Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Jamani hakika ni Raha sana. Hongera sana Kaka. Kazi nzuuri saana. Vijana jamani tuige hii fursa. Mtangazaji wekeni mawasiliano mazuri ya huyu Mfugaji. Wengine tutahitaji sana ushauri wake na mambo mengine.
Kabisaa dorcas hii ndo fursa kwa sisi vijana ndugu.Unapatikana wapi dorcas.
Ni Rombo ipi ?
Tatakea ai mashati
Namba ya simu naomba
Naomba namba ya simu.
Naomba kibari cha kukutemberea nijifunze kuku na nguruwe nataka mungu akipenda 2025 nianze kucapa kazi
..hongera Sanaa kaka .
Namba za simu hazisomeki vizuri ili tuwasiliane na wataalam wa virutubisho vya chakula hicho.
iko vizuri
Hongera sana Ngowi
Asante,kwa sehem ambayo hakkuna umeme inawezekana ?
Big up sana
CAGE ni kutesa kuku
Cage moja bei gani
Laki8 kwa dar
Laki8 kwa dar cage inayoingia kuku 128
Cage shilingi laki saba
Wanauza wapi eneo gani nifuatilie
@@michaelminja mimi nilinunua mlimacity
No ya simu tafadhali
Soko la Mayai linapatikana wapi
Hongera sana naomba namba ya simu
Kenya cowdess unapata wapi
Hizo gauge nazipata wapi? Namva za hao wanaotoa chakula?
Tuninba no ya simu
Ushauri wangu dada hoji pole pole unaongea sana haraka haraka
MUNGU awabariki sana
Hicho chakula kinapatikana moshi
Hongera kaka mimi naomba namba yako hivyo virutubisho vinapatikana wapi
Asante kaka Ngowi naomba namba yako nahitaji kufuga kisasa nahitaji msaada wako no yangu
Hongera sana
Mimi ni mkenya
Mkenya unasemaje😂
Kaka ngowi mimi naitwa Bibi Agnes Moshi nimfugaji niko Dar nikitaka Hao kuku wa mayai nawapataje je nikianzia na kuku 300 ni mbaya
Hawezi kukujibu hii ni account ya ITV, watafute hao aliwataja ( Kawudays) amabao nadhani hata Dar es salaam wapo
Naomba no ya huyo mfugaji wa kwanza
Si. Namba ipo hapo
No ya virutubisho tafadhal
Hii ni ajira tosha
Ni zaidi ya ajira
Namba ya simu haisomeki vizr
kaka samahani naitaji kujuwa kwamba aina ya Banda la kuku ambalo ni zuri kwa kuku?
Nipeni namba za simu niongee naye anishauri
Cydyce
Tunaomba namba
Keji 1 ya kuku 50 ni bei gn
Cage laki8 ya kuku 128,cage ya kuku 96 ni laki6
Nimenunua jana2 mlimanicity dar