USINUNUE TENA DAWA ZA KUKU TUMIA MAJANI NA MBEGU ZA MPAPAI | ufugaji wa kuku

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 181

  • @fredrickrwamahe
    @fredrickrwamahe 6 месяцев назад +2

    Asante kwa elimu nzuri,nimevutiwa kuwa majani haya Yana protein ,

  • @MarryMayala-nc4bt
    @MarryMayala-nc4bt 5 месяцев назад +3

    Asante dada kwa Elimu nzuri mungu azidi kukuongezea maarifa Zaid na zaidi🙏

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 месяцев назад

      Amina sana ubarikiwe

  • @RosemaryOwori
    @RosemaryOwori 6 месяцев назад +2

    Asante Sana dada Mungu akuinue Kwa marifa Zaidi kama Danieli ktk Bibilia hongera Kwa elimu mzuri nimependa Amen 🙏🙏🙏

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад +1

      Nashukuru sana na Mungu atubariki sote amina

  • @SalomeGabriel-o7w
    @SalomeGabriel-o7w 4 месяца назад +1

    Asante sana je nachanganya unga.wa mbegu za papai na juisi ya majani ya papai kwa pamoja ndio wanakunywa au tofauti tofauti

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 месяца назад

      Sio lazima uchanganye ila ukiweza changanya

    • @tulisamwel41
      @tulisamwel41 23 дня назад

      Asante sana kwa somo hili. Nitaanza kutumia majani hayo jwa kuku wangu.

  • @KissaMwakatumbula-uo5te
    @KissaMwakatumbula-uo5te 3 месяца назад +1

    Asante sana nitaendelea kuwasiliana na nawe

  • @jacobmutisyamboya7742
    @jacobmutisyamboya7742 6 месяцев назад +4

    THANKS FOR THAT GOOD STORY , GOOD FARMING, GOOD VOICE ,GOOD LADY NICE DAY.

  • @MonicaGutta
    @MonicaGutta 5 месяцев назад

    Asante sana kwa elimu nzuri

  • @HeriethKisese
    @HeriethKisese 5 месяцев назад +1

    Asante sana kwa elimu hii

  • @dorismatias5170
    @dorismatias5170 6 месяцев назад +2

    Asante kipenzi kwaushauri

  • @lightthomas9064
    @lightthomas9064 5 месяцев назад +1

    Asante sana rafiki

  • @VictoriafidelisNdulu
    @VictoriafidelisNdulu 5 месяцев назад +1

    Asante dada wengiwetu tuta ufanyiakazi ushauri.

  • @esterkisha
    @esterkisha 5 месяцев назад

    Asante, barikiwa

  • @yuvenaltemba5529
    @yuvenaltemba5529 6 месяцев назад +1

    Asante sana kwa ushauri

  • @annakambelenje9410
    @annakambelenje9410 5 месяцев назад +1

    Nitafanyia kazi asante

  • @AnnaKosta-e1v
    @AnnaKosta-e1v 6 месяцев назад +1

    Asante nashukuru

  • @songeza
    @songeza 6 месяцев назад +12

    Kuku wangu wanasumbuliwa na mafua makali nifanyeje mlisema nichukue pilipili na alovera na majani ya mperawa Bado wanakoroma hivi Mmoja nimemshikilia

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад +3

      Tazama hii ruclips.net/video/98hkKJeTfWo/видео.html ukiwapa hiyo dawa watapona

    • @sophiaandrea1516
      @sophiaandrea1516 6 месяцев назад

      Tumia tylodox extra, tricumycin,na aminatotal(vitamini),dozi kubwa.

    • @wonderpersonhb3551
      @wonderpersonhb3551 6 месяцев назад +2

      Banda lako liangalie uchafu au vumbi au haliptish hewa chunguza hayo

    • @TwalibuSalimu
      @TwalibuSalimu 6 месяцев назад

      Nikweli naamani Sana nishafanya

    • @TwalibuSalimu
      @TwalibuSalimu 6 месяцев назад

      Mm pia nipo nanyi

  • @AbassMshenga
    @AbassMshenga 2 месяца назад +1

    Asante mtaalam

  • @jamesmagoma-m2o
    @jamesmagoma-m2o 6 месяцев назад +1

    Mungu awabariki na kuwafanikisha zaidi

  • @ClaudeMugisha-ec7cb
    @ClaudeMugisha-ec7cb 6 месяцев назад +1

    Asante sana tunawasikiliza

  • @MwitaMaro-m3q
    @MwitaMaro-m3q 6 месяцев назад +1

    Nakushukuru sana did kazi njema

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Shukrani sana ubarikiwe

  • @LEVINAMLIGO
    @LEVINAMLIGO 6 месяцев назад +5

    Nimelipenda SoMo asante I wataalamu wetu

  • @JenisterManzi
    @JenisterManzi 2 месяца назад +1

    Na vifaraga wanaweza pewa

  • @leankubali2064
    @leankubali2064 5 месяцев назад +3

    Nanikuku wote au bloira tu. Mimi ninawakienyeji

  • @NaomiHangayaidama
    @NaomiHangayaidama 5 месяцев назад +1

    Nàshukuru sana

  • @rosengonyani5008
    @rosengonyani5008 6 месяцев назад

    Asante sana

  • @glorylyimo1208
    @glorylyimo1208 4 месяца назад +1

    Naomba kujua nitumie dawa gani kuku wangu wakianza kuumwa utakuta wanakufa wote jaman na choo chao ni njano na kijani sjui ni ugonjwa gani ,akianza mmoja ni wote wanafuata

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 месяца назад

      Jiunge na kundi letu la Mafunzo ya ufugaji

  • @agnesnzali3175
    @agnesnzali3175 6 месяцев назад +3

    Asante ssn dada barikies mno mno

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Shukrani sana ubarikiwe pia

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 6 месяцев назад +1

    Hongera sanaaafam kwa somo zuri

  • @JoakimJohn-f9i
    @JoakimJohn-f9i 5 месяцев назад +1

    Naomba mnishauri kuku wangu wanakura mayai

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 месяцев назад

      Njoo inbox tukuuzie kitabu chetu chenye formula Bora ya kuwatengenezea chakula kuku hawatokula Tena mayai

    • @dsshirima77
      @dsshirima77 4 месяца назад

      wape chokaa kwa wingi na dagaa hawatakula mayai tena

    • @dsshirima77
      @dsshirima77 4 месяца назад

      mara nyingi huwa nawapa pia uduvi

  • @davidmanumbu6722
    @davidmanumbu6722 6 месяцев назад +2

    Hii juice ya mpapai ninaichanganya na poda ya mbegu

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Hapana unaweza ukatumia kimojawapo

  • @VehaelKamene
    @VehaelKamene 4 месяца назад

    KingoFarm mnatupa elimu nzuri ya ufugaji wa kuku. Je vifaranga vys kienyeji vilivyoanguliwa naweza tumia HAYA majani kama kinga badala ya chanjo? 😊😊

  • @josephmulombe1681
    @josephmulombe1681 5 месяцев назад

    Ninashukuru saaaaana kwa kunisaidiya kumafasiriyo kuuusu kuku kwa majani ya papayi

  • @HadijaMohamedi-v7v
    @HadijaMohamedi-v7v 5 месяцев назад

    Je juice hiyo ni Kwa kuku aina zote 8:25

  • @magrethbmtz554
    @magrethbmtz554 10 дней назад

    Kuku wangu wanasumbuliwa na mapele au manundu nifanyeje

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  10 дней назад

      Tazama hii video itakusaidia ruclips.net/video/hUbgGCqRO_s/видео.html

  • @ConsolathaAloyce-c6v
    @ConsolathaAloyce-c6v 5 месяцев назад +1

    Asant kwa elimu nzur dada

  • @HadijaMohamedi-v7v
    @HadijaMohamedi-v7v 5 месяцев назад

    Je juice hiyo ni Kwa kuku aina zote 8:25 ,napataje vitabu muko wapi

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 месяцев назад

      Tutafute WhatsApp 0712188239 tunakutumia softcopy Kwa njia ya WhatsApp

  • @ShamimuKanju
    @ShamimuKanju 5 месяцев назад

    Asnt kwa darasa zuri

  • @HenrickKomba-r8x
    @HenrickKomba-r8x 5 месяцев назад +1

    Mbegu tunatumiaje?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 месяцев назад

      Unazitwanga unaweka unga wake kwenye maji yao ya kunywa

  • @TinaMbonde
    @TinaMbonde 4 месяца назад +1

    Mnapatikana wapi?

  • @chachalameck3451
    @chachalameck3451 6 дней назад +1

    Mbegu ndo poda?

  • @AginesMlayi
    @AginesMlayi 6 месяцев назад +1

    Mbona nime wapa Lakini bado kk wangu wanakula mayai

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Hii haizuii kuku kula mayai tumia formula nzuri ya kuwachanganyia chakula utanishukuru

  • @mwanakondoabdallah4022
    @mwanakondoabdallah4022 6 месяцев назад +1

    Je vifaranga tiwape juic ya majani Gani??

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Majani ya Maboga ni mazuri sana

  • @ruthkahatano6263
    @ruthkahatano6263 6 месяцев назад

    Kuku anayetaka kuatamia baada ya kutaga namzuiaje joto la kuatamia ?

  • @stellamhagama3186
    @stellamhagama3186 6 месяцев назад +1

    Vipi kwa bloiler?tuwape?

  • @JohnKiza-o5b
    @JohnKiza-o5b 6 месяцев назад +1

    Kuku wangu awatowi mayayi,nifanye je ili watowe mayayi?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Wape lishe boraa na vitamin

  • @SuzanMollel-p6k
    @SuzanMollel-p6k 6 месяцев назад +1

    Kitabu napataje ndugu yangu?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Tutafute WhatsApp 0712188239,

    • @anifamkinga7712
      @anifamkinga7712 5 месяцев назад

      Mbarikiwe sana leo nimeingia kujua namna ya kuchanja kuku hamad nikakutana na hii kitu​@@KingoFarm1

  • @JOACHIMMASOLWA
    @JOACHIMMASOLWA 5 месяцев назад +1

    Kitabu nitakipataje?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 месяцев назад

      Tunakutumia softcopy Kwa njia ya WhatsApp tutafute 0712188239

  • @DoroMwageni-mh8vd
    @DoroMwageni-mh8vd 6 месяцев назад +1

    Unawapa kuku wa umri na aina zote dada?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Ndio hiyo haina madhara

  • @AnamiMoussa
    @AnamiMoussa 4 месяца назад

    Sasa tunatwanga majani mangapi ya papaye ?natunatumiya maji ya kiyasi gani?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 месяца назад

      Majani Sita kwenye maji Lita kumi

  • @swadiknassirmwanasi
    @swadiknassirmwanasi 5 месяцев назад

    Kuku wangu na mabata wamechelewa sana kutaga mayai hadi nahisi wananifilisi wakiniangalia

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 месяцев назад

      Tumia Kanuni yetu ya Kuchanganya chakula, tutafute WhatsApp 0712188239

  • @ConsolathaAloyce-c6v
    @ConsolathaAloyce-c6v 5 месяцев назад +1

    Juice ya mpapai Ni kuku wanao tanga tu ndio wanapaswa kupewa au

  • @ayubumaulidi8675
    @ayubumaulidi8675 4 месяца назад +1

    Nakuna mipapai inatoa mauwa je Yale mauwa hayna madhara

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 месяца назад

      Hayana madhara yoyote

  • @lilianmwasi4050
    @lilianmwasi4050 5 месяцев назад +1

    Upo sehemu gani nahitaji mayai ya kutotolesha

  • @tabeamwakalinga9231
    @tabeamwakalinga9231 3 месяца назад +1

    Niunge kundi la whatsup

  • @NeemaGwaya
    @NeemaGwaya 6 месяцев назад +1

    Ongera

  • @JumaMagambilwa
    @JumaMagambilwa 6 месяцев назад

    Tunakuelewa

  • @rosengonyani5008
    @rosengonyani5008 6 месяцев назад +1

    Je unachanganya pamoja

  • @mwanakondoabdallah4022
    @mwanakondoabdallah4022 6 месяцев назад +1

    Je niwapa bila ya kuyatengeneza juic nikiwapamahani mazima

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Ni vizur ukatengeneza juice japo unaweza kuwapa hivihivi

  • @lilianmwasi4050
    @lilianmwasi4050 5 месяцев назад +1

    Au unauza vifaranga

  • @rodgersmwakipesile6306
    @rodgersmwakipesile6306 6 месяцев назад +1

    Unawapatia Kwa muda Gani na nikiwango Gani chakuwap?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Siku tatu Kwa wiki

  • @mariakapere
    @mariakapere 6 месяцев назад +1

    Wakila kama majani je,lazma wapate juise yake

  • @RajabuMilaji
    @RajabuMilaji 5 месяцев назад +1

    Niunge Whatsapp alafu uwo unga wa mbegu za papai unachanganya kwenye hii jus ya majani ya mpapai

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 месяцев назад

      Tutafute 0712188239

  • @FatumaMukagara
    @FatumaMukagara 4 месяца назад +1

    Poda yambegu ya papai ni IPi???

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 месяца назад

      Unasaga mbegu za papai lililokomaa au kuiva

  • @DavidLEON-nt8qu
    @DavidLEON-nt8qu 5 месяцев назад

    Mimi kku wangu wanavimba macho nitumie nini?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 месяцев назад

      Hayo ni mafua makali

  • @SalamaPeter-s5f
    @SalamaPeter-s5f 5 месяцев назад

    Nahitaji kitabu takipata wapi? Nipo zanz

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 месяцев назад

      Tutafute WhatsApp 0712188239

  • @leankubali2064
    @leankubali2064 5 месяцев назад

    Maji yakae muda gani ndio umwagee hayo maji

  • @leankubali2064
    @leankubali2064 5 месяцев назад

    Majani ya mpapai dume au mpapai wowote muhimu majani

  • @happymgali8487
    @happymgali8487 5 месяцев назад

    Kwahy hayo majan ni dawa ya mafua pia au

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 месяцев назад

      Ndio ni inatibu mafua pia

  • @MorrisonOscar-u6l
    @MorrisonOscar-u6l 4 месяца назад +1

    Young Kevin Wilson Anna Taylor Brenda

  • @PaulNkini-hi2ff
    @PaulNkini-hi2ff 6 месяцев назад

    Nikiwapa kama dozi ni kwa siku ngapi

  • @HadijaMohamedi-v7v
    @HadijaMohamedi-v7v 5 месяцев назад

    Je mbengu za papai ni za papai lililoiva au mbichi

  • @sefoo8084
    @sefoo8084 6 месяцев назад

    Unaweka vyote kwa pamoja au kimoja wapo. Majani pamoja na mbegu

  • @JacksonMtese-gn4so
    @JacksonMtese-gn4so 6 месяцев назад +1

    Kiswahili fasaha

  • @IlluminataEmmanuel
    @IlluminataEmmanuel 5 месяцев назад

    Mbegu nafayajr

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 месяцев назад

      Unazitwanga au unasaga

  • @MagretChacha
    @MagretChacha 5 месяцев назад +1

    yanaandaliwaje? Na huo poda

  • @MusaShekimweri
    @MusaShekimweri 6 месяцев назад

    Tuwa

  • @RehemaMkini
    @RehemaMkini 4 месяца назад +1

    Kitabu cha ufugaji nakipataje mimi nipo mbeya chunya

  • @alfredymdachi5700
    @alfredymdachi5700 6 месяцев назад +2

    Kuku wangu wanadonoana. Nitumie nini kuzuia tatizo hili? MAANA wanashambulia hadi vifaranga

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад +1

      Tutafute WhatsApp 0712188239

    • @alfredymdachi5700
      @alfredymdachi5700 6 месяцев назад

      @@KingoFarm1 sawa

    • @celestinermantenga2463
      @celestinermantenga2463 6 месяцев назад +1

      Kuku wako wana upungfu wa calcium, lakini wengine ni tabia yao. Wakati unasubiri dawa KATA midomo.

    • @wonderpersonhb3551
      @wonderpersonhb3551 6 месяцев назад

      ​@@alfredymdachi5700PGA pumba za dagaa na chokaa

  • @MWENDWAMAGAWA-kz8fy
    @MWENDWAMAGAWA-kz8fy 6 месяцев назад

    Nahitaji kitabu

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Tutafute WhatsApp 0712188239

  • @OmaryMungi-lj6mr
    @OmaryMungi-lj6mr 6 месяцев назад +1

    Hiyo poda ninaipataje

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Unaanika mbegu zikikauka unazitwanga

  • @VeronicaMajebele-du6en
    @VeronicaMajebele-du6en 6 месяцев назад

    Habari kitabu bei gani

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 месяцев назад

      Shilingi elfu kumi

  • @zainabumshana9682
    @zainabumshana9682 6 месяцев назад

    Je ni kuku tu au hata bata

  • @wambimbwelo5141
    @wambimbwelo5141 21 день назад

    Mnapatikana wapi?