Sasa comments zote naona honger a za kinafiq au kumzogoa binti💔... Mnakosea sana asee...Kajitahidi kafanya to the best of her ability kwenye eneo lake( course yake) na akapewa zawadi ya kushinda kama mwanafunzi bora kiujumla..wao waliosoma Medicine na mengineyo hawajasoma pia masomo ya huyu na kamwe hatutojua wangeperform vipi huku...kuna sababu kwa nini Medicine huwa haina Distinction grades because even though umemaliza na ukapasi vyema ...ndo kwanza kujifunza udaktari unaanza kiuhalisia unapomaliza chuo...hivi vitu havifanani ...stop belittling huyu binti...it's her achievement , her prosperity ...amestahili na ameshinda ...APONGEZWE.
Hongera 🎉🎉 Mdada,,No matter how matter it is, You're the Best
Hongera ni Hatua nzuri. Elimu ni kitu bora na ni Nuru.
Hongera dear
Sasa comments zote naona honger a za kinafiq au kumzogoa binti💔... Mnakosea sana asee...Kajitahidi kafanya to the best of her ability kwenye eneo lake( course yake) na akapewa zawadi ya kushinda kama mwanafunzi bora kiujumla..wao waliosoma Medicine na mengineyo hawajasoma pia masomo ya huyu na kamwe hatutojua wangeperform vipi huku...kuna sababu kwa nini Medicine huwa haina Distinction grades because even though umemaliza na ukapasi vyema ...ndo kwanza kujifunza udaktari unaanza kiuhalisia unapomaliza chuo...hivi vitu havifanani ...stop belittling huyu binti...it's her achievement , her prosperity ...amestahili na ameshinda ...APONGEZWE.
Asante sana
Watu wanachekesha kweli
Ongera.dear God win always
Dada Hongera Saaaana Mno mno SIFA KWAKE KRISTO ALIE TUPENDA KWA KUKUINUA
Mungu akunyimi kira kitu
Heeeeeee mbona kuna watu wanaona wivu sana humu,,,nyie mliosomea ivyo vyenu mlivyovichagua mbona hamjawa mabest,,au hamkujitambua mnachohitaji
Uzuri wa hesabu ina jawabu moja tu. Sasa njoo PSPA kila scholar ana mtazamo wako
Bachelor of pharmacy, microbiology, au medicine hapo ndio tungempa maua yakeee
Maupumbavu best student😂
Mbona Hao wa bachelor ya medicine hawajawa wa Kwanzaa achen maneno
Hiyo ni kawaida sana ingekuwa bachelor of medicine,,,,hapo tungempa Maua yake
Wabongo rohoo mbaya tuu Koo ulitaka aferii
Hongera best..Ila ungekuja kwetu PSPA..Ungeongoza ningeitwa mbwa..Kule sio kwa mchezo
Mmh. Ndugu pspa ninayoijua mm acha utan bhana
PSPA ya Dr. Ajali Mustafa, Marijani Ramadhani, Katomero, Mmasi, Prof Kopoka, Dr. SANSA, Prof. Kessy hapo ukipata GPA ya 3 jipongeze
@@mohamedhaji2200 Kuna kiumbe kilikua kinaitwa chang'a,Ombeni, utajua kwann kuku hakojoi
Haya bhana ,sie tulimzoea chang'a,pro kopoka,Dr ajal,Dr sengat
Umenikumbusha omben ni kiboko fundisha yake ya upole ila mitihan mmh hatar
Hiyo ni kawaida sana ingekuwa bachelor of medicine,,,,hapo tungempa Maua yake
Usikariri kama wewe ulishindwa kupata hyo GPA kwa medicine wenzako wamepata acha wivu
Heeee we naye