Bajeti ya kuku wa mayai 300 | Gharama ya kuanzia wiki 1- 24

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 14

  • @franklinisaya4796
    @franklinisaya4796 5 месяцев назад +1

    Mmetisha sana

  • @JohnKaaya-k3r
    @JohnKaaya-k3r 2 месяца назад +1

    Naomba Elimu ya kufuga leyers

  • @dannysommy4118
    @dannysommy4118 Год назад +1

    Asante sana kwa elimu hii
    Je soko la mayai dodoma linaruhusu kupokea wafugaji wapya?yaan je halipo saturated?

    • @LayersPro
      @LayersPro  Год назад +1

      Mayai mengi yanaingia hapa kutoka Dar,Iringa sometimes Mbeya.... wafugaji tuliopo hatuwezi kulilisha soko lilipo sasa ni wewe kujua namna ya kuteka soko lako

    • @dannysommy4118
      @dannysommy4118 Год назад

      @@LayersPro asante naingia soon ntakuona dukani kwako

    • @boyjaggz9578
      @boyjaggz9578 6 месяцев назад

      Very helpful... ina details nyingi japo sijaona cages kununua

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Год назад +1

    Lazima ujifunze kutengeneza chakula cha kuku naona pesa nyingi kwenye chakula

  • @JusterTesha
    @JusterTesha 9 месяцев назад

    Swali langu ni kwamba. Wanakula starter kwa mda gani? Wa mayai/ chotara

    • @LayersPro
      @LayersPro  9 месяцев назад

      Kuku wa mayai wanakula starter wiki 1-8

  • @mosespatrick5863
    @mosespatrick5863 Месяц назад

    Nilikuwa naomba gharama ya kuku 50 wa mayai

    • @LayersPro
      @LayersPro  Месяц назад

      Walau Anzia kuku 100

    • @LayersPro
      @LayersPro  Месяц назад

      Anzia kuku 100, angalia hii video👇
      ruclips.net/video/HQvfJlOjnr8/видео.html

  • @barakamutabazi2824
    @barakamutabazi2824 4 месяца назад

    Kazi nzuri,
    Mimi pia ni mfugaji wa kuku wa mayai naomba mtizamr video zetu.
    m.ruclips.net/video/kOH7-qS4kxU/видео.html