Bajeti ya kuku wa mayai 1000
HTML-код
- Опубликовано: 11 фев 2025
- Katika video hii utajifunza Gharama ya kufuga kuku wa mayai 1000 kuanzia siku 1 mpaka wiki ya 23
Ukihitaji vifaranga wa mayai agiza katika namba hii 065963232
Aina ya vifaranga: BOVANS BROWN
Bei :2500
Oda kwasasa imefika tarehe 07/09/2022
Gharama ambazo nimeziainisha katika video hii hazihusishi GHARAMA YA KUJENGA BANDA NA VYOMBO
Kujifunza kuhusu mpangilio Wa Vyombo Bandani bofya hii video • Mpangilio Wa Vyombo Ba...