kama unaona hyo mwanaume sio wa maana kwko utakipoza badae ndio utajuta ...lakini utakula ushaa chelewa😢

  • @GraceVISAMAYANI-gj1xm
    @GraceVISAMAYANI-gj1xm 10 месяцев назад +1

    Loveness,nimekukumbuka ndani ya house boy

  • @RumbeZainab
    @RumbeZainab 10 месяцев назад +2

    Mafunzo ayo jaman😊

  • @mariamjuma2535
    @mariamjuma2535 2 месяца назад +1

    Haa yakuwa hayo sasa unaonamarafiki mdogiwangu

  • @BihajiTuwano-n7x
    @BihajiTuwano-n7x 10 месяцев назад +1

    😮loveness mume wa shupa😂😂

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 10 месяцев назад

    Kenya Watching, tunafurahia kazi zenu

  • @سيييققق
    @سيييققق 4 месяца назад +1

    Nimemmiss Kelvin 😢 kwani yuko wapi haki

  • @WhitenessMg
    @WhitenessMg 3 месяца назад +1

    Nataman San namm niigze nanyie maan napenda kuigza ila ndoivyo

  • @MartinEmmanuel-eh7fu
    @MartinEmmanuel-eh7fu 10 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana donta tv❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @maeshjuma7962
    @maeshjuma7962 10 месяцев назад +2

    lavunes kua makini na ndoa yako na hao mashoga zako 😂😂😂kumbuka wewe umeolewa sk ukiachwa hao mashoga zako watakucheka nawajipendekeze kwa huyo mumeo

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 10 месяцев назад +1

    Jaman kumbe mlikua mwamharibia mwenzenu ndoa ndoa halaf mmgeuke Loveness jua thamani ya ndoa sasa

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 10 месяцев назад

      Ngoja hao wanafiki wako wakuchambe sasa

  • @brendahakoth4185
    @brendahakoth4185 4 месяца назад +1

    😅😅😅jamani Tina wewe nakupenda bure

  • @NeemaHassan-zr9yo
    @NeemaHassan-zr9yo 10 месяцев назад +1

    Daaaah jmn loveliness

  • @kelvinohdaprince
    @kelvinohdaprince 10 месяцев назад

    Great job you guys,,,Tena kingine kipya,,aiseee nimewatii,,ndugu zangu

  • @mziguwaosman8539
    @mziguwaosman8539 10 месяцев назад +1

    Jamani msituchelewe mpaka tusahau party 2

  • @GladysWandera-j7v
    @GladysWandera-j7v 10 месяцев назад

    Tina na Shanizah marafiki wabaya sana.kazi safi.from Kenya.❤❤❤❤😂😂

  • @shakaholakijana
    @shakaholakijana 10 месяцев назад +5

    tunataka zenye episode

  • @AinethKasuga
    @AinethKasuga 10 месяцев назад +1

    Ila tina unaongea huwiiiiii kabla gan wewe ilq nqwapenda san natamqn ingekua mov kabsa

  • @mariamjuma2535
    @mariamjuma2535 2 месяца назад +1

    Shots usidanganyike utafumwa uachwe wakucheke mvumilie mumeo

  • @ObadiaSanare
    @ObadiaSanare 10 месяцев назад +1

    We vumilia ndoa mamy uki achika hao madada kama ukiachk watakuchk

  • @mziguwaosman8539
    @mziguwaosman8539 10 месяцев назад +1

    Jamani loveness ndoa inaheshimisha utajutia

  • @nikalegona145
    @nikalegona145 5 месяцев назад

    Nilikuwa na stress za mwarabu lkn nimejipata nacheka kwa nguvu😂😂marafiki na wanafiki sasa kina tina ni wanafiki

  • @charlesmillinga992
    @charlesmillinga992 10 месяцев назад +2

    Ukupigwa utaanza kusema umeonewa

  • @NeyJohn-c1t
    @NeyJohn-c1t 7 месяцев назад

    Watu wamejaa wamewashangaa shenaiza mbon muong ivyo😄😄😄

  • @RumbeZainab
    @RumbeZainab 10 месяцев назад +1

    Marafiki wabaya😂😂😂😂 nyoko zenu

  • @ShukuruRajabu-l3s
    @ShukuruRajabu-l3s 10 месяцев назад +1

    Kula chuma icho mama umeyataka mwenyewe

  • @shaydebby5678
    @shaydebby5678 5 месяцев назад

    Nmecheka sana ase😂😂😂😂walivomgeuka loveness kama sio wao yan😂😂😂😂😂

  • @mariamjuma2535
    @mariamjuma2535 2 месяца назад +1

    Msamehe kaka

  • @MmAa-n6z
    @MmAa-n6z 10 месяцев назад +2

    Love yamekukuta leo

  • @MillfatDee
    @MillfatDee 10 месяцев назад

    Kunambi ana hasira mpaka jicho linashake much love for you ❤❤🎉🎉

  • @ZinurahHh-on4mq
    @ZinurahHh-on4mq 10 месяцев назад +1

    Wasambaa tupo hapa ❤❤😂😂

  • @LuluChloé-h3i
    @LuluChloé-h3i 10 месяцев назад

    Kwanini wanawake wa Tanzanie hawapendi kuva nguo yandani ya kustili kifuwa chao ? So nice kwa muvi❤

  • @MarthaAlly-y7s
    @MarthaAlly-y7s 10 месяцев назад +3

    Wasambaaa tujuane bx

  • @rachelelia5807
    @rachelelia5807 10 месяцев назад +4

    😂😂😂😂wasambaa tumefikiwaa

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 10 месяцев назад +1

    Waaah marafiki wa baya

  • @mildredoenga4651
    @mildredoenga4651 10 месяцев назад

    Kimekulamba loveless come huku kwetu 😂😂😂

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l 10 месяцев назад

    Leo wotee nnao wapenda mko hapa acha nfurahi Mimi jaman 🤣😂🤣😂🤣😂🤣😅💖💜🤍💖💓💕

  • @NaemaMousa-l4o
    @NaemaMousa-l4o 5 месяцев назад +1

    Ukubwani ni wap uk jaman

  • @mariamjoseph7836
    @mariamjoseph7836 10 месяцев назад +1

    jmn nani kaona lovenes ana Lovebite kwa shingo

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z 10 месяцев назад

    Jamani malafiki sio watu wazur jamani lovunes jua litamuwakia😂😂😂😂😂

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 10 месяцев назад

    Jmn Loveness my crush 😂 nakukubali kinoma.

  • @RafaelEdward-ot4gc
    @RafaelEdward-ot4gc 10 месяцев назад

    Jamani nwapenda sanime kuwa nikipenda move zen kilamkitoa

  • @madazee4251
    @madazee4251 10 месяцев назад

    Kwel nmeamin marafiki wabaya anyway nawapenda bure ❤❤

  • @StelaMwery
    @StelaMwery 2 месяца назад +1

    Wasmbaa tujiane

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 10 месяцев назад

    Lovenes mashoga waharibu ndoa 🙆‍♀️🤦‍♀️

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 10 месяцев назад

    😂😂😂 loveness kimekuramba ❤❤ 🇰🇪

  • @FarajaAshery-rm3ko
    @FarajaAshery-rm3ko 10 месяцев назад +2

    Nakubal donta family

  • @zuhurasumba5683
    @zuhurasumba5683 10 месяцев назад

    Wow tuko pamoja donta tv❤❤❤❤

  • @ChristopheMufariji-j9m
    @ChristopheMufariji-j9m 10 месяцев назад +2

    Nimekuwa wakwanza naomba lik zangu

  • @AzizaHamady-t1y
    @AzizaHamady-t1y 10 месяцев назад +2

    Kwann ma athumanii lkn

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 10 месяцев назад

    Mko smart sana Donta T.v. mob ❤❤❤