Elimu nzuri na inahamasisha ila siyo rahisi hivyo. Hao vifaranga kuwalea tofauti tofauti ni changamoto sana kwa mtu mwenye mtaji mdogo na eneo dogo.inawezekana ila waweza kuchanganyikiwa akili!kila mwezi ule vifaranga wapya!bado wengine wanakusubiria!njia rahisi ni kununua hao vifaranga wote na kuwalea kwa pamoja.
@@elimbotoraphael3940 Shukrani ni wazo zuri, la kujenga na kuboresha, Naamini pia katika uthubutu na nia thabiti ya kujitoa kikamilifu katika jambo lako.
@@ChartyMpepo Ukubwa wa banda unategemea na aina ya kuku, mfumo unaotumia kufuga (ndani nusu huria au huria), idadi yao n.k Kwa kuku mmoja wa kienyeji anaefugwa kwa mfumo wa huria (nje) anahitaji nafasi ya futi za mraba 2 hadi 4 Yaani 0.6 - 1.2 metre square kwa kuku mmoja. Au sentimita 60 - 120 za mraba kwa kuku mmoja. Ili kupata nafasi ya idadi ya kuku ulionao au unaohitaji kuwafuga yapasa kuchuku mita 0.6 kwa kuku 1 × idadi ya kuku Mfano 0.6 × 10 = 6 mita za mraba Kwaiyo banda lako laweza kuwa na Upana mita 2 na urefu mita 3 Ahsante na karibu.
Aisee pole sana. Ni kweli hiyo ni changamoto kubwa sana na kuna wakati inakatisha tamaa. Hasa unafikiria level uliyokuwa umefikia, jasho, damu na machozi uliyomwaga kufika hapo. Ni kutie moyo kwa mara nyingine kwa kutokata tamaa, kikubwa ni kujifunza kwa kila kosa na changamoto inayokukabili kisha kutafuta suluhisho la kudumu. Sijajua mazingira yako yakoje, ila naimani MBWA anaweza kuwa moja kati ya suluhisho.
@DanielMbena ni siku 14 kwa maan wiki mbili. Ila yakikaa siku 12 yanaleta matokeo bora zaidi. Zaidi ya hapo kaa tayari kwa video inayofuata nimeeleza yote hayo.
Hi elimu ni bora sana kibiashara
@@silveramujuni5246 karibu
Elimu nzuri ubarikiwe
@@jestinasimon4130 shukran sana, tubarikiwe sote
@@jestinasimon4130 Amina, tubarikiwe sote
Elimu nzuri sana natamani kufuga
@@HappynessFuss-f8q hongera na karibu sana.
Kupitia channel hii, itakuwa ni sababu ya kuanza ufugaji na kukua zaid
Hongera sana. Asante kwa elimu
@@PaulSangayon shukran sana
Somo zuri Asante sana
@@swaumuramadhani-g7e shukran sana.
Nice 👍 idea
@@HilaryMassawe-y7s thank you
Elimu nzuri na inahamasisha ila siyo rahisi hivyo. Hao vifaranga kuwalea tofauti tofauti ni changamoto sana kwa mtu mwenye mtaji mdogo na eneo dogo.inawezekana ila waweza kuchanganyikiwa akili!kila mwezi ule vifaranga wapya!bado wengine wanakusubiria!njia rahisi ni kununua hao vifaranga wote na kuwalea kwa pamoja.
@@elimbotoraphael3940 Shukrani ni wazo zuri, la kujenga na kuboresha, Naamini pia katika uthubutu na nia thabiti ya kujitoa kikamilifu katika jambo lako.
Good
@@carenhilary8067 thanks
🔥🔥👍
@@geralddeus1434 🔥🔥🔥
Asante kuniunga mkono kwa mawazo yangu
@@abidandastanmaliyatabu1373 karibu
Kaka nashkul xaan
@@SurprisedCaptainHat-my4tw shukran sana. Karibu
Asante
@@emmiemmi3861 karibu
Vipi nikiaza na majike 10 na dume 1 banda lake linatakiwa ukubwa gani?
@@ChartyMpepo
Ukubwa wa banda unategemea na aina ya kuku, mfumo unaotumia kufuga (ndani nusu huria au huria), idadi yao n.k
Kwa kuku mmoja wa kienyeji anaefugwa kwa mfumo wa huria (nje) anahitaji nafasi ya futi za mraba 2 hadi 4
Yaani 0.6 - 1.2 metre square kwa kuku mmoja.
Au sentimita 60 - 120 za mraba kwa kuku mmoja.
Ili kupata nafasi ya idadi ya kuku ulionao au unaohitaji kuwafuga yapasa kuchuku mita 0.6 kwa kuku 1 × idadi ya kuku
Mfano 0.6 × 10 = 6 mita za mraba
Kwaiyo banda lako laweza kuwa na
Upana mita 2 na urefu mita 3
Ahsante na karibu.
@Ahikigufa nashukuru
@ChartyMpepo shukran pia.
Nahtaj sana elm iyoooo
@@CHARLYASSEY tuko pamoja, endelea kufuatilia mtitiriko wa maudhui yangu, naimani elimu unayoihitaji utaipata
Me wezi ndo wananirudisha nyuma
Aisee pole sana.
Ni kweli hiyo ni changamoto kubwa sana na kuna wakati inakatisha tamaa.
Hasa unafikiria level uliyokuwa umefikia, jasho, damu na machozi uliyomwaga kufika hapo.
Ni kutie moyo kwa mara nyingine kwa kutokata tamaa, kikubwa ni kujifunza kwa kila kosa na changamoto inayokukabili kisha kutafuta suluhisho la kudumu.
Sijajua mazingira yako yakoje, ila naimani MBWA anaweza kuwa moja kati ya suluhisho.
Mayai yanatakiwa yatotolewe baada ya mda gani?
@@DanielMbena
Iwe ni kuku kaatamia au umeweka kwenye mashine mayai huanza kuanguliwa au kutotolewa baada ya siku 19 - 23 ambayo wastani ni siku 21.
@Ahikigufa Yani maana yangu ili mayai yatotoleke toka yatagwe yanatakiwa yakae siku ngapi ili yawe yanafaa kutotoleka?
@DanielMbena ni siku 14 kwa maan wiki mbili.
Ila yakikaa siku 12 yanaleta matokeo bora zaidi.
Zaidi ya hapo kaa tayari kwa video inayofuata nimeeleza yote hayo.
Kaka namba yako kwa maelezo zaidi
@@amanichaula1 0752682127 WhatsApp/normal call/Messages