Jinsi Ya Kupunguza Vifo Vya Vifaranga
HTML-код
- Опубликовано: 14 янв 2025
- Vifaranga ni hatua ya mwanzo ya ukuaji wa kuku, hivyo ni bora kuchukua tahadhari ili kuhakikisha ukuaji ulio bora wa vifaranga hao.
Vifaranga vinahitaji malezi makini kuepusha magonjwa yanayoweza kusababisha vifo na hivyo kupunguza idadi ya kuku unaotarajia kuwa nao.
Uhakika wa kuwa na kuku walio bora wenye kutaga vizuri utategemea matunzo bora ya vifaranga utakayotoa tangu siku ya kwanza ulipopokea vifaranga