Barikiwa sana, karibu Charity Farm, kama bado huja subscribe bonyeza alama ya kusubscribe kisha alama ya kengele ya kwanza, utakuwa umejiunga nasi, Fuga kibiashara
Habari? Kwa kweli nimevutiwa sana na maelezo yako. Ningependa kujua gharama na kutengeneza keji ya kuku 300 kuku wa nyama kuanzia vifaranga. Ninaomba bei
Mie nina ufahamu wa kiufundi, nahitaji nijenge mwenyewe, je ninaweza kupata kijitabu chenye muongozo wa kujenga banda chenye picha, michoro, vipimo, aina na idadi ya vifaa vya ujenzi?
Garama zinategemea na mahari ulipo na Bei ya vifaa, pia ukubwa WA Banda , ilikuweza kupata garama kamili tutumie Whatsapp ukubwa WA Banda lako 0654737373
Asante niko Burundi nidapataje huduma yenu.
Wasiliana nasi Whatsap +255 654 737 373 AU +255 624 015 376, tutakufikia
@@charityfarm1226 Bei ya banda plz
Tupigie kwa namba hii: 0654737373
Bei ya kitabu
tupigie
Amen Amen namie Atoka kuvuka Mungu akubariki asati ❤
Hongereni sana kwa kazi nzuri, swali,kuku wanaingizwa hapo wakiwa na umri gani
Miezi mitatu
kazi nzuri boss january nakuungisha inshallah..vizuri pia kwa kujibu kwa wakati..all the best
Karibu sanaa boss
Inshaallah nitakutafuta
Sawa, karibu sana.
Ahsante
Hongera sana kwa kazi nzuri na mafunzo bora ya ufugaji wa kuku niko kenya nitafanyaje ili niweze kujifunza zaidi kaka?
wasiliana nasi ndg
tukukaribie
Kazi yenu njema sana
Shukrani sana, kalibu kutuhudumie
Umetumia shinga kutengeneza banda
Ungependelea ujenge Banda la kuku wa ngapi
Kazi nzuri sana Charity farm. Nimejifunza mengi. Kenya nitapata huduma zenu?
Ndyo, piga simu namba: +255654737373 / +255624015376
Nitawatafuta
Hongera sana naomba Tuwasiliane nijuwe gharama
+255 654 737 373
excellent work,🙏 haven't seen this in Kenya 🫢
Thanks for your support, we provide our service in all east Africa country
Nimependa sana somo hili,nipo sumbawanga je naweza kupata hizo cage
0624015376
Charity kuku farm mpo sawa kiubunifu mimi ni up coming ninafuga kuku na ninajitahidi kubuni cage ila elimu zaidi toka charity kuku farm asanteni sana
Barikiwa sana, karibu Charity Farm, kama bado huja subscribe bonyeza alama ya kusubscribe kisha alama ya kengele ya kwanza, utakuwa umejiunga nasi, Fuga kibiashara
Tuma namba yako hapa tutawasiliana
@@charityfarm1226 Hilo Banda bei gani kaka?
0624015376
Hongereni Sana , "Fuga kisasa na Charity Kuku Farm"
Karibu sana, usisahau kusubscribe na kubonyeza alama ya kengele ili upate kila video mpya mara baada ya kuwekwa
Mmnahitaj kuja bands Kama hili ghalama sh ngapi
Karibu wasiliana nasi kwa namba hii hapa: 0654737373.
Je muna offisi Kenya
Ndiyo: +255624015376
❤❤❤❤
Hello mnaweza kunijengea la 5×10 meters mombasa kenya?
Ndio tunaweza kukujengea, wasiliana nasi kwaajili ya garama na invoice 0654737373
Unatumia gharama ya shi ngap broo
Makadilio ya bei yanategemea na idadi ya kuku, aina ya cage (chuma au ya mbao) wasiliana nasi tuweze kukupa makadirio
Asante sana,zanzibar tutapataje huduma zenu??
Tupigie: 0654737373
Nice jib done
Can you give me measurements of 600 birds na estimation cost of the structure
Yes, text or call us via Whatsup: +255654737373
Naomba no
Wasiliana nasi Whatsap +255 624 015 376
Kwa io ni aina ya mabanda ya kuku wa mayai au kienyeji
Zote tunazijenga
Habari? Kwa kweli nimevutiwa sana na maelezo yako. Ningependa kujua gharama na kutengeneza keji ya kuku 300 kuku wa nyama kuanzia vifaranga. Ninaomba bei
0624015376
Nimewapata
Naomba no zenujamani
Kwa mawasiliano zaidi
0654737373
Kalibu Charity Farm
niko chala taveta kenya mnaweza kuja
Ndyo, piga hii namba au tuma ujumbe whatsap unaosema "banda" :+255624015376
Naomba makisio ya banda la kuku 1000
pigie 0754015010
Vifaranga shs ngapi Niko Tabora
Hi charity farm nimependa Sana nataka kuanza hiyo biashara nikiwa tayari nitawatafuta nataka design ya hiyo banda ya kisasa kazi mzuri sana
Asante sana karibu
Local cage ina tofaut gan na zile cage nyngne zinakuw chuma tupu? Kwny gharama, nafasi ya banda inayochkua na idadi ya kuku inayobeba?
Tuwasiliane kwanza tuyajenge; 0654737373
Samahani banda kama hili linachukua kiasi gan cha pesa ili nijipange
wasiliana na sisi kwanza tujue unataka kuanza na kufuga kuku wangapi tukupe na ushauri
+255 654 737 373
Untumia ngarama ya shilingapi
Inategemea na idadi ya kuku unaotaka kufuga
Sh ngapi ujenz wote
Wasiliana nasi 0654737373 tutakupa mchanganuo wa garama
AKSANTI SANA
Kalibuu sana
Nice job... Can you give the measurements of about 600 birds
Yes, please call this number for more info: +25565737373
@@charityfarm1226 why numbers are not in whatsapps?
@@yumbukadege5922 They are in WhatsApp Mr
@@yumbukadege5922 +255654737373
Je kwa kuku wa kroila wanaweza kupanda na humo
Ndiyoooo
Wanapandana vp mbona naona seemu ndogo
Hamna tatizo hapo
Na kenya jee mtakuja
Ndiyoo: +255654737373.
Banda kama hilo linacost bei gan, i mean banda lishajengwa bado kutengeneza hizo za ndani tu
Tupigie simu; 0654737373
Hii inafaa kwa kuku chotara?
wasiliana na sisi tukupe ushauri 0654737373
Ok
Nyakato Mwanza mpo sehemu gani niwaone
Tunakufikia Tanzania, wasiliana nasi 0654737373
Naomba kujua bei zenu kwa kujenga banda kuanzia kuku 200
Unaweza kutupigia kupitia 0654737373 tukakupa Grama nafuu zaidi
Safi sana
Karibu sana
Nimefarijika na kazi zenu, je mabanda ya kuku wenye umri wa kati ya siku moja hadi majuma kumi yakoje?
Tupigie: 0654737373
kwa ujenzi wa banda la kuku 200 kwa kuku wa mayai jee ni kiasi gani
Tupigie: 0654737373.
Mie nina ufahamu wa kiufundi, nahitaji nijenge mwenyewe, je ninaweza kupata kijitabu chenye muongozo wa kujenga banda chenye picha, michoro, vipimo, aina na idadi ya vifaa vya ujenzi?
Ndiyo, tupigie simu namba: 0654737373.
Naomba unitumie Hilo Banda nilione wakati limekwisha sijaona hapo mayai yanapoangukia nami nifanye maamuzi
Sawa, SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele, utapata mara baada ya kuwekwa
Niko kenya,naomba number
+255624015376
Ni Tsh. ngapi kwa idadi hiyo ya kuku?
Tupigie: 0654737373
Cages shs ngapi
Do you do your services in Kenya juu nimependa hizo cages sana
Ndiyo, tuwasiliane: +255654737373
Tajeni Bei basi
Unahitaji Banda la ukubwa gani
Wasiliana nasi 0654 737373
Tujadili na kupeana ushauri
Somo
Kuku wa kienyeji mbegu kubwa mnao
Wasiliana nasi: 0654737373
Jambo Niko Zambia naeza apata aje??
Kalibu charity farm, tunatoa huduma zote kwa ncho karibu na Tanzania unaweza kuwasiliana nazi kupitia +255 654737373
Garama yake ni ngapi- kenya
Inategemeana na garama ya vifaa huko kenya
Wasiliana nasi tukutumie vifaa vipi vitahitajika
Hiv kweny square meter Moja wanaweza kaa kuku wangap
Karibu wasiliana nasi utajibiwa kupitia namba hii: 0654737373
Banda kama hilo na kila kitu samani yake inafika kiasigani nipo Zanzibar
Garama zinategemea na mahari ulipo na Bei ya vifaa, pia ukubwa WA Banda , ilikuweza kupata garama kamili tutumie Whatsapp ukubwa WA Banda lako 0654737373
Unaweza kuweka wa nyama
Ndiyoo, nipigie simu namba: 0654737373.
Mimi nipo zanzibar nahitaji hiyo cage wasting bei gani
Tupigie simu: 0654737373
Naitaji vitabu
Kalibu sana wasiliana nasi 0654737373
Kuhusu Banda la kuku Niko Kenya taveta mtu atawapataje
Wasiliana nasi +255654737373 tunatoa huduma zetu ndani na nje ya tanzania
Ninahitaji kufuga kuku naomba ushauri wenu naanzaje nipo Arusha
Tupigie: 0654737373.
Kaz mzuli Mfano eneo langu dogo mita 2 ulefu mita4 naweza kujenga banda labiashara na galama ya ujenzi ipoje
Pg simu: 0654737373
Banda kama hilo ghalama yake ni shilingi ngapi
Piga simu; 0654737373.
Nahitaji somo zote 3 tafazali
Ingia RUclips andika charity farm utaziona
@@charityfarm1226 ok asante sana
Sawasawa
Banda Kama Hilo he mnafanya kwa Bei gan
wasiliana nasi
Nimeipenda sana japo naona kama nimechelewa kupata maarifa haya Hongereni sana wataalamu wetu.Nitawatafuta
Untumia ngarama ya shilingapi
Safi sana
Garama yake ni ngapi- kenya