Mbinu 8 za Kupata kuku bora wa Kufuga wa kienyeji
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Kwa anaeanza ufugaji zingatia aya mambo 8 ili uweze pata mbegu bora katika safari yako ya ufugaji wa kuku wa asili/kienyeji
👉Kujifunza kuhusu uleaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji wenyewe bila mama yao, tembelea link ifuatayo👇
• JINSI YA KULEA VIFARAN...
👉Jinsi ya kupata kuku wengi wa kienyeji kwa muda mfupi tembelea apa👇
• Jinsi ya kupata kuku ...
👉Kuhusu Tiba asili za kuku
• TIBA ASILI KWA KUKU: ...
👉Kujifunza vyakula 10 vyenye sumu kwa kuku wako tembelea 👇
• VYAKULA (10) VYENYE S...
👉Kuhusu Ugonjwa wa mafua ya kuku na jinsi ya kutibu tembelea apa👇
• HOW TO TREAT CHICKEN'S...
👉Jinsi ya kuchoma chanjo ya ndui
• Jinsi ya kuchoma chanj...
Barikiwa sana kwa maswali yeyote usisite kutuandikia apo 👆 swali lako🙏🙏
👉Kwa video zingine kwenye channel yetu
/ @agalustv
Nime subscribe mzee,naanza kufuga kuku shamba huku fukayose,na hii ndo channel yangu ya muongozo,thanks.
Barikiwa sana ndugu ✍️🤝👍
Big up agalus dahhh
Karibu sana ndugu 🙏🤝
Asanteh Kwa masomo mazuri, , msaada juu ya ujenzi wa Banda la kuku
Ujenzi wa Banda bora la kuku
ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd
Hongera kwa ufundishaji ninafuatilia sana niña matumaini nitafaidikà asante.
Barikiwa na kila LA heri kwako
Asante sana nabarikiwa na haya mafunzo yenu
Tupo pamoja ndugu
Asante Kwa ushauri mzuri
Tupo pa1🤝
mko vizuri
Asante sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
Barikiwa nimepata somo
OK tupo pamoja ndugu barikiwa pia ktk Kaz zako
Namba nzuri ya kupata matete a wenye kulea vifaranga.,
Angalia umbo kubwa la tetea
Nimernda. sana. masomo haya
Karibu Sana ndugu ktk channel hii
Napenda masomo yenu
Karibu sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
Ahxanteni sana kwa hii elimu ya ufugaji wa kuku ila ingependeza mngekuwa mnaweka na Namba za Simu
OK ndugu Ubarikiwe kwa Ushauri 🙏🤝
Habari watenda kazi wote,eti kuku wangu awezi kutembea,kula,hata kunywa maji nimpe dawa gani,anataga kaacha kutaga.
Pole Sana ndugu MPE antibiotics uku ukilwangalia zaidi Dalili zingine
Nataka mbengu
Kuku wa Aina gani
Majani ya mpera kwa kutibu kuku.
Sawa ndugu endelea kufuatilia video hii kuhusu majani ya mpera
ruclips.net/video/0Az61RdTqUs/видео.html
Na wakiswahili wanatembea ndani siwatowi nje jee nijinsi Gani yakuzuiya maradhi ya salmonella
Wape Sana tiba asili mara kwa Mara. Andika you tube tiba asili za kuku by agalus TV zitakuja video nyingi Sana nawe UTAJIFUNZA mengi
Majani ya mpera
Sawa ndugu fuatilia video hii kuhusu majani ya mpera kwa kuku
ruclips.net/video/0Az61RdTqUs/видео.html
Naomba kufahamu jina la hayo majani wanayokula
Majina yametofautina eneo na eneo kuna somo hili👇
ruclips.net/video/k64gUbHX7hg/видео.html
Nafuga leyas katika keji ila nijinsi Gani yakuondoa hahufu katika banda
Wape vitunguu saumu tu ktk maji yaan unatwanga na kuweka ktk maji. Kuondoa harufu bandani kuku wanaokunywa maji kinyesi Chao ua hakuna harufu. Pia Endelea na usafi
Nimesbuscribe. Hivi naweza kuongea nawewe kwenye whatsap?
Sawa ndugu
Mimi boci wangu nauliza kitunguu saumu naweza kuwapa Kila siku na haitaleta athari yoyote
Angalau kwa wiki Mara 1 AU 2
Natoa salama AGALUS TV
Mimi niko burundi nafatilia kila kitu na mungu awazidishie kutupa elimu. Ninaitaji number zenu ili tufanye kazi ya ufugaji na nyie if possible . Thanks
Tunashukuru kwa kua pamoja. Wasalimie Burundi 🇧🇮 ndugu yetu
Naweza pata plan yakujenga nyumba ya kuku kwenye plot ya 100/50 siyo plot kubwa nanataka kuanza mradi wa kuku 200/
Sawa ndugu ngoja tuone uwezekano . Ila waweza mtafuta fundi akusaidie zaidi
@ nitashukuru sana Nataka tu idea kidogo Ndiyo nione naweza mwambia nini fundi.Barikiwa sana
@catherinegewe4183 jifunze mambo muhimu ktk ujenzi WA banda
Kuku Wangi hawana uzito ni wa broiler
Wana umri gani
Ntawapataje na mnapatikana wapi??
Nihisi tulisha wasiliana ndugu
Nimejifunza mambo mengi sana kutoka Agalus tv, bila shaka nitapiga hatua nzuri!
Ila naomba niulize swali:
Ukilea vifaranga wa kienyeji bila mama yao kwa kufuata utaratibu wa uleaji bila mama na ikafikia muda sasa ukawatoa nje ili waanze maisha ya huria au nusu huria Je hawawezi kudhurika na vyakula vya kijitafutia nje?
2. Kuku chotara pia unaweza kumfuga huria?
Kuhusu chakula haina shida kwa kuku wa kienyeji. Kwa chotora hutegemea aina ya chotara kuna wanao weza kuishi kama wa kienyeji na pia kuna wasioweza. Bt barikiwa 🙌
@@AGALUSTV Asante sana 🙏
Pa1🤝
Pia jinsi yakumuwekea mayai wakati wakulalia kwamana hawatotoi vizuri je nifanye vp ili watotoe kwawingi
Kuhusu kuku kushindwa kutotoa mayai video yake
ruclips.net/video/wgm_6tAEcLw/видео.html
Je, kuku wa kisasa wanaweza kupewa mdalasini
Wanapewa pia
Kuna aina ya kuku wakienyeji wanaitwa kuchi nitumie njia Iipi kuwapata?
Sawa tunawafaham ngoja tutakujuza tukijua wanapo uza
Nitahifadhi vip mayai ya kuku wakati wa kusubiria kuwatamishia na je nitakuja mayai yenye ubora wa kutamishia kuku
Waweza weka ktk trey za mayai. AU box kumbuka kuandika mayai tarehe ya yai lilivyotagwa. Wkt w kumwekea utaanza na mayai ya mwisho yaani jipya kurud nyuma hadi idadi ya mayai utakayo mwekea. Mengine yaliyobak utakula
Can lacrosse kienyeji na pure breed?
Yes possible🙏
Jinsi yakulea vifaranga wakuku wa kienyeji
Fuatilila video zetu uleaji wa vifaranga
Je?majani ya mpapai kwa kukupa ni Dawa
Yes ni tiba nzuri Sana. Jifunze zaidi kupitia video hii 👇
ruclips.net/video/t_xlJot-vck/видео.html faida za mpapai kwa kuku na jinsi ya kutumia
Unayoyasema mtaalam yote ni ukweli nimeyashuhudia yote
Tunashukuru kwa Hilo Mungu azidi kua NAWE katika Kaz zako
Hapo chini ya banda umeweka nini na usafi unakuwaje?
Izo ni waya na Hakuna usafi yaani kinyesi kinaanguka Moja kwa Moja
Nauliza je unaweza pata original kuloiler yani F1?
Kwetu hapana labda tuzidi ulizia🙏🏿🙏🏿✍️
@@AGALUSTV sawa kakangu
🤝🤝✍️
Je iyo matawi yenye kuku inakula nigan
Majina yanatofautiana kulingana na eneo ila ni majani fulani ivi yana chumvi chumvi nyingi
Nyie mnapatikana wap ? Nipe hiyoo video ya kuchagua mbegu bora na jins ya kutunza vifaranga
Masomo ya uleaji wa vifaranga video zake Zipo apa
ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b
Ivi baadae ya kufuga endapo uko mbali kama vile rufiji napateje soko la uakika?
Masoko ya kuku si shida ndugu yapo mengi sana🙏
Kwa mfano nataka kufunga kuku naenda kununua kijijini wale kuku walikuwa hawachajwi itafaa nikisha wanunua niaze kuchaja
Ndyo ebu fuatialia hili somo jinsi ya kupata kuku bora
ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html
Somo zuri
Pa1🤝
Je dawa ya chacho unanunua dukan am wapi????
Duka la mifugo zipo 🙏
@@AGALUSTV yes
Video ya dawa ya kiasili kama naweza kupata.
Hii apa Mimea 12 kama tiba kwa kuku
ruclips.net/video/3BpbwyWgSb0/видео.html