HUYU HAPA MWANAFUNZI BORA ALIYEONGOZA UDOM/SIYAJUI MAPENZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 93

  • @LilianMartin-z1c
    @LilianMartin-z1c Месяц назад

    Hongera sana dada angu... nataman sana na mm niwe kama ww.✍️❤

  • @estherluvanda1192
    @estherluvanda1192 Год назад +5

    Hongera mtoto mzuri Mungu akubariki na kukulinda

  • @edwinjhilbajojo2429
    @edwinjhilbajojo2429 Год назад +5

    Hongera sana,,,you made it mdogo wangu.

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 3 месяца назад

    Acha dharau Kiswahili sio rahisi kuliko mnavyodhani. Huo ni mtazamo finyu sana

  • @leonardchoma3765
    @leonardchoma3765 Год назад +23

    Hizi degree za GPA nzuri tunaomba zituletee mabadiliko ya kweli kwenye nchi zetu za kiafrika.Tumechoka kuwa na wasomi wengi ambao hatuoni faida yao moja kwa moja. Tumechoka kuona wasomi wetu hawaitumii Elimu hiyo ya makaratasi kubuni vitu mbalimbali vya kutusaidia kama Waafrika.Kila kitu kinatoka nje,sisi tunabaki na Sifa za GPA na mbwembwe nyingi za Elimu tuliyoachiwa na Watesi wetu(Wakoloni).Tumekuwa ni watu wa kuwapongeza wanafunzi walioweza kukariri vizuri waliyofundishwa kuliko wanaofanya vizuri kwenye vitendo.Waafrika tubadilike.

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 Год назад +1

      Kwa habari ya madiliko sahau.wasomi wetu mambumbumbu tu

    • @batistamhengilolo4370
      @batistamhengilolo4370 Год назад

      GPA ya Ngapi hiyo?

    • @AbdillahBakar-qx9sr
      @AbdillahBakar-qx9sr Год назад

      @@batistamhengilolo4370 37

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Год назад +1

      Kwa mfumo wa elimu zetu mwenye maksi au alama kubwa si Kua anauwezo mkubwa wa akili ila anauwezo mkubwa wa kukariri na ilo litatutesa sana hutoona mabadiliko .

    • @lukumanisharifu
      @lukumanisharifu Год назад

      Uko sahihi

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 Год назад +5

    Nawaonea huruma watoto wetu! Na imagini umati huu wa wahitimu, UDOM TU, acha umati wa wahitimu wa vyuo vyote Tz, halafu wanamwagwa mtaani, Duh. Wataanza kuzurura, no Job, hawawezi kujiajiri, balaa!!!

  • @Lydear-l7v
    @Lydear-l7v Год назад

    wow nev nzowa bint toka lyoto class mate wangu hongera mwaya

  • @daffagunda-rm3hj
    @daffagunda-rm3hj Год назад +3

    Uadilifu na hofu ya.mungu na kutoiga mambo ya kijinga ya vyuo,kuoana kupikiana na hatimaye kupeana.mimba zisizotarajiwa rushwa za ngono nk.Mungu akutunze Sanaa.

  • @ObediMeyan
    @ObediMeyan 6 месяцев назад

    Hongera sana dada angu

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel Год назад +3

    Hongera sana Dada yangu 🎉🎉🎉🎉

  • @dr.lincolng7835
    @dr.lincolng7835 Год назад +6

    Badilika GPA ya 5.0 into 5Milion daaaaah kivumbi

  • @happyswai6688
    @happyswai6688 Год назад +1

    Hongera sana dear 🎉❤

  • @hamis25
    @hamis25 2 месяца назад

    Naomba niwe kama weee

  • @sumamwakaje7378
    @sumamwakaje7378 Год назад +1

    Hee nyie Mungu mkubwa hongera nev shogaangu

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge Год назад

    Idadi yote hiyo😂😂,kweli vijana tujiajiri tu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Год назад

    Hongera sana

  • @benedictwilfredulomi7033
    @benedictwilfredulomi7033 Год назад +1

    Zidi kumtanguliza Mungu kwa kila hatua utafanikiwa zaidi:Wafilipi:4:13

  • @daudibukwimba4226
    @daudibukwimba4226 Год назад +2

    Anajua excel, database

  • @NakivonaSalim-o6w
    @NakivonaSalim-o6w Год назад +1

    KISWAHILI wallah sio chepesi

  • @SylasJacobo
    @SylasJacobo Год назад +6

    Hao wanaume hawaoni aibuu af wanasherekea kwa kucheka nakucheza wakati wamepitwa na kamdada sinamaana mbaya dada yangu hongera inaonesha wanaume walikalia kukutongoza hawakujua Kama ww uko kikazi zaid

    • @JosephatBudugu
      @JosephatBudugu Год назад

      Akil haion ivo rafk

    • @frankhaule8570
      @frankhaule8570 Год назад

      😂

    • @ngwacahnyagwaswa9979
      @ngwacahnyagwaswa9979 Год назад

      😂😂

    • @Ommyjr-en9fc
      @Ommyjr-en9fc Год назад

      Ww Ni mkubw lkn unapoanza kukoment kwa kuwalinganisha et mdada kawazid wanaume, hio sio , Kwan mdada au mwanamke sio binadam mwenyew utimamu tuache kulinganisha kikubw mpe hongera bas ,binadamu wote Ni sawa na wanastahili haki za binadamu( kifungu Cha ibara ya Katiba ya Tanzania) Mungu amekataz kulinganisha ,Kwan ukilinganisha utakufur

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 Год назад

    Hivi siku hizi kuna Best student!Halafu hizi GPA hizi!

  • @AbrahamBlass
    @AbrahamBlass Год назад

    Hayajuwi mapenz ahahah malecture hawajajisevia kweli

  • @sundaynurdin2864
    @sundaynurdin2864 Год назад +10

    Apunguze maongezi mengi na vyombo vya habari Kuna wanaomuangalia Kwa husda

    • @AbdillahBakar-qx9sr
      @AbdillahBakar-qx9sr Год назад

      😩😩

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 Год назад +2

      Husda ya nn tena mkuu😂😂,hakuna mtu ana shida na Gpa ya mtu kikubw kinachotakiw ni kutoboa maisha ubunifu wa maisha ila cyo maGpa ya kukariri hayo😂

    • @joycemhana2018
      @joycemhana2018 Год назад

      Wivu😂😂😂😂😂😂😂

  • @ramadhanmazije3882
    @ramadhanmazije3882 Год назад

    Tukutane mtaan sasa tuone applicability yake

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 Год назад

    Atafutwe baada ya miaka 5,tuone elimu yake ya GPA nzuri imemfikisha wapi.siamini sana kwenye GP.wako wenye GPA za kawaida wamekuwa watu kwenye jamiii na nchi kwa ujumla

    • @DoriyceYohana
      @DoriyceYohana 2 месяца назад

      Ashaajiliwa acha wivuuu ndugu

  • @eddyrich.3312
    @eddyrich.3312 Год назад

    Mwanafunzi bora, karibu mtaani kwetu kwenye kulisaka tonge mitaani maana ajira mtihani mwingine

    • @saidikobossa7489
      @saidikobossa7489 Год назад +1

      Huyu hana shida ya ajira, huwa wanabaki kufundisha vyuoni au wanapata offers nyingi za ajira ama scholarship. Hatahangaika

  • @gamalielialoni5538
    @gamalielialoni5538 Год назад

    Hy Gba yake kwa sua ni 2.2

    • @shinoyane2343
      @shinoyane2343 Год назад

      Hiy 2.2 kwa mzumbe ni 1.0

    • @salvationisindividualbased8036
      @salvationisindividualbased8036 2 месяца назад

      Uongo,,, munajipa kichwa tu ,,,, sikupingi asilimia zote ninachokubali Sua ni kwamba kuna utaramu halisi wa kitafiti ,,, ila siyo kwa kozi za ualimu na rasimilali watu. ,,, Chuo ca Sua ni Kilimo na ufugaji tu,,, zingune ni siasa tu

    • @salvationisindividualbased8036
      @salvationisindividualbased8036 2 месяца назад

      Na haimaanishi kwamba mkipata 2.2 ndo mnaakili ni uongo tu ,,,

  • @twahaissack7887
    @twahaissack7887 Год назад +3

    Ongeraa usijificheee elimuu haijifichiii

  • @daudibukwimba4226
    @daudibukwimba4226 Год назад

    Duh!

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Год назад +2

    Kwa uchunguzi wangu kila mwanafunzi anaefanya vizuri darasani na hata kitaifa ,ni wale ambao hawajui MAPENZI ni nini

  • @petermathias1849
    @petermathias1849 Год назад +2

    Huyu presenter ni kama nimesoma nae UDOM hapo hapo aisee

    • @manenovanga3503
      @manenovanga3503 Год назад

      Yeah tulisomaga nae

    • @MohammedJaxksonlee
      @MohammedJaxksonlee Год назад

      Hata Mimi nimeaoma nae

    • @petermathias1849
      @petermathias1849 Год назад

      jamaa alikuwa msumbufu sana pale cafteria mida ya game alikuwa anatu diss sana mashabiki wa man u@@manenovanga3503

  • @ALAMA_TV_ONLINE
    @ALAMA_TV_ONLINE Год назад

    Haki siyo ile hesabu nayoijua mimi. 😅

  • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
    @AlphaxardMRusweka-jr1wi Год назад +2

    Hizo GPA ,uwa zinawasaidia nini ? Na nyie waandishi,ni watu wa ajabu,badala ya kwenda kuoji watu wanaoingiza hela kwa kazi za mikono yao,nyie mnaendelea kuwapoteza watu na hizo GPA,zitawasaidia nini hizo GPA ? Dunia imebadilika achaneni na hizo,GPA.GPA haimpi mtu chakula,kinachompa mtu chakula,ni kazi inayotokana na kupractise mikono yako,tuache kukalili.mfano fundi ujenzi,anapata hela kirahisu kwa sababu anatumia mikono yake,mvuvi anapata hela kirahisi kwa sababu anatumia mikono yake,mkulima anapata pesa na chakula kwa sababu anatumia mikono yake.Tuache ushamba wa kupromote,vitu ambavyo haviwezi kumpa mtu pesa kirahisi.Nyie waandishi kawaoji wavuvi,mafundi , hawa ndo wanastahili pongezi

    • @MansaMusa255
      @MansaMusa255 Год назад +2

      Ukisikia umaskini wa akili ndio huu, kwa akili yako unadhan kitu cha msingi ni hela tu!

    • @mpegesaaswile6581
      @mpegesaaswile6581 Год назад +1

      Kwa akili zako wewe hutakiwi kukoment kitu.Hakuna kitu cha mhimu duniani kama elimu.vipi Ikiumwa wakasema akutibu mtu mwenye hela na daktari mwenye elimu kutakubali utibiwe na nani?

    • @FatmaMwinyi-jt2rr
      @FatmaMwinyi-jt2rr Год назад

      Mbona kama hiki kitu kimekuuma jamn😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 Год назад +1

    Kwanini zile pisi za vyuo hazinaga akili ,,akili wamepewa wengine

  • @teddymbwaga9767
    @teddymbwaga9767 Год назад

    Wivu na chuki siku zote vinatafuta makosa, havitafuti wema.

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 Год назад +1

    Jitihada na kujituma ndo point habari ya Mungu achana nayo

  • @IsaacLameck-nz8yr
    @IsaacLameck-nz8yr Год назад

    Ni bikira ?

  • @daudibukwimba4226
    @daudibukwimba4226 Год назад

    Ni ombi langu Serikali itupime Kwa technical ability.

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Год назад

    Nikawaida kabisa awana mchonzo pili

  • @JosephatBudugu
    @JosephatBudugu Год назад

    😂😂😂😂

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Год назад

    Amepewa zawadi gani

  • @HassanSalum-pg9yu
    @HassanSalum-pg9yu Год назад +1

    huyo ni muongo anafunuliwa usiku na mchana malaya tu

  • @betinalupembe5820
    @betinalupembe5820 Год назад

    😂😂😂😂