MWANDISHI ACHIMBUA KABURI LA SHEKHE PONDA/ADAI PONDA WA ZAMANI NI BORA ZAIDI''NILIBEBWA MKUKUMKUKU''

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 64

  • @mathiasombella7516
    @mathiasombella7516 Месяц назад +23

    Mi ni mkristo ila shekhe ponda mi namkubali sana❤

    • @shabanihussein6134
      @shabanihussein6134 Месяц назад +1

      Ukrisro ndo nin ....mtu akifanya pongeza hakuna haja ya kusema wew ni din gan

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 Месяц назад +1

      Usimkubali mtu kwa sababu ya dini yake......sheikh Ponda ni mtu mwenye akili

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 Месяц назад +2

      PONDA YUKO VIZURI SANA TOFAUTI NA WENGINE AMBAO HUTANGULIZA MBELE MASLAHI YA DINI ZAO. PONDA APEWE HESHIMA YAKE.

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 Месяц назад +10

    Alipigwa risasi walitaka afe ila Mungu akakataa ,zaidi ya miaka 30 ya mapambano mwanaume bado yupo relevant ,wapi mahita wapi Mkapa,wapi sumaye? Character lives on

  • @josephstephen5494
    @josephstephen5494 Месяц назад +24

    Amezeeka mzee wetu, nimuda wa wengine sasa kumpokea kijiti

  • @ShamsiMikdad-bj7me
    @ShamsiMikdad-bj7me Месяц назад +2

    shekhe ponda allah akupe umli mlefu na mwisho mwema

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 Месяц назад +10

    Nimeipenda stori

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 Месяц назад +6

    Mungu mpe umri mrefu shekh wrtu

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 Месяц назад +1

    Umri pia... Waje wakina Ponda wengine sasa

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 Месяц назад +12

    Shehe Ponda kazeekà, anastaili kuwa mshauri,tu.

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai Месяц назад +1

    Kumbe ponda ni mwamba sana

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 Месяц назад +13

    Waandishi wa siku hizi njaa zimehamia kichwani.
    Rushwa .

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 Месяц назад +14

    Huyu mwandishi kweli ameleza kitu mwenyewe yupo

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 Месяц назад

      Mwandishi wa sio mnafiki,amelisema jambo mbele ya Shekhe Ponda na viongozi wengine wa dini

  • @MustaphaNgwaya
    @MustaphaNgwaya Месяц назад +5

    Huyu sheikh ni wa aina ya peke yake ila WaTz ni wanafiki sana hakuungwa mkono na wengi nyinyi mnaotoa rai leo kwake mlimuona na kumuita SIASA KALI leo mnamuona LULU kwa kuwa yale aliyokuwa anayapigania juu ya jamii yake hayakuwa ya upande wenu.Leo tunaona sote.Mungu amlinde sheikh hakika maono yako yametimia

  • @2003hintay
    @2003hintay Месяц назад +8

    Kwanza vagata la mwembechai ponda hakulianzisha yeye, baada ya tukio la mwembechai ponda kalibeba yeye kama kuwasemea walioathirika

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Месяц назад

    Shegh ponda hata apewe wadhifa basi tunaamini kua jamii isiyojoweza itanufaika sana!!!!allah amuweke na kumuhifadhi

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe Месяц назад

    Ww Chezea Serikal ..😂😂😂😂

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 Месяц назад +10

    Shehe ponda anazeeka sasa inataakiwa wapatikane mashehe ponda wengine

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 Месяц назад

      Kutoka wapi?dunia imewava zaidi masheikh wetu,labda Mungu atuonee huruma tu,

  • @thislife-j6z
    @thislife-j6z Месяц назад +1

    Wachungaji na masheikh wote ni Machawa waserikali tu

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 Месяц назад +3

    Shehe ponda ni mtu sana tena na nusu

  • @HamzaomariRwambo-t4x
    @HamzaomariRwambo-t4x Месяц назад +1

    Sema harakaharaka, sema hivi" "shee ponda kaponda tope" rudiarudia mara tano

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g Месяц назад

      Unawaza ujunga tu. Hahahahhhhaha

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 Месяц назад +1

    Waandishi wa habari n muda sasa wa kuwa na miradi mingne ya kujingizia kipata ili kuepuka uchawa na mambo mengne siyo waandishi tu hata hawa wakuu wa wilaya na wafanyakaz wengine wa serikali

  • @HerriThabiti-qd5rr
    @HerriThabiti-qd5rr Месяц назад

    Lio ndio nimemuona shekh kuchekaa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Месяц назад +1

    👍👊✌️.

  • @AthumanyMvula
    @AthumanyMvula 28 дней назад

    Hebu jaribuni kuandika vichwa vya habar vizuri sa achimbua kaburi ndio nn

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 Месяц назад +3

    Mwandishi anayeuliza ujasiri wa Sheikh Ponda wa zamani uko wapi ni mjinga hajui kama yeye ni kijana na anapaswa kupambania haki pia kama jukumu lake

  • @MustaphaNgwaya
    @MustaphaNgwaya Месяц назад +1

    Hivi ndivyo viongozi wa dini wanapaswa kuwa sio kuwa Machawa

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange Месяц назад

    Tatizo ni vyombo vya Habari vyenyewe,hasa Radio,TV,na Magazeti vimeamua kubaki na Serikali na ,CCM naMama tu,Taasisi Huru za Kiraia na Vyama vya Siasa na Taasisi za Dini watoapo matamko au Story mnaziminya na kupuuzia.Hivyo Vyombo vya Habari mmejitenga wenyewe.

  • @peterpetropetro-h7n
    @peterpetropetro-h7n Месяц назад +2

    kadri mtu anavyio enda umri anajawa na uoga..tengeneza vijana wenye nguvu na wenye hoja sio wenye haja

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa Месяц назад

    Ponda kapoa sana

  • @BinSultan-t5g
    @BinSultan-t5g Месяц назад

    Alikua hajaoneshwa pesa

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Месяц назад

    Shegh ponda ni mwanaharakati na mpigania haki… huyu sio mwaipopo anaongea na anachangia wala humjui anaongea nn!!

  • @Mfirimassawe-m3o
    @Mfirimassawe-m3o Месяц назад +2

    Kwani wanazuoni wameishia kwa shekhe ponda?

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 Месяц назад

    Naona mpo kwenye hoja wazee 😅😅

  • @Ibunmaulanashirazy-sn5ui
    @Ibunmaulanashirazy-sn5ui Месяц назад

    Shekhe ponda yawezekana anatumika na mayahudi kuudhoofisha muislamu kupitia vurugu kuwagombanisha waislamu nakutowapenda viongozi waislamu wanaoshika madaraka makubwa ktk nchi mfano alianzisha vurugu kipindi chakikwete alipokuja magi akapoa sasa anaanzisha vurugu dhidi ya Samia

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Месяц назад

      ACHA UPUMBAVU, KAMA HAUJUI KAA KIMYA!!

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe Месяц назад

      Kama Inaniingia Akilin..🤔🤔

  • @ConradMwajeka-r3e
    @ConradMwajeka-r3e Месяц назад

    Mashindano ujasiri upiii acheni uchochezi nyie waandishi ukubwa pia unakufanya uache mengine so nyakati ni mafunzo

  • @tanzaniashinyanga454
    @tanzaniashinyanga454 28 дней назад

    Mnawaza fujo tu wanaharakati

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 Месяц назад +1

    Sasa ivi viongozi wadini pia nimachawq

  • @ramadhanijohoiddi2899
    @ramadhanijohoiddi2899 Месяц назад +1

    NCHI nyengine huyu ponda angekua CIA AU UST NA WENGINE WENGI KTIKA JESHI

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 Месяц назад

    Fanya mazoezi wewe unaongea tu unahema utadhani fuso.

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange Месяц назад

    Sheikh ponda

  • @HamisAlly-g6m
    @HamisAlly-g6m Месяц назад

    Shekh ponda wewe mnafiki ukiona huna hella unawaingiza waislamu kwenyee matatizo wewe unaenda Burudi

    • @halimaJumanne-jn4ks
      @halimaJumanne-jn4ks Месяц назад +2

      Kwa hy akiwaingiza kwenye ayo matatizo uwa mnampa pesa Ili yy aende Burundi tumia akili bac unaozungumza

    • @MustaphaNgwaya
      @MustaphaNgwaya Месяц назад +1

      Umerogwa wewe

    • @ahmadamohamed1907
      @ahmadamohamed1907 Месяц назад

      Mama yako hayumo katika walioingizwa?

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai Месяц назад

      Wewe shoga na wewe kumbe ​@@MustaphaNgwaya

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe Месяц назад

      😳😳😳

  • @SimonMelon-k9p
    @SimonMelon-k9p Месяц назад

    Shekhe ponda alikuwa mwisho wewe,chuma hiki

    • @aggreyenock1221
      @aggreyenock1221 Месяц назад

      Kabisa

    • @HamisAlly-g6m
      @HamisAlly-g6m Месяц назад

      @@SimonMelon-k9p shekh

    • @HamisAlly-g6m
      @HamisAlly-g6m Месяц назад

      Ponda Tumuangalie ponda kwa umakini yeye kipato Muambiee Awatetee waislamu wapate mahamama yao ya kiislamu waamuwe mambo yao kiislamu hawezi Fanya hivyo kwa sababu Inawezekana Anatumikishwaa ili Apatee maslahi yakeee

  • @AthumanyMvula
    @AthumanyMvula 28 дней назад

    Hebu jaribuni kuandika vichwa vya habar vizuri sa achimbua kaburi ndio nn