Zingatia haya ili upate uzalishaji mzuri wa mayai

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 15

  • @mohamedomary5786
    @mohamedomary5786 Год назад

    Nashukuru sana mtaalam nimejifunza kitu hapo maana wa kwangu bado vijana wana week 42, kulikuwa na shida kwenye uleaji lakini pia aina ya kuku pamoja na chakula. Naona hapo nimefeli kwenye aina ya kuku pia kwenye kuwakuza pia so wacha nijaribu kwenye chakula ili nione walau kama nitafika 90%. Shukran sana kaka kwa kutuelimisha, big up

  • @jumajuma8263
    @jumajuma8263 Год назад

    Shukran sana

    • @LayersPro
      @LayersPro  Год назад

      Endelea kujifunza zaidi kuna video zaidi zenye mafunzo kwa kina

  • @emondonikola7303
    @emondonikola7303 Год назад

    Nitatumiya njia Gani ila nipate vifaranga aina layers vinifikie burundi

    • @LayersPro
      @LayersPro  Год назад +1

      Hello 👋, njia pekee ni kutumia ndege
      Jana nilifuatilia kuhusu kusafirisha vifaranga kwa njia ya ndege
      Gharama zake ni kubwa hasa kama unachukua vifaranga wachache
      Gharama zake ni hizi
      1.Handling fee ni 97,000 [Haijalishi Una box ngapi hata kama ni Moja]
      2.Agent fee ni 40,000 [Haijalishi Una box ngapi hata kama ni Moja]
      3.Freight fee hii inalipwa kulingana na uzito wa mzigo na nafasi unayochukua
      Hawajasema ni bei gani, Wanasema Lete vifaranga tupime maboks Yana uzito gani
      Kigoma, Kagera kuna changamoto ya kufikisha vifaranga
      Basi ni safari ndefu
      🏌🏽‍♂️

  • @GloriousGospelChoir
    @GloriousGospelChoir Год назад

    naomba imo chat

    • @LayersPro
      @LayersPro  Год назад

      Nitumie meseji WhatsApp kwenye namba hii 0659632332

  • @emondonikola7303
    @emondonikola7303 Год назад

    Mimi niko murundi ninawezaje kupata vifanganga vya layers kutoka kampuni yako

    • @LayersPro
      @LayersPro  Год назад

      Hello 👋, njia pekee ni kutumia ndege
      Jana nilifuatilia kuhusu kusafirisha vifaranga kwa njia ya ndege
      Gharama zake ni kubwa hasa kama unachukua vifaranga wachache
      Gharama zake ni hizi
      1.Handling fee ni 97,000 [Haijalishi Una box ngapi hata kama ni Moja]
      2.Agent fee ni 40,000 [Haijalishi Una box ngapi hata kama ni Moja]
      3.Freight fee hii inalipwa kulingana na uzito wa mzigo na nafasi unayochukua
      Hawajasema ni bei gani, Wanasema Lete vifaranga tupime maboks Yana uzito gani
      Kigoma, Kagera kuna changamoto ya kufikisha vifaranga
      Basi ni safari ndefu
      🏌🏽‍♂️

    • @emondonikola7303
      @emondonikola7303 Год назад

      Nashukulu sana... Naona nikutumia njia ya ndege tu. Sasa iyo ni 97 000 shilingi au dollar

    • @emondonikola7303
      @emondonikola7303 Год назад

      Sasa kwahilo vifalanga munauzisha ngapi? Naomba Tena kama inawezekana number munatumia

    • @LayersPro
      @LayersPro  Год назад

      @@emondonikola7303 Ni hela ya Tanzania sasa kutoa vifaranga hapa kupeleka Burundi kuna mchakato mrefu

  • @achilemtela3846
    @achilemtela3846 Год назад

    Ni lazma kuwakata kuku wanaotaga midomo,

    • @LayersPro
      @LayersPro  Год назад +1

      Ni lazima na muhimu kuwakata midomo