Dr. Chris Mauki : Hatua saba (7) za kufuta kumbukubu mbaya zinazokutesa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 87

  • @deejahkeyz9859
    @deejahkeyz9859 2 года назад +2

    Allah akujalie zaidi

  • @rehemaibrahim8758
    @rehemaibrahim8758 2 года назад +1

    Asante dr unatusaidia sana baraka nyingi kwako umenitia moyo sana

  • @SeliliaAlly
    @SeliliaAlly 5 месяцев назад

    🎉❤mauki ushauli wako umeniponya ubalikiwe sana2

  • @NyangiKaniki-dj7kb
    @NyangiKaniki-dj7kb Год назад

    Asante Dr.yaani nilipata misiba ila umekuwa faraja yangu Leo.

  • @monikaben9248
    @monikaben9248 2 года назад +1

    Mungu akubali sana nimechelewa kukufahamu ila nimefalijika sana

  • @neemashirima6121
    @neemashirima6121 2 года назад

    Asante kwa masomo yako nafuatilia kila mara narudiarudia kila mara sichoki na masomo yako maaana yananibadilisha kila Leo.Barikiwa.

  • @SadimMavoice
    @SadimMavoice 9 месяцев назад

    Kazi nzurii

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 года назад

    Asante Sana,umenifundisha kitu kizuri Sana! Yale ambayo tunayaongea kuwakanya watoto wetu tuyatumie kujikanya wenyewe🙏🙏

  • @rispathequeen
    @rispathequeen 4 года назад +5

    Thank you Dr Chris everything u talk about it about me l do get alot of teaching in your lessons classes

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 года назад

    Asante,haha maneno unayoongea ni Tiba so ushauli,Asante Sana mauki uwe na furaha na ufahamu wewe na familia yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mwendelwaaline1444
    @mwendelwaaline1444 2 года назад

    Asante sana docteur, kweli mimi nimwenye kujiambiya kila mara yale ambayo yameisha pita. Tangiya leo naanza jiambiya mazuri kweli. Mungu akubariki 👏👏👏👏

  • @mossesdaudi4617
    @mossesdaudi4617 3 года назад +5

    A good training doctor

  • @marialushinge1140
    @marialushinge1140 3 года назад

    Ahsante sana Mungu akujlie afya njema uwepo kila cku ili wengne tujifunze kupitia wewe

  • @sufoorembo5925
    @sufoorembo5925 2 года назад

    Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique 🇲🇿

  • @shikowanjiku3609
    @shikowanjiku3609 3 года назад

    Asante ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @kadightanzna6709
    @kadightanzna6709 4 года назад +2

    Ahsante kwa somo zuri

  • @rosenelima8618
    @rosenelima8618 3 года назад

    Asante daktar mimi ni mmoja wa wale wanateswa na kumbukumbu ila nimepona sasa,asantw

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 4 года назад +2

    THANKS FOR YOUR ADVICE SIR.

  • @ednanyaboke4536
    @ednanyaboke4536 4 года назад

    Hoo yes somo mzuri aky nimesaidika be blessed ata nandika notice zinasaidie kesho

  • @jacklineoduor7973
    @jacklineoduor7973 3 года назад

    Nashukuru kwa mafunzo mungu akubariki

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 4 года назад

    Aki unafanana na yule mwanao mdogo! Wooi. Anyway thanks kwa somo zuriii

  • @mossomar1674
    @mossomar1674 4 года назад

    Shukran Sana kk nimejifunza mengi kupitia masomo yako

  • @rachaelsaguth7154
    @rachaelsaguth7154 4 года назад +3

    Thanks so much Dr ur a good 🙏💪

  • @fedrickdaniely8620
    @fedrickdaniely8620 4 года назад +1

    Exactly Dr. Nakufatiliaga sana na ni mdau makubwa wa psychology sana

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 2 года назад

    Mungu akubariki sana

  • @graceclinton5241
    @graceclinton5241 2 года назад

    Umenifaa sana crss broo

  • @lucywanjugu6443
    @lucywanjugu6443 4 года назад +2

    I like the teaching

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 4 года назад +2

    May God bless you!!

  • @fatmamohamed3274
    @fatmamohamed3274 Год назад

    Ubarikiwe sana

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад +2

    Kufiwa na mtoto je,,,, MUNGU nisaidie

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 4 года назад

    Asante doctor nimenufaika

  • @yumnahamis407
    @yumnahamis407 4 года назад

    Asante sana una nisaidya sana mimi mdau wako

  • @sabylaby
    @sabylaby 4 года назад +2

    May God Bless you

  • @benardhyranzimjr5729
    @benardhyranzimjr5729 4 года назад

    Umegusa sana father

  • @kainamallya4599
    @kainamallya4599 4 года назад +2

    Hakika umenisaidia kitu🙏🙏🙏

  • @janethjoely7685
    @janethjoely7685 4 года назад

    Sono nzuri sana asante

  • @janethjoely7685
    @janethjoely7685 4 года назад

    Somo nzuri sana asante

  • @roseaccont552
    @roseaccont552 4 года назад

    Somo nzuri sana nimejifunza kitu hongera

  • @esthermrambamramba1570
    @esthermrambamramba1570 4 года назад

    Asante umenivusha nlikua nmekwama mahali

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  4 года назад

      Nashkuru sana kama umepata kitu

  • @monicahchepchirchir2728
    @monicahchepchirchir2728 4 года назад

    Asante sana ...

  • @evakimbindu4346
    @evakimbindu4346 4 года назад

    Asante Dr.

  • @episawaki1281
    @episawaki1281 4 года назад

    Asante kwa somo nzuri🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @jeanettegloria6244
    @jeanettegloria6244 4 года назад

    Asante sana

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 года назад

    Asante nazidi kuelimika

  • @mrsmtiulempwembwe8938
    @mrsmtiulempwembwe8938 2 года назад

    Habar dokta

  • @kashnegro0510
    @kashnegro0510 3 года назад

    Asant san doctor

  • @JosephineJacob-zo8sq
    @JosephineJacob-zo8sq 5 месяцев назад

    😢😢😢me ndo nmeiona hii Leo ilaa baba umenigusa

  • @careenbaraka9854
    @careenbaraka9854 4 года назад +1

    Unawezaje kusamehe,kama "if You didn't let it out"?

  • @jellynesssemu9406
    @jellynesssemu9406 3 года назад +2

    Asante kwa somo zur doctor. Kama mm MAMA alituacha tukiwa wadogo mm na mdogo wangu. Lkn sisi tunampenda sana. Lkn yeye anasema atupendi . MAMA kama huyo anaweza kumfanyia nn hisisote ajatule ?

    • @happynescostat7420
      @happynescostat7420 2 года назад

      Endelea kuwa karibu nae uenda Ana matatiz ya kisaikorojia pole Sana endelea kuwa karibu yake,🙏🙏

  • @rumb9691
    @rumb9691 4 года назад

    Thank you so much Dr chris

    • @gabigabrieliboniventula3462
      @gabigabrieliboniventula3462 4 года назад

      Dr yani ninanwezi wa 7nimetendwa na tumeshakalishwa vikao sana ila kila nikikumbuka namna ya matukio ya usaliti moyowangu unajenga chuki na kujiuluza alinichukuluaje mpaka kunifanyia hivi nateseka saba

    • @ashurasolaga9420
      @ashurasolaga9420 3 года назад

      Mh yani Kama Mimi najitahd tu kutafuta furaha lkn unakataa kumbukumbu zimegoma kutoka kichwani

  • @mariamsanya5958
    @mariamsanya5958 3 года назад

    ASANTE nikuelewa sana

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад +1

      Asante kwa kutazama, natumaini ume subscribe

  • @leahjohnsimba4088
    @leahjohnsimba4088 3 года назад

    Yani nilikuwa najua Nina shida peke yangu umetuponya weng Mahuki

  • @leahamani1267
    @leahamani1267 2 года назад +1

    😭😭😭docta mauki nimeumizwa kwenye mahusiano nahisi kufa tu mm

    • @happynescostat7420
      @happynescostat7420 2 года назад

      Usijifanyie ubàya ivyo, wengi tumetendwa na tulikuwa na Hali mbaya Sana Ila mauki na Joel wametusaidia,jiambie kwa sauti maneno ya ushindi,mungu akusaidie

    • @aminaluttu649
      @aminaluttu649 2 года назад

      Usijal dia tupo wengi wapo tunaowaitaj tusicjoke kumuomba mungu

    • @joycehaule4520
      @joycehaule4520 Год назад

      Wala usife kwa ajili hiyo mambo hayo yapo Mungu ni mkuu atakupa faraja ya ajabu

    • @NellyYuda-ev5ts
      @NellyYuda-ev5ts Год назад

      Jamni mume wangu naishi naye niishije nae ili nisiumie juu ya matendo yake

  • @emanuelmwangoka2913
    @emanuelmwangoka2913 4 года назад

    Good somo

  • @rebeccqhnyqngoso3772
    @rebeccqhnyqngoso3772 3 месяца назад

    Ni Shinde number yako please Dr charis mauki 🤲

  • @lucksonkalima1988
    @lucksonkalima1988 3 года назад

    Jamani mimi moyo wangu unamaumivu makubwa sana nahiji msada wako

  • @careencharlescharles9749
    @careencharlescharles9749 4 года назад

    asante

  • @veronicamadata1673
    @veronicamadata1673 3 года назад

    Amen🙏

  • @mrsmtiulempwembwe8938
    @mrsmtiulempwembwe8938 2 года назад

    Kuna kitu nataka kuuliza dokta

  • @susanraphael5894
    @susanraphael5894 4 года назад

    yes

  • @barakanasari2760
    @barakanasari2760 4 года назад

    9:10 hapo nilijipata

  • @robhikebhanyo8026
    @robhikebhanyo8026 4 года назад

    Dr Chris mauki naomba unisaidie namba yako na shida muhimu sana

  • @kelvintimasho556
    @kelvintimasho556 4 года назад

    🙏🖤

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 2 года назад

    🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ellyjames9375
    @ellyjames9375 4 года назад

    Naomba namba yako kuna jambo linanisumbua sn 0789892570

  • @sufoorembo5925
    @sufoorembo5925 2 года назад

    Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique 🇲🇿

  • @munahashim8898
    @munahashim8898 3 года назад

    Shukran Sana 🙏

  • @evakimbindu4346
    @evakimbindu4346 4 года назад

    Asante Dr.

  • @ibahatimoses6431
    @ibahatimoses6431 3 года назад +1

    Asante Dr

  • @rahmamohamed9646
    @rahmamohamed9646 2 года назад

    Shukran dr chris