Mungu akubariki kaka Mungu aendelee kukutunza umeongea kitu ambacho wafugaji wengi huwa hawakiongei baadhi ya wafugaji wengi huwa hawasemi ukweli pindi mtu anapotaka Ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa mayai huwa ni waoga kuona mtu mwingine anafanikiwa kama wao ni wabinafsi sanasana Mimi nitakutafuta nakuomba unishike mkono natamani kufuga kuku wa mayai ila sijapata mwongozo stahili nitakupigia sim tuongee zai mungu azidi kukuinuwa zaidi ya hapo ninaamini kuku ni utajiri mkubwa sana kama unaenda kwa misingi ya kuku wanavyotaka
Sikiliza vizuri maelezo na uyarudie tena. Amesema kuku WANATAGA kila siku kwa miaka miwili na sio ANATAGA maana yake hakuna siku utaingia bandani ukose mayai ndani ya miaka miwili. Kuku mmoja wa mayai aliyelelewa vizuri anaweza kuacha kutaga mara moja tu kwa wiki. Pia kuna sehemu amesema wanaweza KUKATA au KUACHA kutaga kwa sababu mbalimbali. Fanya utafiti vizuri mpendwa.
Ubarikiwe sana kaka kuna baaz ya wafugaj wanakatisha tamaa
Mungu akubariki kaka Mungu aendelee kukutunza umeongea kitu ambacho wafugaji wengi huwa hawakiongei baadhi ya wafugaji wengi huwa hawasemi ukweli pindi mtu anapotaka Ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa mayai huwa ni waoga kuona mtu mwingine anafanikiwa kama wao ni wabinafsi sanasana Mimi nitakutafuta nakuomba unishike mkono natamani kufuga kuku wa mayai ila sijapata mwongozo stahili nitakupigia sim tuongee zai mungu azidi kukuinuwa zaidi ya hapo ninaamini kuku ni utajiri mkubwa sana kama unaenda kwa misingi ya kuku wanavyotaka
Nataman kufuga kuku wa mayai ila muongozo sina
Assante sana
Ata ivi Rwanda ndoo Hivo kbsa
Kuku 500 kuzikuza mpaka zifike kwa kutaga ni million 4
Ubarikiwe sana kaka nitakutafuta unisaidie kwa hilo
Hongera sana mwalimu Ukason
Mungu akubariki kk
Nakubali Sana good idea umetupa
Kazi njema
Nitakupigia kaka unipe mwanga nataka na mimi kufanya hiyo kazi
So interesting
Aisee broo umetisha nipo Mbeya nafanya uwakala naacha narudi moshi kwetu kufuga kuku
Ubalikiwe kaka
Kuku jamani wanataga mieizi 6 tu ya mwanzo huko kwingine night huduma za hali ya juuu.kuna mda he 500 hupati
Naomba namba zako za simu tafadhali
Tumezitaja kwenye hiyo video kwa uzuri kabisa.
Pia mm ninataka bajeti ya Kuku Mia
Naomba namba yako ya simu
Kaka kwenye hilo bado unafanyeje usafi
Piga simu namba zipo hapo kwenye video utafundishwa bure. Somo muhimu sana hilo.
Natamani kweli tatizo mtaji
Abari kaka naeza zipata kuku hizo Niko kitale
Namb zak please
Wanaanza kutaga wakiwa na umri gani
Naomba bajeti ya kuku 100 kuanzia tokea ninapoanza mpaka wnapoanza kutaga
Sio kweli kabisa eti kuku anataga mayai kilasiku ndani ya mwaka moja
Endelea kujifunza ukisema kwa sauti utachekwa..kaa na mfugaji akufundishe
Sikiliza vizuri maelezo na uyarudie tena. Amesema kuku WANATAGA kila siku kwa miaka miwili na sio ANATAGA maana yake hakuna siku utaingia bandani ukose mayai ndani ya miaka miwili. Kuku mmoja wa mayai aliyelelewa vizuri anaweza kuacha kutaga mara moja tu kwa wiki. Pia kuna sehemu amesema wanaweza KUKATA au KUACHA kutaga kwa sababu mbalimbali. Fanya utafiti vizuri mpendwa.
Sawa kaka @@HaroldUkason-cs3jk
kaka kuku 100 wa mayai wanahitaji banda lenye ukubwa gn?
Weka namba yako hapa utapigiwa na mtaalamu
Si mtuambie hapa kila mtu ajue jaman?
Alafu mbona mmeanzia ela kubwa hivyo mpk mtu anaogopa kuanza kufuga? Mamilion yote hiyo mmmh
0688129292 Anaitwa Mwl Harold
Asanteni
Jibu swali acha kutoa maelezo
😂😂😂
Naomba namba yako kaka please
Thanks
Mtaji wa 300000 unapata kuku wangap
Niko arusha nahitaji fundi wa kunijengea banda zuri nianze ufugaji wa kuku
Pigia hiyo namba iliyooneshwa kwenye video
Naomba contact zako
Naomba namba zako kaka
0688129292 namba za huyo mfugaji
Jamani neno uaminifu ni mtaji lisiwapite. Wapo matajiri wengi ambao wana pesa na hawapati watu wa kuwaamini.
Tumelitaja kwa uzuri kabisa Bwana Alex.
Upo sahihi kiongz
Kuku wa mayai hawalipi
Wanalipa ila faida utaiona baadae
Hiyo ni pesa za kenya millions 7
Million 7 za TZ ni pesa gapi kenya
368,000 Kshs
Ingia google andika tsh to ksh
Kazi nzuri.
m.ruclips.net/video/kOH7-qS4kxU/видео.html