Layers Pro
Layers Pro
  • Видео 50
  • Просмотров 249 768

Видео

Maeneo manne ya kujifunza kuhusu ufugaji wa kuku kwa wafugaji wapya
Просмотров 9359 месяцев назад
Maeneo manne ya kujifunza kuhusu ufugaji wa kuku kwa wafugaji wapya 1.Genetics/uzalishaji wa vifaranga 2.Health (Afya/Magonjwa) 3.Nutrition /Lishe 4.Management/Usimamizi
Kwanini nikichanganya chakula kuku wanaanza kuumwa?
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
Chakula kinachangia asilimia 80 ya gharama za chakula katika mradi wa kuku kwahiyo wafugaji wengi wana shauku ya kutengeneza chakula. Katika video hii tutaangalia kwanini ukianza kuchanganya chakula kuku wanaumwa? 1.Biosecurity/usalama wa chakula 2.Ubora wa chakula
Nimeuza kuku wote na sijapata faida | Ulishaji wa broila | Kuku wa nyama
Просмотров 3,8 тыс.Год назад
Katika hii video najibu maswali mawili, swali la kwanza linahusu kiwango cha ulishaji na la pili linahusu mambo ya kufanya ili upate faida nzuri kwenye ufugaji wa kuku wa nyama.
Je uwashe chanzo cha joto masaa yote bila kuzima? | Muongozo wa joto | vifaranga
Просмотров 3,1 тыс.Год назад
Katika video hii utajifunza kuhusu namna ya kupunguza gharama ya kuwapa vifaranga wako joto
Bajeti ya kuku wa mayai 300 | Gharama ya kuanzia wiki 1- 24
Просмотров 16 тыс.Год назад
Katika video hii utajifunza Gharama ya kufuga kuku wa mayai 300 kuanzia siku 1 mpaka wiki ya 24 Ukihitaji vifaranga wa mayai agiza katika namba hii 065963232 Aina ya vifaranga: BOVANS BROWN Bei :2600 Gharama ambazo nimeziainisha katika video hii hazihusishi GHARAMA YA KUJENGA BANDA NA VYOMBO
Jinsi ya kuzuia vifaranga wa mayai wasikanyagane | Layers | Siku 1 mpaka wiki 12
Просмотров 966Год назад
Hili swali niliulizwa mwezi wa pili 2023 kwenye group letu la Whatsapp nimeamua kulileta na majibu yake ili ujifunze kitu Muulize swali ;Martin mfugaji wa layers Ninayejibu ; Goodluck Moshi/0659632332 Twende kazi..... SWALI ; Habarini humu ndani? Vifaranga wangu wanasiku 24 leo. Juzi nilianza kuwazimia taa ( nawapa mwanga masaa 18 tu Toka hiyo juzi) ila kuamkia leo nimekuta wamekanyagana na vif...
Kuku wa nyama 4500 | Tumia fursa kadri zinavyopatikana
Просмотров 1,2 тыс.Год назад
Hakikisha kila siku unajifunza na kuboresha ufugaji wako, tumia fursa mbali mbali zilizopo unazoweza kuzipata muda huo kadri zinavyopatikana si kama unavyotaka ziwe.
Kanuni aliyoivunja mfugaji aliyepoteza vifaranga zaidi ya 200
Просмотров 1,3 тыс.Год назад
Katika video hii utajifunza jambo moja litakaloamua kama utafanikiwa kwenye mradi wa kuku au utafeli, jambo lenyewe ni ulinzi wa viumbe hai( biosecurity) Lengo la video hii nikukusaidia ujifunze jinsi ya kuzuia magonjwa kwa kuku wako.Nimeelezea ngazi tatu za ulinzi wa viumbe hai ;- 1.Location/Conceptual 2.Layout/Structural 3.Procedure/Operational Mawasiliano ; 0659632332/0752912132
Je utumie vigezo gani kuchagua chanzo cha joto ? | Gas brooder vs Vyungu/bulb
Просмотров 2,2 тыс.Год назад
Katika video hii utajifunza muongozo wa kukusaidia kufanya maamuzi ya chanzo gani cha joto utumie kuwapa vifaranga wako joto Karibu Jifunze zaidi, Kwa kawaida ufugaji wa kuku unaanza kwa Kufikiria kuhusu Soko, aina ya kuku unaotaka kufuga, Banda, etc 1.Jifunze kuhusu Utafiti wa Soko👇🏽 ruclips.net/video/GwyhAwD-Hh4/видео.html 2.Je ufuge kuku aina gani?👇🏽 ruclips.net/video/DUrMvGZIJtQ/видео.html ...
Je ufanyaje broila wakiwa hawana uzito ulio sawa | Non uniformity
Просмотров 1,8 тыс.Год назад
Katika video hii utajifunza ufanye nini kuku wako wanapokuwa hawana uzito uliolingana, tutaangalia mfano wa broila japo mbinu hizi unaweza kuzitumia kwa kuku aina zote. Karibu mdau unayetarajia kuanza kufuga kuku Kwa kawaida ufugaji wa kuku unaanza kwa Kufikiria kuhusu Soko, aina ya kuku unaotaka kufuga, Banda, etc 1.Jifunze kuhusu Utafiti wa Soko👇🏽 ruclips.net/video/GwyhAwD-Hh4/видео.html 2.Je...
Jinsi ya kuwafanya kuku wa mayai watage bila kuchelewa
Просмотров 4,3 тыс.Год назад
Katika video hii utajifunza jinsi ya kuwafanya kuku wa mayai watage kwa wakati, kiujumla utajifunza mambo manne JAMBO 1; Je kuku wanatakiwa watage katika umri gani? JAMBO 2; Changamoto ya kuku kuchelewa kutaga ikoje? JAMBO 3; Suluhisho ni nini? JAMBO 4; Case study ya Justin kutoka Igunga Mawasiliano 0659632332
Jinsi ya kuingiza faida ya milioni Moja kupitia ufugaji wa kuku wa mayai | Layers 600
Просмотров 1,9 тыс.Год назад
Katika video hii utajifunza kuhusu faida ya kuku wa mayai 600 kwa siku, Ukihitaji vifaranga wa mayai au vifaa vy ufugaji agiza katika namba hii 06596323232.
Je uwazimie taa broila ? | Mwanga kwa kuku wa nyama
Просмотров 4 тыс.Год назад
Kuna mambo manne ya kufahamu kuhusu mwanga kwa kuku, mambo hayo nimeyaelezea kwenye video hii 1.Intensity 2.Source 3.Duration 4.Color
Je ufanye nini kuku wako wakidumaa? | kwanini kuku wanadumaa?
Просмотров 3,2 тыс.Год назад
Katika video hii utajifunza ufanye nini kuku wako wanapoduma, tutaangalia mfano wa broila 300 wenye umri wa siku 35 wakiwa na uzito wa 1.018kg badala ya uzito stahiki wa 2.278kg Karibu mdau unayetarajia kuanza kufuga kuku Kwa kawaida ufugaji wa kuku unaanza kwa Kufikiria kuhusu Soko, aina ya kuku unaotaka kufuga, Banda, etc 1.Jifunze kuhusu Utafiti wa Soko👇🏽 ruclips.net/video/GwyhAwD-Hh4/видео....
Jinsi ya kuwalisha broila | Kuanzia vifaranga mpaka uwauze
Просмотров 11 тыс.Год назад
Jinsi ya kuwalisha broila | Kuanzia vifaranga mpaka uwauze
Je uwalishe kuku kwa kufuata umri au uzito? | Feeding program |
Просмотров 981Год назад
Je uwalishe kuku kwa kufuata umri au uzito? | Feeding program |
Vitu vya kufuatilia | Uleaji wa Vifaranga wa mayai
Просмотров 6 тыс.Год назад
Vitu vya kufuatilia | Uleaji wa Vifaranga wa mayai
Hatua tulizofuata kupokea vifaranga wa mayai | Layers 400
Просмотров 3,6 тыс.Год назад
Hatua tulizofuata kupokea vifaranga wa mayai | Layers 400
Zingatia haya ili upate uzalishaji mzuri wa mayai
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
Zingatia haya ili upate uzalishaji mzuri wa mayai
Faida ya kuku wa mayai 100,200,300,400 na 500
Просмотров 3,9 тыс.Год назад
Faida ya kuku wa mayai 100,200,300,400 na 500
Angalizo faida ya kuku wa mayai 1000 [Part 2]
Просмотров 1,2 тыс.Год назад
Angalizo faida ya kuku wa mayai 1000 [Part 2]
Faida ya kuku wa mayai 1000 kwa siku [Part 1]
Просмотров 9 тыс.Год назад
Faida ya kuku wa mayai 1000 kwa siku [Part 1]
Sehemu sahihi ya kuchoma chanjo ya Ndui
Просмотров 7 тыс.2 года назад
Sehemu sahihi ya kuchoma chanjo ya Ndui
Ratiba ya chanjo kwa kuku wa mayai, chotara na broiler
Просмотров 1,8 тыс.2 года назад
Ratiba ya chanjo kwa kuku wa mayai, chotara na broiler
Jinsi Ya Kupunguza Vifo Vya Vifaranga
Просмотров 1,3 тыс.2 года назад
Jinsi Ya Kupunguza Vifo Vya Vifaranga
Zingatia haya unapolea vifaranga wa mayai
Просмотров 5 тыс.2 года назад
Zingatia haya unapolea vifaranga wa mayai
Jinsi ya Kuunganisha na kuwasha gas brooder
Просмотров 3612 года назад
Jinsi ya Kuunganisha na kuwasha gas brooder
Gharama ya chakula kwa kuku wa mayai 1000
Просмотров 2 тыс.2 года назад
Gharama ya chakula kwa kuku wa mayai 1000
Gharama ya chakula cha kuku wa mayai 500
Просмотров 4,3 тыс.2 года назад
Gharama ya chakula cha kuku wa mayai 500

Комментарии

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 6 дней назад

    Ina bei gani hii?

    • @LayersPro
      @LayersPro 5 дней назад

      310,000 kwa 260,000

  • @fahadsalum1749
    @fahadsalum1749 28 дней назад

    Napataje hii bajeti in pdf?

  • @emmanuelmahenge02
    @emmanuelmahenge02 Месяц назад

    Mzani wa crane kilo 500 bei gan???

  • @mbarakasadiki870
    @mbarakasadiki870 Месяц назад

    💯

  • @mosespatrick5863
    @mosespatrick5863 Месяц назад

    Nilikuwa naomba gharama ya kuku 50 wa mayai

    • @LayersPro
      @LayersPro Месяц назад

      Walau Anzia kuku 100

    • @LayersPro
      @LayersPro Месяц назад

      Anzia kuku 100, angalia hii video👇 ruclips.net/video/HQvfJlOjnr8/видео.html

  • @zachariamatemba2004
    @zachariamatemba2004 Месяц назад

    Je ni vp nikizalisha chakula mwenyewe si ntapunguza gharama na kupata faida...

    • @LayersPro
      @LayersPro Месяц назад

      Kama utawalisha chakula chenye ubora

    • @LayersPro
      @LayersPro Месяц назад

      Kama utawalisha chakula chenye ubora

  • @zachariamatemba2004
    @zachariamatemba2004 Месяц назад

    Je ukiwa unatengeneza chakula mwenyewe gharama inakuaje ukilinganisha na hiyo?!..

    • @LayersPro
      @LayersPro Месяц назад

      Hapo tunatumia chakula cha dukani, labda upige hiyo chakula chako cha kutengeneza ulinganishe na hii

    • @LayersPro
      @LayersPro Месяц назад

      Hapo tunatumia chakula cha dukani tu

  • @menyengeralesinoi9647
    @menyengeralesinoi9647 2 месяца назад

    Soko la mayai na kuku likoje Dodoma?

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 2 месяца назад

    banda langu lina mita 3 upana na urefu mita 7 hapo watakaa kuku wangapi tafadhali

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 2 месяца назад

    hizo gram 528 unapima kwa kutumia mizani ipi?tafadhali

    • @LayersPro
      @LayersPro 2 месяца назад

      Kesho nitumie meseji WhatsApp kwenye namba hii 0659632332 nitakuonesha hiyo mizani

  • @nkoyiisack6808
    @nkoyiisack6808 2 месяца назад

    Nimejifunza Asante sana

  • @aminamjili7303
    @aminamjili7303 2 месяца назад

    wiki ya pili hadi ya sita unatumia mifuko 2 tu🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

    • @LayersPro
      @LayersPro 2 месяца назад

      Sahihi kulingana na hiyo idadi ya kuku

    • @aminamjili7303
      @aminamjili7303 2 месяца назад

      @@LayersPro oky sawa, so kama una kuku 600 , unazidisha mara 6 eeeh

  • @AllyDarus-x6v
    @AllyDarus-x6v 2 месяца назад

    nahitaj kujifunz kifug kuku

  • @BoniphaceTumbo
    @BoniphaceTumbo 2 месяца назад

    Hii gharama ni kwa chakula Cha kiwandani pekee ama na Cha kuchanganya mwenyewe

    • @LayersPro
      @LayersPro 2 месяца назад

      Chakula cha kiwandani tu

  • @NebrixWarehouse-k7e
    @NebrixWarehouse-k7e 2 месяца назад

    Moshi Agrovet Hili Darasa limenibariki saana Powerful Wabejaaa sana

  • @JohnKaaya-k3r
    @JohnKaaya-k3r 2 месяца назад

    Naomba Elimu ya kufuga leyers

  • @ibrahimabdallah6237
    @ibrahimabdallah6237 2 месяца назад

    Ntawapima kwa kutumia nini?

    • @LayersPro
      @LayersPro 2 месяца назад

      Unahitaji mzani wasiliana nasi kwenye namba hii 0659632332 kuagiza mzani Jumatatu - Jumamosi Saa 2 na nusu asubuhi - 11 jioni

  • @ibrahimabdallah6237
    @ibrahimabdallah6237 2 месяца назад

    Samahan mimi ndio naanza kufuga nakuku 200 nilisikia chakula hakitakiwi kukauka uwe unawapa kila mara je nikweli?

  • @ItelItel2023
    @ItelItel2023 3 месяца назад

    Kuku wangu wana wiki 22 na siijaona mayai na wan uIto wao iko 1,3

    • @muhammedwakif6216
      @muhammedwakif6216 Месяц назад

      I.3 ni kidogo mpk wafike 1.5 ndio watage umewabania chakula

  • @dennisshayo187
    @dennisshayo187 3 месяца назад

    hongera kwa majukumu. swali langu ni je wafugaji wadogo wanaweza kutumia gas brooder?? kwa mfano mimi nafuga vifaranga 100.

    • @LayersPro
      @LayersPro 3 месяца назад

      Nashauri walau uwe na kuku 500 au zaidi , Asante kwa salamu zako za pongezi

    • @dennisshayo187
      @dennisshayo187 2 месяца назад

      @@LayersPro asante

    • @dennisshayo187
      @dennisshayo187 2 месяца назад

      @@LayersPro asante

  • @bamujositv1315
    @bamujositv1315 3 месяца назад

    Zipo pia njia tatu rahisi za kutibu na kuzuia ndui kwa kuku hasa vifaranga ambao wanaweza kushambuliwa kabla ya kufikia umri wa kuchanjwa, tazama mbinu hizi tatu katika link hapa chini ujifunze zaidi ahsante. ruclips.net/video/DOCw3P6XGzM/видео.htmlsi=p3WVMS0K9N-z0EVd

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 3 месяца назад

    naomba hiyo chart mkuu

  • @allyrawahy8095
    @allyrawahy8095 3 месяца назад

    Asante sana Kwa taaluma,sijaelewa kwenye upana wa banda

  • @FeregislaKaaya
    @FeregislaKaaya 3 месяца назад

    Ndugu ambae umesema week ya 2 unapata gram 570. Unafanyaje? Msaada tafadhali.

  • @FeregislaKaaya
    @FeregislaKaaya 3 месяца назад

    Kama kuku ajafika gram 528. Ninafanyaje?