Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Asante sana
Tupo pamoja sana ndugu ✍️ endelea kufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
Majani ya magimbi pia ni mazuri sana
Hakika 🤝✍️🙏🏿
Nashukuru kwa mafundisho mazuri nitawapa mrejesho
Barikiwa pia
Asante. Ni somo nzuri.sikujua ati naweza kuwapa majani ya maharagwe.
Barikiwa ndugu
Kuku wangu wanakulana manyoya sana
Wana umri gani?
Asante kwa Elimu ya ufugaji. Vipi majani ua mipapai yana kazi gani kwa kuku wa mayai
Yana faida nyingi kama vle ni tiba ya minyoo kwa kuku. Fuatilila video hii 👇 Kuhusu majani ya mpapairuclips.net/video/znx1TKNKkIM/видео.html
Asante kwa somo zuri,naomba kuuliza je majani ya mchaichai unafaa au haufai
Una faida zaidi ya 10 Ona video hii Kuhusu mchaichairuclips.net/video/2mi_6uTeO60/видео.html
Asante kwa somo
Asante mtaalam❤
Asante pia💗🙏🏿🤝
Mim ninashida katika utengenezaji wa banda la kawaida kwan nina mtaji kidogo sana Elias Daniel (GEITA) naomba video yake labda
OK tafuta video ktk channel hii ujenzi,wa Banda la kuku
Ubarikiwe kwa somo zuri
Barikiwa pia ndugu
Amina ndugu
Asante sana 🙏🙏.
Pamoja ndugu
Ahsante Sana nimebarikiwa na SoMo hili
Amina ndugu ✍️🙏🏿
Nakubali tuko pamoja sana
Barikiwa Sana ndugu
🤝🙏🏿✍️
Habari! Asanteni Sana kwa somo zuri. Swali langu ni kwamba majani hayawezi kuwa chanzo cha magonjwa? Ni namna gani ninaweza kuzuia majani yasisambaze ugonjwa
Hayawez ndugu. Njia ya kuzuia ni kupata majani sehem sahihi. Ndyo maaana ni vizuri kuzalisha majani AU mboga mboga wewe mwenyewe
Sawa
Asante kwa Somo zuri la majani chakula na tiba kwa kuku ,umetaja aina ya Misemwa semwa ,hii nitaifahamu vipi.?
Upo wpi
Kip chakul bol kwa vifalang
Hutegemea vifaranga kwa ajiri Ya nini na wa umri gani. Kama kwa ajiri Ya mayai AU nyama.
Na wakisasa wanakula cabbage?
Ndio
Vipi kuhusu mchunga
Yes nao wanakula pia Asante sana✍️🙏🏿
Namna yakupunguza mafuta kwa kuku nifanyeje?
Punguza vyakula vyenye vyakula apa shida IPO kwwnye chakula. Pia wape majani zaidi
Vipi kuhusu kisamvu?
Usiwape kwa wingi
Mimi naulizi ni aina gani ya mianzi ambayo kuku wanakula au ni yoyote2
Yeyote ila iwe miteke .na uwazoeshe KUKU wako
Vifalanga hupew chanj bad ya sik ngap
Siku ya 7 chanjo ya kwanza. Fuatilila ratiba ya chanjo za kuku kupitia Channel hii ya AGALUS TV
Kip chakul bol kwa vifalang😢
Broiler stater crumble
Jinsi ya kutengeneza hydronic fodder
Sawa tumelichukua hii ✍️✍️🤝🙌
Naomba ya kwenye wasap
Nini ndugu
majani ya ndizi inatibu nini kwa kuku
Ina faida nyingi Sana zaidi ya 10 Ona video hii 👇ruclips.net/video/Po6Fj8r5QXU/видео.html
Nauliza ipi chanjo bora kuwapa kuku
Chanjo zote ni bora ndugu cha mcngi ni kufuata maelekezo sahihi
Asante kwa masomo yako
Je matembele pia wanakula?
Baadhi wanakula
@@AGALUSTV Asante
Nifanyeje nipunguze mafuta kwa kuku?
Punguza vyakula vyenye mafuta au wape majani kwa wingi
Dawa Zaid ya majani ni ipi?
Ya Ugonjwa gani ndugu
Asante sana
Tupo pamoja sana ndugu ✍️ endelea kufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
Majani ya magimbi pia ni mazuri sana
Hakika 🤝✍️🙏🏿
Nashukuru kwa mafundisho mazuri nitawapa mrejesho
Barikiwa pia
Asante. Ni somo nzuri.sikujua ati naweza kuwapa majani ya maharagwe.
Barikiwa ndugu
Kuku wangu wanakulana manyoya sana
Wana umri gani?
Asante kwa Elimu ya ufugaji. Vipi majani ua mipapai yana kazi gani kwa kuku wa mayai
Yana faida nyingi kama vle ni tiba ya minyoo kwa kuku. Fuatilila video hii 👇 Kuhusu majani ya mpapai
ruclips.net/video/znx1TKNKkIM/видео.html
Asante kwa somo zuri,naomba kuuliza je majani ya mchaichai unafaa au haufai
Una faida zaidi ya 10 Ona video hii Kuhusu mchaichai
ruclips.net/video/2mi_6uTeO60/видео.html
Asante kwa somo
Barikiwa pia
Asante mtaalam❤
Asante pia💗🙏🏿🤝
Mim ninashida katika utengenezaji wa banda la kawaida kwan nina mtaji kidogo sana Elias Daniel (GEITA) naomba video yake labda
OK tafuta video ktk channel hii ujenzi,wa Banda la kuku
Ubarikiwe kwa somo zuri
Barikiwa pia ndugu
Amina ndugu
Asante sana 🙏🙏.
Pamoja ndugu
Ahsante Sana nimebarikiwa na SoMo hili
Amina ndugu ✍️🙏🏿
Nakubali tuko pamoja sana
Barikiwa Sana ndugu
🤝🙏🏿✍️
Habari! Asanteni Sana kwa somo zuri. Swali langu ni kwamba majani hayawezi kuwa chanzo cha magonjwa? Ni namna gani ninaweza kuzuia majani yasisambaze ugonjwa
Hayawez ndugu. Njia ya kuzuia ni kupata majani sehem sahihi. Ndyo maaana ni vizuri kuzalisha majani AU mboga mboga wewe mwenyewe
Sawa
Pamoja ndugu
Asante kwa Somo zuri la majani chakula na tiba kwa kuku ,umetaja aina ya Misemwa semwa ,hii nitaifahamu vipi.?
Upo wpi
Kip chakul bol kwa vifalang
Hutegemea vifaranga kwa ajiri Ya nini na wa umri gani. Kama kwa ajiri Ya mayai AU nyama.
Na wakisasa wanakula cabbage?
Ndio
Vipi kuhusu mchunga
Yes nao wanakula pia Asante sana✍️🙏🏿
Namna yakupunguza mafuta kwa kuku nifanyeje?
Punguza vyakula vyenye vyakula apa shida IPO kwwnye chakula. Pia wape majani zaidi
Vipi kuhusu kisamvu?
Usiwape kwa wingi
Mimi naulizi ni aina gani ya mianzi ambayo kuku wanakula au ni yoyote2
Yeyote ila iwe miteke .na uwazoeshe KUKU wako
Vifalanga hupew chanj bad ya sik ngap
Siku ya 7 chanjo ya kwanza. Fuatilila ratiba ya chanjo za kuku kupitia Channel hii ya AGALUS TV
Kip chakul bol kwa vifalang
😢
Broiler stater crumble
Jinsi ya kutengeneza hydronic fodder
Sawa tumelichukua hii ✍️✍️🤝🙌
Naomba ya kwenye wasap
Nini ndugu
majani ya ndizi inatibu nini kwa kuku
Ina faida nyingi Sana zaidi ya 10 Ona video hii 👇
ruclips.net/video/Po6Fj8r5QXU/видео.html