Bajeti ya kuku wa mayai 100 | Layers 100
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Katika video hii utajifunza Gharama ya kufuga kuku wa mayai 100 kuanzia siku 1 mpaka wiki ya 23
Ukihitaji vifaranga wa mayai agiza katika namba hii 065963232
Aina ya vifaranga: BOVANS BROWN
Bei :2500
Oda kwasasa imefika tarehe 07/09/2022
Gharama ambazo nimeziainisha katika video hii hazihusishi GHARAMA YA KUJENGA BANDA NA VYOMBO
oya umetisha mzee thanks so much kwa maelezo mazuri
Ni neema ya Mungu anayeniwezesha kufanya🙏
Naomba kufahamu kwa kuku 600, hadi kutaga atakuwa imetumika sh ngap
ruclips.net/video/z0frFqmHCzI/видео.html
Umetisha
PIA NAOMBA HIYO VIDEO YA KULISHA KUKU WA MAYAI
Habari yko,nahitaji chati ya namna ya ulishaji wa kuku broiler na chotara kuanzia siku moja nakuendela .
Nitumie meseji whatsapp 0659632332
naomba namba
Naomba namba za cm npo mbeya nafuga kuku ila sina uzoefu napia nahitaji vifaranga. Asante.
Wasiliana nasi kwenye namba hizi 0659632332/0752912132
Napataje hii bajeti in pdf?
Hongera sana mkuu
How to calculate the profit with chicken you have..(I need a way& formula)
Kindly check this video
ruclips.net/video/xctmTCz2E60/видео.html
kuku 100 wanatakiwa watoe trei ngapi za mayai?
Trei 3
kuna kitabu ulichokiandaa?
Bado sina kitabu
ooh sawa sawa, nikitaka ramani ya banda nitaipataje
ruclips.net/video/LbmUhG1I0Ts/видео.html
Nipo geita
Nahitaji vifaranga mia
BOS NAOMBA HIINBADGET KWENYE PDF
NAHITAJI KUFUGA TAFADHALI
Habar kiongoz naweza kupata namba za mawasiliano
0659632332
Asante
🙏
Hiyo mfuko wa vitamin ni kama chakula au????
Vitamin ni sehemu ya chakula lakini mara nyingi huwa zinapotea Kutokana na mazingira ya uhifadhi wa chakula etc ndio tunatumia hizo za maji
Kuku mia wa mayai watosha kukaa kwene banda la ukubwa gani
Banda la kuku 100
Urefu mita 6
Upana mita 3
na mimi naomba kuuliza banda la kuku 500 ni ukubwa gani? Na gharama zake naomba kuzijua
@@annabadi131 urefu mita 12 upana mita 6
Au Vyovyote utakavyoona inafaa ila uwe na 71 square meters
@@annabadi131 Gharama tafuta mtu akuandalie, huwa wanachaji pesa kidogo kuandaa michoro,Bajeti ya kujenga etc
Kaka abari umesema kuku 100 wanakula kilo 4.5 kwa siku jee jioni unawapa kiasi gani tena sijaelewa
Naomba unipigie hesabu ya kuku300 mimi nina viombo na banda
Karibu Mary, kujua Gharama ya kuku 300 zidisha mara tatu hiyo Bajeti ya kuku 100
@@LayersPro asante nitafanya hivo
Mtaalam wa kukushauri lazima kwani ?
Ni muhimu sana ila sio lazima, ni hiari yako
kwanini unawasha taa wiki 12
Angalia somo kamili kuhusu mwanga ruclips.net/video/qh1XJZxSSV4/видео.html
Naomba nitumie hizo chat kuazia wiki ya kwanza mpaka watakapo anza kutaga
Nitumie meseji whatsapp 0659632332
Nahitaji bajeti km hio ulioiandika ya kuku 400
Ipo hii video ya kuku wa mayai 1000
ruclips.net/video/l5xdahwQZrU/видео.html
naomba nitafte kwa Email yangu
Sijakuelewa ndugu, Je unahitaji nini?
Kuku ngapi kabisa inalipa ? Kusudi mutu Adi Choke kwa bure
Minimum ni 1000, lakini kwa kadri ya uwezo wako kimtaji, maarifa uliyonayo, uzoefu, usimamizi etc
Angalia hizi video 2 utapata kitu kikubwa
1.ruclips.net/video/Z5heZxL98Zc/видео.html
2.ruclips.net/video/l5xdahwQZrU/видео.html
wiki ya pili hadi ya sita unatumia mifuko 2 tu🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Sahihi kulingana na hiyo idadi ya kuku
@@LayersPro oky sawa, so kama una kuku 600 , unazidisha mara 6 eeeh
Uko Dom sehem gani maelezo yako ni mazur mno
Majengo Sokoni wasiliana nami kwenye namba hizi 0659632332/0752912132