Je namba za kwenye video za faida hazisomeki ? Angalia video hii ujifunze kubadilisha setting ya RUclips ili uone video zenye ubora Video ninazo rekodi ni full HD(1080) hasa hizi za mahesabu zina ubora wa Hali ya juu Huwezi kusoma kwasababu umeweka setting za ubora wa Chini kwenye RUclips yako Link ya video👇🏾 ruclips.net/video/r8mwS08tBrU/видео.html
Pia naomba ushauri mm niko kuku wa mayai 330 mara nyingi napata try 7au 8 ikipanda sana ni 9 je utagaji wao upo normal au upo chini na km upo chini ni vitu gani ni rekebishe ili utagaji ufikie walau 95%
Hujui kufundisha
God bless you too DC
Amen
Kaka gharama kufuga kuku 200 makadilio yake yana kuwaje kuanzia kifaranga mpaka kuanza kutaga
Ndugu Yako hapa wa ukonga DSM
Tupo pamoja brother
Okay
Asante
Karibu
Kaka kazi yako ya kutuelimisha ni nzuri ila chat yako haionekani vizur
Je namba za kwenye video za faida hazisomeki ?
Angalia video hii ujifunze kubadilisha setting ya RUclips ili uone video zenye ubora
Video ninazo rekodi ni full HD(1080) hasa hizi za mahesabu zina ubora wa Hali ya juu
Huwezi kusoma kwasababu umeweka setting za ubora wa Chini kwenye RUclips yako
Link ya video👇🏾
ruclips.net/video/r8mwS08tBrU/видео.html
Ufugaji wa nguruwe
Karibu, sisi tunazo nipples za nguruwe na premixes za kutengenezea chakula cha nguruwe je unahitaji huduma gani?
Pia naomba ushauri mm niko kuku wa mayai 330 mara nyingi napata try 7au 8 ikipanda sana ni 9 je utagaji wao upo normal au upo chini na km upo chini ni vitu gani ni rekebishe ili utagaji ufikie walau 95%
Je chakula unawapa Aina gani ?
Angalia video hii nimekujibu
ruclips.net/video/BXzxEjEA8UM/видео.html