Napenda sana nikiona watanzania wazawa wanafanikiwa kufanya uwekezaji mkubwa namna hii, tumechoka kuona wahindi, waarabu, wachina, wazungu utafikiri wazawa hawawezi, Tanzania itakua na uchumi mkubwa jumuishi kama watanzania wazawa watamiliki uchumi wao, wageni wanachuma tu na kuondoka nazo kwao lakini mzawa pesa inabaki hapa hapa, ataoa mzawa, utajiri utasambaa kwa wazawa zaidi
@@CrissManda mwenye kiwanda anaitwa Hillary Shoo tunatoka nae kijiji kimoja Machame na ukoo wao wote wana viwanda kuanzia Kanda ya Ziwa mpaka kaskazini, ni moja ya family tajiri sana Tanzania ila hawajioneshi
Soko la Tanzania Bado ni kubwa sana huna haja ya kutafuta soko la nje wakati Bado tuna uhitaji mkubwa wa soko la ndani... Ukweli kipindi hiki kinatuobyesha fursa hii bora
Pia nitoe ushauri kwa uzoefu wangu kuna kasoro za hygean na quality procedure ambazo wanatakiwa waboreshe .Mfano ndoo za kuhifadhia chango zinatakiwa kuwa za alminium sio pira kama izo,pia wanao hangi kuku wanatakiwa wavae shield ,bear cover, wafanyakazi wanaochakata wanatakiwa wavae nguo za mikono mirefu na mikononi wawe slim plastic hata hivo pia kofia ngumu kwa usalama haswa watu wanafanya kazi production na landering.Huu uoni wangu .
Mimi ni mpenzi mtazamaji na mfuatiliaji wa vipindi vyenu.shida moja huwa mnasahau kuruhusu option ya "DOWNLOAD" ili tuweze kuangalia baadaye maana Kuna vitu vingi vy kujifunza kwenye vipindi vyenu
Kazi nzuri, hongereni Sana.
Nice work
Nimependa sanaaaa
Safi sana👍🏿
KWA kweli mmenigusa kwenye kazi yangu
You are doing EXCELLENT
🎉
Napenda sana nikiona watanzania wazawa wanafanikiwa kufanya uwekezaji mkubwa namna hii, tumechoka kuona wahindi, waarabu, wachina, wazungu utafikiri wazawa hawawezi, Tanzania itakua na uchumi mkubwa jumuishi kama watanzania wazawa watamiliki uchumi wao, wageni wanachuma tu na kuondoka nazo kwao lakini mzawa pesa inabaki hapa hapa, ataoa mzawa, utajiri utasambaa kwa wazawa zaidi
Nakuunga mkono kabisa. Inafurahisha sana kuwaona wazawa wakiwekeza ila naomba tu watulinde na maGMO. Wabarikiwe.
Una uhakika😂 gani ni manzanita? Ikiwa huyu manager mchinjaji ni mkenya basi nina wasiwasi ni mkenya pia kama muwekezaji
@@CrissManda mwenye kiwanda anaitwa Hillary Shoo tunatoka nae kijiji kimoja Machame na ukoo wao wote wana viwanda kuanzia Kanda ya Ziwa mpaka kaskazini, ni moja ya family tajiri sana Tanzania ila hawajioneshi
Soko la Tanzania Bado ni kubwa sana huna haja ya kutafuta soko la nje wakati Bado tuna uhitaji mkubwa wa soko la ndani... Ukweli kipindi hiki kinatuobyesha fursa hii bora
Kazi nzuri mno. Hongereni sana.
Hongereni bank nz mwekezaji. Nasi tutakuja kopa bank.
Utukufu hadi utukufu.Hongereni sana
Hongera sana, unapambana sana kaka
Kazi nzuri
Next to me
🎉🎉
Safi sana lakini uwe na mkono mrefu kukopa? Bank kukopa haaaaaaa kuku hufa mara Kwa mara haya Mungu awabariki
Pia nitoe ushauri kwa uzoefu wangu kuna kasoro za hygean na quality procedure ambazo wanatakiwa waboreshe .Mfano ndoo za kuhifadhia chango zinatakiwa kuwa za alminium sio pira kama izo,pia wanao hangi kuku wanatakiwa wavae shield ,bear cover, wafanyakazi wanaochakata wanatakiwa wavae nguo za mikono mirefu na mikononi wawe slim plastic hata hivo pia kofia ngumu kwa usalama haswa watu wanafanya kazi production na landering.Huu uoni wangu .
Yote yanafanyika mkuu.
Mimi ni mpenzi mtazamaji na mfuatiliaji wa vipindi vyenu.shida moja huwa mnasahau kuruhusu option ya "DOWNLOAD" ili tuweze kuangalia baadaye maana Kuna vitu vingi vy kujifunza kwenye vipindi vyenu
Pia nitoe usg
Ila huyu manager mchinjaji ni mkenya,
mpaka sauti
Vip usafi wa mavi ya kuku unafanywa aje
Swal muhimu sana
Kuna mashine kasema inatoa Kila baada ya masaa mawili
Automatically
Nilijua tu Tbc umalize video bila magumashi ya kuload…😢
Mkenya huyuu
Perfect🫡
Production Manager ni Mkenya
Ndugu yetu najua wame mpa kazi kulingana na vigezo halivyo navyo hata kenya kuna watanzania hili mradi mwenye kampuni ni mtanzania