Kaka mm nnamwaka watatu huuu nafug kuku wakiswahil natena zamani nikiwap mpk chanj Ila bado nikaona wanakufa San nikaachan nazo Ila mpk hiv ss piy siwap chanj nabado wanakufa jee unanishar vip
Chanjo ya maji kidonge ukisha fungua na kuweka kwa maji kuku wanywe maji kwa masaa 2 tu Kisha kamwage chooni. Waache kuku bila maji yaani wale chakula kw muda Kisha Andaa dawa wape wanywe.ya kwenye Macho ni tone 1 ktk jicho... NA dawa ikisha funguliwa inaweza kukaa hadi siku mbili
Nikiwapa dawa na kinga vizuri za mbadala kama hivyo kuna haja ya chanjo za madukani...mbadala ni natural...mimi sichanji nina eneo nawapa mara alovera ...majani miembe nachemsha pilipili mbichi nakatia kwa chakula chao wakati..pumba nawachanganyia mwendo kazi kiukweli ni wazito...hawaumwi...hivyo katika hili nina imani na mbadala...nitaanza sasa mkaa
Ni ugonjwa wa Ndui ndugu. Tumia Limao na Alovera kumsadia uku ukimpa antibiotics. Fuatilia somo hili 👇kuona video ya kuku Mwenye ugonjwa uo a navyo hudumiwa ruclips.net/video/sn9mzciyF64/видео.html
Asante Kwa SoMo zuri
Barikiwa pia
Shukran Kwa muelekezo nitakutafuta
Karibu sana
Asante kwa kutujulisha kaka barikiwa
Tupo pa1
Asante Sana kw elmu
Tupo pamoja ndugu
Barikiw sana
Amina🙏🏿🤝✍️
Tunamshukuru Sana kwa kutupa maarifa hayo naomba nijue vipimo vya kuchanganya chakula.
Kuku wa umri gani
Wangu wa wiki tano
#chakulachakuku
#chakulachakuku
Nzur iyo
Barikiwa Sana ndugu
Jamani asante kwa maelezo kuku wana miezi 2 sasso @ sk anakufa 1 kwa nini
Nzuli sana
Tupo pa1🤝
Ahsante sana.
Somo zuri sana.
Swali langu.
Je? Kipimo kikoje?
Lita 10 za maji naweka vijiko vingapi vya mkaa na vijiko vingapi vya majivu.???
Vijiko 2 vya chakula kiwe full
Ahsante sana
Barikiwaa
Ahsante kaka
PA Moja sana 🙏🏿🙏🏿
Je Kama kuku hawaumw unaweza kuwap mchanganyik huo
Kaka mm nnamwaka watatu huuu nafug kuku wakiswahil natena zamani nikiwap mpk chanj Ila bado nikaona wanakufa San nikaachan nazo Ila mpk hiv ss piy siwap chanj nabado wanakufa jee unanishar vip
Yes
asante kwa tiba hii ya mkaa na majivu, nataka kujua kuku wa mayai lears wengi unawapaje hiyo dawa?
Ivyo iyo unawapa kama ilivyo elekezwa
🙏🙏
Barikiwa
Abali kuku wangu wanaarisha alafu kinyesi kinakuwa kimechanganyika na kijani ila nauguza sikutatu anakufa sijui dawa saii yakuwapa
Pole sana wape dawa za dukani
Hbr ya leo doctor naomba kufahamu maji ya mvua ukiwapa kuku yako na madhara yoyote ?Asnte
Ya ache yatulie kwa muda. Pia isiwe mvua zile za kwanza kwanza
Naweza kuchanganya kweny pumba?
Sawa tu
Nawashukuru Sana kwa elemu hii nipenda elimu !!
Karibu ndugu
Naomba maelekezo namna ya kumpa chanjo ya kideri kwa kuku
Chanjo ya maji kidonge ukisha fungua na kuweka kwa maji kuku wanywe maji kwa masaa 2 tu Kisha kamwage chooni. Waache kuku bila maji yaani wale chakula kw muda Kisha Andaa dawa wape wanywe.ya kwenye Macho ni tone 1 ktk jicho... NA dawa ikisha funguliwa inaweza kukaa hadi siku mbili
Naomba kuuliza ivi nikwa nn vifaranga wanapunguza kula?
Chek afya yao ndugu
Samahani kaka Mimi navilanga vyakanga vimejikunja kama vinahisi balidi na havichangamka vipo zaifu sana naomba unisaidie kwahilo
OK pole ndugu. Apo yawezekana ni magonjwa ya matumbo kama chanjo za kuku ulisha wapa?
Hii dawa vipimo vyake ni vipi? Mfano majivu kiasi gani na mkaa kiasi gani kwa kuku 200
Vijiko 3 kwa kila kimoja vikubwa ktk maji Lita 5 angalia kuku wako wanakunywa maji kias gani utazidisha. Ukishindwa nijuze
kwani haifai kuchanganya kwenye pumba za mahindi unapochanganya chakula
Sawa tu
Naweza kuacha dawa nnayotumia nikawapa huo mchanganyiko?
Kama hawajazidiwa sana. Waweza acha maana izi tiba asili ufanya Kaz taratbu. Tofauti na za dukani
Kama hawajazidiwa sana. Waweza acha maana izi tiba asili ufanya Kaz taratbu. Tofauti na za dukani
Sawa
🤝🤝🙏🏿
Vipimo vya majivu na mkaa vikoje?(yaani majivu kiasi gani ?mkaa kiasi gani?pia maji kiasi gani?)
Apo ndugu ni kuakikisha tu unapata uji uji. Kwa iyo maji ni kiasi kidogo tu
Naomba kuhusu matumizi ya pili pili kwa kuku
Faida za pilipili ni nyingi kama vile Kinga y kideri, fuatilila SOMO hilil
ruclips.net/video/CgHitjQMEOo/видео.html
Nasadieni wapendwa wangu kuku mgonjwa ataki kula
A naumwa nini ndugu
Kama bado hawajaanza kuugua sitaweza kuwapa kama kinga
Sawa tu
Nikiwapa dawa na kinga vizuri za mbadala kama hivyo kuna haja ya chanjo za madukani...mbadala ni natural...mimi sichanji nina eneo nawapa mara alovera ...majani miembe nachemsha pilipili mbichi nakatia kwa chakula chao wakati..pumba nawachanganyia mwendo kazi kiukweli ni wazito...hawaumwi...hivyo katika hili nina imani na mbadala...nitaanza sasa mkaa
Barikiwa Sana ndugu
Majani ya miembe na nn ndugu
Kama kuku imevimba viupele usoni unashauliw kutumia saw gan Mimi kelvin
Ni ugonjwa wa Ndui ndugu. Tumia Limao na Alovera kumsadia uku ukimpa antibiotics. Fuatilia somo hili 👇kuona video ya kuku Mwenye ugonjwa uo a navyo hudumiwa
ruclips.net/video/sn9mzciyF64/видео.html
Hata vifaranga wadogo tunaweza kuwapatia kaka???
Unaweza pia japo ni kwa maji wanywe
Mimi sinaelewa ugonjwa.
Sawa ndugu ivi punde tutakuletea video ya magonjwa ya ayo weza tibiwa kwa iyo
Naomba msada kuhusu chanjo kuanzia yakwanza hadi mwisho
Masomo yote ya chanjo yaani ratiba y chanjo, MAKOSA ktk chanjo n. K
ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0Fddy6ANglB_HUAHuO0nkMi
Kuku akiwa nadalili zipi waweza kumpa hup mchanganyiko
Ndyo Waweza
Kuku ambaye hajaugua hawezi kupewa
Hapana
Kama hakuna anaeumwa je?naweza kuwapa kama kinga kwao au
Ndio ni nzuri zaidi
Unaweka mkaa kiasi gani na majivu kiasi gani
Kiasi chochote Ili upate uji uji tu
Vipimo vya mkaa na majivu
Imeelekezwa
Asante Kwa SoMo zuri
Tupo pamoja sana ndugu